Shishi ametulia Sai MashaAllah lazima anawiri, ana mume na wanapendana ana nyumba na ilikuwa ndoto yake kwaiyo miwacheni ila shishi ziwa listiri mpenzi
Shilole nakupenda sana ww ni mke wa mtu halafu jistili dada mwili wako inatakiwa.mumeo aone leo kila mtu anaona manyonyo yako haifai dada muogope mungu mtoto wa kiislaam Asas zote ziko nje
Ovyo kabisa sasa una ukubwa gani wakati dini huna ,upo uchi ,fikilia kufa ,umefanya makosa mengi mziki ,kharamu na ridhki yko yote kharamu ,fanya ibada mwangalie mzee yusufu Alhamdulilah ameachana na uchafu wa mziki
Wacha Tamaa vitu zingine achia vijana focus on what you're doing, respect yourself if married that let you down my friend maziwa inje jamani maskini bwanako🙆🤷
Tunakupenda Sana Ila jaribu kujistiri kwasababu ni mke wa mtu na isitoshe we nimuislamu anaeunga mkono like zenu tafadhali
Swadaqta
Manyonyo yapo nje mke wa mtu mtoto wa kiislam mtihani wallahy mwenyezimungu amuongoze
Naam
uislam siku hizi umebakia kwenye jina hauko kwenye matendo yetu
Naam👍
Kabisa uchebe na shishi mpk kifo ndo kitawatenganisha mnapendana sana na mtadum amen, kam unapena ndoa ya shishi ma uchebe weka like hapa
dah shishi nakupenda bule unampenda mumeo na kumuheshimu sana mungu awajaariie ndoa yenu idumu zaid unastair kupewa pongez sana
Wakwanza hapa kama unampenda shishi unamkubali gonga like hapa
kama unamskia Aslay Gonga like
Shishi nakupendaga bure,ila hapo kifuani ungefunika kiduchu...mdogo wangu...
😂😂
Shishi ametulia Sai MashaAllah lazima anawiri, ana mume na wanapendana ana nyumba na ilikuwa ndoto yake kwaiyo miwacheni ila shishi ziwa listiri mpenzi
Shishi si umeolewa jmn.....,!kifua chote nje jmn sio poa 🤦♀️
😂😂😂😂😂😂umeonaee eeeeh
Latriciah01 Augustino 😅😅
Labda Anataka kurudi udangani
Jamani mtangazaji pole umepata mtihani hapo kwenye maziwa huku ukokaribu🙈🙈🙈🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Hahaha umeonaee
Hayawahusu
Hata hata kumuangalia😂😂😂
😂😂😂😂
Waoooo mchicha wakaranga so much💋❤❤❤❤ nyumban kabisa yan daaaaah nimemisa soon ishaalah Amiin👏
Shilole from 254 you really inspiring me eti from single ready to mingle ure my hero
Shishi nakpenda bre uko vzr sana unajielewa na uwo unene umelizika na mmeo uchebe
Ndugu Mtangazi pole😂😂😂 🤱
Ndoa iheshimiwe na watu wote! Hii ni ndoa si mahusiano
Sure
Nakubaliana nawe
Hongera Afadhali umesema Awana Adabu
Shilole nakupenda sana ww ni mke wa mtu halafu jistili dada mwili wako inatakiwa.mumeo aone leo kila mtu anaona manyonyo yako haifai dada muogope mungu mtoto wa kiislaam Asas zote ziko nje
Mwanamke nyoyo👌👌
Nakuona dada aake# Khadija Khadeeja 😂😂😂 upo na uku
Khadija Khadija hasa ukiwa nazo 🤣🤣🤣🤣
@@gloriousn6425 😄😄😄tena utapat tabu sanaa utaend had kwa wachina
@@jumayusuph8471 npo
Mim n shabiki yako umeniudhi shish leooo hayo manyonyo yako daah!
Nakupenda shishi 😘😘
Ila watangazaji mna kazi ngumu kwa kweli yani unahoji mtu huku maziwa yakakusalimia 😂😂😂😂 Poleni sana kwa changamoto😂😂😂😂😂.
Hahaha changamoto kwakweli
@@sharifaabdullah6825 Umeona eeeeh
Nasema kweli sijawah kufikisha likes na follows 54.0000 leo mimi silali @bossholland
Fundi chawa nifundi anae fanya kazi zake bila kuvaa mavazi ya kazi ihio kitalamu, garege, na chuo ihio kauli inatumika
Shishi food mie naku love Sana dada nimecheka kwa kwel kwenye kushika simu marehem anataman kufufuka 😂😂😂
Alafu shishi dadangu wemke wa chebe mbona matiti umeacha hadharani kama matako yakichina ivyo
Mke wa mtu fua liwazi ziwa lote watu wanakuangalia na huyo mume hata kumshtua mkewe msiba mkubwa sanaa huu
Ovyo kabisa sasa una ukubwa gani wakati dini huna ,upo uchi ,fikilia kufa ,umefanya makosa mengi mziki ,kharamu na ridhki yko yote kharamu ,fanya ibada mwangalie mzee yusufu Alhamdulilah ameachana na uchafu wa mziki
My shishi more love from🇰🇪
Shishi kwa hisani yako huna sababu yoyote kuonyesha maziwa yako hayo !! hayo ni mali ya mumeo na huna sababu kuyaanikia umma namna hiyo !!!
Shishi beiby,i love you mamaa
funika kifua basi shishi maana unamtega muadishi jamani
Masha ALLAH, dada shishi napenda kufuata nyayo zako
Eti Masha Allah
Ladymasha Allah I like u a advise Hamsini ogopa hukumu wewe!
Shishi nakupenda uko peace sana
Nakupenda bure from Burundi
NIKIENDA TANZANIA HOLIDAYS LAZIMA NIFIKE KWA SHISHI NA FAMILIA YANGU TUKALE WACHA MUNGU ATUPE UHAI 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇨🇿
Inshallah 🥰
Pia mm InshaAllah nitaenda
Maziwa yako mazuri shishi.
Hawakujuwa kama wame jironga
Kiki ime kuwa ya shishi
Toba 🤗
HAWAA ndio wale alio wasema mtume wana macho ila hawaon wana masikio ila hawaasik allah atustir
Mke wamtu tena muslim maziwa nje 😤
Nashangaa
Hayawahusu jmni khee
@@faidhatbkmo2191 kakimya wewe kwani we unayo yabwabwajaga yote huwa yanakuhusu? shezi kweli wewe 😤
Wala huwa sibwabwaji kwa yasiyo nihusuu nyokoolooo wwe
@@faidhatbkmo2191 Relax Nyau wewe
duh shishi leo kakasirika jamani sio yule anaefanya interview yenye kuchekesha ndani yake
Kidogo tu nitoke nje ya mada,... Shishi ako na dental formula poa sana
Hilo swala la mpaka ya ndoa hapo kweli ùmea ķabisa wameyumbà
Nakupenda bure shishi
Me naona ziwa tu 😂😂😂jamani shishi
😂😂😂😂😂kama loteeee
Umeonaeeh pigo zakimalaya zaidi then anataka aheshimiwe eti
Dada jikaze tu mule kwenye ule wimbo watu kibao wameimbwa japo siyo vzr
Kama unachukua mda mrefu bila kula lazima utanenepa zaidi
uko vzr dada angu Nakupenda bure
japo kuwa watu wana sema shishi siyo mchoyo ila anajali sana.
Shishi mm nakukubali
Mtangazaji moyo wamuenda mbiyo,ziwa hilo jamani mie naumwa homa.
Deus Mauka im
Mijtu bwn yameona maziwa tu huo ni wivu tu
Waliozoea buku jero kwa shishi msiende mtaaibika 😂😂😂😂
tatizo ww mwenyewe hujieshm ndomaana wanakuimba japo mumeo mstaarab sana ebu jilekebshe
Bongo tuna wanawake powa sana, sema mazoezi dada zetu na kaka zetu muhimu aisee mnafumuka sana, shishi unaweza kumsahau siku hizi
Mwanamke ziwa heti heheee
I love ❤️ you shishi 🌹👌
Shishi mbona ndala ziko inje adi Creez anaona aibu😂😂😂
Zabibu Nduwimana sasa
Mmh
"ati ledy tu mingo" hahaha...shishi buana, unajua kutufurahisha kweli.
Nasoma comet nacheka kwasauti 🤸♀️🤸♀️🤸♀️
my love
Mtindi huo 🔥🔥🔥🔥
ii nyimbo at the first time nackia nkaju mkenya
Nakupendaga bule wallah
Ziwa la maana aiseee
Oh kumbe kaibwa??? Wimbo gani tafadhali Nitumie link niusikilize kwanza😂😂😂😂
It’s very funny 😄 Eti #CHAWA??????😂🤣😂😂
Umeimbwa na kundi la rostam
Shishi food inapatikana wapi hapo Dar?nahitaji kuja kula chakula chako dada.
Wacha Tamaa vitu zingine achia vijana focus on what you're doing, respect yourself if married that let you down my friend maziwa inje jamani maskini bwanako🙆🤷
Millicent Aseyo Afu muislam aibu hii
Binadamu ndivyo walivyo da achana nao we angalia furaha yako IPO WAP kikubwa ni heshima tu mpende mume wako daima
Ila kwa ninavyojua uislm uache kuacha maziwa nje banah Allah awasimamie kwenye ndoa yenu salama ila tu uache maziwa nje hayo anatakiwa aone uchebe tu
Na wewe usikae kichwa wazi uislamu pia hautaki mambo hayo
Nilicho ki not kibaya ni wote wamegeuka kuwa mama ntilie hapo ndo inaweza ikawa mbaya
Upo uchi dada subhanallah
Nikija TZ lazima nifike kukusapoti shishi food 🥘. Yani huwa unanifurahisha dear.
Ndayishimiye, karbu
steve hiraly Thanks
Uko Rwnd?
Nakupenda😂😂😂😂
Nakupenda Sana shishi 😂😂😂
Dadaangu Shilole safi sana ila funika basi kifua mama mwenye haki ya kuona hicho kifua ni Shemejiiiiiii
sijui nikagongee nyonyoo
Asa dada angu iyo ndoa yako ndo kwanza inamwaka mmoja kaaa Miaka ata mitano ndo utaona kwanini Watu wanakimbia na mapovu
😂😂😂shishi mungu anakuona
Shishi bwana unachekesha eti nimeolewa na fundi magari na mkiachana utasema pia nimeachwa yani shishi bwana
Raxhidy Mono
Raxhidy Mono tangu nimfahamu huyu dada interview hii ndio nimeielewa iko na ukweli ndani yake
Hongera sana shishi hakika wewe ni mwanamke wa nguvu. Ila jitahidi kujistiri wewe ni mke wa mtu hayo manyonyo hayatakiwi kukaa nje nje namna hiyo.
Halafu jifunze basi baina ya "R" na "L"
Ndio tatizo lao wa bongo ya kutofautisha R and L
Sometimes automatically tu mtu hushindwa kutofautisha L na R, so tusimlaum sana
Hazel Brown wajuaje weeeeeh
Uku mby ilishatrend sanaaa yan labda uko kwenu lakin mby iringa chunya tunduma ilibamba sana na inaendelea kubamba
MAZIWA makuu🤣🤣
Yaani wasanii kwa kiki hapo wanazipa nyimbo zote nguvu ya shishi na rostam
Mwislam havai kama ww
Bibi huyo hanaswaga
Shishi ayo manyonyo unauza au?
mbeya city mojaa
Upuuuz mtupuuuuu hilo zigo lots hpo kifuuan njeee kisha wajiita waislam hovyoooo mmelevya nasifa zakipuuuz dunian err sasa ujiandaee na majibu kwa mola
Funika kifua amakweli unataka kuifwata misingi yadini mnatakiki madada wabongo jistili ni Basi ndoa siogazeti kuweka nnjeee Kama unavofanyanyiee achawewe nandaoo zenu zamitandaoni ndoa siogazeti tuzeni kikizenu
Huo mtindi balaa😍😍😍
😂😂😂😂😂
Mm sicoment nimeenda
@13:41 Uchebe kuchajwa 😂😂😂😂😂😂😂
Shishi usipende kuwapa nafasi hawa masnichi niwachochezi sana.
Asante Dada Shishi. Mume wako wamuheshimu. 👌👌👌
Kama kweli ana muheshimu asingekqq Maziwa wazi
huyu shishi duuu ndo kuvimba hivyo
Ila shishi jamani hilo nyonyo na ustaz vipi
Zuwaaa shishiii
Chawa ninini nataka kujuwa kiukweli
Nikija Tz nitakuja kula shishi food
nakuaminia shishi
Amna badi ndo kambust shii iyo ngoma tunaigonga
Sasa hpo mpo kwnye mixing yadini hovyooo
Wali maharage 5000
Ee