Mwasonge Farm: Wauzaji wa Mbegu za Nguruwe wenye uzito wa hadi kilo 250 na kuendelea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @BensonTemu-h6h
    @BensonTemu-h6h 2 วันที่ผ่านมา

    Nahitaji watoto wa miezi 5 majike na dume 2 wa duroc kwa ajili ya kuanza mradi. Nipo moro na nahitaji elimu na kuunganishwa na wauzaji wa virutubisho. Asante

  • @laurencekagoma9998
    @laurencekagoma9998 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona ametaja namba zote mbili za Voda . na Amesema wako MWANZA.

  • @benedictjoyce9828
    @benedictjoyce9828 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mawasiliano nahitaji vifaranga vya nguruwe. Mgekuwa mnaweka namba ya simu mgetusaidia sana

  • @BensonTemu-h6h
    @BensonTemu-h6h 2 วันที่ผ่านมา

    Watoto 10 wa miezi 5

  • @eliamangi6166
    @eliamangi6166 2 ปีที่แล้ว

    Mimi ni muhitaji wa Mbegu ya nguruwe. Naombeni namba zenu za simu

  • @emmanuelnhyamamanwele1697
    @emmanuelnhyamamanwele1697 3 หลายเดือนก่อน +1

    mawasiliano tafadhali nahitaji mbegu

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว

    Nachukia hawaweki namba ya simu email au watsapp kwa niniiiii???

  • @eliamangi6166
    @eliamangi6166 2 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi?

  • @veronicabundala3074
    @veronicabundala3074 3 ปีที่แล้ว

    Aina gan yambegu ambayo ninzur kwaufugaji....??

  • @christopherkivuyo8590
    @christopherkivuyo8590 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnapatikana wapi ndugu zangu??

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  2 ปีที่แล้ว

      Huyu mhusika anapatikana Mwanza na mawasiliano yake ameyaweka kwenye hii video

  • @anaemeena1943
    @anaemeena1943 3 ปีที่แล้ว

    Mimi Niko NJOMBE nitapate watoto wa Nguruwe?

  • @nigananurunjema
    @nigananurunjema ปีที่แล้ว

    Ndama wa Duroc anapatjkana kwa bei gani?

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  3 หลายเดือนก่อน

      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

  • @paulkambonya8001
    @paulkambonya8001 ปีที่แล้ว

    Unapatikana wapi

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว

    Ok number wameweka mwishoo

  • @evanceburton620
    @evanceburton620 2 ปีที่แล้ว

    Mradi mzuri sana tunayapataje ndgu zetu

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  3 หลายเดือนก่อน

      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

  • @mlokozitonshwe8419
    @mlokozitonshwe8419 3 ปีที่แล้ว +1

    Nifamishe jinsi ya kujiunga na chama hicho cha wafugaji

  • @juhudiswetu6251
    @juhudiswetu6251 3 ปีที่แล้ว

    Naomba mawasiliano / namba ya simu

  • @kavisheaniceth
    @kavisheaniceth 3 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana mkoa gani hasa kwa wafugaji walioko mkoa wa kilimanjaro.?

    • @kavisheaniceth
      @kavisheaniceth 3 ปีที่แล้ว

      Niko Moshi nahitaji mawasiliano yenu tafadhali

    • @mchungaji.mantitho
      @mchungaji.mantitho 3 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yenu niko makambako nahitaji nguluwe ndogo mbegu bola

  • @tunguchagu157
    @tunguchagu157 2 ปีที่แล้ว +1

    Watanzani ni shida tupu! unatangazaje biashara bila kuweka mawasiliano?

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli, lakini mambo yanabadilika sasa wanatoa namba zao

  • @atanasiakimaryo6501
    @atanasiakimaryo6501 3 ปีที่แล้ว

    Naomba unijulishe aina hizo bora za mbegu za nguruwe nitapataje

  • @JohnDeus-v3e
    @JohnDeus-v3e ปีที่แล้ว

    Namba zenu jamani

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  3 หลายเดือนก่อน

      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

  • @gonsalvamswaga6471
    @gonsalvamswaga6471 2 ปีที่แล้ว

    mimi wa Dar napataje mbegu zenu

  • @aloycesiame4280
    @aloycesiame4280 3 ปีที่แล้ว

    Mko Mkoa GANI na wilaya GANI?

  • @evanceburton620
    @evanceburton620 2 ปีที่แล้ว

    Mawasiliano ndgu zetu tuna yapataje

  • @lenamunyonyela4694
    @lenamunyonyela4694 ปีที่แล้ว

    Naomba mawasiliano

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  3 หลายเดือนก่อน

      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

  • @israelmlabwa9783
    @israelmlabwa9783 2 ปีที่แล้ว

    Naomba vifaranga vya nguruwe nipo mbeya

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว

      Hawajibuuuu

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  2 ปีที่แล้ว

      Sisi kazi yetu ni kuwaletea taarifa na Kama kuna namba za wahusika pia tunaweka ili muweze kuongea nao moja kwa moja.

  • @EllenObet-uu1lx
    @EllenObet-uu1lx ปีที่แล้ว

    Naitaji mbegu Niko Tanga

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  3 หลายเดือนก่อน

      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

  • @josephmallya6519
    @josephmallya6519 3 ปีที่แล้ว +1

    Nipo kilimanjaro nahitaji mbegu bora

  • @musasaganda972
    @musasaganda972 3 ปีที่แล้ว

    Nataka mbegu nipo simiyu

  • @raymondurio2733
    @raymondurio2733 3 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wap