USIWACHUKIE - Bartholomayo Chenga ( Official Audio )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2021
  • Wimbo wa USIWACHUKIE ni maalumu kabisa kwa wale wote ambao wanapitia changamoto mbalimbali za kimaisha hasa pale unapoishi na watu ambao kazi yao ni kukukatisha tamaa na kuongea mambo mabaya juu yako lakini MUNGU anaendelea kukubariki hivyo huna budi kuwapenda na kuendelea na naisha yako.
    Asanteni sana kwa support yenu. Wasiliana nami kupitia nambari ya simu +255659197916/+255622795115
    Instagram / bartholomayo_chenga
    #bartholomayochenga #usiwachukie #enockjonas

ความคิดเห็น • 9

  • @beritawambani5748
    @beritawambani5748 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen nilishawasemehe bure

  • @mtinikops9210
    @mtinikops9210 2 หลายเดือนก่อน

    Cjawah kukuona mtulivu kama humu mzee

  • @santanabii5374
    @santanabii5374 ปีที่แล้ว

    Finally am here💪💪💪enyewe usiwachukie👌👌👌nabarikiwa tu sana ndungu chenga🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @zoomzoom5676
    @zoomzoom5676 2 ปีที่แล้ว

    Wooow. Amen Amen mungu akubariki sana🙏🙏

  • @valentinenamusia1569
    @valentinenamusia1569 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @velmasakwa4247
    @velmasakwa4247 2 ปีที่แล้ว +1

    Addicted already...more luv from Kenya..

  • @beritawambani5748
    @beritawambani5748 2 ปีที่แล้ว

    Amen niliwasamehe bure .

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sanaaaaaaa Mtumishi