kwa sasa inaoneakana wazi mumekuwa maadui kati yenu na inaonekana kuwa mbowe una hasira sana maana hujawahi kupata upinzani mkali kama unavyopata sasa. Tahadhari usimuue mwenzio kwa ajili ya madaraka.
Viva Bushoke 🔥🔥🔥🔥 nice Voice. You still have a golden Artistic spirit in You, Love you much Bro Edit: Moja ya muimbaji hapo amefanana sana na Bushoke na vipaji vinaendana sana kiasi kwamba nikajua ndieee 🔥🔥🔥
Mbowe ana akili nyingi sana, Mzee wangu nakukubali mno. Utakumbuka ulipokuja Mbeya nilitoa mkono nje ya dirisha la gari kukupa tano kwenye mlima wa Mbalizi, ulirufi nyuma hatua kama sita kunipa tano. Nilikubaliana sana na hoja za Lissu ila amefanya kosa kubwa sana kuku-attack Personally. Na kwa ninavyomjua Lissu, mtu mwenye akili kubwa sana na Mwanasheria... Hafanyi kwa bahati mbaya, nyuma yake kuna nguvu kubwa sana yenye nia tofauti na ya CHADEMA. Nasikitika sana, angebaki kwenye hoja pekee angekua kavuka salama safari ya Uenyekiti... Kwanini imemlazimu kuonesha umma kua Mbowe hafai?
Huyo wa ccm hajui kanuni ya majadiliano!! Hakuna neno "..kupingana..." bali "..kutodautiana..". Hawa ndiyo wanaokuwa wakiwa na akili kwamba kuwa na mawazo mbadala ni upinzani na siyo kutodautiana!! Angalia hata hoja zake ni za mtaani hazina mantiki bali zimejaa unafiki
Kitendo cha kuwepo nachaguzi ni moja ya time limit, kama hatoshi watu watamwondoa kwa kura.. Katiba hajaiandika yeye, wabadilishe katiba kama bado akitaka kugombea ndio alaumiwe. Sina cha kukulaum Mbowe kugombea ni haki ya kila mtu ukiwemo ww kwa mujibu wa katiba ya chama chenu.
Huyu jamaa anatia huruma ili watu wamuone Hana kosa lkn juzi alikua anakenua meno na Wana ccm wanacheka Cheka halafu ndo mwenyekiti hello unatakiwa kua mtu makali Ambae hautak mazoea
Kikeke mbona maswali yako kama hukutoka BBC? Very very very simple questions why? Were you not prepared for this interview? Hahahahaaaaaa, this is Tz. bhana.
Mzee tuachie vijana tusimamie chama ka pembeni uwe mshauri na Mzee wa chsma , una pesa za kutosha teyrari hofu ya nini? Tundu ni simba mpaka mama katoa jina😢
Wenzako wanataka wachukue chama, kwanini usiachie ngazi ukabaki kama mshauri wa Chama? Miaka 20 kweli hujaandaa mtu mwingine anayeweza kukiendesha chama? Kikeke hujauliza Maswali Muhimu
Crown kazi nzuri please msilete upande moja na nyingine isikuwe kila mtu asikike kwa sababu ya demokrasia
Crowm inaenda kufanya maponduzi ya media TZ
1:26:40 Mazungumzo na Mhe. Mbowe yanaanza hapa
Asante kaka umetusaidia kusave Muda na MB
@@barakaekuro 🙏
Siasa zimenoga tanzania Salim kikeke kazi nzuri
Huyu jamaa anajibu Kwa hoja nimeipenda hii........Lissu aache kuhumu atoe hoja kama hizi
Amejibu hoja gani
kwa sasa inaoneakana wazi mumekuwa maadui kati yenu na inaonekana kuwa mbowe una hasira sana maana hujawahi kupata upinzani mkali kama unavyopata sasa. Tahadhari usimuue mwenzio kwa ajili ya madaraka.
akili za usiku😂
Wachanga ni hatari kwa pesa anawenza kumuua ili tu abaki madarakani.
Kijana wa Sisiemu
Nimeridhika pasipo kuwa na shaka yoyote mbowe ni kiongozi
Hakuna kiongozi hapo
Akili za third world
Umesikiliza,upande mmoja halafu umeridhika...😂
We want to hear both sides...pande zote!
@@edsonkilatu5211kwa kweli upande mmoja interview....
Tumieni main camera za boomer badala ya kubadilishana microphones kazi nzuri crown media hakuna favors it's transparency
Bens agro star to the world...
Mbowe ana hasira mnoo
Viva Bushoke 🔥🔥🔥🔥 nice Voice. You still have a golden Artistic spirit in You, Love you much Bro
Edit: Moja ya muimbaji hapo amefanana sana na Bushoke na vipaji vinaendana sana kiasi kwamba nikajua ndieee 🔥🔥🔥
Crown media tumieni huu uchagusi kuimarika na ku outshine
Nice program
Ila Dj ad umenipotezea lengo mimi na huyu anaesoma hapa
Salim nimependa mahojiano Yako na mwenyekiti wetu Mbowe mtu smart asiyeyumbishwa na hakurupuki hongereni nyote hapo studio!...
Anahasira mzee wangu
Freeman anajua siasa na bigwa
Nimeona jina Swai , tushawashtukia mazee. Mmedanganya sana watanzania kumbe ni chama cha ukoo , shenzi sana
Radio imekaa ki BBC Safi sana
Huyu dada halima sijui ccm moto
No matter who will be elected but what the consequences after election ?
Lisu 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌍🌍🌍
Acheni mambo mengi nendeni moja kwa moja kwnye malengo
Mbowe pumzika tuu mzee, kiongozi mzuri ni yule anaamini na kutengeneza Viongozi wengine
FAM tuna kupenda ila kwa sasa inatosha
Lissu ni mihemko tuu na kujiona marufu. Lissu thinks without him, Chadema cannot survive. Thank you Mwenyekiti
Huna akili au unayo kidogo
Lisssuuuu
Huyu mwenye kilemba hamna kitu,kama wameandaliwa kwanini muwapambanie ili wachaguliwe tena mkiwa na mabunduki kibao😢
Unasema lissu yupo muda mrefu chadema hajayasema hayo hiv hujui lissu ni mgombea lazima ajinadi atafanya nn
Political news is a very important inabeba uzito
Barua pepe vipi email zenu watangazaji wa crown
SAUTI IPO CHINI SANA, TUNAOMBA MAREKEBISHO YA KIPANDE KIJACHO.
Kama ulipomsimamisha Lisu kuwa mgombea wa nafasi ya uraisi, unadhani kama angeukwaa urais pangetoaha hapo CDM !?
Ajira ipo shambani mtaji aujulikani upo wapi😂😂😂
Chairman himself
Maelezo mazuri ila nafasi yako kwa sasa ni mzee wa chama, sio mwenyekiti
mbowe achia ngazi unatumika na ccm nahapo wapo nyuma yako
Mbowe ana akili nyingi sana, Mzee wangu nakukubali mno. Utakumbuka ulipokuja Mbeya nilitoa mkono nje ya dirisha la gari kukupa tano kwenye mlima wa Mbalizi, ulirufi nyuma hatua kama sita kunipa tano. Nilikubaliana sana na hoja za Lissu ila amefanya kosa kubwa sana kuku-attack Personally. Na kwa ninavyomjua Lissu, mtu mwenye akili kubwa sana na Mwanasheria... Hafanyi kwa bahati mbaya, nyuma yake kuna nguvu kubwa sana yenye nia tofauti na ya CHADEMA. Nasikitika sana, angebaki kwenye hoja pekee angekua kavuka salama safari ya Uenyekiti... Kwanini imemlazimu kuonesha umma kua Mbowe hafai?
Ni Dk Slaa ndiye aliyejenga Chadema.
Lisu hajamshutumu moja kwa moja Mbowe.
Mbowe achia ngazi sisi watu wa mlima Nyerere aliona mbali
Mbowe kamanda Tunakupenda
Unampenda
kikeke ujui kuoji
Mbowe tapeli kweli sikuwa nafahamu
Huyo wa ccm hajui kanuni ya majadiliano!! Hakuna neno "..kupingana..." bali "..kutodautiana..". Hawa ndiyo wanaokuwa wakiwa na akili kwamba kuwa na mawazo mbadala ni upinzani na siyo kutodautiana!! Angalia hata hoja zake ni za mtaani hazina mantiki bali zimejaa unafiki
Kitendo cha kuwepo nachaguzi ni moja ya time limit, kama hatoshi watu watamwondoa kwa kura.. Katiba hajaiandika yeye, wabadilishe katiba kama bado akitaka kugombea ndio alaumiwe. Sina cha kukulaum Mbowe kugombea ni haki ya kila mtu ukiwemo ww kwa mujibu wa katiba ya chama chenu.
Sasa kama umeshindwa kuweka term limit tutakuamini vip kwenye serikali si utatuuzaaa😅😅😅😅
Kwani uwamini vp kwani katiba amna au
au ujitambui
CCM hawatoki kwa Lele mama.chadema wanahitaji MTU mwenye msimamo.
Mhoji na Lissu ubalance mzigo.
Everyone has a voice swala la audience kuuliza maswali pia muhimu
Mimi nashangaa wanaosema Lissu ana mtuhumu Mbowe, kwa mimi nilielewa Lisu anazungumza mapungufu walikotoka na walipo alieleza vizuri kwanini ukomo wa madaraka ulitolewa na kwanini uludi
Hakika
Mbowe hakitendei chama haki....
Mbowe akili kubwa sana TAnzania nzima janawanaskiliza
Huyo anajiita bananga ni bananga kweli anatia aibu tu hapo Chama kinategemea msaada wa polisi hicho sio chama
Huyu akiingia ikulu hatoki ng'o
Kilakitu kinaongozwa na katiba
Maji muhimu hawa ni viongozi
Mkeleten na gachague aongee polojo zake
Kikeke hukamii maswali yajibiwe vizuri. Yaan unaacha magepu Sanaa ya mtu kutoroka. Huyu tutamtaitisha Kwa Odemba Huyu. Pale ndipo tutamkomalia pale
Mimi nilidhani mtamkomalia siku ya uchaguzi? Kwani Odemba anapiga kura?
@johnmwasilu7087 Nazungumzia habari ya kuhoj maswali nyeti ili yajibiwe na sio habari ya kura
@@johnmwasilu7087huu uchaguz unamaslahi na umma lazima tumuuluze maswali hata kama hatupigi kura
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Huyu jamaa anatia huruma ili watu wamuone Hana kosa lkn juzi alikua anakenua meno na Wana ccm wanacheka Cheka halafu ndo mwenyekiti hello unatakiwa kua mtu makali Ambae hautak mazoea
Hutaki Time limits, halafu unataka mageuzi. Mwizi wa kifikra kujiona ww ni special hufi.
Ulikuwa unasikiliza interview ipi? Mbowe hakusema hivyo
@johnmbowe anzingua hataki hilo jambo la ukomo wa madarakamwasilu7087
Tunatamani pia print media alikiba tunakutazamia kwa hili bado kuna waandishi
Vijana wa Tanzania ni waongo au waoga wakiambiwa tuandamane huwaoni
Ajabu hivi sasa chadema wanadai ushahidi wa tuhuma za mwenzao nje ya vikao pia
Sasa umekaa zaidi ya miaka 20 solution yako ilikuwa ipi?
Mbona ww kikeke huna ukomo wa kufanya kz umetoka bb Na asaiv umedandiya crow
Kikeke mbona maswali yako kama hukutoka BBC? Very very very simple questions why? Were you not prepared for this interview? Hahahahaaaaaa, this is Tz. bhana.
Kaulize wewe
Wendawazimuu 😢
Mbowe Nikiongozi Imala Asie Yumbiswa Na Chochote Sio Mtu Wa Mhemuko
tunawapata live mbarali mbeya
Wewe mzee Mbowe umechoka pumzika utuachie mpuuzi kabsa
CCM nichama cha shetani hata majibu yao unayaona hawana haibu kabisa
Mzee tuachie vijana tusimamie chama ka pembeni uwe mshauri na Mzee wa chsma , una pesa za kutosha teyrari hofu ya nini? Tundu ni simba mpaka mama katoa jina😢
Lissu mlopokaji hatufai chadema tunamuhitaji mwamba wetu mbowe
Mnamuhitaji mpaka lini?
Mpaka amalize mitano yake mingine tunaenda na mwamba wetu freeman aikaeli mbowe kwanza
@@RamadhaniLema mwamba wenu we na Nani?
MBOWE ALIMWACHIA RISU AGOMBEE URAIS HANA UROHO WA MADARAKA
Mbowe Achia ngazi.💪🙏
Kikeke umehongwa na mbowe ,,why huulizi maswali ya maana ,tunamtaka kikeke wa bbc
Wenzako wanataka wachukue chama, kwanini usiachie ngazi ukabaki kama mshauri wa Chama? Miaka 20 kweli hujaandaa mtu mwingine anayeweza kukiendesha chama? Kikeke hujauliza Maswali Muhimu
You are right
Mbowe tumekuchoka aachia ngazi na wengine waongoze chama. Miaka 21 uliyoongoza chama inatosha.
Umemchoka wewe
Huyu jamaa ni mjanjamjanja tu.
Mbowe pumuzika baba,tatizo husemi Kwa wakat muachiy liss
Sasa Mbowe hutaki kuhojiwa??
Kikeke mwenyewe hajajipanga na maswali
Mbowe aacha bn kuwa KING'ANG'ANIZI wa MADARAKA. Duuuh
Kumbe wewe mh. Wetu mbowe ni wazi ili kuondolewa kwenye madaraka sharti katiba ibadilishwe kwanza😂😂😂😂
Huyu muulizaji ndio yule aliempigia mwanamke goti daaaah inabidi atubie hajui hata kuuliza maswali ya siasa
Acha ukabila faza muache lissu awanyooshe ccm ww inatosha
SALIM KIKEKE KWENYE MASWALI HAMNA KITU INTERVIEW ZAKO NI ZAKAWAIDA SANAAA
Kasema chama ni chake😂
Kama unajua lissu ni mashuhuri wivu wa nn sasa...mwachie bhana achia kiti
Wewe pumzika bwana
Kama unaamin katiba inamapungufu mbona unakomaa na katiba ya nchi
Uchaguzi upite tu
Kuwa mshauri wa chama twende na lisu usibaki peke yako kama lipumba
Mbowe alisema hatogombea Toka 2015 ila Sasa mh
Hello
Mbowe yamefika mwisho achia tu mpaka uaibike
Mbowe ukimgusia kwamba aachie kiti ndo utamjua yy ni nani..?
Kwani umezuiwa kugombea
Duh hapa kazo ipo chadema! Mbowe inaonekana ana hasira moyoni
Mimi nashauri msifarakane mnamtihani mkubwa
Maswali magumu sana Kikeke😅 daah!