Thank you Jesus, yaani shetani ameaibika, anafikiri watoto wa Yesu wanaibiwa hovyo hovyo. Ni muhimu sana kuwaweka watoto wakfu mapema wanapozaliwa tu. Inasaidia mno. Wanakua na ulinzi wa Yesu mwenyewe hawaguswi.
jamani poleni San ila mungu aliweka walinzi juu ya mtoto uyu Dada uyu nawashauli mumpe adhabu Kali atawbia ukweli naona bado hanawaficha pole sana nitaungan nanyi kumuombea uyu mtoto kwasababu ememshinda ibilisi shetan mjinga kabis
Kama ametumwa mbona hajampeleka huko alikoagizwa ? amefanya mwenyewe kwa kutaka .Inawezekana hawezi zaa na ikawa ni sababu ya kutaka ya kumuibia au kama mchawi ni mwenyewe .
Thank you Jesus, yaani shetani ameaibika, anafikiri watoto wa Yesu wanaibiwa hovyo hovyo. Ni muhimu sana kuwaweka watoto wakfu mapema wanapozaliwa tu. Inasaidia mno. Wanakua na ulinzi wa Yesu mwenyewe hawaguswi.
Jina la Bwana Yesu Kristo liinuliwe
Mungu baba tunakushukuru kwa kujibu maombi yetu.. Sifa na utukufu ni kwako ee baba.
Asante YESU
dah Asante mungu pia Mimi nimesambaza picha hiyo ya huyo mtoto Kweli mungu nimkubwa
Yani Furaha niliyonayo Mungu Hanajua daaa mungu Hatuna cha kkulipa zaidi ya kkushukuru mungu wetu🙏🙏🙏
Nimefurahi niliposikia amepatikana Allah amjalie kila la khery kwenye maisha yake nakumuepushia kila shari
Sifa na utuufu zimrudie Mungu aliyejuu
Asanteee mungu wa mbingun
Amiina
Jina la Kristo Yesu lihimidiwe
Mungu mwema
Asante Yesu kwa matendo yako makuu
Mungu ni mungu tu
Maana nilikuwa naumia sana
Mungu ni mwema usiache kuomba
Am so happy thank you lord
Dahhh asante mungu maskin kitoto kizuri na huyo dada mme mwachaje mngempa kipigo cha mana
Mungu ni Mwema kwakweli
uuuuwiiiiiiiiiiii mamaaaa we munguu
Glory be to God.
Mungu ni mwema sana
Daaa mungu mwemaaa jamani
Mungu ni mwema ,
Huyo binti apimwe akili halafu ni bora ampe Yesu maisha maana mwisho wake u aweza kuwa mbaya
Mungu mwema jina lake lihimidiwe
Mungu wetu ni mwaminifu.Jina lake libarikiwe.Hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya mtuhumiwa,ili iwe fundisho kwa wengine.
Asante Mungu
Mashallah, AllahuAkbar
Acheni Mungu aitwe Mungu
Asante yesu
asante yesu
Duh mungu ni mwema kira wakati
Hakika mungu nimwema Emungu walinde Watoto.
Mungu awatie nguvu wazazi wake
Asante Yesu.
Ni jambo la kumshukulu Mungu sana maana mtoto kapaatikana yuko salama
Mungu ni mwaminifu munooo amedhihirisha ukuu wake madhabahuni pake ni patakatifu hajaruhusu papate aibu hii!!!
seba alinabudula
mungu ni mwema sana daah
Mungu ashuliw daa nifulaa iliyo pitiliz
Haleluyaa
Ashukuriwe Mungu
Familia poleni sana mungu azidi kuwatia moyo sijui hali ya mama yake mtoto ikoje,koz mm nimepatwa na tumbo la kuhara ghafla
Mtoto anauma jaman eeh Mungu asante sana
mungu u mwema sana
Hakika Mungu ni mwema ila huyo msichana mi naona kama mnamchelewesha
jina la YESU tamu lina nguvu
Mungu mkubwa nilijitaidi kutuma picha ktk magroup mbalimbali, mungu ametenda.
Jaman huyo bibi afatwe ili achunguzwe hwenda kuna watoto waawatu huko kapelekewa
ashukuliwe mungu
Hakika Mungu ashukuriwe
Hongera kwa kumpata mtoto. Amina
Grace Sitta
majina yetu yamefana sana kwema?
@@gracesitta1358 asante sana upo wapi wa jina?
Grace Sitta nipo mwanza mumii vpi wewe upo wapi?
Kwa kweli no kugawana tuu mmoja mochwari na mwingine segerea
Glory to God
Amina mungu ni mwema
Mungu ni mwema, wakampime na akili huyo binti.
Kudadeki mimi zijazaa ila nilivyoumia roho uyo mbwa ningemtia mbata za maana mpaka aite maji mma
Hv wanaoiba watoto wanawaza nn mungu wangu
mungu yumwema jamani
Mungu ni mkuu
Acheni mungu aitwe mungu
Ateswe mpaka aseme alitaka kumpeleka wapi na aonyeshe
daaaah unaiba mtoto jaman
C uzae wako mshenz wewe,,kama rahisi watoto wengine wana upako ooooh!!
Huyo msichana akipewa kichapo cha kutosha kutoka kwa polisi ataeleza ukweli wote , apewe kipigo cha kutosha na sio cha kupapasa
Ni jambo la kumshukulu mungu wa mbinguni
Asante mungu kwa ulinzi wa hy mtoto
Akifinywa atasema tu...mpelekeni Gereji ya Stakishari..
Mungu ahimidiwe jaman hongeren
Matobholwa manonu kweli kabisa
Matobholwa manonu tena akabanwe kisimi chake na plaiziii lazima ataongea ukweki
Hongelen
Bila xhaka huyo bb atakuwa mganga wa kienyeji.atafutw na sheria ifate mkondo wake
Asante mungu...
haya we Angel ulimwiba mtoto kumpeleka wapi huna huruma sheria ichukue mkondo wake ufunguliwe mashtaka
daaah afadhali maana nilisambaza upoteaji wake uko fb sasa ngojea nikafute ,asante mungu
MUNGU anamwona huyo mwizi na bila shaka haki itafuatwa ili kukomesha matukio kama haya ndan ya nchi yetu pendwa Tanzania.
Jaman tumhogope mungu
jamani poleni San ila mungu aliweka walinzi juu ya mtoto uyu Dada uyu nawashauli mumpe adhabu Kali atawbia ukweli naona bado hanawaficha pole sana nitaungan nanyi kumuombea uyu mtoto kwasababu ememshinda ibilisi shetan mjinga kabis
Shenzi tyip msichan mdogo huyo kujiingiza kwenye upuuz
Mungu ni mwema jamani mpaka nimetoa machozi,
Mungu ni. Mkubwa hogereni sana kwa kupata mtoto wenu
mungu yu mwema
Jamani dunia yote shetani anawatumia watu kujia mbali mbali
Jamani atafutwe na Hugo bibi ili ikomeshwe tabia kama hiii .Huyo Dada ana bahati sidhani kama ningemuacha hai
So huyo bibi tu.Wote aliyowataja ndio mtajua ukweli.Wapatiwe kibano chakutosha.
Fashion Fridah Makundi hpana usiwe na kisasii mana kisasi ni juu ya Bwana hivyo yatupasa kumshukuru Mungu
Fashion Fridah Makundi yan angefika polc akiwa amekufa cdhan kama anahua uchungu wa mama ulvyo
Huyo binti ahojiwe na aseme ukwel
We acha tu hizi tabia za. Kuchukua watoto sijui zimtoka wapi zitoke tunazikataa
Heee aisee muuweni kabisa mtt anauma mpaka kumlea afikiye kimo alafu aibiwe astaqafiru llaah apewe azab kali
Wazazi tuwe makini tunapotoka na watoto wetu
Na wazazi waache uzembe wa kuto wajali watoto,wawe makini,mbona hawaibiwi watoto wa wahindi?kuna uzembe unafanyika.
Hongera jamani
Dada mwenyewe sura inaonyesha mzoefu wa alkaida...uuuuuwiiiii , Mungu atulindie watoto wetu kwa kweli
ja mani ongera sana
stainas Mkoko mngu nimwema
Yesu ni Bwana
Kama si Bwana Insiraeli na aseme sasa
Duuuuh
MUNGU ni mwema
GOD IS GOOD ALWAYS
Mnge mpa kipigo cha mbwa koko ange sema slikua ana mpeleka wapi shetani huyo azae wake aka mtoe kafara
K
mngu katenda miujiza jaman hao ni machora wa mjini,ikiwezekana apimwe akli
afugwe mbwa huyo mshenzi mkuu kafara cakatowe watoto wamama ake
watu kam hao nikuwanyonga2
Huyo Dada auwawe
mmmmmh watt tunavowapata leba kwa tab hvo af waniibie mtt wang mmmmh
Yaaaaani ivi wanajua kweli huo uchungu WA leba hawa watu
Kawawama Maya ,c ndo apo sasa yan mm nikikujua umeniibia mwanangu nakuua kwa mkono wangu bora na mm nikafungwe t
@@jescajulius8023 tunagawana majengo ya serikali kwa kweli
Kawawama Maya hahahaha
Huyo ni mwizi msurubisheni ilii hizo tabia zife
Kama ametumwa mbona hajampeleka huko alikoagizwa ? amefanya mwenyewe kwa kutaka .Inawezekana hawezi zaa na ikawa ni sababu ya kutaka ya kumuibia au kama mchawi ni mwenyewe .
Inauma kwakwel huyo mwiz bado anapumua tu jmn
Asa huyu nae ilo libig
Ilibidi apigwe angesema tu
mungu ni mwema
wachawi wabaya sana dah anajiteua akili mpeni kichapo mpaka awapeleke huko wanakopeleka watoto
Aisha Babu o
Mfatilieni huyo bibi naye afe
Mnamwacha hivihivi tuu ili aje aibe na wengine? Mchomeni moto kidogo atasimulia yote.
Mungu ni mwema sana
watu kam hao nikuwanyonga2