Sheikh Mwaipopo❤ nimependa ile hizo aya Ulizitoa km kuna Aya mungu anawambia Watu na nyengine Mungu anawambia Waislam. Hata wewe kuna mda pia unaongea na Waislamu tu na kuna mda unaongea na watu wote, tunapokosea Sheikh Tukosoe maana hiyo ndio kazi ya ukumbusho kwetu. Ahsante sana na Mungu akulinde hapa Diniani na kesho Akhera. Amiin 🙏
Mimi sijui kama wewe ndio mkweli au wao ndio wakweli ila Mungu ndiye mjuzi zaidi.Tujitahidi ndugu zangu katika hii Dunia kuomba sana Mungu akupe ufahamu wa mambo mannne(4). 1.Kujua hii ni haki na uifanye. 2.kujua hii ni batili na uiache. 3.kujua hii ni Halali na uifanye. 4.Kujua hii ni Haramu uiache. - Itakuwa ni majonzi na majuto siku ya kurudi Kwa Mungu Haramu lilifanya ulilifanya kuwa Halali.na Batili kufanya kuwa haki.Haya yote huwezi kuyafanya Kwa usahihi mpaka kumwomba sana Mungu akupe ufahamu.Tumwombe Mungu atupe Mwisho mwema.
Sawa Sawa mhadhir Mwaipopo Sema kweli baadhi ya Ma askofu na Ma Padri ni wa Chadema sio wote ila baadhi lakini wapo ambao wapo kidini zaidi kutangaza neno la mungu kuliko Sijui Chama Flani
Shekh Mwaipopo umesema kweli na upo sahihi wanaokusema kwa ubaya sisi tunaosikiliza tunayajua maneno ya ukweli na pumba, akili ni nywele kila mmoja ana zake, na wengine wanasema akili nyingi huondoa maarifa, jambo la kushangaza sana wasomi wengi wenye elimu ya juu ni maprofesa, wenye digrii, wenye masta, wenye diploma tunao wengi lakini ukisikia kauli zao utakosa umuweke katika fungu lipi,
Hilo la kuiba shekhei usiangaike nalo kalimaliza kiongozi wao mkuu wa chama chao tundu lisu amesema hivi anashangaa chama kushindwa kufanya kampeni nchi zima hili hali vyama rafki duniani vime hifadhili chadema pesa zakutosha kufanya kapeni lkn M'kit wake amezitumia kunulia magari ya kifahari.Sasa hili nalo wana mlaum ccm? Wananchi amkeni msitumike kwa masirahi ya watu fulani au ukoo fulani.
Dah
(Mungu)akuzidishie umri
Sheikh mwi popo Amin
Ahsante Halima Mdee!
Sheikh Mwaipopo❤ nimependa ile hizo aya Ulizitoa km kuna Aya mungu anawambia Watu na nyengine Mungu anawambia Waislam. Hata wewe kuna mda pia unaongea na Waislamu tu na kuna mda unaongea na watu wote, tunapokosea Sheikh Tukosoe maana hiyo ndio kazi ya ukumbusho kwetu. Ahsante sana na Mungu akulinde hapa Diniani na kesho Akhera.
Amiin 🙏
Sema mwaipopo Sema
Shekhe Safi Sana waambie waache ujinga
Mwaga MAJI 😢😢😢😢tatizo bandari
Sema ukweli said
Sheikh mwaipopo hao maaskofu hizo vurugu wapeleke Vatican kwa mashoga
Alopewa kapewa hata mkimchukia ALLAH KESHAMPENDA
Mimi sijui kama wewe ndio mkweli au wao ndio wakweli ila Mungu ndiye mjuzi zaidi.Tujitahidi ndugu zangu katika hii Dunia kuomba sana Mungu akupe ufahamu wa mambo mannne(4).
1.Kujua hii ni haki na uifanye.
2.kujua hii ni batili na uiache.
3.kujua hii ni Halali na uifanye.
4.Kujua hii ni Haramu uiache.
- Itakuwa ni majonzi na majuto siku ya kurudi Kwa Mungu Haramu lilifanya ulilifanya kuwa Halali.na Batili kufanya kuwa haki.Haya yote huwezi kuyafanya Kwa usahihi mpaka kumwomba sana Mungu akupe ufahamu.Tumwombe Mungu atupe Mwisho mwema.
Sawa Sawa mhadhir Mwaipopo Sema kweli baadhi ya Ma askofu na Ma Padri ni wa Chadema sio wote ila baadhi lakini wapo ambao wapo kidini zaidi kutangaza neno la mungu kuliko Sijui Chama Flani
Asalam alaikum sheikh mwaipopo piga kweli tuko nyuma yako wala usiache kusema kweli wasituletee vurugu katika nchi yetu
Acha ukuma wewe
Kauza bandari
Utasikia tz hamna udini,samia 2030
Shekh Mwaipopo umesema kweli na upo sahihi wanaokusema kwa ubaya sisi tunaosikiliza tunayajua maneno ya ukweli na pumba, akili ni nywele kila mmoja ana zake, na wengine wanasema akili nyingi huondoa maarifa, jambo la kushangaza sana wasomi wengi wenye elimu ya juu ni maprofesa, wenye digrii, wenye masta, wenye diploma tunao wengi lakini ukisikia kauli zao utakosa umuweke katika fungu lipi,
Tanganyika na zanzibar imeharibika tangu 1964.
Kumbe alisukumwa ndio pressure ikapanda kumbe asingesukumwa angekua bado anauhai wake sasa Mwaipopo povu linakutoka kwa mantiki gani sasa
Waambie mwaipopo hawana adabu
Unataka kusema serikali haikosei mbona haukosoi maonevu kibao , na hao polis wajiangalie
Uku tambani mkuranga kitongoji cha mkoga kulikuwa nakura ya ndio na hapa lakini mgombea wa ccm aloshindwabna hapana kwaiyo ccm awaibikura
Mwaipopo mbona hauna akiri kafili wewe nyoko
Wewe kakojoe ulale Chadema chama chawajinga mnoo atapotezana wao Kwa wao
Utateuliwa uwaziri kazana kujitoa maana siku hizi niajila
Hilo la kuiba shekhei usiangaike nalo kalimaliza kiongozi wao mkuu wa chama chao tundu lisu amesema hivi anashangaa chama kushindwa kufanya kampeni nchi zima hili hali vyama rafki duniani vime hifadhili chadema pesa zakutosha kufanya kapeni lkn M'kit wake amezitumia kunulia magari ya kifahari.Sasa hili nalo wana mlaum ccm? Wananchi amkeni msitumike kwa masirahi ya watu fulani au ukoo fulani.
Wabunge mbona wanawachangia mgonjwa ,ila wasanii wanachaniwa au yeye sio mtanzania wanabaguwa.
Huna mwisho mwema ,kama ukiendelea na ujinga wako huo, wa kutetea maovu
Ila mwaipopo IQ yako iko chini mno
We Mwaipopo upo dunia gani humuoni Tundu lisu yupo msibani na rco na police wamekiri wenyewe kua wamemuua mwanachama wa chadema.
th-cam.com/video/jVM7kwn9HQE/w-d-xo.htmlsi=khy2Yt_qWzx1GYG1
th-cam.com/video/jVM7kwn9HQE/w-d-xo.htmlsi=khy2Yt_qWzx1GYG1
Mkweli wa Mungu Nani ? Sheikh Mwaipopo au Askofu Katoliki
th-cam.com/video/jVM7kwn9HQE/w-d-xo.htmlsi=khy2Yt_qWzx1GYG1
KUMBE KITIMA HAJAOWA 😢😢😢😢😢😢😢😢AU KAOLEWA
@@OmmyJames-xn7ji😂😂😂🙌
Huna akir wewe sijui umezariwa nch gan
We ndio kilaza kabisa unaongozwa na roho mbaya na chuki tuu
Akiri ndio nini?
Umezariwa ni nini?
Sasa ndugu usiite watu wajinga hao ni viongozi wa dini wana heshima zao ko tumia maneno ya busara