RAIS SAMIA HOI KWA VITUO VYA MPOKI NA MSANJA, AMPUNGIA MKONO MPOKI "MAMA ALINIPIGIA SIMU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2023

ความคิดเห็น • 75

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 11 หลายเดือนก่อน +5

    Inaumaaaa saaaana pesa zinaishia kwenye sherehe warsha makongamano

  • @Omosak
    @Omosak 9 หลายเดือนก่อน +2

    Watanzania shida yenu muko wanafiki sana kusema ukweli

  • @jacobmenganyi7830
    @jacobmenganyi7830 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kujipendekeza huku Hadi boss anajua unamnafikia

  • @valentinoswenya748
    @valentinoswenya748 11 หลายเดือนก่อน +22

    Njaa mbaya sana watu tunashida adi tunahisi mwisho wa dunia unachelewa kutimia lakini leo watu tuliowapa dhaman wanatuletea maigizo mikoani uku wakiwa na tabasam lote

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 11 หลายเดือนก่อน +2

      Pambana njaa itakuondoka

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 10 หลายเดือนก่อน

      wakati we unasema njaa mbaya pole sana kwa kuteseka

    • @kakamollel3121
      @kakamollel3121 10 หลายเดือนก่อน

      Ĝvvvmvbbv.v
      Bb

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml 5 หลายเดือนก่อน +1

    BAHATI NZURI MAMA ANAWAJUA KUWA MNAMSIFU TU

  • @user-lp9it3zu6u
    @user-lp9it3zu6u 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hamna kila ki2.nataman sana kushuhudia mwisho wa dunia..eee Mungu tuokoe waja wako

  • @divaimafuru6844
    @divaimafuru6844 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia nakupenda mpaka naumwa

  • @edesaron9070
    @edesaron9070 11 หลายเดือนก่อน +6

    Wakati mataifa mengine vijana wao wanaonyesha ubunifu kwa kazi za kulijenga TAIFA lao vijana wetu wanashindana mbele ya rais kwa vitu vya hovyo

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 10 หลายเดือนก่อน +1

      Pole kwa kuteseka 😂

    • @Gody360
      @Gody360 10 หลายเดือนก่อน

      🎉

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 11 หลายเดือนก่อน +7

    So sad 💔

  • @seifmbembe95
    @seifmbembe95 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hawana ndio kazi Yao wewe hata uongee vp utabakia hivyo hivyo

  • @cavinjohn-9648
    @cavinjohn-9648 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wameongwa Hao mbuzi pori

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mdomo hauwezi kuusemea moyo 😂😂

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wapunguze bei ya vifaa vya ujenzi 😭😭🙌

    • @pienciakoku2739
      @pienciakoku2739 11 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa vifaa vya ujenzi wanazingua sana

  • @onesmofrank2416
    @onesmofrank2416 11 หลายเดือนก่อน +3

    😢😢😢

  • @EmmaFrancis-uo1zz
    @EmmaFrancis-uo1zz 11 หลายเดือนก่อน

    Emma Francis

  • @colenaswile5846
    @colenaswile5846 11 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kumpambia maskini uku tunaumia vitu kila siku vinapanda bei

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 11 หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️❤️

  • @user-zb9lj1hh9w
    @user-zb9lj1hh9w 11 หลายเดือนก่อน

    Jaman had Raha ❤

  • @denisngoinde3693
    @denisngoinde3693 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mama anapga miguu yote😂

    • @ben69tz25
      @ben69tz25 10 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 10 หลายเดือนก่อน

    Mhuuuuuuuu njaaa jmn njaaa tena wengne ni watumishi wa Mungu duh

  • @GeofreyMtensacollection
    @GeofreyMtensacollection 11 หลายเดือนก่อน

    Daaah pepo ngumu sana, uyu Masanja si anajiita mchungaji au..? Je kila sifa aloitoa apo lwa Mama ni kweli au na unafiki umo...?

  • @allysogoo9631
    @allysogoo9631 9 หลายเดือนก่อน

    Singeli

  • @RuvannyTz
    @RuvannyTz 11 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @edinamkubwa2629
    @edinamkubwa2629 11 หลายเดือนก่อน +4

    🤣🤣🤣 uchawa tu huo Ila cwezi laumu mpo kazini kenge nyie

  • @DamianoCostantine-bn3rl
    @DamianoCostantine-bn3rl 11 หลายเดือนก่อน

    Mhhh kwenye midia sawa

  • @imanimbwaga7005
    @imanimbwaga7005 11 หลายเดือนก่อน +1

    Upumbavu ukizidi watu wanaleta ujinga kwenye mambo serious

  • @matridawilium9945
    @matridawilium9945 11 หลายเดือนก่อน

    Heri mimi sikukaa barazani pa wenye mizaha je km mtumishi wa mungu unaipimaje hyo

  • @elishajoseph8291
    @elishajoseph8291 11 หลายเดือนก่อน +1

    unapiga miguu yote fafanua na uelezee😂

  • @RacherBakari-qh2gx
    @RacherBakari-qh2gx 9 หลายเดือนก่อน

    Mh uchawa huo

  • @samludo5435
    @samludo5435 11 หลายเดือนก่อน +1

    Achen unafki....

  • @lilgicky484
    @lilgicky484 11 หลายเดือนก่อน

    Duuuuh kazi ipoo

  • @ElibarikiMzena
    @ElibarikiMzena 10 หลายเดือนก่อน

    Chawa nyie

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 10 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭

  • @revocatussebastian2427
    @revocatussebastian2427 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona mmesahau kumsifia kwakutokuwatumbua wapiga dili kushindana kujenga maghorofa namaa apartment kwapesa zamiradi

  • @jastinmodest8073
    @jastinmodest8073 11 หลายเดือนก่อน

    Utakula steki yeye zenye mifupa muachie wacheni vijamaa vichukue noti kwani nani anafaidika hapo😂😂😂

  • @nelsonmgaya1490
    @nelsonmgaya1490 10 หลายเดือนก่อน

    "Chawa kama chawa!"

  • @Rodgers_01
    @Rodgers_01 11 หลายเดือนก่อน

    🤐

  • @richardsawe7010
    @richardsawe7010 11 หลายเดือนก่อน

    Asee Hawa Jamaa wanazingua, acheni makelele. Makelele hayana Ishu.. mwambie tunataka katiba mpya

  • @deborahcharles4916
    @deborahcharles4916 11 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwepo jana paje hiyo sio kizimkazi

  • @Gody360
    @Gody360 10 หลายเดือนก่อน

    Sawa💯

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 11 หลายเดือนก่อน

    So elimu ni majengo🤣🤣

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 11 หลายเดือนก่อน

    Naona mnatafuta njia ya kutupumbaza tusahau

  • @fidelissayejo5856
    @fidelissayejo5856 10 หลายเดือนก่อน

    Taifa letu hili ni Kama kituko

  • @user-xh9ko2cs1r
    @user-xh9ko2cs1r 9 หลายเดือนก่อน

    Mmh

  • @georgembise7234
    @georgembise7234 10 หลายเดือนก่อน

    Upumbau mtupu!

  • @morganyiskaka815
    @morganyiskaka815 11 หลายเดือนก่อน

    Nimeona msaidiz akicheka

  • @lastsimbatv1497
    @lastsimbatv1497 11 หลายเดือนก่อน

    Vit vinapanda bei hamsemii

  • @jifunzekuongeakiarabu
    @jifunzekuongeakiarabu 10 หลายเดือนก่อน

    Big up Masanja & Mpoki

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 10 หลายเดือนก่อน

    Acheni unafki mbele ya camera,cameras life is fake

  • @africanasplumbing8780
    @africanasplumbing8780 11 หลายเดือนก่อน

    Typing error

  • @kdazzy9967
    @kdazzy9967 11 หลายเดือนก่อน

    Wapambe wanazidi kumiminika

  • @elizabethjeremiah8323
    @elizabethjeremiah8323 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa wasemeje

  • @ebeniezeri
    @ebeniezeri 10 หลายเดือนก่อน

    Mkumba chausiku

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @JoramSimion
    @JoramSimion 10 หลายเดือนก่อน

    Nakuambia babab

  • @allygoodboytzsdoneintanzan3970
    @allygoodboytzsdoneintanzan3970 10 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🥸🥸🥸

  • @maikomzee
    @maikomzee 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wee subiri tuu umesikia yaliyo tokea Gabon huko kazi anayo

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj 11 หลายเดือนก่อน

    😂😅🤣imecheka

  • @EdgarLema-qi9or
    @EdgarLema-qi9or 11 หลายเดือนก่อน

    Ujingaujinga mwingi

  • @user-de3vn9vv3n
    @user-de3vn9vv3n 10 หลายเดือนก่อน

    Yani huyu malaya mtupu...Badala apambne kusaidia wagonjwa,wajane,wakimbiz na wasikuwa na uwezo ako kufanya ujinga....wakusifie hao wajinga tuu....Rais alikuwa baba wa Taifa na maguful....ww ni mtalii wa nchi....Ila ndo madhara ya kuongozwa na mtu ambae akiki ziko matakon,nakuchukia

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius 11 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢 no vibe no what yaan yote mnayompongeza it's like mnamsingizia Hana future na taifa huo

    • @qaisarmohammed7531
      @qaisarmohammed7531 11 หลายเดือนก่อน

      Tukupe ww nchi mwenye future?? Au ulishawahi kuongoza nn ukafanikiwa?? 2025 gombea uraisi ntakupa kura yangu

    • @anselmoonolius
      @anselmoonolius 11 หลายเดือนก่อน

      @@qaisarmohammed7531 mwenyew Sina maono na hili taifa, lkn Rais hakuwah hata kufikiri hata siku moja Kama atakuja kua Rais

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 11 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢