NANGAA AKOSA NJIA YA KUKIMBILIA, WAZALENDO MOTO KWEMDA MBELE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @JeanMarieZirhumana
    @JeanMarieZirhumana 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera kwa kazi ba2 wilam yakutumba anayo endecha huko kivu kosini Mungu amuogoze katika kazi hiyo ni jean Marie zirhumana toka kalemie

  • @mazaviczagabe
    @mazaviczagabe 3 หลายเดือนก่อน

    Mze Niko goma bazalendo ni watoto wetu n'a mimi ni muzalendo wa ndanisana goma nazaliwa Congo naza watoto Congo n'a komaliya Congo chakushangaza mtoto wangu wa myaka sita tulikuwa katika maombi nyumbani anasema miye ndaenda katika kazi ya jeshi nikombowe inchi mubaki n'a Salama pamoja n'a Waze wangu mpaka saiyi njo maneno yake n'a miye nimeogopa iko mukali sana

  • @JustinVanny-cb5gm
    @JustinVanny-cb5gm 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sana bwana mtangazaji kwakutupeya abari mbichi kabisa

  • @SergeNgongo-q1x
    @SergeNgongo-q1x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakusikia nikiwa South Africa Nanga auwawe

  • @muderhwabienfait2240
    @muderhwabienfait2240 3 หลายเดือนก่อน +2

    salut mzee mbichi, wazalendo wanatupa moyo Ila tayari wa viongozi wa inchi hii wote ni wasaliti, kuanziya juu hadi chini, sauti iko nzuri, tuko lubichako fizi

  • @kongolo4993
    @kongolo4993 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kongolo Ernestin Niko rumonge sauti ok pili bravo wazawaza mungu wa Congo watamwona

  • @christophemalipe5636
    @christophemalipe5636 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hapana bwana.bwana Nanga Corné anapatikana rucuru hapana kanyabayonga.siku ya Mungu walikuwa n'a misa tayo Ku parokya ya rucuru

  • @salehmutuwalazima
    @salehmutuwalazima 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakufata toka salamabila MANIEMA

  • @mlongecamcucwa6147
    @mlongecamcucwa6147 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tafadhali I sana:
    Hao wa M23 kamwe siyo WAASI!!
    Hao ni wanyarwanda wavamizi Kabisa.
    Sahihisha hiyo laughs wakati wowote utangazapo.
    Wewe ni Mkongo unafahamu historia na kinachoendelea, Ahsante!!

  • @SelemaniKalenga-c6g
    @SelemaniKalenga-c6g 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tuna kupata 5/5

  • @JustinMaisha-d7f
    @JustinMaisha-d7f 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakufata 5/5 nikiwa sud-kivu kwasasa niko Misisi

  • @DavidAirtel
    @DavidAirtel 3 หลายเดือนก่อน +2

    Baba shukurani kwa kazi zakila saaaa nakufataka kutoka lwalaba Kolwezi

  • @ClovisMugabolwabashale
    @ClovisMugabolwabashale 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwaku tuelekeza kwaku wapata vizuri kwenye Yutub. Kazi njema.

  • @nyotaramadhani66
    @nyotaramadhani66 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakufuata vyema nikiwa USA indianapolis. Aho watu akina willy ngoma cornel nanga ect watakufa vibaya.

  • @LumuMudende
    @LumuMudende 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jambo ndugu mutangazaji nimesikia eti Butembo imeshikwa Na M23 nikwe?

  • @julienneaboki4105
    @julienneaboki4105 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bonjour mutagazaji siku mingi siasikia sauti yako

  • @musavulimichel6090
    @musavulimichel6090 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo baba. Waki mshika corneille nanga, wamu Kate kichwa

  • @RADIOTÉLÉVISIONNGYOKU
    @RADIOTÉLÉVISIONNGYOKU 3 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa kwa HABARI mbichi . Mimi ni EV ZAKAYO toko nyangi FIZI drc🎉

  • @davidmagambo3001
    @davidmagambo3001 3 หลายเดือนก่อน +1

    Iamba letu tv ni waongo sana hawana ukweli kwenye matangazo Yao ni waongo hakuna Fardc Wala wazalendo waliopo kanyabayonga au kirumba au kaina

  • @nyotaramadhani66
    @nyotaramadhani66 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ruto ahende kwasababu anachangia kuyumbisha usalama wa inchi za EST afrika.

  • @ezechielbucumi918
    @ezechielbucumi918 3 หลายเดือนก่อน

    Habari nagufuata 5/5 mutagazaji mimi nirikuwa Burundi tunawomba mungu congo yenu uriko yetu nakwezu ziwe zuri sana ziwe na mani zote ici

  • @pontienbahati
    @pontienbahati 3 หลายเดือนก่อน +2

    nakufata 5/5 Toka kavumu ndugu mtangazaji

    • @pontienbahati
      @pontienbahati 3 หลายเดือนก่อน

      leta mbichibaba

  • @jeanpierreIKUNGUMAikunguma
    @jeanpierreIKUNGUMAikunguma 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bajikazetusanabagombole kanyabayonga n'analamate uyu mushenzi NANGA nabamuuwetupalepale

  • @peterkwesele1091
    @peterkwesele1091 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wazalendo wafanye nguvu wamutandike ule Nanga nyangalakata ule .

  • @djumakasigwa9529
    @djumakasigwa9529 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakusooma/Ermelo South Africa

  • @PastormufiainjiliYesuyupo
    @PastormufiainjiliYesuyupo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ningeli ombea président atoke ndani ya usingizi awape wazalendo vyombo vyakazi kuonesha uzalendo wake nilazima Sana Niko pastor mufia injili toka butembo

  • @EdouardKabilwa
    @EdouardKabilwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Muumba waarzi aliye tuleta Congo yéyé anantangulia mbele ya waza waza ana wantangulia n'a kuwapigania Adi itakapo fika mwisho wa ma beberu Wale ni machetani n'a machetani watupwa chini man mikaeli n'a majeshi yake waza waza m,23 île wna Rwanda aamuta waona tena iyo niunabi sababu maovu aidumu shetani asikudumu mbinguni mwisho wakunukuu

  • @MaukibaMauridi
    @MaukibaMauridi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tupe mbichi ndugu mtangazaji nakupata kutoka Pretoria

  • @davidmagambo3001
    @davidmagambo3001 3 หลายเดือนก่อน +1

    Utashangaa m23 wako butembo

  • @OscarNSomue
    @OscarNSomue 3 หลายเดือนก่อน

    Wazalendo waendelee navita jusisi waraiya tukonendelea kufaju yakukosa mtu kawaku tutetea tuditetee wenyewe na Mungu nipajanasi, pakavile William ngoma nakufa namoja n'a Corneille nanga wamuwe asitoke muzima kanyabayonga.

  • @candidatkasikilamuseke109
    @candidatkasikilamuseke109 3 หลายเดือนก่อน +1

    DRC Kivu south

  • @KakuleVithango
    @KakuleVithango 3 หลายเดือนก่อน

    Wazalendu, tujitahidituu, Nguvu zamababuzipigane, wenu, kakule, vithango, abele kutoka. Goma

  • @candidatkasikilamuseke109
    @candidatkasikilamuseke109 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakufata 5/5 tokeya kamituga ndani ya tarafa ya mwenga, provincial Kivu ya kusini

  • @theodorhamisi8867
    @theodorhamisi8867 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimkongo damu kabisa ila naona Kiser kisekedi nae yuko kuhuza inching Tena Monica kurudi congo wazalendo wange kuwa wanafanya maanda Mano kusema warudisudan kusini walio Gawande inchi ni wa Monica mimi ni theodor hamisi usa

  • @BienfaitByamunguMuduha
    @BienfaitByamunguMuduha 3 หลายเดือนก่อน

    Tunakufwata 5/5kutoka Kampala uganda .na bwana kofi alisema ukweli.

  • @ErnestMasumbuko
    @ErnestMasumbuko 3 หลายเดือนก่อน

    Uwongo ina mwisho

  • @KanyomboFatuma
    @KanyomboFatuma 3 หลายเดือนก่อน

    Tuna itaji kichwa ya nangàa

  • @DieumsCr7
    @DieumsCr7 3 หลายเดือนก่อน

    Munitiye mugroup

  • @MutendelaDaniel
    @MutendelaDaniel 3 หลายเดือนก่อน

    Nakufuata tanojuuyatano apa bkv