SIKUJUWA KAMA MAPENZI MATAMU!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 59

  • @OmarAhmed-pb9pw
    @OmarAhmed-pb9pw 5 ปีที่แล้ว +3

    Taarab is sweet... Lots of memories from zanzibar... Sijui kama bado hizi nyimbo zinapigwa live.... Haile.. Ngome!!!

  • @dhamodaranggovindaraj6845
    @dhamodaranggovindaraj6845 4 หลายเดือนก่อน

    I like kidude amma
    You mam i like super song
    Thise song no andrastand but
    Vayce super mam

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 5 ปีที่แล้ว +6

    Hapo nyuma sikujua ndio kwanza nifahamu Sasa nimeshatambua kwamba mapenzi matamu 😍😍

  • @hassanAhmed-su5vb
    @hassanAhmed-su5vb 4 ปีที่แล้ว +4

    Beautiful country, nice people, been there some years ago. Wishing you all a peaceful election, INSHA'ALLAH.

  • @dhamodaranggovindaraj6845
    @dhamodaranggovindaraj6845 4 หลายเดือนก่อน

    Super amma same tamil song
    I feel mam

  • @nadhifahamad371
    @nadhifahamad371 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata mm nilikuwa sijui kama mapenzi matamu 2021

  • @chalulumanyenga1151
    @chalulumanyenga1151 3 ปีที่แล้ว +1

    bin seif saivi sikuachi nikiweka bando nna wewe yani nomaa

  • @petersonkithae9271
    @petersonkithae9271 7 ปีที่แล้ว

    Taarab kweli nzuri... nifanyeje ila tu kutulia chini ya mnazi wandao wangu nisikilize uhondo..

  • @othmanal-nabhany9243
    @othmanal-nabhany9243 4 ปีที่แล้ว +2

    Hizi ndio nyimbo bwana!!! Tafadhali nipe raha..

  • @ismailmjeshi1984
    @ismailmjeshi1984 7 ปีที่แล้ว +2

    hasa mkipendana.......masha allah
    ....

  • @themagadir
    @themagadir 3 ปีที่แล้ว

    2021 am here listening to old is gold

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 6 ปีที่แล้ว +7

    Nani yupo hapa 2018

  • @seifjuma7318
    @seifjuma7318 3 ปีที่แล้ว

    Mapenzi mabayaa sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ghanimaali4507
      @ghanimaali4507 3 ปีที่แล้ว

      kwa asie juwa hayo mapenzi na asiejua maana hatoambiwa maana

    • @mohaisha
      @mohaisha 3 ปีที่แล้ว

      Mapenzi yana raha zake lakini usiombe yakaja badilika

  • @jumakulewa1936
    @jumakulewa1936 ปีที่แล้ว

    Nice one

  • @ridhiwaniridhiwan4497
    @ridhiwaniridhiwan4497 6 ปีที่แล้ว +8

    Hii nyimbo inanikmbusha zaman naenda zangu chuon ndo zinapigwa hizi nyimbo wapi Zanzibar sasa

    • @ghanimaali4507
      @ghanimaali4507 3 ปีที่แล้ว

      ata ulikuwa hujui kma wachelewa wkti uwo kushashiba wali na mxhuzi wa maharage

    • @missladybirdlibellule3236
      @missladybirdlibellule3236 ปีที่แล้ว

      Saa nane ukianza mziki ujue time ya chuoni imefika

    • @zekhaliy
      @zekhaliy 10 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli

  • @SalimSalim-bb4gj
    @SalimSalim-bb4gj 7 ปีที่แล้ว +11

    mziki umetulia taratibu unakupa mawazo kwa mpenzi wako unajihisi raha na huku ukibubujikwa na machozi kwa jinsi mapenzi yalivo matamu

  • @mushken65
    @mushken65 ปีที่แล้ว

    Mapenzi ni matamu nakubali hata taarab yenyewe inanipeleka humo. Lakini nauliza mkidumu miaka kama 30 nadani ya mapenzi naona ladha inapotea na sikwaubaya. Naomba jibu la kikweli bila kuweka mistari ya madini 🇰🇪

  • @hawasalumu1260
    @hawasalumu1260 9 ปีที่แล้ว +5

    hapo nyuma sikujua km mapenzi matamu

  • @Salimtourguide9219
    @Salimtourguide9219 7 ปีที่แล้ว

    Mapenzi duhh
    Adi ugenini nime ridhia mwenyewe

  • @vincentmwakazi3948
    @vincentmwakazi3948 2 ปีที่แล้ว

    Matamu....ila pia shubiri...

  • @fartumsalmin4896
    @fartumsalmin4896 6 ปีที่แล้ว +3

    Kila ukiniridhia inazidi yang hamu

  • @ramadhanihangolwa412
    @ramadhanihangolwa412 9 ปีที่แล้ว +3

    Mapenzi kweli matamu

  • @adamsf82
    @adamsf82 10 ปีที่แล้ว +1

    Sasa nimetambua jamaniii mapenzi matamu

  • @wafaaafif6114
    @wafaaafif6114 8 ปีที่แล้ว +2

    الله الله يا زنجبار

  • @abukulthum6598
    @abukulthum6598 11 ปีที่แล้ว +4

    KWELI MAPENZI NI MATAMU ZAIDI KWA NYIMBO HII...

  • @shufaayakut2139
    @shufaayakut2139 2 ปีที่แล้ว

    Natafuta ile ya "mwaniona nnazama, bahari inaghariki" yaitwaje

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 4 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli!!!

  • @mejakichenje
    @mejakichenje ปีที่แล้ว

    hakika nikweli kwayule akupendae

  • @QOOQ8808
    @QOOQ8808 5 ปีที่แล้ว

    Wanaojua tafadhali tueleze hapa ni wapi, mwaka na majina ya wanasanaa

  • @mohdali9266
    @mohdali9266 10 ปีที่แล้ว +3

    Mapenzi ni zaidi ya utamu

  • @kabamaponda9597
    @kabamaponda9597 2 ปีที่แล้ว

    🥰🥰🥰🥰

  • @mwajumaali4866
    @mwajumaali4866 6 ปีที่แล้ว

    ndio kwanza nifahamu km mapnz matamuuu

  • @vimkhamis2794
    @vimkhamis2794 5 ปีที่แล้ว

    Imetuliaaaaa

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 ปีที่แล้ว

    Nipende usinikhini....

  • @muhsinismail6067
    @muhsinismail6067 8 ปีที่แล้ว

    mapenzi ukipata unasahao dunia

  • @marjanmohamed5727
    @marjanmohamed5727 9 ปีที่แล้ว

    mahaba yana mambo

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว

    Raha sana maneno matamu

  • @alawiaabdalla209
    @alawiaabdalla209 7 ปีที่แล้ว

    inapendeza

  • @adamsf82
    @adamsf82 10 ปีที่แล้ว

    I love my wife

  • @roqayaali5698
    @roqayaali5698 3 ปีที่แล้ว

    Ql

  • @jumahassan2879
    @jumahassan2879 8 ปีที่แล้ว

    Mahaba matamu