Mambo 9 siwezi kufanya; 1. Kulazimisha kufit kwenye urafiki 2. Kuruhusu dharau 3. Kutopanga matumizi ya pesa 4. Kujali /Kuangalia watu wengine watasemaje juu ya maisha yako 5. Kutoa maoni juu ya maisha ya watu wengine 6. Kuwa na marafiki wengi wa umbea...tengeneza good network 7. Kufata mkumbo wa mambo yanayofanywa na marafiki 8. Kutokumjua Mungu 9. Kugombana kwa kutukanana au vijembe Asante 🤝🤝
Nimekusikiliza kwa umakini Sana dear! Nimekuelewa na umenijenga Sana leoo Yaani Hadi nimehisi wepesi kwenye maisha yangu, asantee Sana mdogo wangu umenijengaaa kiafya leo💞💞💞💞
Dada malkia toka nijue channel yako nilijua ume base kupika tu kumbe na madini kama hayo yaushaur unatoa siko above 30 but nmepata kitu kikubwa sana naomba utufanyie vdeos pia za house tour tujifunze zaid kutoka kwako ubarikiwe mpaka ushangae dada maana hunauchoyo wakile Mungu alichokupa.
darling video ni nzuri naomba tuongezee sauti next time.... upo kama mimi ila kwenye hela jamani naweka list nilinunua nini vileeee ai budget hela naikumbukia hadi ya wiki ilopita😅😅😅😅😅
Mambo 9 siwezi kufanya;
1. Kulazimisha kufit kwenye urafiki
2. Kuruhusu dharau
3. Kutopanga matumizi ya pesa
4. Kujali /Kuangalia watu wengine watasemaje juu ya maisha yako
5. Kutoa maoni juu ya maisha ya watu wengine
6. Kuwa na marafiki wengi wa umbea...tengeneza good network
7. Kufata mkumbo wa mambo yanayofanywa na marafiki
8. Kutokumjua Mungu
9. Kugombana kwa kutukanana au vijembe
Asante 🤝🤝
Woow. This 🙌 Thanm you for joking them down. Love you
❤❤❤asante nimejifunza vingi kwako kabisa asante dada
Yani umenipa maisha mapya kipenzi asante sana
Me nina miaka 22 lakin nimekuelewa sana dada malkia🥰
Barikiwa sana
Nimekusikiliza kwa umakini Sana dear! Nimekuelewa na umenijenga Sana leoo Yaani Hadi nimehisi wepesi kwenye maisha yangu, asantee Sana mdogo wangu umenijengaaa kiafya leo💞💞💞💞
Amina sic wangu. Nakupenda
Mimi tatizo langu kubwa kwenye pesa hapo mtu akija kuniomba pesa nampa yaani sijui nikoje jmn huwa nakuwa na huruma sana sijui nimerogwa
Dear naona mm na ww tukae pamoja najiumizaga sababu ya huruma kwa watu
Umeongea mpaka umeongea tenaaaaaaa… Loud and Clear sis😘 Thank you
Bless you babes
Very true dear above 30 ni shangazi kabisa lazima uchange ulivyokua ukiishe in 20s
Video hz tunazihitaji sanaa big up sis❤
Bless you dear
Da malkia naonaga unaongelea wasichana kuanzia 18,24 na 30 ,mpaka 40, mbona kuanzia miaka 26mpaka 29 huongelei
Dada malkia toka nijue channel yako nilijua ume base kupika tu kumbe na madini kama hayo yaushaur unatoa siko above 30 but nmepata kitu kikubwa sana naomba utufanyie vdeos pia za house tour tujifunze zaid kutoka kwako ubarikiwe mpaka ushangae dada maana hunauchoyo wakile Mungu alichokupa.
Thanks love 😘 but voice slow down 🤷🤦
Asante sana …be blessed 🙏
Masha Allah nakupenda dada .
Mimi Pia
👏👏👏😘
Nakupenda sana Dada, ngozi yako inavutia sana unatumia jmni
Sante love. Natumia products za kikorea, nenda @smj_store kule Instagram utamuuliza atakusaidia
we need more of this❤❤❤
Sure babes
Ur so smart dear ❤❤❤
Bless you dear
Kukupenda tu ndo najuwa
darling video ni nzuri naomba tuongezee sauti next time.... upo kama mimi ila kwenye hela jamani naweka list nilinunua nini vileeee ai budget hela naikumbukia hadi ya wiki ilopita😅😅😅😅😅
🥰🥰 Sawa dear
I’m here listening and taking notes babes ❤
@our age !! I love you dearly
Love you more
Thank you darling for sharing ❤️❤️❤️
Mywangu sisi wa 25-29 umetusahau cc 😓 ila hii napita nayo cc Asante 😍😍
Bby Nakuja kwenu
Kweliii aje kwetuu piaa
Na mm
❤️❤️
Nasaha zako ni zuri hila ni bora zaidi uwe sehem zuri yaani kama sebuleni sio jikoni daer
Kwanini sio jikoni love?
❤❤❤