mwenyezi mungu, ninakuomba, kwa haya, nitakayoenda kusema, nisamehe🙏🙏😭 mungu wangu, ila tunasema, kwa machungu, nakuja mbele zako, kwa ajili, ya mama samia suluhu raisi, ya nchi hii, emungu, wetu, jua likichomoza asubuhi, awe siku mbaya, kwa mama samia, jua likifika katikati, awe siku mbaya, kwa mama samia, jua likitua jioni, awe siku mbaya, kwa mama samia, tutamlaani, na tunashitaki, mama samia kwamungu, mungu wetu, utusikilize, kwa sababu, kuna roho, zinanzoi, za watu, wanaong'olewa, bila sababu, wakiongea ukweli, wanang'olewa, imeandikwa, mtu atakaye, uwa kwa panga, naye atauliwa, na panga, mungu wetu, utusikilize mama samia, ajue kwamba, sisi wote, tumeumbwa, na mwenyezi mungu, tunakuomba, ewe mungu wetu, pokea haya, tuliyoyasema, onyeshe naye, mama.samia machungu,
Hapana, hatuombi hivo, je nasi tukisimama mbele ZAKE na akatoa hukumu ya matendo yetu tutasimama? Tusiombee hivo, pia Mama yetu anayonafasi ya toba kama ss. Ndo maana Yesu Alienda msalabani
Hii NCHI Ina damu hata kuliko wakati wa ukoloni ,tusilazimishane kumfuata mrengo wa ccm mbona katiba Ina tambua uhuru wa kuchagua.jamani hili Giza litaisha lini?
Hivi sasa Dunia iko katika hali mbaya vita zinanguruma na mabadiliko ya TABIA NCHI ni tishio kubwa kwa uhai wa wengi.Watanzani ni wakati wa kufuta chuki na tofauti za kisiasa tufungue ukurasa mpya Rais aunganishe watu na nchi tuishi kwa amani ili nguvu zetu zielekee kuilinda nchi na maendeleo ya wote.
brother Leo umeongea,,kimsingi umegusa mioyo ya watu wengi sana.lakini kaka Mimi nashauli mungebadilisha mawazo kidogo! kuiomba serikali iweke bayana jambo LA kuwa na mfumo wa vyama vingi au ibaki2 CCM.ili wananchi tubaki salama
Haya maombi ya wanyonge wa nchi hii yanaenda na watu.ebù tujitahd kwa maombi ya kukata rufaa kwa Mwenyezi Mungu. Hiii nchi hii Ee Mungu wewe waona lkn utatoa hukumu ya haki ambayo Mwanadamu hawezi toa.
Wewe unae iteteaccm uko mpumbavu ccm imemaliza watu siku akitwa ndugu yako ndoutajua anacho manisha.yotemtajibu siku yakiama.hatanyie iposku mtaonja mauti.
Samia hana utu kabisa siku akitekwa abdul sijui kama atanyamaza sijui tatizo yake nimiwani i know for really hata samia anamukia kwasababu anaongoza watu wamikia hata na yeye anamukiya
Kwa hotuba ya raisi samia juz ni waz kwamba samia ameota mkia na sio mkia tu na mapembe pia mungu aliyeifanya kazi yake tukufu kwa taifa hili ndipo samia ikamfanya akawa raisi hata sasa namkumbusha samia mungu huyo huyo yupo kazini hat sasa asioye mkia na mapembe; najiulixa hiki cheo cha rais kipoje maan mwanadamu anajisahau mama samia amekengeuka ajirebekishe haraka kabla hatujarud kwenye maombi
Lema hebu toka hadharani na utamke kwa maneno mawili neno lakwanza liwe Samia hoyeeeeeee neno la pili liwe CCM hoyeeeeeeeeeee ukitamka hayo natukakusikia kwenye vyombo vya habari tunakusamehe
@@selemaniigoshawewe ndio unaona haki hakuna kwa MAWAZO yako ni sawa tu wewe ili nchi hii iwe na haki mpaka chadema waingie ikulu ndio utaona haki endelea na Mtazamo wako ni haki yako Ila kwetu Sisi haki ipo Imani ipo huko Marekani mnako abudu Mgombea wa upinzani kapigwa Risasi kwenye mkutano Tena wa kampeni juzi Tena huyo huyo kataka kuuwawa Tena lakini amani ipo huko na wao wanaona haki ipo na Maisha yanaendelea hakuna wanaharakati Wala Nini Tena aliwahi kuwa Raisi vp Raiya wa kawaida usalama wake?
Sasa kama ulikimbia nchi..leo mama aliwarudisha na akawahakikishia usalama..mbona mnamlipa mabaya????MNATAKA KUMG'OA KIHUNI!!!!!WEWE UNGEWEZA????DUH TENA MNABAHATI MAMA NIMUUNGWANA SANA...MUOGOPENI MUNGU ALOOO.
Chadema lazima mupewe maneno magumu maana maneno ya upole hamutaki.Lisu amepigwa na ninyi wewe chadema.Sio serikali.Serikali yetu haiwezi kufanya hayo mambo.Acha kulialia sasa ni jino kwa jino na serikali.Mama anawalea sana,na munamzrau sasa bora awe makali.Muna maneno magumu sana.Munamtukana sana,pia munapenda udini.
Mungu akulinde mheshimiwa naikumbika sana Ile siku.mungu asiye lala Wala kusinzia atakulinda .
Mungu atasema nakujibu kila hatua mbaya ilofanyika na itakayofanyika
mwenyezi mungu, ninakuomba, kwa haya, nitakayoenda kusema, nisamehe🙏🙏😭 mungu wangu, ila tunasema, kwa machungu, nakuja mbele zako, kwa ajili, ya mama samia suluhu raisi, ya nchi hii, emungu, wetu, jua likichomoza asubuhi, awe siku mbaya, kwa mama samia, jua likifika katikati, awe siku mbaya, kwa mama samia, jua likitua jioni, awe siku mbaya, kwa mama samia, tutamlaani, na tunashitaki, mama samia kwamungu, mungu wetu, utusikilize, kwa sababu, kuna roho, zinanzoi, za watu, wanaong'olewa, bila sababu, wakiongea ukweli, wanang'olewa, imeandikwa, mtu atakaye, uwa kwa panga, naye atauliwa, na panga, mungu wetu, utusikilize mama samia, ajue kwamba, sisi wote, tumeumbwa, na mwenyezi mungu, tunakuomba, ewe mungu wetu, pokea haya, tuliyoyasema, onyeshe naye, mama.samia machungu,
Hapana, hatuombi hivo, je nasi tukisimama mbele ZAKE na akatoa hukumu ya matendo yetu tutasimama? Tusiombee hivo, pia Mama yetu anayonafasi ya toba kama ss. Ndo maana Yesu Alienda msalabani
Mungu anasikia tena anaona nayeye ndiye anaye hukumu kwa haki tuzidi kumlilia yeye
Acha Mungu mtakatifu akasimame nakusema kwa wakati wake
Pole sn bro
hotuba bora zaidi kuwahi kuisikia
Mungu atakulinda na ataendelea kuwatetea wote mnaotusemea sisi wanyonge
Unajitakia upumbavu huo!! Unatesa Familia kwaajili ya ukichaa wako
Yaani poleni sana
Tunaiombea dua nchi yetu
Mungu tusimamie
Hakika ufunikwe kwa damu ya Yesu!
Kweli ile hotuba hata mimi niliishangaa haikuwa vizuri
Mungu ibariki Tanzania
Hii NCHI Ina damu hata kuliko wakati wa ukoloni ,tusilazimishane kumfuata mrengo wa ccm mbona katiba Ina tambua uhuru wa kuchagua.jamani hili Giza litaisha lini?
Yaani alitaka akiwaambia mrudi Amani upo alitaka mje make kama fenicha mumsifie hata akifanya ujinga hii si sawa
Ikosiku Mungu atajibu
Uyo ndiyo Mama uwa aliye mwita tundu simba
Mungu yupo mhe lema
Mhmm 😢 Mungu tuokoe Watanzania....
Sasa kwani maana ya vyama pinzani ni nini?? Hivi watanzania tunakwama wapi?? Na wasanii wacheni unafiki jaman,,..Mama must go 2025 kabisaa
Hivi sasa Dunia iko katika hali mbaya vita zinanguruma na mabadiliko ya TABIA NCHI ni tishio kubwa kwa uhai wa wengi.Watanzani ni wakati wa kufuta chuki na tofauti za kisiasa tufungue ukurasa mpya Rais aunganishe watu na nchi tuishi kwa amani ili nguvu zetu zielekee kuilinda nchi na maendeleo ya wote.
brother Leo umeongea,,kimsingi umegusa mioyo ya watu wengi sana.lakini kaka Mimi nashauli mungebadilisha mawazo kidogo! kuiomba serikali iweke bayana jambo LA kuwa na mfumo wa vyama vingi au ibaki2 CCM.ili wananchi tubaki salama
Mungu asimame na wewe brother.
Dah,Mungu anamajibu sahihi kwa wakati sahihi
Mungu iponye nchi hii, turehemu ee Mungu.
Pamoja tutashinda Samia anatengeneza bomu
Mungu uiponye nchi yetu Tanzania
Mimi namwogopa Mungu sana JPM yuko wapi,mcheni Mungu kifo kipo mnagombania nn?
Usije ukaota ndoto tena , maana nyie manabii ni hatar
Ipo siku ukweli utajifunua
Haya maombi ya wanyonge wa nchi hii yanaenda na watu.ebù tujitahd kwa maombi ya kukata rufaa kwa Mwenyezi Mungu. Hiii nchi hii Ee Mungu wewe waona lkn utatoa hukumu ya haki ambayo Mwanadamu hawezi toa.
Mungu Awalinde na Awafunike kwa Mbawa zake. Mwenyewe
Mungu Umtunze Raisi Wetu Tanzania
Tutunzie Amani Yetu ee Baba
Tibariki Watoto wa Tanzania
Chawa upo
Hata wewe Chawa tu nchi hii yetu wote
Wewe unae iteteaccm uko mpumbavu ccm imemaliza watu siku akitwa ndugu yako ndoutajua anacho manisha.yotemtajibu siku yakiama.hatanyie iposku mtaonja mauti.
Samia hana utu kabisa siku akitekwa abdul sijui kama atanyamaza sijui tatizo yake nimiwani i know for really hata samia anamukia kwasababu anaongoza watu wamikia hata na yeye anamukiya
Haya mambo ni ya hapa duniani mbinguni tunaenda uchi na jehanam.ipo.kama Huna Yesu kill
Kila nafsi itaonja mauti kwa mtini jifunze
Kwa hotuba ya raisi samia juz ni waz kwamba samia ameota mkia na sio mkia tu na mapembe pia mungu aliyeifanya kazi yake tukufu kwa taifa hili ndipo samia ikamfanya akawa raisi hata sasa namkumbusha samia mungu huyo huyo yupo kazini hat sasa asioye mkia na mapembe; najiulixa hiki cheo cha rais kipoje maan mwanadamu anajisahau mama samia amekengeuka ajirebekishe haraka kabla hatujarud kwenye maombi
Miungu ina nguvu zaidi ya Mungu?
Rais anatoa kauli za uchochez na sio kulaan
Hukuona watu wanapiga makofi kwenye hotuba yake kwa maafisa wa polisi
LETE USENGE TU
Lema hebu toka hadharani na utamke kwa maneno mawili neno lakwanza liwe Samia hoyeeeeeee neno la pili liwe CCM hoyeeeeeeeeeee ukitamka hayo natukakusikia kwenye vyombo vya habari tunakusamehe
MUNGU atutete Tanzania yetu hata wewe MUNGU akusaidie sanaaa
Wewe muoga tu ulikimbia ugaibuni
Very sad
🎉Sisi tinataka amani tu hatuna ata nauri ya kwenda ughaibuni
Amani haipo bila haki!!!
@@selemaniigoshawewe ndio unaona haki hakuna kwa MAWAZO yako ni sawa tu wewe ili nchi hii iwe na haki mpaka chadema waingie ikulu ndio utaona haki endelea na Mtazamo wako ni haki yako Ila kwetu Sisi haki ipo Imani ipo huko Marekani mnako abudu Mgombea wa upinzani kapigwa Risasi kwenye mkutano Tena wa kampeni juzi Tena huyo huyo kataka kuuwawa Tena lakini amani ipo huko na wao wanaona haki ipo na Maisha yanaendelea hakuna wanaharakati Wala Nini Tena aliwahi kuwa Raisi vp Raiya wa kawaida usalama wake?
😭
Ulikimbilia Canada si urudi Tu kelele Za Nini Kuku jike we
Sasa kama ulikimbia nchi..leo mama aliwarudisha na akawahakikishia usalama..mbona mnamlipa mabaya????MNATAKA KUMG'OA KIHUNI!!!!!WEWE UNGEWEZA????DUH TENA MNABAHATI MAMA NIMUUNGWANA SANA...MUOGOPENI MUNGU ALOOO.
Unataka wampake mafuta?
Uwez mng,oa ww mjinga atatolew kw kura fala we huy mama hn cfa za urais
Waache wale nchi ipo siku watalipa ht watoto wao watakuw asid kw wtu
Umenifany nichukie ccm na hasa huyu rais
Mbwa we unatetea kw kuw n muislam ipo cku mtalipa uzr ccm iktok mslam anakuj mkristo
jmni Mama Samia alisema haya lini lakini? mie sijaona. tafadhali mnipatie link niskie. Mana Mama hawezi sema maneno haya
Wewe you tube zote zinataarifa wewe unatafuta wapi ? Huyu ni nyoka aliyemngata hata aliyemfuga
Sasa uko wapi umuhimu wa kua na smartphone?
Chadema lazima mupewe maneno magumu maana maneno ya upole hamutaki.Lisu amepigwa na ninyi wewe chadema.Sio serikali.Serikali yetu haiwezi kufanya hayo mambo.Acha kulialia sasa ni jino kwa jino na serikali.Mama anawalea sana,na munamzrau sasa bora awe makali.Muna maneno magumu sana.Munamtukana sana,pia munapenda udini.
Kumbe na wewe wazazi wako waliuza ng'ombe kupeleka ng'ombe shuleni
Alafu unafaidi nini kwa hayo yote ,au unadhani machozi ya walioonewa yatapita bure?
Acheni kutetea ujinga katika Taifa 🇹🇿
@@januarysungura8119MACHOZI FAKE HAYO WEWE PALOKO KUMBE UNAHURUMA MBONA MAALBINO WANULIWA WEWE HUTOI CHOZI MGALA 😢😢😢😢😢😢😢
Masikio yenu ayasikii si amani tulionayo kwenu aitoshi subilini natena wewe lema hauna shukulani kwakweli mnataka kupanda kichwani Kwa mama Samia amewagundua na anaijua iyo kumuhalibia amuwezi mupewewe nn nyie kenge mlizike mbona masikio yenu yamejaa pamba je? Ndokusema amsikii au
Kichaa huyu
😭