ALIYEWAHI KUWA MSAGAJI MAARUFU AOKOKA, ASIMULIA UPEPO WA KISULISULI ULIVYOMVUTA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 348

  • @fatmasemfuko6383
    @fatmasemfuko6383 4 ปีที่แล้ว +60

    Kachagua huko sababu ndio kwepesi kwake kulingana na mavazi na muonekano wake, sababu angeenda msikitini ingebidi avae machungi . But mungu ndio mjuzi wa kila jambo. Tumuombee Mwenzetu pamoja na kuziombea nafsi zetu kila mmoja ana mzigo wake.

    • @fatmasemfuko6383
      @fatmasemfuko6383 4 ปีที่แล้ว

      @Nuru beauty& kitchen Asante

    • @marycelinapaschal9619
      @marycelinapaschal9619 4 ปีที่แล้ว +5

      Acha mtu amini anacho amini Jesus is my victory🙏

    • @iddydawood2020
      @iddydawood2020 4 ปีที่แล้ว +2

      @@marycelinapaschal9619 kwani kalazimisha watu kuamini anachokiamini yeye????

    • @naaminielienea6084
      @naaminielienea6084 4 ปีที่แล้ว +1

      Uko sahihi

    • @maliethnyoni2847
      @maliethnyoni2847 4 ปีที่แล้ว +5

      Kwan msikitin awavai visuluali mnavaa madila ila magesti mpo mda wote ukisema kuusu mavazi unakosea tena amna vazi baya na linaloficha uchafu km ijabu na kanzu

  • @marygaspary199
    @marygaspary199 4 ปีที่แล้ว +129

    Tunaomkubali Yesu tugonge like zetu hapa !

    • @MohammedAli-up6cu
      @MohammedAli-up6cu 4 ปีที่แล้ว

      Nawale wote wanaopenda kufanya wapendavyo kwa matamanio yao,wagonge like pia.

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 4 ปีที่แล้ว +44

    Subhanallah yaa Allah tunusuru waja wako utuongoze njia ya sawa yaa rabb mitihani mikubwa

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 4 ปีที่แล้ว +7

    Hongera binti. Nakutia Moyo mpe Mwenyezi Mungu nafasi utashinda. Ni maamuzi magumu and is actually a big challenge.

  • @nasryathabit6863
    @nasryathabit6863 4 ปีที่แล้ว +36

    inalillah'wainaillah'rajiun allah tunusuru na watoto wetu yarab

    • @hildababyabdullah5627
      @hildababyabdullah5627 4 ปีที่แล้ว +2

      Amiin Allahumma Amiin

    • @leilamohamed950
      @leilamohamed950 4 ปีที่แล้ว

      Innalillah wa inna ilaihi rajiuun...... Yaa Allah tunusuru ss na yy Pia.....

    • @ashuraahmed367
      @ashuraahmed367 4 ปีที่แล้ว

      nasrya thabit Amina mwenyezi mungu anusuru kizazi hiki

    • @hussenmwinyi7025
      @hussenmwinyi7025 4 ปีที่แล้ว

      Ameen yarab

  • @mariamsaid5655
    @mariamsaid5655 4 ปีที่แล้ว +17

    Haleluyaa MUNGU ni mwema mdogo wangu

  • @Richesfam
    @Richesfam 4 ปีที่แล้ว +3

    Wooow Bwana Yesu Asifiwe!!! Glory to God!! Baba zidi kuukowa watoto wako

  • @isabelasimon9960
    @isabelasimon9960 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mdogo wangu. Nakutia moyo, Yesu ndo njia pekee ya uzima! Enjoy your life.

  • @misshemela5770
    @misshemela5770 4 ปีที่แล้ว +30

    Mungu anawajua walio wake. Hongera kwa uamuzi

  • @lucykayombo161
    @lucykayombo161 4 ปีที่แล้ว +6

    I know the peace she talks about,no one can understand untill u meet Jesus...its the peace above human understanding..

  • @neemajosephati8403
    @neemajosephati8403 4 ปีที่แล้ว +20

    Kalibu Kwa Yesu kuna Uzima wa Milele.

  • @edsonmbijima4832
    @edsonmbijima4832 4 ปีที่แล้ว +11

    Mungu akubarik sana kwa uamuzi ulioufanya upo sehem sahihi kwa wakati sahihi!

  • @fatmamohammedali4306
    @fatmamohammedali4306 4 ปีที่แล้ว +18

    ALLAH akuongoze kwenye njia iliyonyooka kutoka usagaji mpaka kanisani Yaaaa ALLAH husnul'khatima kwetu na kwa watoto wetu

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 ปีที่แล้ว +6

    Subhna Allah eti nimeokoka dada Dini ya haki mbele ya mwenyzimungu ni Usilam ya Rabby tupee mwisho mwema😢😢

    • @happymaiko5121
      @happymaiko5121 4 ปีที่แล้ว +1

      Uisilamu? Kwel we boya

    • @hildababyabdullah5627
      @hildababyabdullah5627 4 ปีที่แล้ว

      Amiin Allahumma Amiin Samantha Ali hajielew huyu huyu dada

    • @dativaherman9235
      @dativaherman9235 4 ปีที่แล้ว +1

      Shekhe gani alikufa akarudi akawambia hivyo

    • @happymaiko5121
      @happymaiko5121 4 ปีที่แล้ว

      @@dativaherman9235 hai ndo wachaw wakubwa we acha tu hoa mashekhe ndo waganga balaa

    • @alimaalima6016
      @alimaalima6016 4 ปีที่แล้ว

      Ukitaka kujua haki iko wapi soma comments sasa

  • @hussenmwinyi7025
    @hussenmwinyi7025 4 ปีที่แล้ว +4

    Inalillahi waina illahi rajun.haujaenda kwamganga ila unabudu asiyekuwa mungu.

    • @festosamweli1845
      @festosamweli1845 4 ปีที่แล้ว

      Allah ana mikono na miguu inasemekana mungu jua

    • @8pistons194
      @8pistons194 4 ปีที่แล้ว

      Ni babaako

  • @josephntobi2315
    @josephntobi2315 4 ปีที่แล้ว

    Dah! Shetani ni mwalibifu, mdada nzuri, shetani alimwiba.Hongera mungu anakupenda.

  • @africamoja2924
    @africamoja2924 4 ปีที่แล้ว +2

    Nilipokuwa kanisani niliambiwa hivi"Ili kufika mbinguni Luna njia mbili,nazo ni njia nyembamba na kuna njia pana,na njia nyembamba ina miiba na taabu nyingi ila njia pana ja raha na starehe za kila aina. Nikaamin na sadaka nikatoa.
    Nina mshukuru mwenyez Mungu mwaingi wa rehema leo hii sisi ni wachache dunia nzima na ndio tunaopita ile njia nyembamba.Takhbiiiiiiiiiirrr.
    Mimi ni MUISLAMU.
    shaban Gabriel ismail.
    Necta &Tcu.

  • @aliethlwaitama9592
    @aliethlwaitama9592 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana,Mungu akusaidie upate mafundisho ya kweli na uukulie wokovu .

  • @mimmohsherrykaesther5375
    @mimmohsherrykaesther5375 4 ปีที่แล้ว +1

    Glory be to God in God all things are possible may God guide you grl

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 4 ปีที่แล้ว +16

    Sisita hapo umechagua fungu jema hongera sana.

  • @emmanuelconstraction8346
    @emmanuelconstraction8346 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana usimame katika imani kwa uwezo wa allha.....akuwezeshe kudumu katka ukrsto ili uzidi kuwa na amani..

  • @FatmaFatma-hu4cr
    @FatmaFatma-hu4cr 4 ปีที่แล้ว +33

    Inalilah waina ilaihi rajiun subhanallah

    • @maimunaathman4664
      @maimunaathman4664 4 ปีที่แล้ว

      Kkk

    • @neemakaluwa2089
      @neemakaluwa2089 4 ปีที่แล้ว +1

      Mmmmmh! Yaan mnajifanyaga dini yenu ndo yahaki sana!
      Mungu ni mmoja mbona wakristo wakina Muslim hatujaji?

    • @kizashabani1486
      @kizashabani1486 4 ปีที่แล้ว +1

      Unalan wew dada

    • @mayahhajih2636
      @mayahhajih2636 4 ปีที่แล้ว

      @@kizashabani1486 teena sana

    • @mayahhajih2636
      @mayahhajih2636 4 ปีที่แล้ว

      @@neemakaluwa2089 dini yA haki ni moja tu na ni uislam na sio ukiristo so ww tete upuuz wako na sio kuingiliana na kuvukiana mipaka

  • @judithtz3509
    @judithtz3509 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni hatua kubwa dada,Mungu akutangulie ktk safari hii.

  • @fatmazenafzena917
    @fatmazenafzena917 4 ปีที่แล้ว +24

    Allah atuhidi tuijue njia ya haqi tuifuate na batil tuiepuke

  • @hechihechie5558
    @hechihechie5558 4 ปีที่แล้ว

    Mm nakupongeza sana!!umechagua fungu jema!Mungu ni Wa wote ! atakufanya kuwa mtu Wa kuheshimiwa sana

  • @glorymagava9364
    @glorymagava9364 4 ปีที่แล้ว +6

    Hongera binti nzuri kwa uamuzi mzuri big up daughter

  • @euvassammy8537
    @euvassammy8537 4 ปีที่แล้ว +1

    Forget about everything.. i just like the way she speaks.

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 4 ปีที่แล้ว +20

    Mavazi hayampeleki mtu peponi ila moyo mwema, 👍🏼,

    • @hildababyabdullah5627
      @hildababyabdullah5627 4 ปีที่แล้ว +2

      Nani kakwambia ukikaa uchi unaenda peponi endelea kuwaambia wezio uongo ttz ilo

    • @sabrinasalum4387
      @sabrinasalum4387 4 ปีที่แล้ว

      We dada chizi

    • @rajaballiy3514
      @rajaballiy3514 4 ปีที่แล้ว

      Yaan nyie mkiambiwa ukwel mnakimbilia kwamba mavaz haya mpeleki m2 pepo . Kuwa na maarifa utaangamia tabia nzur inaenda na mavaz

    • @ruthjmkombozi5990
      @ruthjmkombozi5990 4 ปีที่แล้ว

      Mavazi yangekua yanapeleka watu peponi basi waraabu wengi wangekua huko, ila kila siku tunasikia na kuona kwenye vyombo vya habari makundi ya kigaidi yanatoka katika nchi za kiarabu, matendo ya mtu yata ambatana nae, kwasababu kama utakaa uchi makusudi ukiamini hivyo pepo utaisikia tu, lakini kuna watu kuvaa half naked ni mila zao na wamejikuta hivyo, mfano nchi ya swazland..wanamwamini Mungu but huwezi kwenda kuwambia vaa gauni au suluali.

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 4 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainnailaih rajiuun Allah akurudishe katika dini yako na akuhidi akusamehe dhambi zako na akuongoze katika njia ya khaki

  • @jedidah1633
    @jedidah1633 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana binti,na Mungu akutendee unachotaka maishani

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wetu mwaminifu sana Mungu amesema njooni wenye mizigo ya zambi mtapokelewa mm binafsi naamini dini zote sawa cha msingi imani yako na kumtumikia Mungu kwa moyo mmoja

    • @rajaballiy3514
      @rajaballiy3514 4 ปีที่แล้ว

      Sio mbaya akili yako ndipo ilipofikia apo kwenye kufikiri. Ukristo tofaut na Islamic. Nitafute nikufunze upate kujua

  • @neemajosephati8403
    @neemajosephati8403 4 ปีที่แล้ว +3

    Dada mzuri Mungu akulinde

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 4 ปีที่แล้ว +5

    Mithal 10:19 katika wingi wa Maneno hapakosi kuwa na maovu Bali yeye azuaye midomo yake hufanya akili.dada yangu zui mdomo wako let them talk but you know what you are doing keep jesus forever in your heart and your life

  • @kautharramadhan4516
    @kautharramadhan4516 4 ปีที่แล้ว +6

    Sub hana llah

  • @saidaahmed364
    @saidaahmed364 4 ปีที่แล้ว +8

    Subiri lasna ya Allah ....

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 4 ปีที่แล้ว +5

    Bibilia inasema yakale yapita tizama yamekuwa mpya so no judgement for her Yesu ananguvu sana na dada atakuwa mpya kinoma I know Jesus

  • @abuumudhakkir7132
    @abuumudhakkir7132 4 ปีที่แล้ว

    We we Dada unajua kama kuna kufa na baada yakufa kuna kufufuliwa kisha kuna kuhesabiwa baada yahapo kuna moto na pepo Ila kwa hayo unayoyafanya jiandae na moto au rudi kwa alla mbii kabla hujafa

  • @abukulthum6598
    @abukulthum6598 4 ปีที่แล้ว

    Hii ndio funzo kwetu waislamu kwa kubabaikia mapambo ya dunia tukajisahaulisha na kujipurukusha kwa kuiwacha dini yetu na la muhimu zaidi hesabu ya akhera.. tuwe tukijikumbusha sana kuwa miaka tutakayo ishi hapa duniani mwishowe tutarudi kwake Allah SW.. tukazane kuwasomesha wtt wetu waijue dini yetu tukufu kwa maslahi yetu sote..

  • @nasramohamed3353
    @nasramohamed3353 3 ปีที่แล้ว

    Hivi wajielewa kweli malkizi wewe c muislamu Sasa uko unakoelekea dada ni kubaya zaidi unazidi kujididimiza omba mungu asiitoe roho yako katika hali hiyo Rudi katika dini yako haraka iwezekanavyo mama namuomba Allah akupe nguvu na uwezo mana. Wewe huna uwezo tena hapo umeshajitwika jabali lakichwa duuu innalillahi wainnailaih rajiun yarabby tupe mwisho mwema tuokoe yarabby tuokoe mola wetu shetani anazidi kututawala tuokoe yarabby

  • @fatumaabdallah566
    @fatumaabdallah566 4 ปีที่แล้ว +3

    Sidhani kama kunaukweli hapa uyu alipotea mda kidogo sasaivi naona anajizindua tena😎😎😎 shauli yake mwenyewe na nafsi yake ila Mungu adhihakiwi iwe umeingia kanisani au msikitini🚶🚶🚶

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atunusuru amen

  • @najmandanshau3316
    @najmandanshau3316 4 ปีที่แล้ว +1

    Anapita pita kariako huku anajikuta star wa upuuzi,hajabadikika chochote huyo anafurahisha umma tuu

  • @restitutaeliezery7064
    @restitutaeliezery7064 4 ปีที่แล้ว +2

    God save me too

  • @attunelson8828
    @attunelson8828 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki na akutie nguvu katika maisha mapya.

  • @AbdullaAbdulla-pw5nd
    @AbdullaAbdulla-pw5nd 4 ปีที่แล้ว +1

    Lana za Allah ziwe juu ya maisha yako duniani na yaumulkiyama ww nimlaanifu ila inokuhadaa ni pumzi tu

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 4 ปีที่แล้ว

      Mtu kaokoka laana itatoka wapi

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 4 ปีที่แล้ว

    wow! am so happy for you! GLORY BE TO JESUS! Nakupenda bure Queen. umechagua njia nzuri hata sura yako imekua na utulivu wa kiMUNGU. Ukirejea picha za awali ni tofauti na hii hata comments la last time ni tofauti na hizi I bless you keep it up!

  • @mariamnamwa188
    @mariamnamwa188 4 ปีที่แล้ว +1

    She's cute...may God guide u sis

  • @morgankalima5824
    @morgankalima5824 4 ปีที่แล้ว +1

    Muislam akiokoka inakua big ishu kwa wa islamu na mkiristo akisilmu na akawa muislam wa islamu wanafurahia sana .

  • @meryraphael5298
    @meryraphael5298 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akusimamie,ndiyo yako iwe ndyo kweli,Mungu hatakuacha,ila juwa kuwa KUOKOKA NI VITA,SIMAMA NA Mungu akupiganie mwenyewe

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mwema sana

  • @emmanuelmwananzila776
    @emmanuelmwananzila776 4 ปีที่แล้ว +5

    Tatzo la bongo kiki zmezid ata ukisikia maongez tu unajua ni mipango tu ya mchungaji na uyo dada

  • @kanezasheikha6426
    @kanezasheikha6426 4 ปีที่แล้ว +5

    Inalilah Wainalilah lajun hovyooo uhhh mung anakuwon

  • @slmn4476
    @slmn4476 3 ปีที่แล้ว

    Ni vzr kwa sabab tiba n popot lkn mung ni mmoj t nanepaswa kuabdiw han mxrhka so kurd kwake t njia sahih na ndiy maan ya muisla. Allah akujaalie wepec ktk hilo

  • @geofreymanento6547
    @geofreymanento6547 4 ปีที่แล้ว +1

    The power of Jesus

  • @jayo7649
    @jayo7649 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada mjanja amejua sehemu ya kupata pisi bwerere ni chachi na bar tu

  • @elizaalony2231
    @elizaalony2231 4 ปีที่แล้ว

    Hongeraa saaanaaa mungu akufanyie wepesi

  • @greesgrees856
    @greesgrees856 4 ปีที่แล้ว

    Huyu ndio Mungu wa haki mungu akuongoze sana

  • @shadyaomariy9163
    @shadyaomariy9163 4 ปีที่แล้ว +1

    Binti mzuri ana jiingiza kwenye mambo mabaya... Yani hawa watoto ndio walio shindikana katik maisha na kuto wasikiliza wazazi ila moto upo na kiama pia kipo

    • @chulelubella2819
      @chulelubella2819 ปีที่แล้ว

      Tena dada mrembo ambaye anaweza kuolewa na kuzaa watoto inasikitisha

  • @michaelmchodo2862
    @michaelmchodo2862 4 ปีที่แล้ว

    Ibada njema inaanzia home.. Ngoja tusubirie mwisho

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyu hajuwi ninachokifanya ni stress inampelekesha nahajuwi alekee wapi waislm tumeelewe insha allah akiwa saw atarudi ku allah

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 ปีที่แล้ว +6

    Ni Huzuni kubwa Muisilamu umeshaijua haki halafu unakwenda siko

    • @meryraphael5298
      @meryraphael5298 4 ปีที่แล้ว

      Kufa kila MTU anatakufa kivyake,yuko sahihi kabsa

    • @hildababyabdullah5627
      @hildababyabdullah5627 4 ปีที่แล้ว

      Haq bd hajaijua akiijua haq atabadilika hata mavazi yke yataonekana

  • @mkalimala3564
    @mkalimala3564 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaenda huko sababu aliyemwingiza kwenye haya mauchafu ni shagazi yake na bila shaka alijuwa muislam...yote ni maamuzi kubwa ni amanu ya moyo.

  • @nagmynamahin2463
    @nagmynamahin2463 4 ปีที่แล้ว +4

    Tusiache kushangaaa coz yatakuja mengiiiii tuuuuuuu ya kushangaza🤔🤔🤔🤔

  • @faza4023
    @faza4023 4 ปีที่แล้ว

    Yesu ni kila kitu!

  • @godfreyorago7501
    @godfreyorago7501 4 ปีที่แล้ว +21

    Bongo ndo nchi inayoongoza kwa kusapoti ujinga

    • @masungajumapili5864
      @masungajumapili5864 4 ปีที่แล้ว

      me sioni alipookoka

    • @hildababyabdullah5627
      @hildababyabdullah5627 4 ปีที่แล้ว

      @@masungajumapili5864 hata mm pia mana muonekano wake tuu shida

    • @hildababyabdullah5627
      @hildababyabdullah5627 4 ปีที่แล้ว

      @@masungajumapili5864 tatizo ilo

    • @justinefesto8426
      @justinefesto8426 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha

    • @nelliemagawi8905
      @nelliemagawi8905 4 ปีที่แล้ว

      Wafarisayo pia waliuliza yesu mbona yi Karina sana na watenda dhambi ...Christ came for sinners just like the story of the prostitute we dont know 5 years from now how she will be so best not judge or be judged by God...

  • @hildababyabdullah5627
    @hildababyabdullah5627 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimeona crate ya bear anapita nayo m'baba naona ndio umefata ulevi kweli kanisa co sehem takatifu ulevi ndani ya kanisa hakika kanisa halina tafauti na sokoni

  • @lucykayombo161
    @lucykayombo161 4 ปีที่แล้ว

    Woow! She will get far in Christ in Jesus name.

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 4 ปีที่แล้ว +17

    Atii wee ni Bint wa Kiislaam...sema Astak-haf- Liillah...

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 4 ปีที่แล้ว +3

    Bado ujabadilika hata huko kanisani pia wanakushangaa na masuruali zako za kiume na masuti yako. Rudi ktk uislam

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 4 ปีที่แล้ว +1

    Weee muislam unaokokoa unartadi subhanallah umertadi sasa subiri.uone majibu yake kwa Allah

  • @allyathman9584
    @allyathman9584 3 ปีที่แล้ว

    SubhanaAllah

  • @uwingeneyeshadia7697
    @uwingeneyeshadia7697 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalilah wainailaih rajiun Allah anamuongoza amtakae na anampoteza amtakae uyo mwelekeo utakiona mbele ya safari

    • @festosamweli1845
      @festosamweli1845 4 ปีที่แล้ว

      Huyo Allah ni nan

    • @uwingeneyeshadia7697
      @uwingeneyeshadia7697 4 ปีที่แล้ว

      Festo Samweli kama humjuwi Mungu wala hautamjuwaga na ushindwe na uregee

    • @festosamweli1845
      @festosamweli1845 4 ปีที่แล้ว

      @@uwingeneyeshadia7697 we Allah cyo mung mung jua hyo km unabsha fuatilia kwan we wafkir kwann mnaswalishwa kwa lugha ngen kna utata mle fungua macho

    • @festosamweli1845
      @festosamweli1845 4 ปีที่แล้ว

      @@uwingeneyeshadia7697 soma hadith na Quran havielewek jaman naomb nkuulze kwann mtme alioa mtoto was miaka 6

    • @uwingeneyeshadia7697
      @uwingeneyeshadia7697 4 ปีที่แล้ว

      Festo Samweli Lanatullah Allah azidi kukulaani akufanye kuni zamotoni ibilisi sheitwani we basi km Allah sio Mungu wendo mkubwa wa abilisi tena koma na ushindwe audhubilah minasheitwani rajim

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary9698 4 ปีที่แล้ว +1

    Matayo 19 25 Wanafunzi wake waliposikia haya walishangaa sana, wakamwuliza, “Ni nani basi anaweza kuokoka?” 26 Lakini Yesu akawatazama akawaambia, “Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu kila kitu kinawezekana.... Bibilia mnaisoma kweli?

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 4 ปีที่แล้ว

      Ndiyo jibu lake kwa Mungu kuna wokovu

    • @jumajaffary9698
      @jumajaffary9698 4 ปีที่แล้ว

      @@humphreymwihambi4330 Hatari Za Utajiri
      23 Kisha Yesu akawaambia wanafunzi, “Nawaambieni kweli, itakuwa vigumu kwa mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni. 24 Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni.” 25 Wanafunzi wake waliposikia haya walishangaa sana, wakamwuliza, “Ni nani basi anaweza kuokoka?” 26 Lakini Yesu akawatazama akawaambia, “Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu kila kitu kinawezekana.

    • @jumajaffary9698
      @jumajaffary9698 4 ปีที่แล้ว +1

      @@humphreymwihambi4330 Utaokoka ukishahukumiwa siku ya mwisho sio duniani

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 4 ปีที่แล้ว

      Andiko linasema kila atakayeliitia jina la Bwana ataokoka unaujua?

    • @jumajaffary9698
      @jumajaffary9698 4 ปีที่แล้ว

      @@humphreymwihambi4330 Toa hilo andiko

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 4 ปีที่แล้ว

    hapa ni watu weng watajadiliana kuhus kuabdili din huwa ni maamuz ya mtu na wapo moyo wako wapi unakua na aman mm kama mm ninaugomvi ma mzazi mmoja sababu dini hii hii but mm nakuwa na aman sehem nyingine waje achen mtu achague wapi anahis yupo sahihi na si kumkandia sjui kafir MUNGU ni mmoja na ni wawote hamna sehem iliyoandikwa kuna miungu wawil KIP IT UP GIRL I LOV U

  • @KBAHDELA
    @KBAHDELA 4 ปีที่แล้ว

    ukweli uko pale pale huyu ana miaka mingi anatafuta kick za kila aina ila kama kweli hii sio kiki Mungu amfanyie uwepesi Mungu ni moja tu hope kesho kutwa asije akakimbia na uko.

  • @sampachino5184
    @sampachino5184 4 ปีที่แล้ว +10

    Subhana min dhalika fi nar jahanam 😷😷😷

    • @kanezasheikha6426
      @kanezasheikha6426 4 ปีที่แล้ว

      Allah atukilind. Jaman

    • @8pistons194
      @8pistons194 4 ปีที่แล้ว

      Waislamu wengi akili zenu nusu mlingoti

  • @emakulatachalle777
    @emakulatachalle777 4 ปีที่แล้ว

    Mungu anakupenda

  • @francisfidelis5291
    @francisfidelis5291 4 ปีที่แล้ว

    hongera dADA

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 4 ปีที่แล้ว +1

    I wonder kwanini watu humu wanatoka mapovu kwa MTU mwenye akili na utashi wake kuamua kufanya anachoona ni saws kwake. Nashangaa sanaa aiseeee......!! Kila uchao kuna watu wanatoka from Ukristo to Uislam na hakuna watu wanapiga kelele. Msimsaidie kazi Mungu, anayehukumu ni Mungu mwenyewe. Ninachofahamu ni kuwa ngano na magugu always vitajitenga tu.....hakuna haja ya kupiga kelele. Jesus can change anyone from nobody to somebody, just accept him as Lord and saviour of your life and you will be free....free indeed!!

  • @sabbob574
    @sabbob574 4 ปีที่แล้ว +1

    Welcome to Christ sister. May lord fill you with blessing on all your daily activities.

  • @shanizyusuf8210
    @shanizyusuf8210 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalilahi wainnailahi rajiun pumbavu nazi yani uwache uislam uingie ukafirini .

  • @arafasalum4476
    @arafasalum4476 4 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainnalillah rajiun. Msibaa huu jmn

  • @hellenmwayole8715
    @hellenmwayole8715 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukutea

  • @africamoja2924
    @africamoja2924 4 ปีที่แล้ว

    Kama alikuwa anasaga basi sasa hivi anafanya vyote anakoboa na kusaga. Natania jaman, Yesu asifiwe.

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 4 ปีที่แล้ว +11

    That lady she's not serious

  • @nuraydasworld4431
    @nuraydasworld4431 4 ปีที่แล้ว +1

    Mhh subhanna allah

  • @hilalmahrazi2287
    @hilalmahrazi2287 4 ปีที่แล้ว

    Ila mungu akusaidie

  • @johnamnyange6108
    @johnamnyange6108 4 ปีที่แล้ว

    very powerfully

  • @issamohammed2458
    @issamohammed2458 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakuwa muislamu toka hapo mwanzo, asishughulishe watu mwenyewe anajieleza.

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 4 ปีที่แล้ว

    sisi tuliokoka hawa tunawaita kondoo inabidi apatikane mchungaji wa kumchunga kwa karibu sana . ataenda kuwa chombo kwa bwana yesu . binti kazana . Ila Mungu yupo kwa kuijua kweli na kweli itakuweka huru na kweli hii ni gospel tu.

  • @happysalva24
    @happysalva24 4 ปีที่แล้ว

    Mungu aku saidiye

  • @chiefmasoud3996
    @chiefmasoud3996 4 ปีที่แล้ว

    Blessing

  • @irakozenurah8990
    @irakozenurah8990 4 ปีที่แล้ว

    Allah amuongoze arudi kwenye dini yake

  • @abuukhalifa1856
    @abuukhalifa1856 4 ปีที่แล้ว

    Wazazi myaone kajiona mwepesi kwakua imani imemvuka moyoni mwake

  • @rebahwafula7628
    @rebahwafula7628 3 ปีที่แล้ว

    Mtu anayesamehea dhambi ni mungu. Basi mwanadamu atoe yaliyo machoni mwake ndipo angalie ya jirani huyo. Na kama ni kumwombea usiwambie kila mtu jinsi unavyoomba.
    Hakuna binadamu mtakatifu.
    Mungu ni mholy.
    Mungu ndio judge kwani wee binadamu ni nani unayejua mpango wa mwenyezi mungu kama hata hujui siku ya kufa kwako .

  • @komanyaamin6732
    @komanyaamin6732 4 ปีที่แล้ว +3

    Uisilila hautaki uchafu kama huo hatahayo manywele huweziingia nayo msikitini ndo maanaumeamua kujihami

    • @festosamweli1845
      @festosamweli1845 4 ปีที่แล้ว

      Ila unataka kuuana kbaka na kusomeana albadil

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว +2

    Dunia 😣

  • @ruthjmkombozi5990
    @ruthjmkombozi5990 4 ปีที่แล้ว +1

    Bongo tuna nn? Mtu akiwa anafanya yasio faa shida, akiyaacha pia shida.

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wa kweli kakutoa kwenye ushoga.

  • @fedhasalum5476
    @fedhasalum5476 4 ปีที่แล้ว +12

    Inna lilah wainna ilaih rajuun