Msikilize kwa Makini Shekhe huyu katika kisa hiki utajifunza kitu kikubwa sana.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 หลายเดือนก่อน

    ❤mashaallah tabarakaah ❤
    ❤Shukran Sheikh wetu mawaiza mazuri ❤

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt หลายเดือนก่อน

    Allahu akbar mwenyezimungu ni mkubwa

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 หลายเดือนก่อน

    SUBHANALLAH
    LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
    ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MUHAMMADIN WAALI SAIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM

  • @nomadicman6781
    @nomadicman6781 3 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAHU AKBAR
    ALLAH AMPE DARAJA YA JUU YA JANNAH

  • @nyihajjialiy2287
    @nyihajjialiy2287 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar...

  • @omarimbaruku8571
    @omarimbaruku8571 2 หลายเดือนก่อน

    😂😅

  • @bakarishareeff1111
    @bakarishareeff1111 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaaaallah Tabarakallah

  • @mbeyusaid4688
    @mbeyusaid4688 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh Walid Allah Skype umri mrefu uzidi kutuelemisha.

  • @almasiahmed547
    @almasiahmed547 2 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar

  • @faridmnyamike556
    @faridmnyamike556 2 หลายเดือนก่อน

    Allahu Akbar

  • @user-nn2dk7zm9n
    @user-nn2dk7zm9n 2 หลายเดือนก่อน

    Nisahihi

  • @pastorkishimbo
    @pastorkishimbo  2 หลายเดือนก่อน +1

    Elimu ya Mungu sio biashara! Kama kuna changamoto yeyote tuwasiliane kwa namba 0753887695; hiki kisa cha Shekhe Walid kinafundisha wengi ndio maana tukakipandisha hatakama ni imani tofauti! Tukipata taarifa officially kwa wahusika hii video tutaishusha kwani sio lazima iendelee kuwepo hapa.Shalom.

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hakuna tatizo tunakumbushana mazur tuache mabaya visa vya waja wema wachamungu vituecourage tuwe miongoni mwa waja mwema
      Mungu akuongoze na akupe utambuz wa kukubali kuwa hapana mola apaswae kuabudiwa Kwa haki ila Allah na Mohammad saw ni mtume wetu na Mungu hakuzaa Wala kuzaliwa , ubarikiwe sana

    • @africa7479
      @africa7479 2 หลายเดือนก่อน +1

      hiv kuna wafanyabiasha kwenye elimu kama nyie mapastor.. acha watu watoe kama wanataka

    • @pastorkishimbo
      @pastorkishimbo  2 หลายเดือนก่อน +3

      Mimi sijakataa watu watoe hasa wanapotoa kwaaji ya Kazi ya Mungu ndio maana kisa hiki nimekiweka hapa kifundishe hata wasio waislam​@@africa7479

    • @SakinaSakinat-qd9rs
      @SakinaSakinat-qd9rs หลายเดือนก่อน

      ​@@pastorkishimbo hujakosea

  • @user-ev7dh1np3w
    @user-ev7dh1np3w 2 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAHU AKBAR

  • @faridmnyamike556
    @faridmnyamike556 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah alipe Nuru kaburi lake