Usichokijua Huyo shishi yupo hapo kwa Ajili ya kupush Bss... Profile yake NI kubwa hapa Tz ukitaka cheki Instagram ya Shishi uone ana followers wangapi...sasa akipost kwenye page yake show itaenda kwa watu wengi sana...so hapo shishi ni zaidi ya Jaji
Happy new year wana Bss from 2023 to 2024🎉🎉🎉 ukawe mwaka wenye kheri na mafanikio kwenu wote guys💫🫶🎵🎶🎶💪💪💪
*" 2024 A YEAR OF SIGNS AND WONDERS "*
EVERYDAY IS A DAY OF EXPERIENCING GRATE SIGNS AND WONDERS IN JESUS'S MIGHT NAME, AMEN🙏🙏
Mziki ni hisia master j utaua
what song was the girl singing at 26:29
Shedrack day, Nyerere days
Majabana amejiimba mwenyewe kwer kamnyweso ni mbaya
Dar imetisha. Msimu huu dar wanachukua.....from Kenya
Salama Nakupenda
meena ally
Nakupenda Madame Rita
"Inauma lakini utazoea 😅, " ila shish
Dada huyo Amelia akiimba taarabu naomba mpe gmail yangu I will support her pls apeputia changamoto mungu wangu
shishi akopoa
Nimefrah jins salam alivyomkumbatia huyo dada aliyelia big up madame
Kama kufurahisha atafute kipindi cha comedy huyu Shishi
Hii imeenda
Uyo aliyelia nimemfeel😢😢
Happy New Year 🎉 I love watching this. Love you all.
They should told em if gospel songs aren’t allowed on that
Nayo nayo tukianza mwaka mpya kenya 🇰🇪 1 one
Which channel on dstv
😂Mimi nikama shishi juu nikiwa jaji ntapitisha wote kwa huruma😂😂😂😂
😂😂😂😂
@@lastonemwenda5083 🤣🤣🤣
Happy new year Mina
Huyo shishi hafai kuwa Jaji
Bss muwekeni pembeni huyo Shishi kupindi chenu kitabuma
Usichokijua Huyo shishi yupo hapo kwa Ajili ya kupush Bss... Profile yake NI kubwa hapa Tz ukitaka cheki Instagram ya Shishi uone ana followers wangapi...sasa akipost kwenye page yake show itaenda kwa watu wengi sana...so hapo shishi ni zaidi ya Jaji
Hapana anafurahisha😂