Durusu Kiswahili
Durusu Kiswahili
  • 130
  • 72 610

วีดีโอ

Kiswahili Havana, Kuba 2024
มุมมอง 6105 หลายเดือนก่อน
Balozi wa Tanzania nchini Kuba, Humphrey Polepole aeleza jinsi Tanzania inavyokuza Kiswahili katika eneo la Karibe na fursa zilizopo kuelekea Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Havana.
Umuhimu wa teknolojia katika kueneza lahaja Kiswahili - Dkt. Mwanahija Ali Juma
มุมมอง 565 หลายเดือนก่อน
Teknolojia ni muhimu katika kuhifadhi na kueneza lahaja za Kiswahili - Dkt. Mwanahija Ali Juma
Kiswahili Burundi: Mtazamo wa wanafunzi
มุมมอง 7735 หลายเดือนก่อน
Muda wa kufundisha na mtazamo wa baadhi ya wanafunzi, ni miongoni mwa mambo yanayotanza kasi ya ukuaji wa Kiswahili nchini Burundi.
Ufafanuzi: Kwa nini ni Mabasi Yaendayo Haraka
มุมมอง 985 หลายเดือนก่อน
Japo neno mwendokasi au mabasi ya mwendo kasi linatumika miongoni mwa wasemaji wa Kiswahili, kimantiki, si sahihi. Sababu zipo kwenye video.
Kiswahili Somalia: Lahaja ni muhimu
มุมมอง 4265 หลายเดือนก่อน
Kufuatia kujiunga kwa Somalia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, wasomi wanasema kwamba lahaja za janibu hiyo, kama vile Chimbalazi/Chimwiini au Kibarawa, Kibajuni zitaongeza mchango katika Kiswahili sanifu. Huu hapa mtazamo wa mtafiti wa lahaja za Kiswahili, Dkt. Mwanahija Ali Juma.
Ufafanuzi: Kwa nini AI ni Akili Mnemba
มุมมอง 4325 หลายเดือนก่อน
Katibu Mtendaji wa BAKITA Consolata Mushi afafanua mantiki iliyoongoza uteuzi wa Akili Mnemba kuwa kisawe cha Artificial Intelligence.
Huduma za Maktaba Zanzibar mkondoni
มุมมอง 2446 หลายเดือนก่อน
Mkurugenzi wa Bodi ya Huduma za Maktaba - Zanzibar Bi. Ulfat Abdulaziz Ibrahim, anaeleza jinsi bodi inavyohakikisha kuwa huduma zinapatikana kwa watumiaji wote.
Jumuiya ya Afrika Mashariki iwe na msimmao mmoja kuhusu Kiswahili
มุมมอง 2186 หลายเดือนก่อน
Katibu mkuu wa Kamisheni ya Kiswahili Afrika Mashariki Dkt. Caroline Asiimwe akieleza umuhimu wa kuwa na sauti moja katika masuala yanayohusu Kiswahili.
Safari ya Kiswahili bado, wasafiri tusichoke
มุมมอง 1106 หลายเดือนก่อน
Wanafunzi na wasomi ni wengi lakini matumizi ya Kiswahili yanasuasua, asema Prof. Chacha Nyaigotti-Chacha
Kiswahili Italia na Ujerumani
มุมมอง 3796 หลายเดือนก่อน
Dkt. Flavia Aiello na Dkt. Roberto Gaudioso waeleza hali ya Kiswahili nchini Italia na Ujerumani mtawalia.
Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine - Prof. Fikeni Senkoro
มุมมอง 3637 หลายเดือนก่อน
Prof. Fikeni Senkoro akidadavua uhusiano uliopo baina ya Kiswahili na taaluma nyingine.
Kwa nini Waziri Dkt. Damas Ndumbaru anaogopa kujitambulisha kuwa ni “ daktari”
มุมมอง 2087 หลายเดือนก่อน
Waziri Damas Ndumbaru asimulia yaliyomkuta alipotambulishwa kwa cheo cha “daktari ”
Kiswahili kilivyochangia Afrika Mashariki kushinda kuandaa AFCON 2027
มุมมอง 637 หลายเดือนก่อน
Dkt. Damas Ndumbaru: Kiswahili ndiyo lugha ya pekee isiyo ya kikoloni
Hotuba ya Rais wa CHAUKIDU katika ufunguzi wa kongamano la 8 la kimataifa
มุมมอง 288 หลายเดือนก่อน
Hotuba ya Rais wa CHAUKIDU Dkt. Filipo Lubua wakati wa ufunguzi wa kongamano la nane la kimataifa la CHAUKIDU. Mada ya kongamano ilikuwa Mnasaba wa Kiswahili na Nyuga Nyingine: Dira ya Muskatakabali. #KiswahiliKienee
Salamu za kuwakaribisha wageni wa kongamano la 8 la CHAUKIDU
มุมมอง 328 หลายเดือนก่อน
Salamu za kuwakaribisha wageni wa kongamano la 8 la CHAUKIDU
Tanzania kutoa Tuzo ya Mwalimu Nyerere, MASIKIDU Ufaransa
มุมมอง 938 หลายเดือนก่อน
Tanzania kutoa Tuzo ya Mwalimu Nyerere, MASIKIDU Ufaransa
Mazuri ya Waafrika Wamarekani
มุมมอง 2508 หลายเดือนก่อน
Mazuri ya Waafrika Wamarekani
Kukabili changamoto za ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni
มุมมอง 2398 หลายเดือนก่อน
Kukabili changamoto za ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni
Nafasi ya walimu na wanajamii katika ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni
มุมมอง 1928 หลายเดือนก่อน
Nafasi ya walimu na wanajamii katika ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni
Sehemu ya 3: Mfumo unawabagua Wamarekani Weusi
มุมมอง 1008 หลายเดือนก่อน
Sehemu ya 3: Mfumo unawabagua Wamarekani Weusi
Sehemu ya 2: Kuboresha uhusiano baina ya Waafrika na Wamarekani Weusi
มุมมอง 938 หลายเดือนก่อน
Sehemu ya 2: Kuboresha uhusiano baina ya Waafrika na Wamarekani Weusi
Kuboresha uhusiano baina ya Waafrika na Wamarekani Weusi ili kukikuza Kiswahili - Sehemu ya 1
มุมมอง 1788 หลายเดือนก่อน
Kuboresha uhusiano baina ya Waafrika na Wamarekani Weusi ili kukikuza Kiswahili - Sehemu ya 1
Usipotumia akiliunde, nafasi yako itachukuliwa na wanaoitumia @ChatGPT-AI
มุมมอง 4708 หลายเดือนก่อน
Usipotumia akiliunde, nafasi yako itachukuliwa na wanaoitumia @ChatGPT-AI
Tuwaandikie wageni msamiati mwepesi - Nyambari Nyangwine
มุมมอง 1709 หลายเดือนก่อน
Tuwaandikie wageni msamiati mwepesi - Nyambari Nyangwine
Mchango wa migogoro katika ukuaji wa Kiswahili
มุมมอง 144ปีที่แล้ว
Mchango wa migogoro katika ukuaji wa Kiswahili
Kiswahili kinalipa ukiwa na ubongo - Wallah bin Wallah
มุมมอง 278ปีที่แล้ว
Kiswahili kinalipa ukiwa na ubongo - Wallah bin Wallah
Mwalimu, huwezi kufundisha kitu ambacho hukijui
มุมมอง 96ปีที่แล้ว
Mwalimu, huwezi kufundisha kitu ambacho hukijui
Moyo vumilia, wa kwako hajazaliwa
มุมมอง 71ปีที่แล้ว
Moyo vumilia, wa kwako hajazaliwa
Wazazi mwafeli wapi?
มุมมอง 36ปีที่แล้ว
Wazazi mwafeli wapi?

ความคิดเห็น

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 6 วันที่ผ่านมา

    Kiswahili bora ni cha kenya sio cha Tanzania

  • @othmanbakar1132
    @othmanbakar1132 6 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kiswahili ni lugha ya mwambao wa Afrika ya Mashariki lakini kilikuwa kinazungumzwa kwa mujibu wa lahaja za maeneo husika hakikuwa kama hivi kilivyo sasa ambacho kinawaunganisha waswahili wote. Hivyo mnamo mwaka 1930 muingereza aliamua kukisanifisha kiswahili ambacho kitatumiwa na watu wote wa Afrika ya mashariki ndipo walipoamua kutafuta lahaja gani ambayo ni nyepesi na inafahamika kwa haraka iwe inatumika kwa waswahili wote wa afrika ya mashariki, kwa utafiti wao wakagundua kuwa kiswahili cha Unguja Mjini ndio kinafaa kutumika kama lugha kuu ya kiswahili sanifu kwa watu wote wa Afrika ya Mashariki na ndicho ambacho kinatumika mpaka sasa Afrika ya Mashariki na maeneo mengine duniani. Rejea katika vitabu vya historia ya lugha ya kiswahili utayapata haya na mengine mingi yanayohusu lugha ya kiswahili.

    • @swahiliwithdavid5910
      @swahiliwithdavid5910 3 วันที่ผ่านมา

      Ni Muingereza au Mjerumani aliyesanifisha lugha ya Kiswahili? Jibu ni Mjerumani!

    • @othmanbakar1132
      @othmanbakar1132 2 วันที่ผ่านมา

      Aliesanifisha kiswahili sio mjerumani ni Muingereza mnamo mwaka 1930. Tukirudi kwenye vitabu tutayaona hayo

    • @othmanbakar1132
      @othmanbakar1132 2 วันที่ผ่านมา

      Kabla ya hapo kiswahili kilikuwa kikitumia maandishi ya kiarabu na ndio maandishi asili ya lughaya kiswahili

  • @juliusmoivana9844
    @juliusmoivana9844 6 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli pwani ya Kenya tunge pewa iwe Tanzania wanaongea Kiswahili kisuri

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 7 วันที่ผ่านมา

    Acha uongo wewe.Lahaja iliyo sanifishwa ni kiunguja. Tatizo lenu Kenya kila kitu kimetoka kwenu.

  • @PhotonatusChiee
    @PhotonatusChiee 7 วันที่ผ่านมา

    Lahaja ya kimakunduchi

  • @monicasengamarwa
    @monicasengamarwa 9 วันที่ผ่านมา

    Kwa nini Hon. Damas hapendi kujitambulisha kuwa ni Dkt.? Najua ni mpole na asie penda makuu, Pia Muulize kwa nini atakijibu😅

  • @clintonongera3559
    @clintonongera3559 18 วันที่ผ่านมา

    👏

  • @TujifunzeKiswahili-k1u
    @TujifunzeKiswahili-k1u หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa. Kiswahili kinakua😊

  • @loner_wolf
    @loner_wolf หลายเดือนก่อน

    Huyu mwenyewe hajui kiswahili vzuri . Kiswahili kipo tanzania achana na wasanii , watanzania tunazungumza kiswaili vzuri sana na tunazungumza vzur na tunakosoa mtu anapokikosea .

    • @othmanbakar1132
      @othmanbakar1132 2 วันที่ผ่านมา

      Katika lahaja zinazozungumza kiswahili sahihi ni Kiunguja mjini kinachofuata ni kimvita na ndio mana wakati waingereza wanatafuta lahaja gani itumike kama ni lugha rasmi walipata tabu kuchagua kati ya kiunguja mjini na kimvita hatimae kiunguja mjini ndio kikachaguliwa kutokana na sifa mbali mbali Hivyo wenye kiswahili ni wazawa wote wa mwambao wa Afrika Mashariki na huyo mnaemuona anazungumza lahaja miongoni mwa lahaja za lugha ya kiswahili.

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 2 หลายเดือนก่อน

    We jidanganye na jiridhishe, Ukweli unaujua japo unajifanya huujui. hata hiyo ni gani unayoongeza yaweza kukuonyesha ulivyo mtupu kwenye ugwiji, weledi na unyakanga wa Kiswahili.

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 หลายเดือนก่อน

    Sio Caribe bali ni Caribbean okay.thankx

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 หลายเดือนก่อน

    Tanganyika hasio nchi ya Waswahili ni nchi ya Wazaramu,Wahaya,Wachaga ,wamakonde ,Wahehe ,Watanganyika ni Wanigeria wa East Africa sawa,hawana milla wala tabia wao ni wizi na Umalaya tuu ,Ukiwa muarabu maana yake lugha yako ni kiarabu tuu ukizungumza lugha nyenyike ni foreign language to you,nauliza suali Watanganyika wana lugha ngapi¿if you are Scottish English is foreign language 2 you okay it would be very please to you to know who you are.thanks

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili fusgha kweo ni Zinjibar 💯👌 every body knows about it.thanks

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mzushi tu hauna lolote

  • @ShafiiDauda-mh9ju
    @ShafiiDauda-mh9ju 3 หลายเดือนก่อน

    👍👍👍🇹🇿👍👍

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini hamkitumii?

  • @AllanKaita
    @AllanKaita 3 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili ni lugha ashirafu tamu na adhimu toka Lamu twavyofahamu

  • @coolbz133
    @coolbz133 3 หลายเดือนก่อน

    Swadakta maneno yako nikweli

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 3 หลายเดือนก่อน

    Kiitaliano na Kiswahili, lugha mbili ninazozipenda mno ❤ Mm ni mkalimani wa Kiitaliano, natumai nitakua mkalimani wa Kiswahili pia (nikiendelea kusoma kwa bidii). Kiswahili ni kama bahari inayojaa maneno, misemo, methali, nahau na kadhalika. Kama wahenga wanavyosema mvumilivu hula mbivu na siku moja juhudi zangu zitazaa matunda.

    • @durusukiswahili
      @durusukiswahili 3 หลายเดือนก่อน

      Jiunge na vyama vya wanataaluma kama vile CHAUKIDU pamoja na EAITA.ORG ujinoe pamoja na wataalamu wengine.

  • @ShadrackAnalo
    @ShadrackAnalo 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa iyo inatusaidia na nini

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 3 หลายเดือนก่อน

    Mawazo yote kuhusu kiswahili Cha Kenya na Tanzania ni potofu. Wote wanaongea kiswahili kizuri tu. Ni sawa na kiingereza Cha england, Canada, marekani, Scotland etc. lafudhi yaweza kuwa tofauti lakini lugha ni ileile

  • @ExtremeMultFrequency
    @ExtremeMultFrequency 4 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/qKsohAEciho/w-d-xo.htmlsi=hCMDXfQ4IuhoghLz

  • @AliKhamis-j9z
    @AliKhamis-j9z 4 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili kipo kabla yahii mipaka yakenya na tanzania musidanganye watu ilakiswahili fasaha kinaongelewa unguja mjini

  • @AliKhamis-j9z
    @AliKhamis-j9z 4 หลายเดือนก่อน

    Kila kilicho nde

  • @IsaeVuguziga
    @IsaeVuguziga 5 หลายเดือนก่อน

    Hamujambo?mimi naitwa isaie VUGUZIGA kutoka Rwanda,nikawa mpenzi wa rugha ya kiswahili,lakini Kuna changamoto katika jamii,ukijaribu kuongea lugha hii unachukuliwa ama kuonekana mujambazi kwawanawo jihusisha na lugha mbarimbari haswa kimombo,kinginecho kinareta usumbufu mukali ni kwamba wenge wadhani wanajuwa kiswahili,ukitazama vyema ukawakuta hawana ujuzi wowote kuhusu lugha hii,na kingine kuweka kikomo ni ugombaniaji chimbuko ya kiswahili kati ya mu Tanzania na mu Kenya,je mwatushauri nini?

    • @durusukiswahili
      @durusukiswahili 4 หลายเดือนก่อน

      Hatujambo, ushauri ni kwamba ushirikiane na wote wanaokipenda Kiswahili utajifunza mengi.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili kwetu sisi watanzania kizuri sio deal sana tuongee juu ya tanzania ya kesho

  • @IslahiMohamed-qi2jf
    @IslahiMohamed-qi2jf 5 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar ndokwenye kiswahili na sio bara

    • @innocentfortunatus725
      @innocentfortunatus725 4 หลายเดือนก่อน

      Bara ndo nini? Maana wote ni watanzania na lugha yetu ni kiswahili au yale

  • @r3gistratoe310
    @r3gistratoe310 5 หลายเดือนก่อน

    mi nasoma kiswahili mwenyewe, natoka italia na ninakipenda kiswahili saaaana kweli

  • @jumaothman2092
    @jumaothman2092 5 หลายเดือนก่อน

    Tatizo pwani ya kenya mlikizarau sana kiswahili sisi wa zanzibar tutakwenda nacho hivyo hivyo ijapokua watu wa bara ya Tanganyika hukiharibu lakini hatujakiacha

  • @dr.rajabmlekwachimile8699
    @dr.rajabmlekwachimile8699 5 หลายเดือนก่อน

    Ni lugha pekee Africa ambayo ni rahisi kuwa Lingua franca

  • @SamsonNkera
    @SamsonNkera 5 หลายเดือนก่อน

    Kujifunza kiswahili unapoteza mda wako

  • @niyorukizaelias8142
    @niyorukizaelias8142 5 หลายเดือนก่อน

    We waache tu wa puuzie watajua hawajui maana maisha ni safari ndefu ata mie nilikuaga hivo hivo maisha yakanibidi niende kutafuta maisha Zanzibar nilijutia sana😂 😂😂😂😅

  • @husseinmwanjela8644
    @husseinmwanjela8644 5 หลายเดือนก่อน

    Wa Kenya mliacha Kiswahili na mkaona Kingereza ni lugha yenu basi tulieni na English yenuuu

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 4 หลายเดือนก่อน

      Kenya na Pwani Ni sehemu tafauti. Pwani yetu iliunganishwa na Kenya 1963.Sisi tulikua chini ya mamlaka ya Zanzibar

    • @husseinmwanjela8644
      @husseinmwanjela8644 4 หลายเดือนก่อน

      Hapo sawa

  • @mondadronography8584
    @mondadronography8584 5 หลายเดือนก่อน

    Uswahilini tuna mda, tusichokifanya leo tutafanya kesho. Kunastarehe tele Uswahilini. Magonjwa ya kimawazo si mengi, upendo na utu umezambaa mno.

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 5 หลายเดือนก่อน

    Pongezi nyingi Madame

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 5 หลายเดือนก่อน

    félicitations, vous parlez couramment le swahili

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 5 หลายเดือนก่อน

    Tatizo ni kasumba ya ujinga kuthamini sana lugha za kigeni, lugha ya Kifaransa si ya Burundi ni ya taifa la Ufaransa kwa hiyo mkataa kwao ni mtumwa poleni sana. Those who deny their culture and language are stupid, are part of the ignorant, Ceux qui nient leur culture et leur langue sont stupides, font partie des ignorants. vraiment désolé pour le Burundi et les francophones

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana Jazaka LAAH khaira hapo nimekuelewa kwa ufasaha mzuri

  • @FaustaKavishe-l1e
    @FaustaKavishe-l1e 5 หลายเดือนก่อน

    Kongole sana kwa Baraza la Kiswahili Tanzania na washititi wote wa Kiswahili, hakika tutazidi kubidhaisha lugha yetu adhimu ya Kiswahili👏👏💪

  • @praisethatprays6305
    @praisethatprays6305 5 หลายเดือนก่อน

    HUMPHREY SLOW!! I KNOW WHAT POLEPOLE MEANS IN SWAHILI!!

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 5 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili ni fahari yetu sisi Waafrika.

  • @SantosKapita-gt9rc
    @SantosKapita-gt9rc 5 หลายเดือนก่อน

    Watching from Angola 🇦🇴 Portuguese speaking nation 🇦🇴.... Mimi Ninapenda sana kizungizia lugha ya Kiswahili

  • @AseriKasa-h6y
    @AseriKasa-h6y 5 หลายเดือนก่อน

    Being a grandson of a fijian chief, our legend state we traveled down the river Rufiji in Africa south of Tanzania, Apparently we were warrior who also worked as gold mines Egypt

  • @AseriKasa-h6y
    @AseriKasa-h6y 5 หลายเดือนก่อน

    In Africa, in this Taqanaika region, dwelt for a long time warrior group of people called the'Viti 'people Africa king them very well

  • @AseriKasa-h6y
    @AseriKasa-h6y 5 หลายเดือนก่อน

    I'm from fiji Island pacific My grandfather came from Tanganyika Rufiji river 1st century cushites from Ethiopia settle in Tanganyika 10th century AD about this time the fable of fijian from Tanganyika

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 4 หลายเดือนก่อน

      ooh u are most welcome i am tanzanian my mother came from Rifiji

  • @FatmaKombo-y8e
    @FatmaKombo-y8e 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona umefanana sana na Dr zeyana au muko ndugu?

  • @smukangaitv
    @smukangaitv 5 หลายเดือนก่อน

    Ufafanuzi mzuri sanaaaaaaaaa

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 5 หลายเดือนก่อน

    Hapana si akili bandia bali ni akili mnemba.

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 5 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili ni lugha yenye mswano mkubwa.

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 5 หลายเดือนก่อน

    Mmefanya vyema sana ukuza lugha hii yetu adhimu.