NANI CHANZO CHA MAANDAMANO NGORONGORO? HII HAPA CHEKI HADI MWISHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024
  • เพลง

ความคิดเห็น • 218

  • @abdulisike
    @abdulisike 2 หลายเดือนก่อน

    Nini!!!! Akili. Bila hivo ni ngumu every day we will continue to cry

  • @ShabaniBakari-p4r
    @ShabaniBakari-p4r 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hapo nimeelewa sasa kumbe kulikuwepo makubaliano kabla,na baada ya makubaliano kukeukwa ndo serekali ikaamua kufanya jambo lake kama serekali,kwaiyo mama Samia na serekali yake wakaona utalii(au pesa)ni bora zaidi kuliko uwepo wa watu pale Ngorongoro daaah niatari sana.[ ama kweli pesa sabuni ya roho 😂😂]

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kumbeee kweli mama Samia ndiyo chanzoo Cha kuwafukuza wamasai na kuwaleta warabu hili unalo sema kuwa ngorongoro baybay alilianzisha huyu mama ili alete warabu mmemsikia hapob

    • @Fatma-up9qs
      @Fatma-up9qs 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani waarabu ndio watalii ? Si wazungu ndio wengi watalii. Acheni kuzungumza utumbo nyie.

    • @WiliamSamanirai
      @WiliamSamanirai 3 หลายเดือนก่อน

      Kumbe wewe ndio Simba ya ngarongoro

    • @NdondoSimbaJr
      @NdondoSimbaJr 3 หลายเดือนก่อน

      Fatumaaaaaa😢

  • @NAFTALIMUNDANGA
    @NAFTALIMUNDANGA 3 หลายเดือนก่อน +16

    Sawa Mama wacha Ngorongoro isewe tena kituo cha utalii. Maisha ya watu wetu yana maana sana kuliko PESA. Hatuwezi wauwa watu (Watanzania) kwa lengo la kutafuta pesa.

    • @charlesolomi9514
      @charlesolomi9514 3 หลายเดือนก่อน +1

      Watu wengine msipewe uhuru wa mawazo🚮🚮

    • @YohanaKuyato
      @YohanaKuyato 3 หลายเดือนก่อน

      Bora hiyo baibai kuliko watu wetu wawe displaced😂

    • @gabrieljohn6422
      @gabrieljohn6422 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani hakuna Aridhi kwingine?

    • @gabrieljohn6422
      @gabrieljohn6422 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@YohanaKuyatohii nchi ina Aridhi nyingi tu ambazo sio hifadhi, wapelekwe huko tu.

    • @uziasinkamba7380
      @uziasinkamba7380 3 หลายเดือนก่อน

      Embu tuwe na msimamo kama taifa ,ngorongoro kama miongoni mwa vyanzo vya mapato eneo lsiluhusiwe kuendelea vamiwa aridhi iliyowazi tz ni kubwa sana. sana.

  • @LeitherAbrathifu
    @LeitherAbrathifu 13 วันที่ผ่านมา

    Ushindwe kw jina la yesu

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 หลายเดือนก่อน

    Acha tumwachie Mungu mtetezi wa haki. Amen.

  • @EnenendoipoLaizer
    @EnenendoipoLaizer 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amin mama apo umetutendeya aki jmn na pia wewe mungu akusamehee kidonga mungu atume abiraim na sekieli akushukuwe

    • @HusnaIbrahim-d1b
      @HusnaIbrahim-d1b 3 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga wewe watu na wanyama bora lipi

    • @fahamimiraji2338
      @fahamimiraji2338 3 หลายเดือนก่อน

      We yafaa ujierew

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 3 หลายเดือนก่อน +4

    We mama kwakweli hautufai kabisa sisi watanzania

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน

    mmmh sasa nimeelewa. haya mama.
    ILa Samia jmni mrembo, shida ananenepa mashavu mama jmni..umrembo kweli2 binti Samia wa Suluhu

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mama Watu wanazaliana

    • @OS-pf6op
      @OS-pf6op 3 หลายเดือนก่อน

      Watanukie nje, nasema nje! Damn kuzaliana

  • @fadhilisawe434
    @fadhilisawe434 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mama hawa wasaidizi wako ngoja niwape akili: 1. Weka mpaka kati ya maeneo ya watu na hifadhi 2. Chora ramani kama za mipango miji wanakoishi watu 3. Gawa viwanja kwani kuna watu wanamiliki maeneo makubwa wasikuwa na kazi nayo. 4. Watu walipe kodi ya ardhi. Unaweza kuongeza watu ngorongoro badala ya kupunguza na bado wasiende walipo wanyama 4. Mwenye kujenga ghorofa aruhusiwe mwenye nyumba ndogo ya tope pia aruhusiwe. Namaanisha wagawane maeneo wanayoishi bila kuongeza mipaka. Sijui mama unasoma hii...

    • @MoEd-k8w
      @MoEd-k8w 3 หลายเดือนก่อน

      Good idea

  • @ObediMelita
    @ObediMelita 3 หลายเดือนก่อน +1

    😭
    Ngorongoro ni ya wamasai kauze Zanzibar

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 หลายเดือนก่อน

    Maoteli je yanayo jenga kila wakati?. Mama waache watu kwenye maeneo yao ya asili. Wekeni namna njema ya maisha ya watu na wanyama siyo kuwaona awana haki ya kuishi. Mimi namwamini Mmoja tu naye ndiyo Mungu mkuu aonaye yote na ipo siku moja atatoa hukumu ya haki kwa wote wanaowasumbua na kuwangaisha Wamaasai. Amen.

  • @YunisB-x9c
    @YunisB-x9c 3 หลายเดือนก่อน +3

    ALLAH AKUHIFADHI MAMAETU SAMIYA. NA KUPE KILA LA KHERI NA AKUEPUSHE NA KILA LA SHARI. INSHA ALLAH, ALLAH AZIDI KUKUONGOZA NA AKUPE MAFANIKIYO MEMA HAPA DUNIYANI NA KESHO AKHERA. INSHA ALLAH, ALLAH AKUZIDISHIYE UMRI MREFU, UMRI MWEMA NA AKULINDE NA KILA VIUMBE VILIVYO VIOVU. ALLAH AKUBAINISHIYE KILA MUOVU WAKO NA WAZIWEZE KUKU DHURU KWA AINA YOYOE. MAMA SAMIYA MJANATE MKONO MWANAO VIZURI MWANO MAKONDA NA MZIDISHIYE WANLINZI NA INSHA ALLAH. ALLAH NAE AMLINDE NA PIYA INSHA ALLAH IKO SIKU ATAKUJA KUSILIMU YA RABBIL ALAMIN.
    FI AMANILLAH

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz 3 หลายเดือนก่อน

      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      th-cam.com/video/r3gsfk3zbDQ/w-d-xo.html
      MPWAPWA-DODOMA:
      Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa.
      Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka.
      Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita.
      Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu.
      Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full.
      Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻
      Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻

    • @fahamimiraji2338
      @fahamimiraji2338 3 หลายเดือนก่อน

      Mmmmmmm

  • @MariaMgeni-r7d
    @MariaMgeni-r7d 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wape tu hao ndugu zako waarabu

  • @AndrewShiratu
    @AndrewShiratu 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mtarii haki kuona wanyama pekee.bali anakuja kuona hata hiyo jamii ya kimasai inafananaje.ndiomaana wanapiga nao picha wamasai kuliko hata hao wanyama.bolesheni tu namna ya utarii kuipitia na wamasai kama Moja ya vivutio kwa watarii.

    • @gabrieljohn6422
      @gabrieljohn6422 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo tatizo ongezeko mbona hamuelewi? Kutoka watu 9000 mpaka 100000 + unadhani kuna usalama wa hiyo hifadhi tena hapo?

  • @KalangsaitotiSaitoti
    @KalangsaitotiSaitoti 3 หลายเดือนก่อน

    Duu! Mmuona hana huruma anadhamin wanyama kuliko uhai y mtu mpen pole sana huyo ni mama

  • @user13375
    @user13375 3 หลายเดือนก่อน

    Mkataba gani mliingia😮😮😮😮

  • @laurencemwanga6441
    @laurencemwanga6441 3 หลายเดือนก่อน

    Tuwaache ni wa chache sana.
    Uhuru wa kuishi

  • @menaurukivuyo6796
    @menaurukivuyo6796 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama wetu tunakulewa sana ila kumbuka uhai wa mtu ni muhimu kuliko ya mnyama kwani hakuna Siku mnyama atakuigia kura ata wawe wengi kiazi Gani,, pia kama unazoma ujumbe huu Basi usiache kutoa Neno Moja Kwa wananchi wanaoishi Kata ya Kwamatuku wilaya ya Handeni Kwani wanasumbuliwa Sana na hawa majangili wa kununua maeneo makubwa na kudai kua ni Hifadhi,,, kwa Sasa tunapo ongea Watu hawana makaazi Yao wanapokonywa kilazima na sijui watapiga kura Wapi Maana wanakuambia utoke na hawakuonyeshi paali pa kwenda na ukumbuke kua Hao wanaotolewa ni Wamasai walio hamia Uko Toka Arusha na Manyara Kwa kununua maeneo Hayo kwa Pesa zao,, Sasa Handeni imegeuka kua mbogo,, Naomba TU mh Rais wetu utusaidie Hili,

    • @gabrieljohn6422
      @gabrieljohn6422 3 หลายเดือนก่อน

      Msipe kura lakini kaongea ukweli hakuna Taifa linaweza kuwa na maendeleo bila kupangilia matumizi bora ya Aridhi sasa anapoguswa mtu au jamii flani inaona inaonewa mnako,sea sana, Dodoma Aridhi za wazawa zimechukuliwa kwa fidia ndogo sana kupisha ujenzi wa makao makuu ambapo ni majengo ya serikali yatatoa huduma kwa Nchi nzima kwa kila mtanzania, Turudi hifadhi ni kwa maslahi ya nchi nzima fedha za kigeni ndizo zinazo tumika kununua Madawa nje ya nchi vifaa tiba na mengineyo, ninyi mnaingiza taifa dollar ngapi kwa lipi?

  • @FundiwaTikTok
    @FundiwaTikTok 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wasikuhizi amevaa kaptula subili utaona

  • @mwinyisaruni8974
    @mwinyisaruni8974 3 หลายเดือนก่อน

    Duuuuh! Bado Ngorongoro nikubwa sana, lkn serekali iangalie hili swala Kwa makini jamani, watembelee wajuoonee hasara walionao wenyenyeji Kwa hifadhi kama hamna basi eneo letu la Ngorongoro Bado linatutosha na wanyama wetu, Ila ikumbukwe watu wanaishi kule huduma za jamii ziendelee kuwepo,

    • @mwinyisaruni8974
      @mwinyisaruni8974 3 หลายเดือนก่อน

      Lingine jamani eeeeeh! Mungu hakufanya makosa kumweka mtu na mnyama kuishi pamoja, ndio inayouza Ngorongoro Kwa utalii tuwaachieni mungu kazi yake, tusiwabuguzi maana kazi ya mungu hainaga makoza,,, tuwe wamoja wa TZ, Tuipende Tz yetu , asanteni,

  • @frankmollel8510
    @frankmollel8510 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha nikuambie hatuami na hatuta ama kama unataka kututoa kafara kwasababu ya ngorongongoro ww tuuwe manake unaona Wanyama ndio muhimu yenu

  • @ElizaMolle
    @ElizaMolle 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani mbona. uwaga wanawake wanahuruma mbona uyu simuelewi jamani kama ujaenda leba😭😭

    • @marthadaniel4904
      @marthadaniel4904 3 หลายเดือนก่อน

      Ngorongiro bye bye duuu huy mama jaman😢😢😢 nyumba bila mwanaume haieshimik

  • @hassanthabit3726
    @hassanthabit3726 3 หลายเดือนก่อน

    Ardhi ni ya serikari hao wamasai ni kuwawekea utaratibu mzuri wa kuwapunguza. Lakini uifadhi wa ngorongoro ubaki. Mm kasema maamuzi ni yetu

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 3 หลายเดือนก่อน +2

    Welcome UAE in Tanzania

  • @laurencemwanga6441
    @laurencemwanga6441 3 หลายเดือนก่อน

    Acha wazaliane

  • @frankmollel8510
    @frankmollel8510 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ngorongongoro is not enough to be ngorongongoro without Maasai

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maoni yangu, kati ya wanyama na watu nani avunwe, maana wote wameongezeka

  • @babalao910
    @babalao910 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani huo utalii ni Kwa ajili ya kina nani? Sio wananchi?.Au Kwa ajili ya wazungu

  • @ClarenceHilaly
    @ClarenceHilaly 3 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar wakati inapata uhuru ilkuwa na wtu laki tatu na sass ni million moja na nusu nao wahahamishiwe omani

  • @NdondoSimbaJr
    @NdondoSimbaJr 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona ni kidogo tu hii wamasai wabalishe makazi mwarabu huyooooo ngorongoro,mwarabu huyoooo ngorongoro....
    TRA ndio jina langu la ubalizo😢

  • @StevenMasunga-fd7xf
    @StevenMasunga-fd7xf 3 หลายเดือนก่อน

    Hutufai

  • @ZakayoJoseph-g5p
    @ZakayoJoseph-g5p 3 หลายเดือนก่อน +4

    Anachukuliwa na nani au unataka achukuliwe na waarsbu sio hapa mama heri wasawa kuliko na kingine tumia njia zuri kama unataka kuhamisha watu sio kunyima haki zao kama huduma za kijamii

    • @mkude
      @mkude 3 หลายเดือนก่อน

      Acha chuki na uongo mliopandikizwa hakuna Cha mwarabu Wala nani kupewa ngorongoro.

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 3 หลายเดือนก่อน

    Elimu ya kuzaliana itolewe na pia uhamiaji wa wamasai kutoka kenya na sehemu nyingine ndiyo tatizo la ngorongo

  • @sadicksingogo260
    @sadicksingogo260 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mama naomba wana ngolongolo,wape mpaka wao,itawsaidia na sio kuwahamisha

    • @gabrieljohn6422
      @gabrieljohn6422 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama utawapa mpaka na wao wanaongezeka idadi na eneo ni hilohilo haliongezeki unategemea nini? Suala ni moja wahamishe tu.

  • @dicksonisrael5491
    @dicksonisrael5491 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mama tu Naomba maisha Yetu yana u Muhimu Kuliko hilo unaloongelea

    • @gabrieljohn6422
      @gabrieljohn6422 3 หลายเดือนก่อน

      Mpuuzi wewe maisha ya Watanzania ni muhimu kuliko maasai wa Ngorongoro.

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo kwanza hamko wawazi mngeongea nao wamasai wajue kuwa wanatakiwa kupunguzwa na kuwapeleka seheme ambayo ni rafiki siyo msomera kukame mno

  • @JuliusPanga
    @JuliusPanga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini ipotee kwenye awamu yako? Mbona tangu Nyerere haikupotea?

  • @MimutyeDilala
    @MimutyeDilala 3 หลายเดือนก่อน

    We mama ni Malaya sana yan unadhamin wanyama kuliko binadam mbwa ww

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 3 หลายเดือนก่อน

    Ngorongoro wana huza Tanzania

  • @JumaKamasa-kl6pz
    @JumaKamasa-kl6pz 2 หลายเดือนก่อน

    Umbona namung'unya maneno

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 3 หลายเดือนก่อน +4

    Shida tunayoiona ni warabu kuwa kama makao yao ukweli warabu ni tatizo

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน

      Hicho ni kisingizio kisichokuwa na maana... unaambiwa ukitaka kumuuwa paka mpe jina baya.... na hicho ndicho kinachofanyika kwa wasiolitakia mema taifa hili.

    • @mkude
      @mkude 3 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi mnaowataja waraabu mmejawa na chuki na roho mbaya,mnawachukia waraabu bila sababu.hakuna mwarabu yoyote anaepewa ngorongoro.seriki inajutajidi kulinda hifadhi ya wanyama ili kusiwe na muingiliano na watu kuongezeka.mnaongea utumbo mliodanganywa na wansiasa

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mkudeSi kwa chuki ya waarabu bali ni kwa wageni kumilikishwa urithi wa Taifa hili. Tumeishajifunza kichofanyika Loliondo kumilikishwa kwa United Arab Emirates kina maudhui hayo hayo kwa Ngorongoro!

    • @mkude
      @mkude 3 หลายเดือนก่อน

      @@sylvestercameo6263 sasa ya ngorongoro hamulikishwi mtu huo ni uongo na uzushwi kusema anaepewa mwekezaji,serikali inataka ilinde hifadhi ya ngorongoro baada ya kuona wamasai wanaongezeka miaka ijayo itakuwa sio tena national park bila kuchukua hatua itakuwa makazi ya watu

  • @Ezekiel-w6m
    @Ezekiel-w6m 3 หลายเดือนก่อน

    Rais wetu kua na hofu ya Mungu Wamasai nao ni watu

  • @SaitotindoipoNdoiposaitoti
    @SaitotindoipoNdoiposaitoti 3 หลายเดือนก่อน

    We mama acha zako umekubaliana nanani kwani tuko Kenya au Tazania

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenye ndugu OMAN

  • @user-us7re2fi4s
    @user-us7re2fi4s 3 หลายเดือนก่อน +3

    🔥🔥🔥

  • @ipepeetube449
    @ipepeetube449 3 หลายเดือนก่อน

    Waue sasa wanyama wabaki

  • @Jameskakola
    @Jameskakola 3 หลายเดือนก่อน

    Watu mama wanaumhimu kuliko wanyama wPeni haki za misingo gologolo ibski na masai tu

  • @imakitori399
    @imakitori399 3 หลายเดือนก่อน

    Hautufai ww mama

  • @BakarYusuph
    @BakarYusuph 3 หลายเดือนก่อน

    OK mama

  • @georgejohnlimb7074
    @georgejohnlimb7074 3 หลายเดือนก่อน

    Tu mpndwa hpa ilikua sahihi saana Ila Sisi waafrika tukfikia kumba kira aliefnya vzuri wanpka matope looo haya

  • @ramadhanikabute1987
    @ramadhanikabute1987 3 หลายเดือนก่อน

    Tupo wote mama

  • @allynassoro8448
    @allynassoro8448 3 หลายเดือนก่อน

    Nashangaanhuyu Ni kiongozi wa aina Gani anaejali wanyama kulio maelfu ya raia wenye dhiki na shida mbali mbali jamani anaongea ata hofu ya M/Mungu Hana, halafu Cha kushangaza zaid eti anaenda kuwa mgeni rasmi katiatika kuidhihaki qurran

  • @AmonKulwa
    @AmonKulwa 3 หลายเดือนก่อน

    Kama mnataka wabaki elfu 9 pelekeni wanaume mahanisi😂😂😂😊

  • @TotyMesha
    @TotyMesha 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ngororngro we need piece.

  • @mishlay8164
    @mishlay8164 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mama unatuuzia nchi yetu , kweli ? Kiila Mahali , nchi imenunulia na waarabu , hivi kweli tunaenda wapi?

  • @mishlay8164
    @mishlay8164 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mama ni Rais wa Muda nchi hii kiila Rais atakuja atapita , lakini angalia sana unapokuwa kiongozi usiwaingize watu kwenye mgogoro usio na maana , mikataba ya hovyo , weka mikataba kwa sainzi ya miaka yako unayokaa ,

  • @barakamisila
    @barakamisila 3 หลายเดือนก่อน

    Mama kwani watu hawasaliani ACHA wamasai wakae kwaamani hapondio kwako .unazamini wanyama kuliko binadamu mungu hapendi

  • @gabrieljohn6422
    @gabrieljohn6422 3 หลายเดือนก่อน

    Huo ni uhalisia kwa watu wa uhifadhi.

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 3 หลายเดือนก่อน

    This is pure politiq

  • @DanielKipindo
    @DanielKipindo 3 หลายเดือนก่อน

    Mama kwa nini ngorongoro uitoe kwenye urisi wa dunia?nawakati ngorongoro ni uoto wa asiri kutoka kwa mungu???pesa sio bora kuliko maisha ya wana ngorongoro

  • @nicodemashaggite8429
    @nicodemashaggite8429 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama wewe mama kama Rais haujui nn Cha kufanya nani atakayeju?? Mmmm

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 3 หลายเดือนก่อน

    Peleka jeshi mama.wayahudi waliondolewa misri itakuwa hawa.

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 3 หลายเดือนก่อน

    Haiwezekani wamasai kuhama haiwezekani heli ufutwe

  • @lecktondany8259
    @lecktondany8259 3 หลายเดือนก่อน

    Mh. raisi wangu ngorongoro ni kama Zanzibar ni kitovu cha utalii. Je ni sawa uwambie watu wahame maana utali unapotea?

  • @JamesKirita
    @JamesKirita 3 หลายเดือนก่อน +1

    Akili ndogo hiii

  • @BarakaLonare
    @BarakaLonare 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢

  • @silvanusmyovela6545
    @silvanusmyovela6545 3 หลายเดือนก่อน

    Mama mbona umejikita kwenye utalii .wakati kuna madini tunaibiwa huko.

  • @VictorNphilip
    @VictorNphilip 3 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo wanyama na binadamu tujari wanyama kuliko binadamu

  • @ipepeetube449
    @ipepeetube449 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa wasizae au ?

  • @JoshuaSamunge
    @JoshuaSamunge 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa uchimbajii wa madini mbuani Hilo hapana mheshiwa raisii, hapo ndio mbuga zile tunauwa kabisaaa

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 3 หลายเดือนก่อน

    NAFIKIRI MAISHA YA WATU NI BORA ZAIDI KULIKO WANYAMA..HEKIMA ITUMIKE...HATA ZANZIBAR KUNA HIYO CHANGAMOTO YA WATU KUONGEZEKA NA KUHARIBU MALI ASILI...TUSIFANYE DOUBLE STANDARD..SIO KWA UBAYA ..WE NEED TO BE VERY WISE AS A NATION TO SOLVE THIS CHALLENGE OUT OF CONFLICTS OF INTEREST.

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 3 หลายเดือนก่อน

    Mama kua Sirius toa watu hao waje town

  • @clotildatarimo7847
    @clotildatarimo7847 3 หลายเดือนก่อน

    Arumeru arusha na wenyewe ni wengi, vijiji vya kia na vyenyewe vimezuia ndege kutua, rombo, nk na kwenyewe kuna shida gani

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 3 หลายเดือนก่อน +3

    Umepigaje hapo

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 3 หลายเดือนก่อน

    Samia washa kutudanganya Sisi watanganyika pona Uzi Rathilimali za kwenu Zanzibar wamasai wa ngorongoro walikuwepo kabla Ata wewe ujazalia iweje Leo unatupukunza kwetu

  • @Voiceofpeopleotz
    @Voiceofpeopleotz 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa hiibni ajabu sana, mliwezaje kukubaliana mkuwa kama wataalam kwani amjui ya kwamba watu wanazaliana kwa uharaka mkubwa. Kwani Tanzania tulikuwa 60milioni? Sasa kwa nini mnaketa hoja raisi kiasi hiki. Sasa kama mliwaweka pamoja bila kufikiria hili kwa nini msiwaamishe wanyama au wanyama ndio wamaana kuliko hao watu?

  • @miletuskgmiletus1563
    @miletuskgmiletus1563 3 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kufuta ngorongoro, maslahi ya watanzania ni makubwa kuliko watalii. Ngorongoro ilikuwepo kabla yetu. Tumeikuta. Na wazee wameishi huko hata kabla ya uongozi na watalii waliendelea kuja. They coexisted. We cannot for go the common good because of watalii bwana

  • @JoshuaDan-e2d
    @JoshuaDan-e2d 3 หลายเดือนก่อน

    Kuma mama remember 🎧🎧🎧🎧🎚️

  • @ClaraKongo
    @ClaraKongo 3 หลายเดือนก่อน

    MAMA MENYE BUSALA NA HEKIMA UPENDO NA MAONO YA MBARI PIGA KAZI .ATA VYULA WANA PIGA KERERE NG"OMBE AKINYWA MAJI

  • @soudjumah5529
    @soudjumah5529 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia upo sawa, wewe ni Mzalendo No. 1

    • @DivineWisdom-o8y
      @DivineWisdom-o8y 3 หลายเดือนก่อน +2

      Nyie hua ni maboya sana

    • @PererLukumay
      @PererLukumay 3 หลายเดือนก่อน +2

      Chawa.mkubwa.ww.mzalendo.ni.magu.na.nyerere.hawa.wengine.nimakafiri2.akuna.lolote.

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule 3 หลายเดือนก่อน +1

      Chawa

    • @clotildatarimo7847
      @clotildatarimo7847 3 หลายเดือนก่อน +1

      Shetani wewe

    • @clotildatarimo7847
      @clotildatarimo7847 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wanyama ni bora kuliko wanadamu, umelaaniwa na uzao wako wote mshenzi huna akili

  • @PendoPogwa
    @PendoPogwa 3 หลายเดือนก่อน

    Na watu wanazidi pia kuzalianw

  • @StevenKisinda-x8n
    @StevenKisinda-x8n 3 หลายเดือนก่อน +8

    Uzuri masai wenyewe ni kivutio cha utalii

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน

      Wabaki peke yao kama kutakuwa na mtu wa kwenda huko

    • @kitambatv8363
      @kitambatv8363 3 หลายเดือนก่อน

      Hahaha umenena nimefulahi sana

    • @jarnskorelly464
      @jarnskorelly464 3 หลายเดือนก่อน

      @@StevenKisinda-x8n kweli kabisa masaai ni kivutio cha watalii jamani uzalendo kwanza mahoteli makubwa ya nini serengeti zilikuwa loji to wakati huo nakukikuwa na watali pia

    • @jarnskorelly464
      @jarnskorelly464 3 หลายเดือนก่อน

      @@StevenKisinda-x8n nakumbuka tulikuwa tunaenda mwanza tulilala loji basi kulikuwa hamna mahoteli makubwa lilikuwa moja tu sasa hivi serengeti ni kama mji wa watu weupe halifu unasemaje watu ni wengi

  • @JosephatMathias-t7c
    @JosephatMathias-t7c 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnataka kuthamin pesa kuliko binadam?
    Mbona mnathamanisha wanyama kuliko binadam kuishi??
    Yan binadam wengine b Wana, sijui mkoje
    Mkisha pata kautawala tu kidogo hamuwazi ubinadam tena, mnawaza pesa tu na jinsi ya kukaribiisha wagen watalii ili kujipatia pesa,
    Mko tayari kuwashusha thaman binadam wenzio na kuthamin wanyama na watalii, kwa sabb ya kutafuta ufahari wa pesa
    Nan atakuona wa Mana we Kama Rais ambae huwezi kuwalinda watu na maeneo yao kiss pesa?
    Napoli bado yapo meng tz
    Wahamishen wanyama kuliko kuwasumbua binadam,
    Hapo ndo utaonekana wa maanaa kama Rais usie wapa usumbufu watu wako
    Usilazimishe utalii eneo lililo Kwisha ishi watu weng kiasi hicho
    Hamisha utalii na wanyama usisumbue watu

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 3 หลายเดือนก่อน

    Achana nahao wageni wa kisenge acha watanzania tufrahie maeneo yetu tuliyo patawa na MUNGU we mama acha tabia ya kutete wakuja

  • @florenceodida
    @florenceodida 3 หลายเดือนก่อน

    Ata kuwa towa masai kwa ajira ni ukabila tu?

  • @egdldm4981
    @egdldm4981 3 หลายเดือนก่อน

    Ngorongoro inauza Tanzania. Mapato inapata Tanzania na Zanzibar. Lakini Zanzibar unajitangaza kama Zanzibar, rejea makubaliano ya Chelsea na Zanzibar ya "Visit Zanzibar '' Tanzania inanufaika kwenye mgao au Zanzibar ndio inayonufaika kwenye fursa hii ya Muungano?😢

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kivutio cha kwanza kama masai wanya ni,kujiburudidha tu,

  • @costandunguru7603
    @costandunguru7603 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo huyo Masai. Ikitokea Amaumwa Ng'ombe na mtoto. Atatanguliza kumtibia ng'ombe kwanza. Au hata akiwa na ng'ombe 1000.kuuza hata wawili ili mtoto aende while ni kazi. Wanajari mifugo sna. Sasa Leo mnamsema Mama kuwa hajari watu. Serikali bila kuwa na vyanzo vya mapato. Hapatakalika hapa. Leo hii Dubai wana mbuga za wanyama walizozitengeneza na si za asili. Lkn wanavuna watalii wengi sna

  • @tumainimayala8187
    @tumainimayala8187 3 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa unategemea watu watakaa tu bila kizaliana??Acha ujambazi bibie

    • @knight6757
      @knight6757 3 หลายเดือนก่อน

      🤔🐸

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน +1

      Binadamu hawazaliani kama panya hao wengine ni wahamiaji, tuache chuki zisizokuwa na msingi pakiharibika hapo mtakuja tena kuilaumu serikali imeachia hayo yatokee. Mfahamu hii ni sawa na vita ya kiuchumi kuna majirani wanataka hilo litokee watake advantage wanyama wahamie upande wao ili wastawishe pato la uchumi wao kwa kupitia utalii ktk eneo lao kwa kutumia wanyama hao hao, kuna jamii kubwa za wanyama huwa zinahama ktk misimu fulani kwa kufata mazingira mazuri yenye malisho bora kwao, lazima mtambue mazingira yakiharibika wanyama hao watahama na wataenda kwa majirani hilo litakuwa pigo kubwa kwa ustawi wa pato la uchumi wetu linalotokana na utalii, kwa sababu watu watakaobaki hapo kwa shughuli wanazozifanya hazitakuwa mbadala wa kufidia pato lilikowa likipatikana kutokana na utalii, kwa hiyo pia itapelekea kuzorotesha upelekaji wa huduma mbalimbali za kijamii ktk maeneo hayo na hata nje ya maeneo hayo... ukichunguza kuna wengine wapo interested kwenye hili eidha kisiasa au kwa malengo yao binafsi ndiyo maana wanapotosha kwa makusudi na hata kutetea ujinga. Tupo hapa ipo siku tutaona.

    • @mkude
      @mkude 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndo jambazi na famia yako yote,huna adabu na heshima, watu wamevamia Kwa wingi ngorongoro inakuwa sio sehemu tena ya national park baada ya muda itakufa serikali ikiwaachia

  • @Lubango-gj3ud
    @Lubango-gj3ud 3 หลายเดือนก่อน

    "Na lenyewe kalitizameni" unaowaagiza kulitizama jambo ndo waliofanya hayo yanayoendelea.mama waelekeze kafanyeni hivi.....

  • @wiza2309
    @wiza2309 3 หลายเดือนก่อน

    Qameingia au ni wazaqa? Mbona mahotel mnajenga? Waifute tu kuliko kuhangaisha watu. Watalii hata wakija hakuna fedha za kigeni, hata dola 500 bank hupati. Ni aibu

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sijaelewa tusiowane ili tusiongezeke?

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 3 หลายเดือนก่อน

    Jengeni nyumba kwanza huko mnakowahamisha Kisha wapelekwe kuona watapatikana wakuhama hii ni Tanzania bara Ngorongoro ilikwepo awamu zote. Hakuna Diplomasia ya kuhamisha? Ni amri na kukomesha???

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ngorongoro ibaki vile vile kama ilivyokwepo wakati wa uhuru. Watu watanukie kwa kwenda nje ya ngorongoro na sio kwa kuingia ndani!

    • @janetymusa610
      @janetymusa610 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni yako .kumbe mnapenda wamaasai waumie nyie huko makwenu mnalima mnafanya biashara watoto wenu wanasoma kwa Raha wake zenu wanajifjngulia mahospitali yagarama mnajenga majumba ya kifahari makwenu huku wamaasai wanateseka.kwani wamaasai ni kuku ili wahamishwehamishwe.kuna coment nyingine ni za kipumbavu na kipuuzi,wewe shibe yako ndio inakusumbua siku mungu akikutapisha utakoma.kwenda!

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 หลายเดือนก่อน

    Very easy kwanini usihamishe wanyama na sio watu basi kama kigezo watu wamezidi?

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona wazanzibar wako wengi na kisiwa ni kidogo

  • @Ezekiel-w6m
    @Ezekiel-w6m 3 หลายเดือนก่อน

    Watu nibora kuliko wanyama jitafakali ungekuwewe niwajamii yakimasai

  • @ElvisTago-yr3ky
    @ElvisTago-yr3ky 3 หลายเดือนก่อน

    Madam people have birth ama watu wa kwenyu hawasaangi