DAKTARI AELEZA UGONJWA ULIOMUUA RAIS MAGUFULI, AUCHAMBUA KWA UNDANI....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • DAKTARI AELEZA UGONJWA ULIOMUUA RAIS MAGUFULI, AUCHAMBUA KWA UNDANI....
    Machi, 2020 daktari bingwa wa moyo wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Peter Kisenge wakati huo akiwa mkurugenzi wa tiba ya moyo alieleza kuhusu ugonjwa huo na video yake kuweka katika mtandao wa TH-cam wa taasisi hiyo.
    Katika maelezo yake, Dk Kisenge alisema tatizo la umeme wa moyo ni pale mapigo ya moyo yanapokuwa chini sana au juu sana hali ambayo si ya kawaida.
    “Mapigo ya moyo yanakuwa chini ya 40 kwa dakika. Mgonjwa anapata shida anapokuwa anafanya shughuli zake anachoka au wakati mwingine anaanguka na anapata shida sana,” amesema Dk Kisenge.
    Kuhusu umeme huo, alisema husaidia kusukuma damu na kupeleka kwenye viungo mbalimbali. Akiseleza sababu ya kutokea ugonjwa huo, Dk Kisenge alisema kwanza kuna wagonjwa wanaotokana na umri mkubwa na wengine wenye magonjwa ya mishipa ya damu.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 217