Yona chilolo ~ Mke wa pili (Official Audio track)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 249

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 ปีที่แล้ว +5

    Dah! Nusra niingie kwenye huu mtego ambao ningeishia kumnyanyasa mke wangu, ila nashukuru Mungu kanimulika kabla hayajatokota na kuharibika, wanaume tujifunze, tumuombe Mungu maana ni mtihani sana, unamuoa mkeo kwa mapenzi ila baada ya miaka michache mitihani inajitokeza, ndoa inakua shida kila siku ugomvi.
    Tuwapende wake zetu na kuwatunza.

  • @daisynyerere5730
    @daisynyerere5730 ปีที่แล้ว +3

    ASANTE KAKA KWA KUNITUNGIA WIMBO.... NIMEVUMILIA BABA

  • @samsifuna8480
    @samsifuna8480 ปีที่แล้ว +2

    Bro uko talented never give up
    Mungu anajuwa kwa nini unaimba ivo

  • @florah3138
    @florah3138 2 ปีที่แล้ว +3

    In Saudi, l love your song iko Na mafundisho

  • @kelfamedia
    @kelfamedia 2 ปีที่แล้ว +4

    wimbo mzurii sana barikiwaaa

  • @chipor4095
    @chipor4095 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakika Umezaliwa Kwa Ajili Ya Kuja Kufanya Kazi ya Mungu
    Endelea Kuacha Alama Duniani
    Hakika Jina Lako Litaishi Vizazi na Vizazi

  • @mbunistar4780
    @mbunistar4780 ปีที่แล้ว +2

    Kazi zako nzuri Sanaa mungu akupe pesa ufanya maajabu apa duniani watu wakamjue mungu kupitia wewe 👍👍👍👍👍💞

  • @MRJ1308
    @MRJ1308 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo unagusa familia yangu mama kafanyiwa hivihivi kisa mke wa pili na mwishowe baba yetu tumerudishiwa maiti tu

  • @TV-nj8hv
    @TV-nj8hv 2 ปีที่แล้ว +4

    Mke wa pili 🔥🔥🔥🔥
    Aaataariii sana hii nayo itagusa watu wengi yaani nimefurahi hapo siku hizi baba mkali kama pilipili akienda kwa mke wa pili anakaa wiki mbili, saluti kwako mkuu Mungu akuinue zaidi

  • @moureennutellah5235
    @moureennutellah5235 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen🙏🙏🙏 ukweli kabisa umenigusa

  • @cathywayesu7501
    @cathywayesu7501 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri

  • @silyvya2408
    @silyvya2408 2 ปีที่แล้ว +2

    Hasantee🙏🙏🙏🙏❤️ umejua kuwanyoosha.imba na mapungufu yetu wa Mama nasisi tuione mbingu

  • @moinde1505
    @moinde1505 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen barikiwa sana

  • @josephmarwa5626
    @josephmarwa5626 2 ปีที่แล้ว +3

    nafatilia sana kazi yako kaka yangu hakika umenikuka na nyimbo zako dh aisee kwa kweri hongera sana kaza mungu atakusaidia sana

  • @lydiamrema5947
    @lydiamrema5947 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mtumishi kwa kazi nzuri, nabarikiwa sana nyimbo zako

  • @charlessimonwangelya
    @charlessimonwangelya ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @imtvisaacmediatv9178
    @imtvisaacmediatv9178 2 ปีที่แล้ว +3

    KEEP IT UP BRO YOU ARE THE BEST

  • @EDUTHEEARTIST
    @EDUTHEEARTIST 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana chilolo nimebarikiwa,more grace to you.

  • @marymarco
    @marymarco ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzurii sana zinanbariki mungu azidi kukuinua

  • @jocktanmliga12
    @jocktanmliga12 2 ปีที่แล้ว +2

    💪💪🙏🙏🙏Brooo❤️

  • @alicebanikefadhili3996
    @alicebanikefadhili3996 2 ปีที่แล้ว +2

    Napenda saaana uyu mwimbo, barikiwa mutumishi wa Mungu

  • @WamonoSezi
    @WamonoSezi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda wimbo zako sana, it gives me strength and heavy hope,❤🎉 asente sana mungu akubariki

  • @josephineisoe708isoe8
    @josephineisoe708isoe8 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli mungu hape nguvu nyimbo za zina ujumbe wa mahana sana

  • @annahkingoo6387
    @annahkingoo6387 ปีที่แล้ว

    Inauma sana,,,wanaume wanatukosea wakiwa na wake wengine,,,and they believe ladies are mad NO! we are wise more than men,,, the time umetoka Kwa nyumba na unarudi,,,kukuona tu ivi tunasence,,,Kuna mahali umepita,,, but yote ni mapito

  • @mtumbili
    @mtumbili 2 ปีที่แล้ว +13

    From kenya tunakupenda sana🇰🇪🇰🇪🙏🙏 your songs touches alot😢

  • @kb.nickson
    @kb.nickson 2 ปีที่แล้ว +2

    From Kenya 🇰🇪.

  • @machiziinternational3182
    @machiziinternational3182 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo zako ziko poa broo 💥💥💥

  • @flexotienoonyango5742
    @flexotienoonyango5742 2 ปีที่แล้ว +3

    Wow nyimbo zako hakika ni nzuri Barikiwa sana mutumishi wa mungu

  • @ruthmmbigo4141
    @ruthmmbigo4141 2 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥

  • @dorcusamisi2926
    @dorcusamisi2926 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa mke wa pili ameharibu maneno

  • @andrewnangwani5481
    @andrewnangwani5481 ปีที่แล้ว

    kali hiyo braza,,ubarikiwe bro

  • @millicentrabera
    @millicentrabera 2 ปีที่แล้ว +2

    Ninashukuru nyimbo mzuuuuriii from kenya

  • @benjamindenice53
    @benjamindenice53 2 ปีที่แล้ว +1

    Njoo upige show Tanzania 🇹🇿 tunakuelewa sana

  • @wemapanga1547
    @wemapanga1547 2 ปีที่แล้ว +2

    Mhuu wimbo ni mzuri sana,unatia nguvu

  • @abygaelmusyoki1732
    @abygaelmusyoki1732 2 ปีที่แล้ว +1

    Song zako huwa zinabariko sana ni abigael

  • @drelpmacsinc7786
    @drelpmacsinc7786 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera kwa kazi njema mtumishi#kwimage mundewa

  • @christabelimonje4964
    @christabelimonje4964 2 ปีที่แล้ว +2

    Woooow walai nyimbo zako zina massage kali .God bless u soo much

  • @GULF444
    @GULF444 2 ปีที่แล้ว +3

    Kenya in the house

  • @mwebraniaonline7001
    @mwebraniaonline7001 2 ปีที่แล้ว +1

    tuko hapa hatutokiiii

  • @erickmwanni1519
    @erickmwanni1519 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana unaokoa ndoa za watu balikiwa .

  • @juliusmbise
    @juliusmbise 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka hongeraaaa

  • @shangweremiofficial4124
    @shangweremiofficial4124 2 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana mtumishi ujumbe mzuri 🙏🙏

  • @joyceabeli3787
    @joyceabeli3787 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri sana

  • @dorisnanjala
    @dorisnanjala 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda saaaaana🇰🇪

  • @christinenthenya3879
    @christinenthenya3879 2 ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kali ya mwaka

  • @gloriawetiba4721
    @gloriawetiba4721 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbona naona huu wimbo wahusu familia yangu tu😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓

    • @wemapanga1547
      @wemapanga1547 2 ปีที่แล้ว

      Yaani huu wimbo unanitia nguvu,Mungu azidi kukutia kukuinua mtumishi wa Mungu

  • @anoboy4life
    @anoboy4life 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah! Broo unanipa furaha sana aisee

  • @siliviamukabane3794
    @siliviamukabane3794 2 ปีที่แล้ว +4

    jamaniiii,huu wimbo unagusa sana😭😭😭🙏🙏🙏🙏 from Kenya 🇰🇪🇰🇪💓

  • @eliawankuru3373
    @eliawankuru3373 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen nyimbo zako nzri zitolee video

  • @yonachiloloofficial
    @yonachiloloofficial  2 ปีที่แล้ว +29

    Kama bado huja subscribe tafadhali fanya hivyo... Ili upate kazi nyingi nzuri ambazo zitainua Moyo wako... Mungu awabariki... Nawapenda watu wa Mungu

  • @joyceabeli3787
    @joyceabeli3787 ปีที่แล้ว

    Unanigusa sana huu wimbo hadi nimelia

  • @josepharika3370
    @josepharika3370 2 ปีที่แล้ว +10

    Napenda nyimbo zako zinanitia moyo sana, nakupenda pia nipate like yako please #Yona Chilolo mimi ni fani wako mkubwa

  • @tonnyomondi0268
    @tonnyomondi0268 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani huu wimbo unanigusa sana moyo wangu am blessed 🙏🙏🙏🙏🙏 glory to God

  • @naomiyangao33
    @naomiyangao33 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks alot,yote umeyaimba yanihusu ,tangia utoto wangu nkiwa darasa la pili,but am Strong through this song, shalom 🙏🙏🙏

  • @kephalazeck1572
    @kephalazeck1572 ปีที่แล้ว

    Kaka hongera Sana Kwa huu wimbo ✊✊

  • @beatricegodson4285
    @beatricegodson4285 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda sana hii ubarikiwe sanaaaaaaaaa

  • @fridahmwikali3646
    @fridahmwikali3646 ปีที่แล้ว +1

    Amen l love this

  • @VickitoliaVickitolia
    @VickitoliaVickitolia 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika nyimbo zako ninzuri sana umetufindisha sana tena umetueshimisha wakina mama

  • @fettygodani6151
    @fettygodani6151 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana Mungu aendelee kupigania kibali chako na huduma yako idumu milele daima

  • @NurdinMzelele
    @NurdinMzelele หลายเดือนก่อน

    James njoge so nice Wimborne unafunza sana

  • @ThiurisonMicah
    @ThiurisonMicah 11 หลายเดือนก่อน

    Congrats 👍 chilolo

  • @NASHY943
    @NASHY943 ปีที่แล้ว

    Hii wimbo imenitoa tiktok to hapa

  • @joycewafula935
    @joycewafula935 2 ปีที่แล้ว +6

    Amen 🙏 glory be to GOD, your message blessed people,🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦

  • @veronicajames6689
    @veronicajames6689 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuinue viwango vya juu zaidi

  • @ajayakikoytz590
    @ajayakikoytz590 2 ปีที่แล้ว +2

    Ujumbe Mzuri sana Akika Mungu Azidi kukutumia Vema.

  • @nafulapam7996
    @nafulapam7996 2 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥

  • @MwaminiYazen
    @MwaminiYazen หลายเดือนก่อน

    Natamani niliye kwa uyu wimbo😭😭maana unanimbusha mbali

  • @rebeccasimon878
    @rebeccasimon878 2 ปีที่แล้ว

    Kaz nzur

  • @jacksonibrahim535
    @jacksonibrahim535 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika umeimba vizur Sana

  • @priscahemitundo3176
    @priscahemitundo3176 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana brother kwa nyimbo nzuri kwa huu ( wameongezeka baba usiniache pigana nao) huwa unanijenga sana.

  • @nana_art
    @nana_art 2 ปีที่แล้ว +1

    That’s the best

  • @MwaminiYazen
    @MwaminiYazen หลายเดือนก่อน

    Yona mungu akubaliki sana🤲🤲🤲akuwongeze kibali n'a nema

  • @hassankadolo716
    @hassankadolo716 4 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sana

  • @saimoniloishiye7472
    @saimoniloishiye7472 2 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli kaka ubarikiwe

  • @felixokania1262
    @felixokania1262 ปีที่แล้ว

    Asante sana yona unatubariki tunakupenda sana from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @shwarikuuvj5416
    @shwarikuuvj5416 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kaz nzuri

  • @BrigithaCosma-cb2br
    @BrigithaCosma-cb2br ปีที่แล้ว

    Naipenda Lakin mbona aipo goog

  • @RobertWahiti
    @RobertWahiti 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue sana kwa kazi nzuri"

  • @rehemamwasile7410
    @rehemamwasile7410 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa kaka kwa ujumbe mzr

  • @GoodluckAmos
    @GoodluckAmos ปีที่แล้ว +1

    Chilolo mm ni mwimbaji lkn natamn san melody unazotumia na key unayoimbia dah nikiskilz unavoimba naon umependelewa sana kwa jins ninvokukubl naomba tukpige kolabo aseee

  • @rashidygoda9009
    @rashidygoda9009 6 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo imenigusa sana..umenitonesha kidonda😢ila yatapita

  • @gibbstuvahtheegibbs7530
    @gibbstuvahtheegibbs7530 2 ปีที่แล้ว +2

    Wonderful

  • @Dhore-jb5pb
    @Dhore-jb5pb 10 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @eshakenga1503
    @eshakenga1503 2 ปีที่แล้ว +1

    Chi lolo

  • @tim_shalom8217
    @tim_shalom8217 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu aendeleee kukutumia katika huduma hii ndugu.Kutoka pande ya Kenya 🇰🇪 ,tunapenda huduma hii yako ndugu

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 2 ปีที่แล้ว

    Ndoo najiuliza mbona hatambi xaaana wkt ngoma kali xn

  • @hassankadolo716
    @hassankadolo716 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana bro kwa hiyo nyimbo

  • @zakayomoleli
    @zakayomoleli 4 วันที่ผ่านมา

    Haiwezekani mume awe na wake wawili alafu eti awapende sawa haitokei

  • @HappyBalkhHound-ue6zh
    @HappyBalkhHound-ue6zh 7 หลายเดือนก่อน

    Tuliopitia...from kenya

  • @puritypurity4353
    @puritypurity4353 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢nyimbo zako ni fire I say

  • @MANKANdakideni
    @MANKANdakideni 4 หลายเดือนก่อน

    Nazipenda xana nyimbo zako ya zinanifariji mpendwa

  • @christinemusau7144
    @christinemusau7144 5 หลายเดือนก่อน

    I love your songs.from kenya

  • @judysnasambu5292
    @judysnasambu5292 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen aman🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mdta8161
    @mdta8161 11 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢asante mtumishi daah umenigusa sana

  • @georgeludakulo4750
    @georgeludakulo4750 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana bro

  • @pamphilasalaka5376
    @pamphilasalaka5376 2 ปีที่แล้ว +1

    Amazing👏👏👏be blessed tunakupenda sana kenya

  • @KarenKetura
    @KarenKetura ปีที่แล้ว

    Nyumba ndogo 😢 reality of life never ever destroy someone's family be blessed servant of God good message ❤❤❤❤❤

  • @samwelitlae6572
    @samwelitlae6572 3 หลายเดือนก่อน

    Hata sasa

  • @jacklinenalindwa1140
    @jacklinenalindwa1140 2 ปีที่แล้ว +3

    be blessed,the god of heaven will exalt you,🙏🙏🙏

  • @jimmypaul5481
    @jimmypaul5481 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice