CHEKECHE | Yanayojiri kwenye mkutano wa baraza la usalama la umoja wa mataifa (UNGA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) unaendelea mjini New York nchini Marekani
    Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas akihutubia Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani ametoa wito wa kutipatia Israel silaha.
    Mkutano huo wa mjini New York kwa kiasi kikubwa umetawaliwa na wasiwasi kuhusu vita vya Urusi nchini Ukraine, vita vya Israel na Hamas huko Gaza, na uwezekano wa kutanuka kwa mzozo wa Lebanon.
    Kujua zaidi kuhusu mambo yaliyojiri katika mkutano huo...karibu katika Chekeche

ความคิดเห็น • 5

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawa Vingozi wa Africa ukiwafikiriasana unaona wanaitikadi za kichawi unakandamiza wanao nyumbani unakwenda kumpa mali mgeni tatizo lingine debe la unga linawatesa Yan njaaa

  • @HassanhaidaryKamana
    @HassanhaidaryKamana 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamna lolote wanaenda kustarehe na kufanya uzinzi

  • @HassanhaidaryKamana
    @HassanhaidaryKamana 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha uongo umesoma hakuna faidi na UN

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyinyi hamna mpya kila wanchojadili dw swahili maoni na nyinyi mnaiga