#LIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan anashiriki kama mgeni rasmi katika kilele cha kumbukizi ya 3 ya urithi wa Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Benjamin William Mkapa, inayofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa JNICC, Dar es Salaam.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.