Kama kuna waigizaji duniani nasema duniani wananikosha moyo ni hawa mabingwa jameni hongereni sana tangia asubuhi nilikua sijacheka ila nimecheka hadi mbavu zikakauka
Ni kweli kabisa bado Afrika kuna ujinga wa kutupwa kama huo, watu hawana uchungu na pesa eti wanaliwa pesa katika kucheza michezo ya kijinga sana kama hiyo. Lakini watu waliopo kwenye nchi zilizoendelea na ambapo pesa inamacho na nidhamu kwa kuwa inapatikana kwa mujibu wa biblia inayosema kwamba Mtakula kwa jasho wameshapita kwenye upumbavu kama huo!
Hili janga la Dunia nzima. Hata hizo nchu zilizoendelea hii michezo imeshamili ila kwa maeneo maalum. mfano LAS VEGAS ndo jiji linalo ongoza kwa hiii michezo.
Am already addicted to Steve's content...fan number 1#Kenya
We Steve amekuwa na ubeya xana
Mliacha kugombania likes sasa mmeingia wa kwanza mimi wa pili sijui wa nne badala msupport content kizazi cha sasa cha smart phone
😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Bado hawajasema
Hahahaha wambie hao wajinga wanao gombania likes kwa kazi za wenzao
😂😂😂😂😂😂
Wananiboaga bas tu
Duuh yani colabo ya Steve mweusi na ndaro mjeshi kikofia. Yani ni nzuri kinyama yani. Ma brother nawakubali sana tu! ❤❤❤
Comedy of no struggle ❤❤❤ napenda hii ya Leo...
Kenya watching.. ONE LOVE 🇰🇪
Aha dah wapenzi Wa Ndaro na Steve jameni Angusha like yako Napa Kama unawapenda,,,,hii lotto itawaramba
Steve huna wazazi imeingilianaje?😂😂😂😂❤❤
Iwe funzo kwa vijana wa sasa. Beba zege achana na kamali bwana. Uganda 🇺🇬 hatulli jameni.
Yu dem kasharud sait ....mzuri sana ....huyo alovaa ya mistali nyeupe
Hiii kali jamani wapi likes zao
Wakwanza Leo kama unawapenda setev na ndaro gonga like apo 👉👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🇹🇿💯
Steve watching from Kenya 😂😂😂😂
Steve ni bonge La kituko Yan dah😂😂😂😂
Ndaro mupenzi wa Tunda🥰🥰🇧🇮🇧🇮
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 stive anangalia sasa kama nyoka mchane 😂😂 ety Sina wazazi🔥🔥🔥🔥
Hahahaahha
Dah sitaki hata kuliona kabisa limenisababishia matatizo makubwa sana
Hawa ni wehu kweli daaah😂😂😂
Haaaahaaaa benki inachezaga dubu
Nawakubali sanaaaa ndaro na Steve ila ndaro ndioooo mwanangu sanaaa
Nawapenda sana❤❤😂
Wakwanza mm
Kama kuna waigizaji duniani nasema duniani wananikosha moyo ni hawa mabingwa jameni hongereni sana tangia asubuhi nilikua sijacheka ila nimecheka hadi mbavu zikakauka
😂Nakubali Steve na ndaro😂😂😂
Acha ujinga benki na wenyewe wanachezaga dubwi😅😅😅
Tuwaombeye Ili tuendele kufurai😅😅😅
Kuna luqha funny steve ametumia apa ety ndumbulile🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂❤❤
Idea nzuri steve video nzuri😂😂😂
Stive mwanangu nakuoneya huruma.. stive mbona part 6 ya mama yangu kicha haikuje mbio
Mmetisha wanangu
hahahaha 😂😂😂 nyie ni mbwa kweli 😂😂😂😂
Sema na uyo jamaa muhudumu wa dubwi n balaa anajua sanaaa alaf combination nzima wanajua sanaaa maua yenu jaman🎉🎉🎉
amini kwamba wazeee mmetishaaaaaa 🔥🔥🔥
Jamaa wana vituko awa hatar❤
As always from 🇰🇪 ❤
Ooh this guy more talented 😂🎉
Me kuskia et Dubu lilee...hoiii😂😂
Jamaa wanajua san
Ahaaaaa mumejichanganyaa
Daaaa hili lidude nani anajuwa bei lake
Hii kali ya leo bana😂
Muchezeshaji hatari wakiriwa anafurahiya wakira wao anakasirika😂😂
Inaonekana ndato ni mzoefu wa game😂😂
You need to listen the unique cry 😢😢 ya steve😂😂😂 this guy is really talented 😂😂❤
❤ napenda kz zako
Ni kweli kabisa bado Afrika kuna ujinga wa kutupwa kama huo, watu hawana uchungu na pesa eti wanaliwa pesa katika kucheza michezo ya kijinga sana kama hiyo. Lakini watu waliopo kwenye nchi zilizoendelea na ambapo pesa inamacho na nidhamu kwa kuwa inapatikana kwa mujibu wa biblia inayosema kwamba Mtakula kwa jasho wameshapita kwenye upumbavu kama huo!
Hili janga la Dunia nzima. Hata hizo nchu zilizoendelea hii michezo imeshamili ila kwa maeneo maalum. mfano LAS VEGAS ndo jiji linalo ongoza kwa hiii michezo.
@@NdituTV siyo wa kijinga kama huo, nchi zinazoendelea walishavuka kwenye maswala ya utapeli
Atari Sana zungushe ni TU na mtasema😂
Aisee nimejikuta nacheka kwa sauti kisa dubwi
😂😂😂😂 ety unaeza zimia aki ndaro ety mumekutana na chambazi😂😂
STEVE &NDARO
MNATUCHEZEA AKILI MNATUKALISHA KWENHE KAMALII😂 YANI {PAR MACH} 💰 🤑 💸
Leo wa kwanza kama unamkubali steve na ndaro nigongeeni likes apa🎉
Huku 001 watu wanalia tu na vituko
Ssta asy suka na mpenda sanaaa
Nawakubali sana wanangu nyote mnajua saluti kwenu✌️
it better to live peacefully than sadness 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 daaah
Steve dubwiii😅
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤nzuliii sanaaa
Bado amjasema😂😂😂😂
Nice one
Ndaro akiwa kanyamaza unaweza ukajua kuwa akiongea atasema Cha maana 😂😂😂😂😂😂 kumbe
Steve haop nimekubal
Mm wa Saba kuiona
Wau i ❤ that
Munitisha sana wajomba nakubali sana
Leo mewahiwahi nzingatien like bx hata 10
Acha ushamba....penda tu vya bure siku hiyo inakuja ulipe vya watu
❤❤❤❤ napenda sana
Hizo pesa huwa mnarudisha baada ya movie ama ndio malipo😂😂😂
Yaaan steve ww n commedian hatar sana et ndaroo dubu lileeee😂😂😂
Mshtuko wa Steve😂😂 eti chyooo!!😂😂✌️✌️✌️✌️
wazee nawakubali xn natamn kutana nanyi tufnye kazi pamoja
Kazi nzuri wakuu 👏ila hzo title fanyeni mpango ziwe zinaeleweka vzuri
Jamani hii nimeipenda Sana ongeleni Steve na ndaro
😍🥰😘
❤❤
Ndaro badilisja mavazi......
Hivi vichwa vibovu sana
Steve bonyeza nyani hahahahahhahahahah
F1st one today ya got get me some likes 🇧🇮🇺🇸 please! Steven wew ni mnoma kiukweli!
Stive utawanunulia ata nguo za ndani na mchana😂😂😂🇰🇪🇰🇪
Aiseee nawakubali kinoma🙏🙏
Ndaro & tevu mnanipaaa rahaaa nyieeee😅😂
Jamaa nawakubali wasndelee wasitengane
Aya wa 300 mim cucoment 😂
Steven bro na ndaro ni hatari
Umehudumia Sana kazini Steven 😂😂😂😂😂
Nacheka sana ❤❤❤❤😂😂😂😂
Safiii naaminia hii yaweza 🫡
La makumbusho et 😂
Ndaro ni mzoefu wa kamare
😂😂
Kumbe inalijua unanizingua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Toka DRC 🇨🇩 nawafuatilia Ndaro na Steve.
🎉🎉🎉
Steve umenikumbusha mbali kwenye bonanza
😅😅😅😅 usicheze bila kusali mshilikishe mungu
Safi sana wanangu nawafatilia sana
mi sina wazazi😅😅😅
Nawakubali😂😂😂😂❤❤
Ndaro Ni Mkamaria Kama Sisi tu😅😅😅
Ila steve😂😂😂😂
Steve na ndaro aya bwana niko pale😂😂
Steve+Ndaro🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉