Highlights | Yanga Princess 1-3 Simba Queens | Ligi Kuu ya Wanawake 25/04/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • KARIAKOO DERBY | Simba Queens imeendeleza ubabe wake dhidi ya watani wake wa jadi Yanga Princess kwa kuichapa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya wanawake #TWPL uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
    Magoli yote manne yamefungwa kipindi cha pili, Aisha Juma Mnunka akifunga mawili dakika ya 49 na 90+2, Jentrix Shikangwa dakika ya 66 huku la kufutia machozi likifungwa na Kaeda Wilson dalkika ya 90+5.
    Tazama highlights....

ความคิดเห็น • 161