MAGOLI MAKALI YA KAEDA WILSON VS GEITA GOLD HAYA HAPA| HUYU BINTI NI HAALAND MTUPU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2024
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 73

  • @timcee2670
    @timcee2670 5 หลายเดือนก่อน +17

    Celebrating style is on point 😁😁 style ya ushangiliaji ni zoezi tosha

  • @zigbrownmatthew
    @zigbrownmatthew 5 หลายเดือนก่อน +11

    Nimekuja hapa kuangalia celebration yake tu, hatari sana 😂😂😊😅

  • @alexandermtey4993
    @alexandermtey4993 2 หลายเดือนก่อน

    Yuko vizuri sana hongera kwake 🌹🌹🌹

  • @user-ck8oq7ov9h
    @user-ck8oq7ov9h 5 หลายเดือนก่อน +4

    Salute kaeda

  • @fredytv8177
    @fredytv8177 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera kwake. Bila shaka it is the first of many🎉

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 4 หลายเดือนก่อน +1

    kaeda Ni wa nchi gani Mana Ni🔥🔥🔥

  • @WestChoma01
    @WestChoma01 5 หลายเดือนก่อน +1

    True definition of princess

  • @user-ik1dv8km8c
    @user-ik1dv8km8c 4 หลายเดือนก่อน +1

    Upumbafu mtupu mnashinswa kumuamini mungu

  • @vicentsagudasheyi564
    @vicentsagudasheyi564 5 หลายเดือนก่อน

    Kaeda I love you 💚💛🖤

  • @evaristangelo8856
    @evaristangelo8856 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kaeda Mayele😂😂😂

  • @Apocalypto1494
    @Apocalypto1494 5 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu kaeda ni balaaaa

  • @johnmichael2524
    @johnmichael2524 4 หลายเดือนก่อน

    Celebration style nimeipenda❤❤❤

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kaida hongera 💚💚💛

  • @masanjajohn-qs7mq
    @masanjajohn-qs7mq 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ameingia kwenye mfumo wachunge sana atawatesa

    • @user-iv9dh6kv9g
      @user-iv9dh6kv9g 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa kaka kumbe n mzur wa kutumia nafas

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 5 หลายเดือนก่อน +3

    Utampa mimba au kumuoa maisha yenye mabovu acheni kufikiria ngono tafuta pesa ukiwa na pesa ndio uchague kile ukipendacho lkn huna pesa unawaza ngono utaolewa 😂😂😂 asilimi 99 ya vijana ngono 1% utafutaji ndio maana wanawake sasa ivi wanaongoza kuwa na mafanikio makubwa.

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hiyo asilimia 1% ndio inawapa maisha mazur wanawake, na sio wanaongoza kuwa na mafanikio no

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa unataka Small Eda aolewe na nani? I😢😢😢😢😢

  • @annananyangwe4207
    @annananyangwe4207 4 หลายเดือนก่อน

    Yupo vzr

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 4 หลายเดือนก่อน

    Ngoja akutane na Sisi ndo atatujua ngozi nyeusi Simba nguvu moja💪💪💪tunamkanda mtu sabab na haturingi😀😀😀

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 5 หลายเดือนก่อน +1

    Daima Mbele.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mzungu anajua, anaweza kusajiliwa hata na timu ya wanaume na akakiwasha

    • @menalikechildren8836
      @menalikechildren8836 4 หลายเดือนก่อน

      bro dharau hzo saaa😂, sema kwel magol yake yakiwango cha kiume kabisa

  • @cessianthony2644
    @cessianthony2644 2 หลายเดือนก่อน

    Noma sana

  • @SimonMlomo-jv8zj
    @SimonMlomo-jv8zj 5 หลายเดือนก่อน +6

    Naruhusiwa kuoa ❤

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tafuta hela acha ufala, we unaona level yako huyo, tafuta life br

    • @katabaroonlinetv9688
      @katabaroonlinetv9688 4 หลายเดือนก่อน

      @@goldmansun5859 gold umepigaje hapooo kamseleleko😀😀😀

    • @linusnyanzila5661
      @linusnyanzila5661 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hana njaa utamshawishi kwa kipi

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu 4 หลายเดือนก่อน +1

      Acha mawazo ya kimasikini huyo huwezi mpata kaja kucheza soka sio kama dada zenu wasio ba maono

    • @katabaroonlinetv9688
      @katabaroonlinetv9688 4 หลายเดือนก่อน

      @@ustawiwetu 😂😂😂mawazo yake yameishia chini

  • @user-mg6qd7si5c
    @user-mg6qd7si5c 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe Tuna Mzungu Bwana

    • @drvaxminja2133
      @drvaxminja2133 4 หลายเดือนก่อน

      Siyo mzungu ni mmarekani

  • @PatrickFaustine-xf2rq
    @PatrickFaustine-xf2rq 4 หลายเดือนก่อน +1

    sasa hawa yanga princess si watupe kaeda tuwape jose guede🤣🤣

  • @bethmahela2182
    @bethmahela2182 3 หลายเดือนก่อน

    Well done kaeda

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 หลายเดือนก่อน

    Kaeda ndo fundi ,wengne tumepgwa😅😅

  • @FarajFadhil
    @FarajFadhil 2 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @user-lt4el2zy6e
    @user-lt4el2zy6e 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @AllyYunus
    @AllyYunus 4 หลายเดือนก่อน

    Hajakabwa uyo

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu eda ni hatari

  • @yujinxhing3766
    @yujinxhing3766 3 หลายเดือนก่อน

    Style ya kushangilia ni Qali sana 😄

  • @user-rg6kx2qn4l
    @user-rg6kx2qn4l 4 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @user-jh2yj4tb3u
    @user-jh2yj4tb3u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Exceptional 👌

    • @KapoyoIssa-po1xu
      @KapoyoIssa-po1xu 4 หลายเดือนก่อน

      🎉😂kkk
      🎉kkkp
      Kkkp
      😢😮😅

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 5 หลายเดือนก่อน

    Haland😂😂😂😂😂 mbona juzi wamefungwa na haland alikuwepo 😂😂😂😂

  • @rozamabagala6242
    @rozamabagala6242 4 หลายเดือนก่อน

    Bila shaka Kaeda gari limewaka sasa

  • @user-jb3sd3ks6r
    @user-jb3sd3ks6r 4 หลายเดือนก่อน

    Wa motooo

  • @godfreyalphonce5646
    @godfreyalphonce5646 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe anapiga mashuti kama Aziz ki😅😅😅

  • @user-lo2yj7hs7p
    @user-lo2yj7hs7p 4 หลายเดือนก่อน

    nihatal san yang hii

  • @ISAACMBAGO
    @ISAACMBAGO 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanini huyu binti asinge cheza mechi moja ya majaribio ya kikosi A japo kidogo? Kwani haita wezekana? Mikimbio yake na style yake ya kumalizia! Ni balaa, japo mechi moja na pale mbele wamuweke yeye, musonda, mzize. Nawaomba viongozi wa fanye suprise hii kama zawadi kwake na heshima kwake kwani wanawake wanaweza, na wapo juu kuliko wanaume na pia niwepesi mno kushika maagizo au maelekezo kwa wakati husika.

  • @SUNDAYMRGAMINGTZ
    @SUNDAYMRGAMINGTZ 5 หลายเดือนก่อน

    Nice 1 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kaeda

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 4 หลายเดือนก่อน

    Simba msije mkamchukua mzungu wetu.

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu binti ni mzuri kumbe

    • @user-iv9dh6kv9g
      @user-iv9dh6kv9g 5 หลายเดือนก่อน

      Yule n mzur ilaa kipind anakuja mech za kwanz ilikuw mazingir tu

  • @gabrielbakilana77
    @gabrielbakilana77 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu binti ni mkali aisee...safi sana

  • @mkata_umeme_kante
    @mkata_umeme_kante 5 หลายเดือนก่อน

    Kaeda nataka nikupe mimba tuzae mapacha😭

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tafuta hela acha ufala
      Focus acha ushoga, babu zetu wangekua hivi tusingekuwa hata na umeme saiz
      Magar wala luxuries tulizonazo leo, tuache fikra za kiwak, focus bora hata uzamie ukafe baharini tutakusifia sio kuwaza ngono tu

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 4 หลายเดือนก่อน

      ​​@@goldmansun5859😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwani hao akina babu zetu hawakuzaana

  • @hk_ballers
    @hk_ballers 4 หลายเดือนก่อน

    Anajua boli huyu

  • @IbraahIsmail
    @IbraahIsmail 4 หลายเดือนก่อน

    Bravo

  • @benedictmhina4819
    @benedictmhina4819 4 หลายเดือนก่อน

    HIV haka kameolewa

  • @faithaction2505
    @faithaction2505 5 หลายเดือนก่อน

    Halaf kaeda hata kiuno kilain

    • @sagboison6297
      @sagboison6297 5 หลายเดือนก่อน

      Umalaya tu

    • @faithaction2505
      @faithaction2505 5 หลายเดือนก่อน

      @@sagboison6297 😀

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 4 หลายเดือนก่อน

      Tafuta hela wew acha ushamba, kiuno hata dada ako anacho, kama uko chuo soma, maliza, pambana tafuta mkwanja rudi tena kale masters mpka phd, kitaa tuone business zako, n elimu or kimojawapo, acha umalaya

    • @faithaction2505
      @faithaction2505 4 หลายเดือนก่อน

      @@goldmansun5859 ndo tatizo la kufakamia na kua serious sana kwa vitu ambavyo huvijui, we unanijua mim? Alokwambia watz wa aina ambayo una imagine hawatak viuno nan, mdogo angu em tulia acha kutoa ushaur kwa usowajua

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@goldmansun5859we jamaa ni noma, hutaki kusikia habari za mahusiano kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂