Steve you are blessed to blessed other and comfort those who need Jesus you are there with them he says where two or three gather in his name he is there in the midst Kasolo congratulations your God walks with you every where you go hv no fear if God is for you WHO CAN BE AGAIST YOU?.🎉❤❤❤❤❤Amen&Amen Peace.
Kasolo,Mheshimiwa Mungu akubariki zaidi yakiwango amekubariki. Nakupenda bure u really inspire me alot.It has bn ma wsh Godatukutanishe 2 cku moja.God Bless u man of God mch
God bls you mighty man of valour.Gideon like you had come from a humble background but he led Israelites to conquer Midianites for the Spirit of Almighty God was with him.Go go go go.`~~ KABIRIA Nrb.
Isaia 45__ thus says the Lord to his anointed to Cyrus whose hand l have grasped to subdue nations before him and ungird the loins of kings to open door before him that gates may not be close amen and amen 🙏🙏🙏🙏 bro
Kasolo hii song inanikumbushaga my dad alkuwa anatushw Kila wakati tusimame na mungu na tusiwai kosa kwenda kanisa ata mambo hakitujia ya kutumalza tuombe bila kusita,,,,rest easy my beloved Dad 😢😢
The ministry itself 😭to my coming wedding namwamini bwana na nitasimama naye katika hali zote sitachoka kwa kazi yake,, mbaki nae milele na neema izidi kukubeba🙏🙏🙏🙏🙏🙏
This is how talent ministers,,I lack words to say but God bless you stevo for the ministry that u do through your songs
May u be blessed
God bless you
@@puritysofia2577 q
We thanks God for every situation,May God be with us
Nice song kasolo i like them alot and God bless you
Mambo mengine yanaumiza lakini Mungu ni Mwaminifu!! ✌️💔😭
Jitie moyo,mungu atasimama na wewe kwa Kila hatua unachukua barikwa saana kasolo
Solo mungu ni mwaminifu ,lkn unanipatianga moyo sana najua siku moja mungu ataniinua nisimame na familia yangu
Mungu wa wajane atatake over....Amen
AMEN
Be blessed kasolo,Mungu hawezi kuacha watoto wake, Mungu wetu hawezi changanyikiwa akatuacha jangwani,kila wakati ako karibu nasi
This is ministry sir
Praise lord
I love the spirit of worship in you Mr Stephen
There is always a reward in standing with God.......He Never fails
More grace solo
Nice one🔥💯
@@janemutindi9628 no
Our smart MCA na mimi nakutia nguvu simama na bwana baba shine all the best🤲🤲🤲
This is a call💗 Pongezi Mhesh
Amen Amen
Bwana ni nguzo yetu tusiwahi kumwacha ijapokuwa majaribu ni mengi
I must be kasolo of tomorrow 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😊
Your songs gives a preaching and new songs 🙂
For sure Kasolo umenitia moyo sana nitasimama na bwana sitamwacha
Nyimbo zako zimenitia moyo na kunisimamisha kimaisha barikiwa kasolo 🎉🎉
Tusimame na bwana Yesu kila wakati kwa kila hali
Keep up kasolo hata wakikutusi usife moyo nyimbo zako zinatutia nguvu
Steve you are blessed to blessed other and comfort those who need Jesus you are there with them he says where two or three gather in his name he is there in the midst Kasolo congratulations your God walks with you every where you go hv no fear if God is for you WHO CAN BE AGAIST YOU?.🎉❤❤❤❤❤Amen&Amen Peace.
Heko kasolo....mbingu zizidi kunena..
Ups NITASIMAMA THAT'S THE WORD IN THE MEANING BRO/SIS IN THE HOUSE OF GOD
😭😭😭😭No matter the situation nitasimama na bwana
Pia mm nitasimama na bwana sitomuacha.....barikiwa sana kasolo
Mungu akbar san kwa hiyo nyimbo
This song imenitoa machozi
Ntasimama na bwana 💥💥 congratulations bro iyo gomma imenikwanza mahali
Wathi museo brother kasolo,Mungu aliyekuinua na anione ,,,,,,,,mawaidha tele
Nasikilizanga kila siku 😭
Mr Kasolo nakupenda katika moto wangu ,unanijaza moyoni ,nikiskia nyimbo zako zinanijenga upya 🎉 you deserve reward ❤🎉
😭😭😭😭so touching
But full of wisdom
Nitasimama na bwana
Kweli inauma sana pole mum
Pia mm kama wewe STEPHO ,,nitasimama na BWANA katika Hali hiii
kasolo utaenda mbali nyimbo zako unibariki sana machozi uwa aikosi kutiririka
Sauti unayo nzuri,, ukiimba mie najistukia nimelala😢
Ninayopitia ni machungu na yanaumiza,lakini kupitia wimbo huu Kwa hakika nitasimama na bwana
Bro kasolo, you are really talented,let the sky be the limit Go Go Go Amen
Wow!!! Big my mentor #Stephenkasolokitole
Mca 👏👏
Kasolo I really love you listening here Uganda thanks for serving God
Nitasimama na bwana kwa yenye napitia😢😢😢😢😢
If you played this song more than 10 times today, let's gather here🥰🤗
Zambia here is within 👂 short
Heko
Great Kasolo,,,hata Mimi Nitasimama na Mungu
Mm Kila siku Kila saa ntasimama na bwana🙏🙏🙏
Baba Shine u neva disappoint...Pia mm nitasimama na Bwana
Kasolo,Mheshimiwa Mungu akubariki zaidi yakiwango amekubariki. Nakupenda bure u really inspire me alot.It has bn ma wsh Godatukutanishe 2 cku moja.God Bless u man of God mch
Weh utafanya niokoke bana...you are talented mweshimiwa
Pia mimi nitasimama na bwana Liwe Liwalo,Nifikisheni 100K Guys 💯💯💯💯💯💯💯💰
Nitasimama na bwana...
Kasolo umebarikiwa may God continue stand with you
Kasolo niombee sana nisimame kwa ndoa
woooh have ever never give tention to thiz song only to realize evegelist evelini is my spiritual mother pole mum God loves u soo much
Hongera sana bwana kasolo huku wimbo unanitia moyo sana Kwa kila hali nitasimama na bwana.barikiwa sana😢
Wimbo poa ina variki, na mungu amekutengesea njia pita vila kupingwa,
🔥🔥🔥🔥
Love your ministry Kasolo
Keep it up bro.
Nani mwingine amerudulia this song more than ten times. God bless you solo .
Asante Kasolo kwa kumutembelea Mrs Musau. Counseling a person is a good healing process.
❤❤aky ukijaribiwa na majaribu mengi lazima tusimame imara kila wakati wa shida ama LA akuna nice song 🎉
God bls you mighty man of valour.Gideon like you had come from a humble background but he led Israelites to conquer Midianites for the Spirit of Almighty God was with him.Go go go go.`~~ KABIRIA Nrb.
Wimbo poa bro,somo la hekima simama sanaaa bro MUNGU akutie nguvu zaidi,,nitasimama na bwana katika hali yangu yote sitamuacha kabisa
I'm a kisii but I love all your songs bro.God bless you keep on going 🙏
My prayer kasolo to succeed in mca ward of mlango ward. All the way from saudi Arabia.
Napenda huduma yako daddy
Kasolo nimetafuta hii wimbo kwa Boomplay na sijaiona.
Please do something 🙏🙏
The song is blessing me too much
I too nikiitaka naiskiza hapa online
Isaia 45__ thus says the Lord to his anointed to Cyrus whose hand l have grasped to subdue nations before him and ungird the loins of kings to open door before him that gates may not be close amen and amen 🙏🙏🙏🙏 bro
u ar a very talented guy......on another level #kyaa kya ngai
Wewewe huyu mtoto amebarikiwa na sauti
I love this boy with the love of God,,,,he has respect
Your unstoppable my bro Solo more grace dugu yangu 💕👌
Wimbo una mguzo Kwa kweli solo, nitasimama na bwana katika hali zote, nakupenda sana solo
Mungu amekuchaguwa ufanye kazi yake ubalikiwe sana
Amen mama simama na baba 🙏🙏🙏🙏🙏
It's true God gives you ministry of worship may God continue to keep you daddy
AMEEEN hakika Mungu akubariki sana,, nyimbo zako zinaupako from to Tanzania
So touching...ni mengi tunapitia but tutasimama na Bwana.
Unaimba vizuri sana njoo musoma
Eeeh uyo anatosha ,;mungu ,kila kitu ni yy ata ukitaka bingu muamini tu
Hii song imenitia moyo ...nitasimama na bwana sitomwacha barikiwa solo
If I know of a true, encouraging and touching ministry is this one....keep doing it bro💪
Nitasimama na bwana
Kasolo hii song inanikumbushaga my dad alkuwa anatushw Kila wakati tusimame na mungu na tusiwai kosa kwenda kanisa ata mambo hakitujia ya kutumalza tuombe bila kusita,,,,rest easy my beloved Dad 😢😢
Woow Steve napenda songs xako may God expand your tertorries
Congrats kasolo utukwete nesa
Mungu wa wajane na baba wa yatima jidhihirishe kwa familia ya musau
Thanks for that as every time I receive your latest video. Meme from Namibia (Sourthern Africa. SADC)
Amen nitasimama na Bwana katika Hali yangu barikiwa kasolo and keep the fire burning amen
Aky napenda nyimbo zako your so cute ungekuwa umeoa me nigepita na wewe
Kasolo be bessed my brother with your nice song God bless you
Nabarikiwa n nyimbo zko bro kasolo inanitia nguvu ubarikiwe sana
Hiii ndio huduma ya kutiana moyo it's 👍
Kasolo i ketty i love your songs so much let God bless you so much.
I wish you all the best In mulango ward I believe utasimama nayo kabisa kasolo
Kweri kabisa afadhali kusimama na bwana ata dunia ikitingika simama na bwana you are ever blessed mheshimiwa👍💕
Nice 👍👍👍 one
Kweli nitasimama na bwana kwa mapito ninayoyapitia sita jali
What a encouraging message,,,Ngai ataiwe Steve and akuongezee knowledge and wisdom,,Nguma ni sya Ngai eweka
Pole to the entire family
Habariyako. Nataka unipenambayako .miminanipendasana
Blessing to Many double Anointing Showers of blessings beloved bro n your going far by Faith in Jesus Mighty Name 🙏🙌🇰🇪🇸🇦👏👏👏💕💕🎧🎧🎧
The ministry itself 😭to my coming wedding namwamini bwana na nitasimama naye katika hali zote sitachoka kwa kazi yake,, mbaki nae milele na neema izidi kukubeba🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Solo unajua umeshangaza!
The melody is the best Kasolo
Kasolo napenda nyimbo zako huwa zanibariki kwa sana.. Tusimame na bwana na tumepende zaidi Amina
nitasimama na bwana nmeparikiwa snaa 💃👏👏🙏🙏amen
God bless you My friend KASOLO...PENDA WW SANA MTU wa MUNGU