NDIWE ULIYE MUNGU PEKEE, TUNAKUABUDU - KWAYA YA SHIRIKISHO JIMBO LA MOSHI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025
- NDIWE ULIYE MUNGU PEKEE, TUNAKUABUDU - KWAYA YA SHIRIKISHO JIMBO LA MOSHI
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa
This song isn't a joke .. it's on another level.... indeed African Chakacha...
mlijua kuimba kwakweli Mungu awabariki sana
Haki hiyo sadaka lazima Mungu aliikubali. Nyimbi nzuri ya kumsihi Mungu apokee sadaka yetu sisi wadhaifu
Wimbo ninayo upenda sana. Kila siku nausikiza. Twamsifu yesu tukiwa waafrika. Utamu wawakatoliki. Twaomba kupata lyrics zake.
Wimbo mzuri sana. Umejaa mahadhi ya kiafrika. Hongera mtunzi
Surely the presence of Jesus must have been felt in that particular mass.
Hakika ndiwe mungu pekee wakuabudiwa...Amina
Najivunia sana kuwa mkristo Mkatoliki 😊😊🙏
hongereni, naeza pata nota za huu wimbo tafadhalini
Hongera Kwaya ya Shirikisho Jimbo la Moshi Kwa uimbaji wenu mzuri.nyimbo zenu hunibariki Sana..Wimbo wenu wa ndipo niliposema is my daily national Anthem.Kutoka Kenya twawapenda Sana.Proudly Catholic.
Wametoa nyingine mt Gregory mkuu kristo mfalme moshi haina hata wiki tatu wimbo unaitwa Ee bwana nafsi yangu inakuone kiu mzuri sana tazama y tube
Sauti nazo,,wooooi
Hakika Mungu pekee ndiye wa kuabudiwa.
Misa ilikuwa nzuri sana
Wimbo mzrii sana; wanakwaya mbarikiwe jamn
Contagious joy,very beautiful sounds
Daa mmenikumbusha nyumbani Moshi
Nice song
nime barikiwa na huo wimbo jaman
Can i get a copy from kenya Thika? Its such a beautiful song. I watch it again and again
Ni wewe Mungu wetu milele
Aminaaaa
Ni wewe Mungu pekee twakuabudu.amina
Mungu pokea sadaka yetu
Alléluia !!!
awesome!
Naweza pata wapi copy ya huu wimbo
Kuna dvd yake jimbo katoliki moshi
nimepamiss moshi jamaniiiii
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Naweza pata nota za wimbo huu
Hatuna aiseee
Kuna dvd na huu wimbo upo ndani
kuna nota zake chrome tafuta nota ya ndiwe uliye Mungu
utaletewa
Mtunzi nani...?
Kuna dvd na huu wimbo upo ndani
Sina hakika na hilo
Sifahamu
Padr ndesario
Mtunzi traditional kama sikosei
Surely the presence of Jesus must have been felt in that particular mass.