NOMA!! HII NDIO STUDIO YA MKALI S2KIZZY BAADA YA KUONDOKA SWITCH RECORDS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 146

  • @briannesta2740
    @briannesta2740 5 ปีที่แล้ว +36

    Furaha yangu ni kuona vijana wengi hapa Afrika Mashariki wakifanya makubwa kutokana na vipaji alivyowajaalia Muumbaji.

  • @allenkonky3146
    @allenkonky3146 5 ปีที่แล้ว +40

    aliyegundua kuwa ule wimbo wa rayvany na vanessa mdee ambayo bado hujatoka umetengenezewa hapa baada ya kuona masofa agonge like

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 5 ปีที่แล้ว +17

    Maproducer bongo wananyonywa sana..ukitaka kugundua ni hii ngoma ya tetema,jamaa anajisifia kuwa kalipwa pesa nyingi sana nazo ni mil4..kimahesabu na km ingekua kabisa haki za hawa jamaa kwa mgoma ya tetema tu angekua anasumbua mtaani cz kila ngoma inavyoingiza ndivyo na yeye kipato kinatakiwa kuongezeka...

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 5 ปีที่แล้ว +10

    switch generation mwanzo ckujua kwamba switch record ni sehemu ya kutengeneza producers wenye high level big up #switcherbaba✊ co lazima uimbe rasta #makedow umetengeneza kitu kikubwa xana

  • @matarisuma9036
    @matarisuma9036 5 ปีที่แล้ว +15

    Nakubali s2kizy uko vzuri man

  • @omarymohammed6683
    @omarymohammed6683 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana kaka upo vizur

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 5 ปีที่แล้ว +11

    Kumbe ni wewe uliipika, congrats S2kz

  • @princemujuni9803
    @princemujuni9803 5 ปีที่แล้ว +25

    aliyesikia collaboration ya mtangazaji kwenye dk ya 12. agonge like hapa

  • @rccstv689
    @rccstv689 5 ปีที่แล้ว +6

    Bro thanks nakubali sana kaz yako

  • @jackspar1663
    @jackspar1663 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 5 ปีที่แล้ว +28

    Tetema inasumbua club mingi sana hapa Finland 👊💪

    • @djfunky6026
      @djfunky6026 5 ปีที่แล้ว

      finaland? hahahahaha

    • @bigpope5025
      @bigpope5025 5 ปีที่แล้ว

      Chidiomari. Bro naomba email yako

  • @moneymusics6072
    @moneymusics6072 ปีที่แล้ว +1

    Wewe jama
    Unapiga
    Kaz
    Sana

  • @nathannuru
    @nathannuru 5 ปีที่แล้ว +3

    S2kizzy napenda kazi za kwako ....ivi karibuni nakutafuta mtaa wa kwako mimi kama dogo nutty msanii kutoka kenya ....kuna mengi ningependa ukaweze kunishauri

  • @johnsam4942
    @johnsam4942 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali sana budah

  • @josephmtinda4093
    @josephmtinda4093 ปีที่แล้ว +1

    Imekamilika iyo

  • @JohnTchipungu
    @JohnTchipungu ปีที่แล้ว

    Unatisha kaka yani wew nimkaliiiiiiiiiiii😊

  • @kvoicetv
    @kvoicetv 5 ปีที่แล้ว +3

    Yuko good sana salut

  • @dallasnigers9104
    @dallasnigers9104 5 ปีที่แล้ว +1

    napenda sanaa kufanya kazi naee

  • @Yegon254
    @Yegon254 5 ปีที่แล้ว +8

    napenda sana jinsi unavyouliza maswali, S2kizzy

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 5 ปีที่แล้ว +22

    Hii kazi ngumu watu wengine wanaona kawaida unatumia akili nyingi sana

  • @itzfareed7068
    @itzfareed7068 5 ปีที่แล้ว +8

    Huyu jamaa yuko open sanaaaaaaa

  • @Pac_Gson
    @Pac_Gson 5 ปีที่แล้ว +3

    Namkubali sana broo s2kizzy

  • @benysamwellaw4313
    @benysamwellaw4313 5 ปีที่แล้ว +32

    Ufanye ufanyavyo lazima WCB uwatangaze hata Kama hutaki kila uendapo kila umhojie lazima WCB ipaishwe

    • @nextkingtz6007
      @nextkingtz6007 5 ปีที่แล้ว +1

      Kaka una mambo wewe noma sana

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 5 ปีที่แล้ว +10

    Producer mzuri sana ila tatizo kuna baadhi ya midundo zako hazina punch ya kutosha ..🔥🔥🇰🇪

    • @bongomsasa2496
      @bongomsasa2496 5 ปีที่แล้ว +1

      kwani ni lazima kila mdundo uwe na PUNCH?? hahaha

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 4 ปีที่แล้ว +1

      Toa yako bac tuone

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 4 ปีที่แล้ว +1

    Tetema sample ya they don't care about us by Michael jackson

  • @kennah01
    @kennah01 4 ปีที่แล้ว +1

    Safari iyo. Amenitia moyo mimi kama msani

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 5 ปีที่แล้ว +5

    Ulaya party ya kiafrika bila tetema ni sawa na mboga bila chumvi. Big up bro.

  • @omariclovis3755
    @omariclovis3755 4 ปีที่แล้ว +1

    100%betise swahili

  • @melishmekae4754
    @melishmekae4754 5 ปีที่แล้ว +16

    kama u amkubali jama gonga like chin hapo

  • @fadhiliabdalah3817
    @fadhiliabdalah3817 5 ปีที่แล้ว +8

    Nakukubali sana mkali

  • @ritchiexanti9587
    @ritchiexanti9587 5 ปีที่แล้ว +16

    Huyo msanii ulokwepa kumtaja atakuwa Baraka Da Prince tu😂😂

  • @chicopperboy640
    @chicopperboy640 2 ปีที่แล้ว +1

    blaza nitumie na ya whats app

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 5 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo Tetema ukicheza Kenya utalala jela

  • @Vokali02
    @Vokali02 5 หลายเดือนก่อน

    Yeah

  • @sembojwamaterial8409
    @sembojwamaterial8409 5 ปีที่แล้ว +1

    safiiiiiiiiiiiii braaaazaààaaa"

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 5 ปีที่แล้ว +1

    Anajiskia sana...

  • @producermachai9728
    @producermachai9728 5 ปีที่แล้ว +7

    safi

  • @bathromeovinkumbu610
    @bathromeovinkumbu610 5 ปีที่แล้ว +1

    Salumini kwa mama chamali pale.

  • @shafii_abdallah_mwalile
    @shafii_abdallah_mwalile ปีที่แล้ว

    Niaje bro unapatikana wapi

  • @alhamudesser758
    @alhamudesser758 4 ปีที่แล้ว +1

    Swari bro

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama na wew uju producer anakutisha kiganga ganga

  • @ranujr5246
    @ranujr5246 5 ปีที่แล้ว +1

    Makn sana Nakubl salute kwako

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 5 ปีที่แล้ว +9

    Mi naona uwezo wako + wa Lizer ingekua bora zaidi mukikua pamoja

    • @issadembegeajr1320
      @issadembegeajr1320 5 ปีที่แล้ว

      Ushahur wako ni hatali sema bado awajaufikilia

  • @dboystar7555
    @dboystar7555 4 ปีที่แล้ว +1

    NAItaji namba yako

  • @the.sanJaco
    @the.sanJaco 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye mashine

  • @Jacksongo255
    @Jacksongo255 9 หลายเดือนก่อน

    Uko wapi

  • @vinnoxmedia7156
    @vinnoxmedia7156 5 ปีที่แล้ว +3

    FL Gang

  • @prodhmusic5324
    @prodhmusic5324 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakubal baba

  • @francisdonald4298
    @francisdonald4298 5 ปีที่แล้ว +1

    thumbs up...

  • @ellyyohana5668
    @ellyyohana5668 5 ปีที่แล้ว +3

    Noma

  • @DanielleyanLotisya
    @DanielleyanLotisya หลายเดือนก่อน

    Mnapatikana wapi

  • @BYAUNDA
    @BYAUNDA 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jama anapatikana wapi

  • @erastotoshz4672
    @erastotoshz4672 5 ปีที่แล้ว +1

    Hao Clouds manina sana, mnasema mnasikia ngoma kitaani na hampigi io ngoma shenzi

  • @husseingwanone7825
    @husseingwanone7825 5 ปีที่แล้ว +3

    Good

  • @emanuelmhagama8193
    @emanuelmhagama8193 5 ปีที่แล้ว +6

    *s2killz zombie*

  • @nardboy6724
    @nardboy6724 5 ปีที่แล้ว +2

    Nauliza location ilipo studio

  • @frozen4rozen475
    @frozen4rozen475 5 ปีที่แล้ว +6

    Nice nimisimamo tu

  • @AmosKipngeno-yw1td
    @AmosKipngeno-yw1td ปีที่แล้ว

    Jambo Kaka wapi nompey yako

  • @vincentmhalla4530
    @vincentmhalla4530 5 ปีที่แล้ว +2

    nkubalii

  • @deusandrew628
    @deusandrew628 5 ปีที่แล้ว +5

    yah

  • @ommykessie254
    @ommykessie254 5 ปีที่แล้ว +2

    blood upo juu

  • @selectorzedon255
    @selectorzedon255 9 หลายเดือนก่อน

    Watu tuna Toka mbali

  • @nestoryjohn2221
    @nestoryjohn2221 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii studio iko wap

  • @fptouchz7955
    @fptouchz7955 5 ปีที่แล้ว +2

    Aliye na namba ya s2kizy anisaidie plz

  • @ssafricancreator9151
    @ssafricancreator9151 5 ปีที่แล้ว +6

    Watangazaji mnanongona

  • @gilbertjunior7845
    @gilbertjunior7845 5 ปีที่แล้ว +9

    Congratulations my brother #Pluto hood

  • @geoffreytheprincemwimbaji9343
    @geoffreytheprincemwimbaji9343 5 ปีที่แล้ว +1

    Iko wapi Niko kenya ...
    Am.a musicians

  • @ssafricancreator9151
    @ssafricancreator9151 5 ปีที่แล้ว +8

    Anae edit afanye bust saut ndogo mno

  • @everlynmrutu2471
    @everlynmrutu2471 5 ปีที่แล้ว +2

    Hatar

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 5 ปีที่แล้ว +1

    nlichojifunza ukiamua kufocus chcht kinawezekana

  • @evelinaboniphace6788
    @evelinaboniphace6788 5 ปีที่แล้ว +6

    home boy mbeya juu

  • @hamiswawa5872
    @hamiswawa5872 5 ปีที่แล้ว +17

    kwenye issue ya pesa tu unajua kujiongeza s2kizzy

  • @abedichande2497
    @abedichande2497 5 ปีที่แล้ว +3

    Ana jipyaa mwizi uyoooo TOA wimbo wa Jamaa wa Kenya kwanza usijione umeisha kuwa maarufu walikuwepo kama wewe na leo wako wapi

  • @kidimusic-tz8205
    @kidimusic-tz8205 5 ปีที่แล้ว +3

    S2KIZZY

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 5 ปีที่แล้ว +3

    Zombieeee..

  • @ELiAcharelss
    @ELiAcharelss 9 หลายเดือนก่อน

    Nambr ya smu

  • @nwntz
    @nwntz 5 ปีที่แล้ว +1

    sijackia hapo 11:55!!

  • @dengeboymkaliwaotz6642
    @dengeboymkaliwaotz6642 5 ปีที่แล้ว +1

    Sio poa kk

  • @DILLYDONEWIZ
    @DILLYDONEWIZ ปีที่แล้ว

    🤔

  • @khalidthehighness7210
    @khalidthehighness7210 5 ปีที่แล้ว +1

    Usjali fanya kila unacho kiona sahihi kwenye moyo wako usisikilize watu ni maneno tu sawa

  • @saimondavid3773
    @saimondavid3773 5 ปีที่แล้ว +2

    nayaka nifanyenae kazi nampataje?

    • @damiandonald8694
      @damiandonald8694 5 ปีที่แล้ว

      Kasema mfate instagram kwenye bio yake kuna taarifa zote

  • @eliazaripro5532
    @eliazaripro5532 5 ปีที่แล้ว +2

    1000$

  • @kevomsanii2396
    @kevomsanii2396 5 ปีที่แล้ว +12

    saa hii ndio nimeamini ma producer wanapata tabuu,,yani 2000usd tu! kwa bonge la ngomaa kama hii? na ndio yuko proud mpaka anaisema hadharani!! ila a nsawa tu pambana na hali yako bro..

    • @gamalsankara1388
      @gamalsankara1388 5 ปีที่แล้ว

      Bana. Ma producer wanafaa kulipwa zaida ya hiyo.

    • @amanichanga3448
      @amanichanga3448 5 ปีที่แล้ว +3

      Ni ndogo kwako mkuu... Tunajua kwengine wanalipwa zaidi ila kwa soko letu la ndani it's okay kwa kukuza connection

    • @rasheedomar9661
      @rasheedomar9661 5 ปีที่แล้ว +1

      Pia sidhani km ni kwel amelipwa Hela hyo!

    • @gamalsankara1388
      @gamalsankara1388 5 ปีที่แล้ว

      De Brand basi wana nyanyaswa

    • @Basagamp4
      @Basagamp4 5 ปีที่แล้ว

      Kelvin Karari
      Kibongobongo kalipwa pesa nyiiingi hiyo kaka......Hits kibaaao tu bongo zimetengenezwa buure buure kabisa.
      Producer ananunuliwa Kiepe Nundu na Kilimanjaro tatu then anamtengenezea Hits tatu hata nne

  • @raikaatz3736
    @raikaatz3736 5 ปีที่แล้ว +2

    #GOOD_
    ONE_DAY_NITAKUJA_KUFANYA_NGOMA_

  • @JumaMusa-u8d
    @JumaMusa-u8d 4 หลายเดือนก่อน

    Vp kaka

  • @hdband3181
    @hdband3181 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaaaaaani jamaaa anatumia C1 ama kweli...jina lote hilo!? 😂😂😂😂

    • @peterbanzi6868
      @peterbanzi6868 5 ปีที่แล้ว

      Goland Studios kikubwa sikio tu mkuuu

    • @hdband3181
      @hdband3181 5 ปีที่แล้ว

      @@peterbanzi6868 dah!

    • @emmanueldottto5379
      @emmanueldottto5379 5 ปีที่แล้ว

      Matajiri hawanaga show off kam sisi maskin unaweza kuta wanatumia vtu bei chee sana sabab pesa mingi wana invest kwenye kaz zao

  • @kingbcm9408
    @kingbcm9408 5 ปีที่แล้ว +1

    pluto republic

  • @mgunyajunior1565
    @mgunyajunior1565 5 ปีที่แล้ว +12

    nakukubal dogo maana huna chembe ya unafik ndan yako ni muwazi

  • @lifestarkoech759
    @lifestarkoech759 5 ปีที่แล้ว +2

    Na mbona umekonda saana bro

  • @kwzjkwz3532
    @kwzjkwz3532 5 ปีที่แล้ว +1

    colobalesheni

    • @kidings765
      @kidings765 5 ปีที่แล้ว

      11:55 😂😂😂

  • @guccij3549
    @guccij3549 5 ปีที่แล้ว +2

    Zombie

  • @ramsojimmykelly3379
    @ramsojimmykelly3379 5 ปีที่แล้ว +7

    Naona Ayo amekufa ruge now uedit jina la diamond akitajwa

  • @z00mtv78
    @z00mtv78 5 ปีที่แล้ว +1

    KIJANA ABWEKA KAMA MMBWA BAADA YA KUNG"ANTWA NA MBWA MWEYE KICHAA

  • @IshiKistaa
    @IshiKistaa 5 ปีที่แล้ว +1

    KUTAKA KUJUA NYOTA YAKO KILA SIKU TEMBELEA UKURASA WETU
    th-cam.com/channels/xBrgr6eSdKzbt1PUSZ9dWQ.htmlvideos?view_as=subscriber

  • @Paplick9
    @Paplick9 5 ปีที่แล้ว +2

    Saf

  • @dallasnigers9104
    @dallasnigers9104 5 ปีที่แล้ว +1

    babu kizazissaana kamavip naezhakupata number yako aje ninamaongezi naee naitwa Dallas A.k.A tiger niko South africa cap town pls number yangu ni +27658288747 tuongee pls

  • @joshilastking1
    @joshilastking1 5 ปีที่แล้ว +2

    S2chizy
    Pluto republiq

  • @rajabunyambi2197
    @rajabunyambi2197 5 ปีที่แล้ว +1

    zombi

  • @kekemagori4732
    @kekemagori4732 5 ปีที่แล้ว +3

    Midundo yake znafanana tatizo

  • @shabanijuma2510
    @shabanijuma2510 5 ปีที่แล้ว +2

    TETEMA Hujatengeneza wewe acha kujisifu Sana. wewe chako hapo ni beat tu. lizer ndo katengeneza nyimbo

    • @fredykisongo7081
      @fredykisongo7081 5 ปีที่แล้ว

      We fala Kweli mbn hujaskia saut ya laiza

    • @linusnyanzila1786
      @linusnyanzila1786 5 ปีที่แล้ว +2

      Wew kasema yeye katengeneza beat sio nyimbo

    • @amosimwangosi
      @amosimwangosi 5 ปีที่แล้ว

      ulitengeneza ww

    • @kazibertfaustine3492
      @kazibertfaustine3492 5 ปีที่แล้ว

      aliekuambia katengeneza nyimbo nan......we boyaa

    • @ishengomakato2725
      @ishengomakato2725 5 ปีที่แล้ว

      amesema alituma beat lizer akarecod vocal akatumiwa af akaimix yeye na final kafanya S2KIZZY