HATUA - Bartholomayo Chenga SKIZA 5501330 to 811 ( Official Audio )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ย. 2021
  • Hatua ni wimbo wa shukurani kwa Mungu, ni wimbo uliuzungumzia maisha yangu kwa sehemu kile nilichokipitia na vile Mungu alivyoniwezeshe kupiga hatua katikati ya mambo magumu, nina imani utabarikiwa na wimbo huu na Mungu atakupigisha hatua katika maisha yako haijalishi unapitia magumu gani.
    mawasiliano; +255622795115/+255659197916.

ความคิดเห็น • 17