Janetmlulla374 habarigani dada, am from Rwanda the land of thousands hills, kwakukweli huu musani ana Nidhamu kbs au discipline kumbe kunakufa watu wazuli sana kbs
Aminaksh Amoona unakwenda na Amal zako mwezi so kigezo kwani alikuwa msikitini ama studio muwe mnaandika vitu baada ya kusikiliza story mnapotosha watu
Rehema Chakusaga Mkande ww pia hujui kila mtu huangaliwa amali yake na imani yake coz huwezi kujua ndani ya nafsi yake alikua na nia gani Allah ndie anaejua zaidi
Inna lillahi wainna illahi rajiun...Mwenyezi Mungu akupe kauli thabiti na akupunguzue adhabu ya kaburi na moto...akuangazie nuru katika kaburi lako...mbele yako nyuma yote.
daah alikua mcheshi afu katulia hana mapepe yani afu anapenda kutabasamu daah mungu huyu Leo hii haupo nasi kweli hichi kifo hakina huruma daah rip sam
Innalilah waina ilahi rajiun ulikua mcheshi Sana sam wa ukweli hakuna ajuae kesho siri yote iko kwa Allah ndie mjuzi wa kila kitu...Allah akusamehe makosa yko akuepushe na adhabu ya kabri mbele yko nyuma yetu Bro
Brother kama uliacha mzikii ivi ukaamua kurudi kama ulikuja kutuaga mze sasa umefariki dah pumzika kaka Sam wa ukwel nakumbuka kuna demu alikua ananituma simu nipeleke chaji kwa boyfriend wake arafu nikitoka shule nikawa narudi nayo kuna siku nikaipekua nikakuta wimbo wako Wa hata kwetu wapo wimbo ulilia mpaka chaji ikaisha nikakosa cha kujitetea ripsam
I wish u can jst come bck to life, aki nilikua nakupenda juu u look so humble, Sam woiye hadi saa hii na omboleza
R.I.P SAM wa ukweli,i loved ur songs based on true life issues,love from kenya
R.i.p
Mwenyezi mungu akurehemu kaka tutaendelea kukukumbuka milele daima,😭😭
hakika nlivokupenda,,, mungu kajidhihirisha anakupenda zaidi kaka Sam,,, Rest in paradise Sam we will mic uuuuhhh
Katoto kalikuwa nzuri😓I have never heard of him till today with bad news.go well our brother and may u find rest forever.
Good
Find out 0713489966
Amina Ally who are u giving the number??🤣🤣🤣
riggo rigo ...Haaaahaaaaaa.. You never know
African Happy Adventure what are u talking about ????🤔
Jamani was a good boy, alijitambua sana, hakuwa na makuu. Pumzika kwa Amani Baba.
Janetmlulla374 habarigani dada, am from Rwanda the land of thousands hills, kwakukweli huu musani ana Nidhamu kbs au discipline kumbe kunakufa watu wazuli sana kbs
Mungu ilaze roho ya marehemu mahar pema peponi amina
ALIKUWA MTU SIMPO SANANA PIA MCHESHI NAPIA ANAONEKANA ALIKUWA NA ROHO YAIMANI KIMTIZAMO WANGU ALLAH MSAMEHE ZAMBI ZAKE MPE AMMAL NJEMA YARABBY😢😢👏👏👏
Amiin yaarabbi
Salha Ak.a Mgeni Ameen
Rest easy Sam😭..I miss your music,soooo much 😭😭
Kiukweli Sina raha.....aijua'e kesho ni Mungu RIP Sam
True
R.l.P
mwenyezi mungu akuhifazi sehemu nzuri R, I, P sama tupo nyuma yako
Dah! Mshkaji hakua na kibur kabisa yeye ni kucheka tu kaka wawatu! Mole akupokee bro!
pole sana tz kwa kumpoteza msanii mkubwa
Kile kimenigusa alimjua Allah/Mungu sana kwa kila maongezi yake ,mcheshi Oooh Rip Sam
MashaaAllah mcheshi Sana Allah amuepushe naAdhaba yakaburi
Alikuwa apenda kucheka kweli maskini RIP sam
Sam u r de best Allah akuepushie adhabu ya qabr umekufa ndani ya mwezi mzuri sana yako mbele yetu nyuma
Aminaksh Amoona unakwenda na Amal zako mwezi so kigezo kwani alikuwa msikitini ama studio muwe mnaandika vitu baada ya kusikiliza story mnapotosha watu
Rehema Chakusaga Mkande ww pia hujui kila mtu huangaliwa amali yake na imani yake coz huwezi kujua ndani ya nafsi yake alikua na nia gani Allah ndie anaejua zaidi
Aminaksh Amoona ndani ya nafsi yake alikuwa na Nia gani huyo aliyekua naye kasema alikuwa studio anarecord ndipo alipoanza kuumwa na tumbo
Mungu akuondolee adhabu za kaburi na akuepushe na moto wa jahanmu
Mungu akufungue milango ya barak pepon amin
Aisha Jeshemtengea
Amiiin
Mungu asadie familia yako,nzima ilyo kuwa inakutegemea
Aisha Jeshemtengea aamin yarab
Ni juzi tu nliwaza kucomment kwa lilommy kumuulizia kaenda wapi sam.. Pole Jamani. Rip
Inna lillahi wainna illahi rajiun...Mwenyezi Mungu akupe kauli thabiti na akupunguzue adhabu ya kaburi na moto...akuangazie nuru katika kaburi lako...mbele yako nyuma yote.
😭😭😭😭😭😭daaaahhh nakukumbuka sana brother wng sam
mungu akupe amani peponi kaketu
Inallilah waina illah rajiuhn..Allah akuhifadh pema penye wema
soo sad Sam rest in peace my dia,,tulikupenda lakin Mungu kakupenda zaidi
daaaaah aseeeee RIP bro maan inaonekan alikuw mcheshi kwl asee bora walinyama kuliko walimwengu
Ilikuwa mcheshi sana mungu akupe kauli thabiti
Jamani sam Mungu akieke mahali pema inaonyesha afya yako pia haikua njema rip
Dah! Innalilah wainnailah rajiun, Rest in peace Bro *sam*
Sam wa kwetu wapo Sam waah sina raha RIP
Vibaya sana eti Leo ndio najua sam wa ukweli kafariki, R.I.P brother
Dah inaum sn kjana ambae bdo hajaset lfe lke vzr ghfla2 anazm ila bas tu ilpangw na mngu 😢,hain jns R.I.P ⭐Sam. 👋😢👋😢👋😢.
jamani alifo na sauti nzuru nakukumbuka tulikua tukichati mungu akulaze mahali pema peponi ameni
Rip 'sina raha 'back 2013 was my favourite mungu atujalie mahali pema peponi
Mungu akuweke mahalipema peponi !
Oyaa dulla planet heshim yako broo,...game ya bongo fleva umeichangia mchang mkubwa sanaa
daah alikua mcheshi afu katulia hana mapepe yani afu anapenda kutabasamu daah mungu huyu Leo hii haupo nasi kweli hichi kifo hakina huruma daah rip sam
Innalilah waina ilahi rajiun ulikua mcheshi Sana sam wa ukweli hakuna ajuae kesho siri yote iko kwa Allah ndie mjuzi wa kila kitu...Allah akusamehe makosa yko akuepushe na adhabu ya kabri mbele yko nyuma yetu Bro
😭😭😭😭daah bro leo umezma kama taa mpambanaji wangu RIP brother daah
R I P sam wa ukweli tulikupenda ila M.mungu alikupenda zaidi 😢
Mungu akulaze mahara Pema na ramadhani hii
Masha Allah anajbu vzr ka yko hai vile # R.I.p. # Sam wa ukwel# 😭😭😭
Swabrina Masoud hivi ma shàa Allah in maana gani naona tofauti na topic
Rehema Chakusaga Mkande kwan umeelewa vp ww
Ommy anakuchimba.......
Dhaaaa,mola akulaze pake pema
R.I.P boi wangu
Huku Masogange,huku Jeby huku conso huku Maria kule Sam na Mimi sitobaki kama nilivyo.
Salehe Innocent umenena vyema
Mungu akupe safari ya kheri
Duh inaumiza Sana kiukwel bado tunakumbuka uwepo wako Sam Pumzika kwaamani😭😭
mungu akulaze pema peponi Sam
May your soul rest in peace Sam 🙏🏽😭🌹
R I P broo Mwenyezi akurehemu kaka
Hakika Allah akupumzishe mahala pema peponi Amin.
Alikua mtu wangu sana dar
Alikuwa mtu poa snaaaa jmn R I p sam 😭😭😭😭😭
Mtu wa fura sana mungu amuweke mahali pema peponi
2024 here
R I P Broo Sam Vile ulitaja jina kubwa la BABA aishie milele basi naimani atakupokea vyema
R.I.P Sam mungu akupunguzie hazabu za moton
Rip
Rip sam
Sam R l p tutakumbuka
Mola akurahamu Kaka unabusura sanaa
Daaaah jamani kama umjuwi Mungu basi jikaze umkimbilie maana maisha ya kisasa yani inatisha.
Rest in peace mungu akulaze mahala pema peponi
Mungu akuweke mahali Pema peponi
mungu akulaze mahali pema
I like how he was Jovial person,R I P bro
legendary love
Gone too early young man, may your soul Rest In Peace
R.I.P SAM,Mbele yako nyuma yetu
mm nawapa pole sana familiya ya sam
tabasamu lako tu baba munguu akujaarie
Alikua mtu Majin sana 🙏😭😭
dah! siamini kiukweli but R.I.P bro samu
mwenyezi mungu amulaze mahali pema aliko
Pore Sana jamaa Lake mungu roho yako ailaze mahala pema peponi
may his soul rest in peace
U was charming kijana ulale salamaa
Rest in peace our brouther we love you but our Allah have loved you more than us
Kumbe alikuwa mcheshi hivi...km yupo vile dah....🙏🏾🙏🏾Tushukuru kwa yote
Mungu amuweke pema popeni R,I,P
dar kweli bora walinyama kuliko walimwengu rest in peace samu
Ulimjua MUNGU na kumkumbuka naye kamwe hatokuacha.R.I P. Sam.
Mi nimependa kiswahili chake, anaongea kiswahili fasaha kabisa .mungu akupe kauli njema .
R.I.P blood japo nyimbo zako tulizipata mwisho bt hotest
your music had content. rest my dear brother
daah chakusema kwa wakat huu akuna ila mungu amuweke maal pema peponi brother sam R.I.P
Jamani dah
Innalilah wainailah rajuun
R I P SAMU WA UKWE
mungu akupe raha ya milele sam
inalillah waina illaih rajiun, huo ndio kila mwixho wa mwanadam¡¡¡¡ RIP kisiki imenibamba.
May your soul continues RIP💔🙏🏼
njia yetu ni ileile pumzika kwa amani katuandalie mahali pazuri maana safari yetu ni moja
Kweli natazama nyimbo zake toka kenya
Rip....dunia ni mapito tuu....😢😢😢😢
Mungu amlaze mahali pema
dahh... Gosh 😔😢
Uliondoka mapema sana Sam daah😢😢😢😢
Dah inauma sana jamani
Woiyee!alikufa kama alikuwa tayari sasa kurudi uwanjani jamani
Rest easy LEGEND
Rest in peace
Dah jmni kweli umeondoka Sam pumzika kwa Aman
allahu rahmaha fil jannah!
Mungu akupe kauli thabit akuepushe na adhabu za kabri Amiin mdogo wangu pokea tuu mungu anachokupangia sisi tuko nyuma yako
Daah bora wali tembele kuliko wali mwengu rest in peace sam
mungu akupumsishe kwaamani
Brother kama uliacha mzikii ivi ukaamua kurudi kama ulikuja kutuaga mze sasa umefariki dah pumzika kaka Sam wa ukwel nakumbuka kuna demu alikua ananituma simu nipeleke chaji kwa boyfriend wake arafu nikitoka shule nikawa narudi nayo kuna siku nikaipekua nikakuta wimbo wako Wa hata kwetu wapo wimbo ulilia mpaka chaji ikaisha nikakosa cha kujitetea ripsam
Mungu mlinde sam umuepushe na adhabu ya kabuliiiii 😓😓😓😓😓😓
Rest in peace Sam
dh km uwongo vil lkn mungu amempenda zaid
R.i.p my name's.....how young he is???