MWISLAMU. KUACHA UISLAMU HADHARANI KAKUMA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 235

  • @IssaSaid-vf3lg
    @IssaSaid-vf3lg ปีที่แล้ว +14

    Mashaallah.... Kuokoka ni neema.... Bwan wetu yesu mkristo na amulinde sku zotee na amuepushe na mambo maovu wakristo wote tuseme Amin

    • @edinahochiche4718
      @edinahochiche4718 ปีที่แล้ว

      Ameen and Ameen

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 ปีที่แล้ว

      Mbona kma yesu ndio muokozi kisha uneanza na mashaa llah 😂😂,na huyo sio muislam ameveshwa kanzu tuu mwambie asome suratul fatiha tuu tuone

    • @IssaSaid-vf3lg
      @IssaSaid-vf3lg ปีที่แล้ว

      @@andallaathman3856 sasa nshangaaa nn, kwan mungu kwa karbu anaitwa je..unababaishwa na lugha mpk miaka hii... Tumia lugha yako...

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 ปีที่แล้ว

      @@IssaSaid-vf3lg hKuna mungu haezi Kua na majina Mia moja no way lazima kuna lazima kuna jina alio toz

    • @katherinasamwel3937
      @katherinasamwel3937 ปีที่แล้ว

      Amina

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 ปีที่แล้ว +12

    Bwana yesu asifiwe saaana kabisa❤❤❤❤❤❤ wakristo wenzangu naomba tumuonyeshe ishara ya upendo

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 ปีที่แล้ว

      Mmepata huyo kichaaa mmoja chiz wafuateni waislam wenye akili timamu kama mtawapata..

    • @eiddykenga5816
      @eiddykenga5816 9 หลายเดือนก่อน

      Hahaha ona wanao waritadisha,mtu hata hajijui

    • @allyhamad9665
      @allyhamad9665 7 หลายเดือนก่อน

      Uyo bwana yesu asifiwe na nani kwani ana mtoto au mke mbona apo hujaeka wazi

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@abuushakiraddausiy8666Uislam bila uongo utafutika kabisa, kielelezo cha uislam ni Muhammad na maisha yake ni aibu hata kusema alikuwa mtume

  • @BuchichiJoseph-xm8kn
    @BuchichiJoseph-xm8kn ปีที่แล้ว +7

    Bwana Mungu akubariki Sana mtumishi for God using you to do this great job, kuhubiria an lslam mpaka aokoke it's not a simple thing

  • @amanicarlumehabel7575
    @amanicarlumehabel7575 ปีที่แล้ว +3

    Kazi safi Mungu akubariki Mwalimu Ndacha,Jina la Yesu litukuzwe.

  • @davidfelix927
    @davidfelix927 ปีที่แล้ว +2

    Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe sana❤

  • @frankmpembu
    @frankmpembu ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana Mwalimu Ndasha Mungu akubariki kwa kuendelea kuokoa watu wake

  • @MariaWambugha-nh1wh
    @MariaWambugha-nh1wh ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri kabisa mwalimu Ndacha😅😅😅😅😅😅😅

  • @sammunialo5463
    @sammunialo5463 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah..., Glory be to the Almighty God
    Abundant blessings pastor Ndacha. Be covered by the blood of Jesus Christ in every mission you pertake.

  • @ruthmagare8725
    @ruthmagare8725 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi Mungu akuinue na azidi kukutumia

  • @dottosweetbert8879
    @dottosweetbert8879 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Ndacha.

  • @RoseRashidi-p9b
    @RoseRashidi-p9b ปีที่แล้ว

    Amina ubarikiwe sana mtumishi

  • @patricianyale
    @patricianyale ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde ndacha kwa kazi ngumu unayopitia

  • @shebbythespyro5393
    @shebbythespyro5393 ปีที่แล้ว

    Hapo hapo watasema Yesu ni mungu kisha hapo hapo Yesu bwana wa mungu hapo hapo watasema Yesu ni roho takativu hapo hapo wakristo watasema Yesu ni mtume wa mungu ama kweli imani ni upotevu

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Unaposema roho mtakatifu Ni Mungu mwenyewe na ndiye Yesu ,ukifuatilia maana ya Yesu na maana ya roho mtakatifu ndiyo hivyo.

  • @khamisijumamkoka9106
    @khamisijumamkoka9106 ปีที่แล้ว +2

    movies ni nyingi

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 ปีที่แล้ว +2

    That is holy spirit at work,thank you Jesus Christ,Africa for Jesus Christ🎉

  • @edinahochiche4718
    @edinahochiche4718 ปีที่แล้ว +2

    Ameen and Ameen, be blessed abundantly Mr Ndacha kwa kazi nzuri.

  • @ezekielmwamba9106
    @ezekielmwamba9106 ปีที่แล้ว +1

    Amen karibu mjoli kwa matengenezo na nitaendele kukumbuka kwa maombi

  • @moureenaswani1493
    @moureenaswani1493 ปีที่แล้ว

    GOD bless you mwalimu Ndacha hata malaika mbinguni wamefurahi

  • @lilwilson6283
    @lilwilson6283 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi Ndacha 🙏

  • @louisejeanne8306
    @louisejeanne8306 ปีที่แล้ว

    Karibu ndugu kwenye ukristo damu ya Yesu Christo izidi kukufunika

  • @mkkson6927
    @mkkson6927 ปีที่แล้ว

    Great work god bless you pastor

  • @alicemaitapo2932
    @alicemaitapo2932 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akumbariki

  • @Bwivugekisa
    @Bwivugekisa 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Mungu akubariki

  • @ronaldmunanda5614
    @ronaldmunanda5614 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah ndacha nani kama wewe.mungu akuinue saidi

  • @jcwanyoike2757
    @jcwanyoike2757 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atukuzwe milele

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว +2

    Bwana Yesu Pokea sifa

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 ปีที่แล้ว

    Yohana 17:3 inasema na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wa pekee Yesu ni Mutume

  • @davidmutiso529
    @davidmutiso529 11 หลายเดือนก่อน

    Wachungaji mkue kama Dacha anaubilia wayaundi mpaka wana kubali yesu nimwana wa mungu nawakabatizwa sio ati unaubilia waklisto ,ubilia waislamu wakatoleki nawayauti wengine wale awaombangi kupitia kwa Yesu klisto wamujue yesu nanilazima tupindue dunia wamjue yesu kama mwana wa mugu (mungu mkuu)

  • @onyamonynoahnyakundi4035
    @onyamonynoahnyakundi4035 ปีที่แล้ว +1

    Praise the name of the living God through His Son Jesus Christ

  • @bettygesare5948
    @bettygesare5948 ปีที่แล้ว +1

    God bless you all we thank God for the brother

  • @isaiahosiemo5417
    @isaiahosiemo5417 ปีที่แล้ว +2

    Bwana yesu asifiwe

  • @nayef3903
    @nayef3903 ปีที่แล้ว +2

    Lazima huyu ndacha ashtakiwe kwa baraza la kislamu asifanye drama zake kwa kutumia vazi la kislamu na kusema vibaya tena kutumia wakristo wenzao bila ya maandiko yoyote. Wewe unaona uislamu dini ya kweli ndacha inakuwaje udhalilishe uislamu kwa kuvaa kanzu na ili Hali sio muislamu. Na munapotosha umaa. Nitazungumza na baraza la kislamu uchukuliwe hatuwa

    • @aflahabdula4084
      @aflahabdula4084 ปีที่แล้ว

      Hili ndacha ni shetani linajuwa ukweli kama uislamu ndio dini ila tamaa kaiyeka mbele allah atakushuhulikia wewe

    • @daudiisaac676
      @daudiisaac676 5 หลายเดือนก่อน

      Kwan kanzu ni vazi la kislam

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 ปีที่แล้ว

    Ndacha ubarikiwa katika jina jesu

  • @EmmanuelKimathi-xn9jz
    @EmmanuelKimathi-xn9jz 13 วันที่ผ่านมา

    Glory to lord

  • @paulwambua4956
    @paulwambua4956 ปีที่แล้ว

    Amen Amen 🙏🏽
    Glory be to God Almighty ❤ 🙏🏽

  • @PeterBoru-xw7bz
    @PeterBoru-xw7bz ปีที่แล้ว

    Bwana yesu Asifiwe

  • @dinahauka6004
    @dinahauka6004 ปีที่แล้ว

    Amen . Kazi nzuri

  • @luluamin1388
    @luluamin1388 ปีที่แล้ว

    😂 Ndacha the comedian ameshimdwa kutafuta muigizaji mzuri. Huyu hajui amechoma kabisa. Ndacha was leading this man to answer. Huyo jamaa ni mkristo. Unadanganya wakristo wenzio.

    • @Zigzag-o6k
      @Zigzag-o6k ปีที่แล้ว +1

      Kumbe wakristo wako cheap sana kudanganywa hivi ndacha anavyo fanya inaonesha dacha alishakata tamaa hawez kuwaritadisha waislam ndio kaamua kuwa comedian ili apate tu pesa kumritadisha muislam wa kweli haiwezekani kabisa hta kama hkusoma

    • @jofreykabobe
      @jofreykabobe 11 หลายเดือนก่อน

      Unauhakika gani amedanganya? Basi nanyie huwa mnadanganya kuwasilimisha wakristo huwa niuongo tu

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 8 วันที่ผ่านมา

    Mbona kava Shanga ni nguruwe mwenzenu huyo wakristo

  • @Abdulracheed
    @Abdulracheed ปีที่แล้ว

    Huyo hajui maandiko ndio maana umempoteza Mathayo 22:29 Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 ปีที่แล้ว

    MUNGU na akundendee makuu umemchagua YESU umemchagua fungu njema

  • @mohdmud194
    @mohdmud194 ปีที่แล้ว

    Mtume Muhammad saw ni mjumbe tu wa mwenyezimungu Hana uwezo wa kimpeleka mtu peponi Wala motoni kazi yake ni kufikisha ijumbe muamini mwenyezimungu na utende mema uwache maovu utasalimika na adhabi za mwenyezimungu Kama vile yesu asivyoweza kumpeleka mtu peponi Wala motono matayo ,20:23 akawambia hakika mtakinywea lakini kuketi mkono wangu wa kuume au kishot Sina amri ya kuwapa Bali watapewa waliowekewa tayri na baba yangu
    Acheni ubishi na kupoteza muda msipomuamini mtume Muhammad na mkafa makafiri mtakua kuni

  • @asamtulli4598
    @asamtulli4598 ปีที่แล้ว

    Aminaa mpeni maua yake

  • @daudibomani1940
    @daudibomani1940 ปีที่แล้ว +1

    Haleluya sifa kwa BWANA

  • @issakongolo2832
    @issakongolo2832 4 หลายเดือนก่อน

    Nami vile natoka kwenye uwisilamu😢

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb ปีที่แล้ว

    great work God is working through you.shalom

    • @yasinsalim6179
      @yasinsalim6179 ปีที่แล้ว

      Eehh allah subhahuwataalah umetakasika na haya hawajui wayatendayo

  • @yasinsalim6179
    @yasinsalim6179 ปีที่แล้ว +1

    Umetakasika Allah hawajui wayatendayo wanamacho lakini hawaoni😢

  • @Futurelife-fk1os
    @Futurelife-fk1os ปีที่แล้ว

    Amina sana

  • @khamishaji9508
    @khamishaji9508 ปีที่แล้ว

    uyo mtu mwenyewe kavaa chupi ya kichwa atajua uislam

  • @MudyKing-ub6he
    @MudyKing-ub6he ปีที่แล้ว

    Kiufupi cjaelew ata kdg.

  • @mwanyunimadee4157
    @mwanyunimadee4157 ปีที่แล้ว

    Long live ndacha and God bless u

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @reubenngonyo1308
    @reubenngonyo1308 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @RojaMwambena
    @RojaMwambena 9 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @musajabir-pe2hn
    @musajabir-pe2hn 2 หลายเดือนก่อน

    Hio ni game mtu wenu huyo sio muisilamu

  • @niceboy6943
    @niceboy6943 ปีที่แล้ว

    Sasa MTU mwenyew hajui maandik yoyot ...hatun muislam kam Huyo....

  • @jacobmisiani5106
    @jacobmisiani5106 ปีที่แล้ว

    Bwana atukuzwe milele kwa ajili ya ndugu yetu kuokoka

  • @shurlaally1686
    @shurlaally1686 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa si mwislam ametengenezwa tu

  • @skmtotowamama6797
    @skmtotowamama6797 ปีที่แล้ว

    mnabatiza wenda wazimu

  • @adlainekamonya-ic2kq
    @adlainekamonya-ic2kq ปีที่แล้ว +4

    Amen.... Christianity is the True religion 💯💯💯💯💯🙏🙏🙏🙏

    • @benardoloo-4595
      @benardoloo-4595 ปีที่แล้ว +2

      Especially SDA

    • @adlainekamonya-ic2kq
      @adlainekamonya-ic2kq ปีที่แล้ว

      @@benardoloo-4595 🙏

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 ปีที่แล้ว

      ​@@benardoloo-4595 😂😂 No because you don't believe in Holy Ghost fire now how will you overcome sins without being Baptist with the holy spirit...SDA and Catholic learn to worship God in truth and spirit

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 ปีที่แล้ว

    Uyo nimusiba mukubwa utawapoteza sana namandiko yabiraraka

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว

      Msiba Kwa waislamu ila mbinguni ni furaha
      Luka 15:7-10
      Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu.

  • @SmS-pR
    @SmS-pR ปีที่แล้ว +1

    Unasema ukweli

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 ปีที่แล้ว

    Ndacha Kapata Kibonde Asiyejua. Kwa Mwalimu anayejuwa huwezi kupata majibu kama hayo.😮

  • @alsamali6964
    @alsamali6964 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hiyo ulimpanga 😂😂😂😂😂
    Yani kila kitu anakubali.

    • @frankmpembu
      @frankmpembu ปีที่แล้ว

      Pole😂😂😂

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว +1

      Allah kashindwa kumpanga wakati ni mbora wa wapangaji😂😂😂
      Surat imran 54
      Na makafiri walipanga njama dhidi ya Isa, lakini Mwenyezi Mungu akapanga, na Mwenyezi Mungu ndiye mbora wa kupanga.

    • @alsamali6964
      @alsamali6964 ปีที่แล้ว

      @@davidmnyela2459 kwani tunazungumzia kupanga nini ?

    • @saidramadhan4516
      @saidramadhan4516 ปีที่แล้ว +2

      Penye ukweli uongo hutoweka…Huyo kwanza sio ktk cc waislaam hata hicho kilemba hajui kinacyovaliwa wamemuokota na kupanga hayo mnayoyaona!!

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว

      @@alsamali6964 vitu gani ulimaanisha anavikubali Kwa jinsi ulivyoona video ukadai alimpanga???

  • @abdiqaanurow5924
    @abdiqaanurow5924 ปีที่แล้ว

    Unapotosha ndacha mungu akulaani

  • @rashidsaidi1588
    @rashidsaidi1588 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmh msiba huyo jamaa mbna km empty kichwan mmejiokotea kina ndacha game lenu hilo hakuna muislam lain hivo

  • @AlineMukunda-li8cv
    @AlineMukunda-li8cv ปีที่แล้ว +1

    Amena

  • @Baharia
    @Baharia ปีที่แล้ว

    Ndacha ukimbilia wasio kuwa na ilimu,, nauliza hivi kwa Nini ndacha usikuje mtito andei makueni county uone kivumbi

  • @mutimbanahashon5133
    @mutimbanahashon5133 ปีที่แล้ว

    Kipovu afanikiwa kuvuta kipovu mwengine kumuingiza ndani ya ukafiri.

    • @jumafundi3133
      @jumafundi3133 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 yule jamaa ikiwa siochiz basi ameshapiga pombenyingiiii

  • @mistasaa9214
    @mistasaa9214 ปีที่แล้ว

    hyo jmaa hana elim ya y uislam, wla hajui anachokifny yey anafuatsh anachosomew n kutikisa kichwa tu. huwez kumuingz ktk ukristo muislam anaeifaham vyema dini yke ata siku 1.

  • @omarmakame3027
    @omarmakame3027 ปีที่แล้ว

    Sio kweli ni actors mana muislamu kuyumbishwa na kuwa mkristo ni ngumuu kwasababu anajua nini anatenda

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 ปีที่แล้ว

    Sam's Hadi jini

  • @jayequalizer_ke1
    @jayequalizer_ke1 ปีที่แล้ว

    Unapea Waislamu Pesa Waingie Katika Ukristo Halafu Unawachanisha Hapo. Umemwacha Rashid Ekai Baada,Omar Na Huyu Pia Umemhonga

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 หลายเดือนก่อน

      Kiasi gani cha pesa ulipewa na wewe,mnapenda uongo kama shetani

  • @eliakesiajamansimbauwiiiii7143
    @eliakesiajamansimbauwiiiii7143 ปีที่แล้ว

    Ndacha umechemka Yan unatafuta wahun et unasema umemokowa hakuna mwisilamu mjinga hivo Yani isomwe bibilia yeye anashangilia

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa Yesu wanaenda wenye uhitaji wa kutata mabadiliko,ila wewe kwasababu ni mjuaji kamwe huwezi kumpata Yesu 0:00

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 ปีที่แล้ว +2

    Ameen Glory to God 🙏

  • @kennedykarunditu6733
    @kennedykarunditu6733 ปีที่แล้ว

    Glory be to God

  • @abdallagaza6864
    @abdallagaza6864 ปีที่แล้ว

    😂umepotea baba

  • @mahamoudgalge8252
    @mahamoudgalge8252 ปีที่แล้ว

    Huyu hata si muislamu Toka mwanzo

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 ปีที่แล้ว

      Ata wewe umpokee yesu huko uliko upo gizani

  • @samxx411
    @samxx411 ปีที่แล้ว

    Hata haielekei kabisa

  • @alinurharun8468
    @alinurharun8468 ปีที่แล้ว

    Huyu alikwa mkristo ata msidaganye

  • @mamalaozphilemonmtawali.8467
    @mamalaozphilemonmtawali.8467 ปีที่แล้ว +1

    Ameen.

  • @abduljaffer
    @abduljaffer ปีที่แล้ว

    Ata huyu sio muisilamu

  • @alimau7939
    @alimau7939 ปีที่แล้ว

    Nyote humujielewi vichwa vya pombe

  • @amanicarlumehabel7575
    @amanicarlumehabel7575 ปีที่แล้ว

    Hallelujah 🙌

  • @onyaluoma848
    @onyaluoma848 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni chizi,,

  • @jumafundi3133
    @jumafundi3133 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 wewe unahubiria chiz au kashapiga pombe haelewi hata unachokiongea anajua kuitikiat hapo bado hujafanya chochote ,huyo ameipigabangi akaja mkutanoni😅😅

  • @abdisalammohamed7687
    @abdisalammohamed7687 ปีที่แล้ว

    uongo tupuu

  • @fedrickgeorge290
    @fedrickgeorge290 ปีที่แล้ว

    Kenya mijadala imekywa nihatar

  • @jayequalizer_ke1
    @jayequalizer_ke1 ปีที่แล้ว

    Huyu ni Chizi namjua

  • @skmtotowamama6797
    @skmtotowamama6797 ปีที่แล้ว

    mtu mwenyewe wazimu uyu wacheni ujinga hana akili

  • @experiencetours5037
    @experiencetours5037 ปีที่แล้ว

    Hugo Jamaica anaonekana kuwa ni mlevi wala sio muislam kabsa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 ปีที่แล้ว

    Usabato ni dhehebu liloanzishwa na mwanamke aitwaye Hellen G White acha kudanganya huyu ambaye hajasoma chochote

    • @ZabronMagufwa
      @ZabronMagufwa 24 วันที่ผ่านมา

      Sio kweli usabato hata kweny Quran umetajwa Toka mwanzo wa history ya ulimwengu

  • @udaku254tv
    @udaku254tv ปีที่แล้ว +1

    Haleluyaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hassanramadhan7846
    @hassanramadhan7846 2 หลายเดือนก่อน

    Wakristo sijui akili zenu mmeshikiwa na Nani, yaa a mmekaa mnamshangilia mlevi na mnauna ni ushindi, hakuna muislam hapo.

  • @kassimngao2282
    @kassimngao2282 ปีที่แล้ว

    Sasa huyu sini Chizi tu,,,hahaha

    • @mangalaemanuel4797
      @mangalaemanuel4797 2 หลายเดือนก่อน

      Chizi anaenda mbinguni je wewe mzima unaenda wapi

  • @nayef3903
    @nayef3903 ปีที่แล้ว

    Utajua haujui safari hii uislamu sio dini ya dhihaka. Asome Qur'an kama yuwajua musilete sarakasi zenu eti muislamu ameingia ukristo never na hautoona muislamu akiingia dini yenu isiyoeleweka. Na ndacha utavua kanzu ikiwa sio muislamu lazima uchukue shahada ndio usilimu uvae kanzu

  • @upendotv2776
    @upendotv2776 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @omarmakame3027
    @omarmakame3027 ปีที่แล้ว

    Wewe waislam unawajua au unawasikia tu ?

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu machungu ya nini 🤣🤣🤣😂😂😂

  • @aflahabdula4084
    @aflahabdula4084 ปีที่แล้ว

    Huyu ndugi yake ndacha kubwa la mabilisi