Mfanyakazi wa Azam Media atengeneza satelaiti

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Mfanyakazi wa Azam Media kitengo cha ufundi mitambo, Leonard Shayo amekuwa gumzo baada ya kutumia umahiri wake akiwa na vifaa vichache kutengeneza Satelaiti maalumu ya kukusanya taarifa za tabia nchi kwa lengo la kukabiliana na majanga mbalimbali ya asili.
    Satelaiti hiyo aliyoiita Olduvai Space Center (OLSPACE) imepitia hatua mbalimbali za uundaji wake ikiwemo kuwekewa mfumo wa taarifa na imefanyiwa majaribio katika mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Singida na kufanikiwa kutoa taarifa mbalimbali.
    #AzamTVUpdates
    Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi

ความคิดเห็น • 6