BMCC Ebenezer Choir-NI NENO JEMA (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025
- Biblia inasema atoaye dhabihu ya kushukuru ndiye anayenitukuza. Haijalishi unapitia nyakati gani, Yuko Mungu Yesu Kristo anayeweza kuingilia kati mambo ambayo yamezidi fahamu, akili na uwezo wetu. Hivyo Ni Neno Jema kumshukuru Mungu. Soma Zaburi 50:23, Zaburi 92:1, 1Wathesalonike 5:18. Mshukuru Mungu kwa yote aiyotenda zamani, sasa, na wakati ujao. Shukrani ni Moyo wa Ibada, sifa, Heshima, sauti ya Imani. Pokea Roho ya shukrani katika jina la Yesu.
Location: Recorded at TAG-BMCC Church, Mwanza Tanzania
Music arranged & Directed by Aman Victor Gyunda
First Keys: Aman Victor Gyunda
Second Keys: Michael Chadi
Third Keys: Eliya Yohana
Forth Keys: Joseph
Basist: Evance Gregory
Drums: Ibrahim Malema
Lead guitar 1: Joseph Kasomo
Lead Guitar 2 : Eric Chitungo
Saxaphone: Dickson Maige
Backvocals: BMCC Ebenezer Choir
Event Coordinated by Kelvin Charles
Audio Captured by Sadock
Mastered & Mixed by Innocent Mjwauki
Video Captured by SP Visual
Sound Engineer: Lusekelo Mwakyoma (EUN Audio)
Lights by SP Visual
Nimebarikiwa sana..Mungu wa mbinguni aendelee kuwainua zaidi,apanue viunga vya huduma yenu🔥🙏
Amen ubarikiwe
Hakika Mimi ndie yule ninayefadhiliwa na Bwana
AMEN
Sisi ndiyo walee tunaofadhiliwa na Bwana..Huyu YESU amemaliza yote.hivyo ni neno jeeema!!!
Amina share kwa wengi 🙏
Haleluyaaaa mbarikiwe kwa wimbo mzuri
Amen utukufu kwa YESU
Nimebarikiwa sana, Mungu azidi kuwainua
Amen
Halleluya🙌
Amen🙌
Utukufu mwingi sana kwa Bwana wetu Yasu Kristo!
Amina sana YESU ainuliwe
Barikiwa Sana MUNGU azidi kukuinua
Amen ubarikiwe
Ni SISI tunaopambaniwa na Bwana 🔥
Amen🔥
Mbarikiwe BMCC , mzidi kuwa juu zaidi
Amen
Safi Sana .. wimbo mtamu sana
groly to GOD
Na Dunia nzima iimbe NYIMBO Hii Katika Jina kuu la Yesu Kristo
Amen naiwe hivyo in the name of Jesus
❤❤
Mungu hawabariki sana kwa hii nyimbo
Hakika
Hakika Mungu unastahili shukurani za moyo wangu Kwa Yale uliyotenda kwangu 🙌🙌🙏
Amen 🙏
Hakika tunapiganiwa na bwana na kufadhiliwa na bwana
Amen
Walio fadhiliwa Bwana tuweke mikono juu🙌🙌🙌🙌
🙌🙌
🙌🙌@@bmccebenezerchoir
🙌🙌🙌🙌
Glory to God 🙏🏾
Wimbo wa baraka sana hakika NI NENO JEMA KUMSHUKURU MUNGU 🔥🔥🔥
🙏🙏
Utukufu na heshima kwa Mungu
I love that verse "akaja Yesu, akaigilia Kati🥰🥰🙌🙌
Amen ubarikiwe
Kuna Mambo yalizidi akili zetu 😢🙌
Ni kweli yaaani tukachanganyikiwa sana lakini YESU aliingilia kati
Kabisa YESU mwema anatuwezesha
Glory to God 🙏🎉
Amen
"tunapiganiwa na bwana" ...❤❤
AMEN
Wooow , Amazing and quality
Thank you 🙌
Ameen... Mimi ni yule nayefadhiliwa na BWANA🙏🙏🙏
Groly to God
🎉🎉🎉
Nimebarikiwa sana na injili yenu🙏🙏
Amen utukufu KWA YESU
Sisi ndio wale tunaosaidiwa na Bwana
Amen
Sisi tunaofadhiliwa na Bwana
Kuna mambo hakuna anayeweza ila Yesu tuuu...
God bless u Ebenezer choir
See you to the top🎉
Amen
poweful song
amen ubarikiwe,utukufu kwa YESU
Share kwa wengi
Amen 🙏 Ni neno jema kumshukuru Mungu😍
AMEN
Hakika ninapiganiwa na Bwana ❤🎉
Hakika
Very powerful song, God bless you pastor kelvin as well as Ebenezer choir
Amen amen
Asante yesu 🙌🙌🙌
Amen utukufu ni kwa Yesu
Hongera my mate nimpha mungu azidiii kukulinda
Amina ubarikiwe
Groly to groly 🎉🎉
Amen ubarikiwe
Mungu pokea utukufu
Tuofadhiliwa na Bwana tujuane likes zakutosha
Tuko hapa aisee🙏
From nothing to something
Amen 🙏
Ameen
🙏
Mimi ndiye yuleeeeeeeeee😂😂
UBARIKIWE
Hallelujah glory glory glory to God.🙏🙏🙏🙏 tunakushukuru kwa yote hallelujah🙏 God bless this choir
Amen
Amina watu wa MUNGU wimbo mzuri sana
Utukufu Kwa BWANA YESU
amen
Fantastic 🎉
Thanks 🤗
Kazi njema sana imenibariki! Keep it up servants of God!
Groly to God
Hallllllellllujah ❤❤❤❤❤❤❤
Amen 🙏
👏👏👏👏Pongezi sana kwa kazi hii njema katika ufalme wa Mungu. Everything is superb with good music arrangement, composure and vocal arrangement. Can't wait for other songs to be released.
Amen ubarikiwe
Hongereni sanaaa. Wimbo unabariki sana.
Utukufu kwa YESU
Utukufu wote ukurudie Mungu
Aminaamina
Amen Mzidi Kubarikiwa na Kutumika Zaidii...Nabarikiwa Kumuona @Aman Bassist Akipiga First 😊😊😊
Na ndiye Music director wa kazi hii njema.
amina utukufu kwa YESU
Wounderful song
Amen groly to God
Iko amazing sana❤❤❤
Amen amen
Mbarikiwe sana kwaya ya ebeneza ni uimbo wa shukrani kweli kweli
Amina utukufu KWA Mungu
Tumefadhiliwa na BWANA ❤❤❤
Amen kwa ukiri huo
Ni Neno jema kushukuru MUNGU 🇹🇿.
Hakika ubarikiwe
Halellujah honor and glory to JESUS 🙌🏿🙌🏿 Ni wimbo sahihi, kwa nyakati sahihi na kwa kizazi sahihi🔥🔥🔥#DevineEncounter//Ni Neno Jema kumshukuru MUNGU🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amen ubarikiwe
Nimebariliwa kwani nami nafadhiliwa na Bwana❤❤❤
Mbarikiwe sana
Mungu azidi kuwainua!
Amen
Nawapenda Sana Ebenezer kwaya 🌹
Amen ubarikiwe
Utukufu kwa MUNGU wetu
amina
Amen Good God katua wimbo mzuri
Amina utukufu kwa YESU
Amina ubarikiwe
🎉🎉🎉❤❤❤❤😊
Amen
Amen,, glory to God
amen ubarikiwe
Nimebarikiwa sana na wimbo huu
barikiwa
🎉🎉
Ni neno jema kumshukuru mungu🙏🙏🙏🙏
amen amen
Mimi ndiye yule NINAYEPIGANIWA na BWANA
Amen ubarikiwe
Glory to God
Amina Amina
Mungu awabariki sanaa
Amina utukufu kwa Mungu
Safi
Amen
Glory Be to God
Amen ubarikiwe
ameen
Utukufu Kwa yesu❤❤
Amen
Aimen Mungu awainue zaidi na zaidi, wimbo mzri sanaaaa
amen
Wow what a blessing song from you man of God very awesome and amazing
Glory to God
❤❤Mungu awabariki sana
utukufu kwa YESU
Ni Neno jema kumshukuru MUNGU❤
ubarikiwe
Hallelujah 🎉❤❤❤❤❤❤
Utukufu wote ukurudie Mungu 🙏🏼❤
Amen be blessed
mbarikiwe sanaaa watumishi wa MUNGU,,, Mungu azidii kuwainuaaa mfike mbaliii🙏🙌🙌🙌 hadii mm nimejionaa
Groly to God
Halleluya groly to God🙌🏻
Amen
Nimebarikiwa sana na kwaya hii. Nimesha download mapema tu na ndo nasikiliza mda wa kutosha kabisa. Baraka kwenu watu wa Mungu.
@@benedictbalelekalunde4140 ubarikiwe san
Amen ubarikiwe
Ameeeen ❤❤
Amen amen🙌
Wow wow❤❤❤❤
Thanks
Kuna mambo yalizidi fahamu zangu....akaja Yesu akaingilia kati❤
Amen ni YESU
Wonderfull 🎉
Thanks 🤗
Wow! Glory to GOD
Amen
Nyimbo nzuri sana.... Endeleeni kuwabariki watu wa Mungu... Daima
Amina utukufu kwa YESU
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Halelujah❤❤❤❤❤❤
Amen amen
🔥🔥🔥🔥 ni neno jema kumshukuru Mungu. Asante Ebenezer kwaya kwa kutuongoza kumshukuru Mungu
Amen ubarikiwe
Amen barikiwa sana bmcc Ebenezer choir
Amen
❤❤❤❤❤❤❤ huuu wimbo mbona una upako...Mungu Azidi kuwainua
Amen utukufu kwa YESU
Waoo🥳🥳🙌🙌
🙌🙌🔥
Barikiwa Sana nyimbo nzuri Ina utukufu
Nani awezae kuongeza urefu wa kimo chake 🤲🤲🧎
Barikiwa
Haleluya mbarikiwe Sana Mungu wimbo umenifariji sana
Ooh utukufu kwa BWANA
Glory to GOD,,,,,,Thanks GOD for this powerfull song i proud of you in my life
Amen groly and honor to Jesus
AMINA
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
amen
Tumefadhiliwa na Bwana
Ubarikiwe
❤
Glory to God🙌
Amen
Mbarikiwe sana
Groly to God