NYIEE!! FERUZI WA SIMBA ACHARUKA MAREFA HAWATUONEI, AMKUMBUKA CHAMA/ AWAPA MAKAVU WAZEE WA SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @JosephNgasa-j7l
    @JosephNgasa-j7l ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jamaa umesema ukweli wachezaji wa Simba siku ya dabi waliboa sana yaani hasa kipindi Cha pili walitumia muda mwingi kujiangusha angusha,ukihesabu dk zilizotumika kabsa kipindi Cha pili ilikuwa ni dk 35 tu dk10 pamoja na za nyongeza ziliharibiwa wa Simba kwa kupoteza muda mbaya zaidi ni vigumu refa kutoka dk za nyongeza zaidi ya dk10 ataonekana anahila,right kama Simba wangechza mpira kipindi Cha pili wakaacha kupoteza muda wakapishana kabsa na yanga na ukiangalia yanga ilivorudi na moto wake naona kulikuwa na dhahama nyingine

  • @ZaliyaSaid
    @ZaliyaSaid 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante baba

  • @omaraonasir4361
    @omaraonasir4361 44 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu Jamaa anaongea vizuri Sana,kibu ni mchezaji machachari Hana hatari yeyote.msimu uliopita alifunga goli moja msimu huu dah sioni,machachari Tu ndo yake

  • @allenabiud3273
    @allenabiud3273 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Anaye amin feruz mwamba tujuane

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante. Sana. Kaka. Feruzi. Unaongea. Maneno. Kuntu. Lakini. Jiangalie. Kama. Hujatengwa. Basi. Watakufungia. Kwa. Sababu. Viongozi. Wenu. Simba. Hawataki. Ukweli

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwandishi amepelea..
    Hajui anachohoji

  • @Fatma-jt6zn
    @Fatma-jt6zn ชั่วโมงที่ผ่านมา

    da ukombari ningekuwa karibu ningekuwa mkono wapongezi

  • @odiahguya4244
    @odiahguya4244 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hatimaye amepatikana KOLO mwenye akili

  • @GeorgeAlfredy-g3u
    @GeorgeAlfredy-g3u 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaipambania simba unaweka kiasi gani au maneno sapoti yako kwa wachezaji waliopo uyo chama ulikuaga unajua aachane na saba ana umuhimu wowote

  • @MussaRqjqbu
    @MussaRqjqbu ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Demu mwenzenu huyo wanajulikana

  • @MwajumaMsogoti
    @MwajumaMsogoti 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiukweli simba inajumiwa na watu engine had huyu hana mbele wala nyumba nae eti anatafuta umaarufu lo

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pumbau zako mskilize anachoongea mtu halafu mpinge kwahoja