TAKASA JINA MUNGU KATIKA MAOMBI | PR.DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ค. 2023
- Luka 11:2 Akawaambia, Msalipo, semeni, Baba [yetu uliye mbinguni], Jina lako litakaswe, Ufalme wako uje, [Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.] And he said unto them, When ye pray, say, Our Father which art in heaven, Hallowed be thy name. Thy kingdom come. Thy will be done, as in heaven, so in earth.
Somo hili limenifumbua macho, limetoa macho yangu kwenye matatizo , likaniongoza kumtazama na kumwinua Mungu. Maisha marefu Mungu akupe pr.
Amen. The Spirit has spoken! Glory to His Holy Name!
Amen barikiwa pasta
Amen amen 🙏👏🙏
Amen pastor be blessed kwa mafundisho.
Amen Mungu akutunze Pr
Mucungaji mungu akuongeze myaka yakueshi.
Atanimejibu nyuma munisadiye maombo kwanjiya zangu zakwenda ulaya.
Jinala baba mungu lizidi kutakasiwa.
Amen God protect you pst
Kwakweli mchungaji Mungu akupe nguvu zaidi nitoe tu ushuhuda wa kweli Mungu alio nitendea kunasiku nilisikiliza hubiri moja la mchungaji kwa jinsi nilivyo lielewa mimi lilitaka kuwa kama unajambo lolote lilee gumu kwako haijalishi na kama unamsongo mkabidhi YESU sasa hivi sasa mm nilitoka kufanya mtihani mmoja ulikuwa na maswali matano kati ya hayo manne yalikuwa magumu sana ila nikajaza tu liwalo na liwe sasa baada ya hapo nilikuwa na stress Sanaa baada ya kutoka kwenye mtihani hadi nikakosa raha kabisaa ila nilipo kumbuka lile hubiri la pastor nikalifanyia kazi nikamwambia Mungu nisaidie sasa leo matokeo yametoka ule mtihan niliokuwa naelewa swali moja Kati ya matano nimeufaulu kwangu mimi ni muujiza mkubwa jamani tusimwache huyu YESU anatenda
Shukran sana. Mchungaji sababu nlipo Anza kufuatilia mafundisho yako nmeona mabadiliko, Bwana yesu asifiwe..... Richard mutisya Nairobi Kenya mtaa wa pipeline
Mtumishi niombee naanzisha biashala ya jluuza sabuni wa maji
Mungu abariki kazi ya mikono yako
Waaw 🙌🙌LEO NIMEELEWA NITAMTAKASA MUNGU NA BWN WETU YESU KRISTO SIKU ZOTE ZA MAISHA YANGU🤲🤲🤲
YATOSHA KUMTAKASA BABA YETU ALIYE MBINGUNI 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mchungaji ukisema jumlisha sisi wakenya hatutaelewa.naomba kwa wa kenya wenzangu utumie +(plus).
BWANA ASIFIWE mtumishi niombe sanaa mtumishi wa BWANA naomba ombea ndugu yangu na mtoto wangu wamekuwa wakipitia magonjwa na ajali kila wakati
Mtumishi wa MUNGU anafundisha kweli,ubarikiwe sana.Niko KENYA na watu huomba kwa sauti sana adi kukera na hivi juz kulikua na ajali nyumbani kwa jirani na watu wakapuzia kwa kudhania wanaomba kumbe walia kwa ajali walopata watoto wao
Ameen,asante kwa mafundisho haya
Kwelii
Bwana Yesu asifiwe sana mchungaji, naomba Bwana aniokoe mimi na nyumba yangu ja nyumba ya Baba yako kwaajili ya jina lake
Amen pastor
Amen 🙏
Bwana Yesu asifiwe mi pia kupitia mahubir haya Mungu amenibariki kaz mwaka 2020 nilisikiliza hubir la ukiomba Mungu kwanza omba kwa imani na uamini umeshapata kama ni kazi unajiona tayari umepata na upo wafanya kazi nikaomba mwaka ule ule na kupata kazi mwaka ule ule . lile hubir siwez lisahau Mungu akubariki na Jina la Mungu litukuzwe sanaaa🙏 yaani mpaka kila mtu aliwaza nilikuwa na connection ya kaz hapana ni Mungu tuu tumtegemee yeye nabarikiwa sana na Mahubir haya Mungu akubariki sanaaa
Amen
Amen Mutumishi naomba uombele ndungu zangu baokoke na peppery ya uzinifu!Mungu atuondoleye mizimu kiki family’s kwenye maisha yetu Jina la Bwana litukuzwe!Amen !!!
Be blessed in the name of christ pastor,plz continue praying for me and my kids
Amen
God bless you pastor ❤
Amen pastor be blessed and keep it up, remember there is no starless crown in heaven
Amen amen BWANA ATUKUZWE MILELE AMINA
Amen amen
Amina mtumishi nimebarikiwa sna na Mungu azidi kukutumia
Amen Ameeeen. Nimebarikiwa leo na hili fundisho .barikiwa Pr mbaga .Roho mtakatifu anisaidie kunifundisha zaidi na zaidi juu ya nguvu za Mungu juu yangu... Pia uniondolee hofu yoyote itakayoinuka juu yangu. Nimwamini Mungu tu na nimtukuze yeye katika mambo yote 🙏🙏
Ameni
Amen ameen
❤🙏🙏🙏
🙏✌️.
Thank you LORD for everything you have done for me. It's because of your MIGHTY NAME. I express my gratitude to you GOD forever, AMEN! Be blessed abundantly pastor Mmbaga for this wonderful teaching .
Am Irene pastor remember me in your prayers am totally confused
Mch Bwana akubariki sana.Nimetendewa makuu na Bwana kutokana na kusikiliza mahubiri yàko
Amen
Nami pia,, naponywaa ninaposikiliza mahubir tv,, nguvu za giza zimeshindwaa
Naweza pata namba zako pastor nina shida
Aminaa🙏🙏🙏🙏
❤
Amen
Amen
Amen