Nikweli hamkuwahi kujua kwamba kuiendea kaburi kwa kuiombea ni thambi??? (Nae si Mungu wa wafu bali ni Mungu wa walio hai (luka 20:38-39)) Mtasalimika know????
1. Tafsiri yako haiko sahihi 2. Usihukumu aidha kwa kujua ama kutokujua 3. Biblia siyo gazeti la udaku, jifunze elimu ya biblia kwa wanazuoni waliobobea ili uepuke kujipotosha na kupotosha wengine. Akhsante
piter laiza u r busy applying the scripture selectively read 2 Tim 1:18....the catholic church believes in the following, the pilgrim church, the suffering church and the triumphant church. understand people's faith before being judgemental without any theological backing....good day
Wapumzike kwa amani amina
Raha ya milele uwape eeh bwana na mwanga Wa milele uwangazie. Amina
Mama wa mungu kisha baba yake Maria ni babu yake mungu Mzee yakumbu 😁😁😁😁 ukristo. Unamajabu sana .
Wapumzike kwa amani
Nikweli hamkuwahi kujua kwamba kuiendea kaburi kwa kuiombea ni thambi???
(Nae si Mungu wa wafu bali ni Mungu wa walio hai (luka 20:38-39))
Mtasalimika know????
1. Tafsiri yako haiko sahihi
2. Usihukumu aidha kwa kujua ama kutokujua
3. Biblia siyo gazeti la udaku, jifunze elimu ya biblia kwa wanazuoni waliobobea ili uepuke kujipotosha na kupotosha wengine. Akhsante
piter laiza u r busy applying the scripture selectively read 2 Tim 1:18....the catholic church believes in the following, the pilgrim church, the suffering church and the triumphant church. understand people's faith before being judgemental without any theological backing....good day
i see pictures but canot understsnd anything
Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie
why are the MC liturgy priests donning stoles???
Please if you are not a catholic don't comment things people are not understand stay away from catholic places go
Wapumzike kwa amani