MFAHAMU IBN TAYMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @ahmadaliomar
    @ahmadaliomar ปีที่แล้ว

    Mashallwh

  • @mussakatoro8079
    @mussakatoro8079 ปีที่แล้ว

    Jko vzur sana sheikh tena una hoja nzuri sana. Mwahabi ni kikundi cha Wahuni waliozuka kwa ajil ya Maslahi ya dunia.
    Tatzo tu hako kaushia ulkonako. Njoo huku kwa watu wa TASAWWUF kund lililo bora kabisa. Allah akuongoze inshaallah

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว

      Mussa Katoro tufafanulie maana ya uwahabi. Kisha tufafanulie tasawwuf. Utakuwa umetenda uadilifu.

    • @mussakatoro8079
      @mussakatoro8079 ปีที่แล้ว

      @@ahmadmzoa74 Uwahabi ni kikundi cha kisiasa kilichoasisiwa na Muhammad Abdul Wahaab kikifadhiliwa na Muhammad Saud ili kumuweka Saud madarakani. Ili kutmiza hayo, Itikadi mbovu ya Ibn Taymiyya ilifufuliwa. Hivyo, watu wote wakat huo wakawa washirikina ispokuwa waliomfuata Abdul Wahaab. Kwa itkad hyo wakamwaga damu na kuiweka Dola ya Saudia madarakani. Baada ya miaka kupta, ile itkad ilionekana ni tishio kwa ukoo wa Saud. Hvyo wakaanzsha Usalafi. Ndyo maana hao kna Utaymiin, Ibn Baaz n.k. hawawez kosoa maovu ya dola hiyo abadan. Umeelewa???

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว +1

      @@mussakatoro8079 Nashukuru kwa maelezo yako mazuri. INSHAALLAH ntapenda tuzidi kupeana faida.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว

      AĹLAH SUBHANAHU WATAALA katika Surat Fuswilat:44 Ametuamrisha tuseme maneno mazuri kwa kuwaita watu kwa ALLAH SUBHANAHU WATAALA,kutenda yaliyo mema na tujiite Waislamu. Je, nini sahihi kuongeza jina jingine zaidi.?

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      ​@@ahmadmzoa74 nyinyo mawahabi acheni janjanja zenu.eti hamjui uwahabi ni nini.lkn mnajua sufi na mashafii ni nani. Wahabi ni mfuasi wa mohamed ibn Abdulwahab. Jambazi mmoja ambaye kila kitu kwake ni bidaa na nishirki

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 ปีที่แล้ว

    Sio kweli , unachokisema, humjui Sheikh Islaam IBN Taymiyyah .

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว +1

    Tunajilinda kwa ALLAH SUBHANAHU WATAALA kutokana na fitna zenu. "INNA LHALALA BAYINU WAINNA LHARAMA BAYINU "

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Yarabi mlaani ibn taymiyah kwa kauli zake za chuki dhidi ya Ahlulbayt

  • @safiasaleh7742
    @safiasaleh7742 ปีที่แล้ว +1

    Unajitutumua rafidhwa

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Kuita majina hazitowasaidia mawahabi kama mnajiamini jibuni hoja kielimu

  • @UstadhBilal
    @UstadhBilal ปีที่แล้ว +1

    Dogo fanya hishima na adabu ikushike na ibnu taymiya fanya adabu na ibnu taymiua ww wamjua siwakumueleza ibnu taymiya fanya adabu ndakuambia imi shika hishima yako ibnu taymiya sisaiz yako tafuta kazi nyengine yakufanya

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Wewe mjinga kweli.yana ibn taymiyah na maneno yake ya hovyo hivyo ni mtu wa kuhesjimiwa kweli.Allah amlaani huko aliko. Na wewe kama nikidume kweli pinga kuwa maneno hayo hayamo kwenye vitabu vya ibn taymiyah. Nakama yapo basi ni maneno ya hovyo na yakikafiri

  • @alkashaaiy9722
    @alkashaaiy9722 ปีที่แล้ว

    HIVI HUYU AMTUKANA MUAAWIAH BIN ABII SUFYAAN HUYU KISHA AMTOLEA USHAHIDI MANENO YA JAHMIY SAGAAF..... KWELI DUNIA IMEGEUKA MBELE NYUMA NYUMA MBELE ....
    الجاهل لا يعلم رتبة نفسه فكيف يعرف رتبة غيره ...نسأل الله العافية و السلامة

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni bingwa wa uongo na fitna. Soma vitabu vya Imaam Ibn Taymia (Rahimahu LLAH)Ndo utajuwa alikuwa mtu wa aina gani. Hawa jamaa wanalazimisha uwongo.

    • @hamdiabdi1420
      @hamdiabdi1420 ปีที่แล้ว

      Sema ukweli wa ummah lkn vumilia TU utafanya Nini Sasa?

    • @omarhussen
      @omarhussen ปีที่แล้ว

      Hana kazi

    • @omarhussen
      @omarhussen ปีที่แล้ว

      @@hamdiabdi1420 marawafidwa hawa

    • @kasimukiduba4484
      @kasimukiduba4484 ปีที่แล้ว

      Ww khuraf umekosa kazi acha uongo kuzuulia uongo Sheikh wa masheikh

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Wewe jahili kweli.kwani hicho kitabu alicho soma siyo cha ibn taymiyah. Yani mawahabi ni mbumbumbu kweli

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว +2

    Wanatumia gharama kuchapisha machapisho ya kubadilisha ukweli.Wanaandika vitabu vya uongo kama waandikavyo matukano ya kuwatusi Maswahaba) Radhwiya LLAHU a'nhum ).Mtawpata mtakao wapata,sio Waislamu wote wajinga.

    • @omarhussen
      @omarhussen ปีที่แล้ว

      Kama wanaweza kutukana baadhi ya mas haba nawakeze mtume watashindwa kumtukana ibn taymiya?hawa nimarawafidha

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Mawahabi msiwe watu wa kulialia tu.kama maneno hayo hayamo kwenye vitabu vya ibn taymiyah thibitisha kwa hoja

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      ​@@omarhussen Nendeni na ujahili wenu. Maswahaba gani walotukanwa.tukisema Abdulrahman ibn udais kafanya kosa kumuua halifa othman ndo kutukana.tukisema aisha kakosea kutoka na kupigana na halifa wake Ali ndo kutukana.kama hamjui majahili nyinyi muawiya ndo aloaanza kutukana alafu akafatiwa na mwanaharamu ibn taymiyah. Kama unapinga hayo toa hoja za kielimu siyo kurapurapu tu

  • @saidmakamejanja3616
    @saidmakamejanja3616 ปีที่แล้ว

    Hyu khuraf naona kakosa kaz wala hakuna mtu wa sunna atakae kurud ww . Manake ww hamuna ktu ni mtu anarkosa heshima kwa maulamaa . Hem kama wataka umfaham ibnu taimiya soma vitab vyako

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Yani nyinyi mawahabi mmelaaniwa kweli.yani mnamtetea ibn taymiyah kwa kumtukana imam Ali na bibi Fatuma. Kweli mawahabi hawanatofauti na wanaharamu. Maana hakuna mwanaharamu anaye wapenda Ahlulbayt