Maswali zaidi yaibuka kuhusu mshukiwa mkuu wa mauaji ya watu zaidi ya 42 Kware

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 201

  • @maxwellraduma3155
    @maxwellraduma3155 3 หลายเดือนก่อน +25

    Serikali na DCI ovyo uwongo mtupu..Ahsanteni NTV kwa maswali

    • @FredrickcEmase
      @FredrickcEmase 3 หลายเดือนก่อน +1

      Citizen isalimiwe!

    • @Kibiro-tt6ch
      @Kibiro-tt6ch 3 หลายเดือนก่อน

      m nli jua kitambo n chocha

  • @MANAGUBOYZ1
    @MANAGUBOYZ1 3 หลายเดือนก่อน +12

    In fact NTV kam. Kisii niwapee ndizi miwa n Managu free for the good work

  • @بنتعبدالرحيممحمد
    @بنتعبدالرحيممحمد 3 หลายเดือนก่อน +26

    Tunahitaji majibu ya maswali yote hayo kazi nzuri mwanahabari

  • @wowclipskanairokenya2406
    @wowclipskanairokenya2406 3 หลายเดือนก่อน +3

    Thank you so much NTV.MAY GOD SAVEGUARD YOUR MEDIA HOUSE

  • @AfriKan-Nazi
    @AfriKan-Nazi 3 หลายเดือนก่อน +34

    Kesho ni weekend # anguka nayo # RutoMustGo

    • @anneferguson1158
      @anneferguson1158 3 หลายเดือนก่อน +1

      RUTO, IS THE THE PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF KENYA. HE WAS ELECTED AND HE IS NOT A POLICEMAN, SECURITY OFFICER OR A WATCH MAN. STAY ON YOUR LANE IF YOU ARE NOT A KENYAN.

  • @beryl3066
    @beryl3066 3 หลายเดือนก่อน +8

    The truth will set you free

  • @Aseemho
    @Aseemho 3 หลายเดือนก่อน +1

    The guy doesn't even look worried......jamani😅

  • @elandaboyz
    @elandaboyz 3 หลายเดือนก่อน +8

    Ukweli tunataka kujua

  • @thomasmarende2445
    @thomasmarende2445 3 หลายเดือนก่อน +27

    Kama kuna mkenya yeyote anaye amini huu ushenzi wa DCI then mkenya uyo ni mpambavu wa mwisho ulimwenguni. NTV kumbuke nyinyi ndio mlituonyesha vile uyu DCI director vile alitoa CCTV footage from Rwanda, Congo and 2007 post elections to cover up last year police brutally when they assassinated 72 pple.

  • @petronillahosoro4828
    @petronillahosoro4828 3 หลายเดือนก่อน

    Thanks NTV kwa kutegwa kitendawili cha story za jaba

  • @adamjin777
    @adamjin777 3 หลายเดือนก่อน +6

    After so many Ruto lies, we have become experts in distinguishing lies from truth. Hata tunawashinda DCI siku hiizi

  • @Nathaniel-j7x
    @Nathaniel-j7x 3 หลายเดือนก่อน +26

    Very important questions! How can all these happen metres away from a police station! Watu sio wajinga

  • @SaidahGloriah
    @SaidahGloriah 3 หลายเดือนก่อน

    Good quiz,,

  • @shawnkai532
    @shawnkai532 3 หลายเดือนก่อน +16

    Kazi ya Ruto hii

    • @Samuelmusyimi-zy1ts
      @Samuelmusyimi-zy1ts 3 หลายเดือนก่อน

      Nugu hii

    • @Ikayo76
      @Ikayo76 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Samuelmusyimi-zy1ts ubwa hii Ruto is responsible kesho anaenda sugoi

  • @simoenkarisa3179
    @simoenkarisa3179 3 หลายเดือนก่อน +18

    DCI wote wanalishwa hongo na serikali hao pia wafutwe kazi

    • @FredrickcEmase
      @FredrickcEmase 3 หลายเดือนก่อน +1

      # DCI Waanguke nayo

  • @AzimioWalianguka
    @AzimioWalianguka 3 หลายเดือนก่อน +19

    Kesho tupatane kwa mtaa!!! Anguka nayo!!!!!

  • @philipwekesa8506
    @philipwekesa8506 3 หลายเดือนก่อน +14

    Unajua nacheka kwa nini hii ni .............

    • @sylviahkinyangi9892
      @sylviahkinyangi9892 3 หลายเดือนก่อน +2

      Maajabu na uongo...

    • @NahasonKirema-x2j
      @NahasonKirema-x2j 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hii ni maajabu

    • @mathekarichard1382
      @mathekarichard1382 3 หลายเดือนก่อน

      Hii ni uongo 😂😂😂.
      Manze DCI wanachomea hio department

  • @LizKuz-xk3hv
    @LizKuz-xk3hv 3 หลายเดือนก่อน

    All those questions that we have highlights above we need an answer from dci and president

  • @mkenyawakenya5094
    @mkenyawakenya5094 3 หลายเดือนก่อน

    Onother shakahola!Makenzie wa Nairobi

  • @mussabendera1751
    @mussabendera1751 3 หลายเดือนก่อน

    Kenya ❤

  • @RoyMutwiri
    @RoyMutwiri 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto know who did this during time of protest

  • @djjeremy254
    @djjeremy254 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu kipara ngoto anajua yote lkn huyu jamaa hana kosa

  • @mayaspanic221
    @mayaspanic221 3 หลายเดือนก่อน +10

    Toto jinga waliisha

  • @marcdavid5826
    @marcdavid5826 3 หลายเดือนก่อน +3

    We don't have a country here

  • @GodservantDan
    @GodservantDan 3 หลายเดือนก่อน +5

    Enyewe nimeonw wakenya ni welevu sana!!! Hakuna anayekubaliana na hadhithi hizi za jaba! 😂

    • @FredrickcEmase
      @FredrickcEmase 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wajinga waliisha nanii # DCI Waanguke nayo!

  • @joelmusungu5609
    @joelmusungu5609 3 หลายเดือนก่อน

    I can imagine on how they conducted investigation on how they gone direct to his house and that he was doing this without no one knowing for this period.Let us be genuine and say the truth.

  • @josephjamesmatindi5860
    @josephjamesmatindi5860 3 หลายเดือนก่อน

    We want to see that man and hear from him

  • @joshuaomaya2262
    @joshuaomaya2262 3 หลายเดือนก่อน +2

    HUYU JAMAA AMENUNULIWA NA SERIKALI WASITUFANYE WAJINGA

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 3 หลายเดือนก่อน

    Good questions

  • @salimdzuware8114
    @salimdzuware8114 3 หลายเดือนก่อน

    Another question.Why did the relative of his wife did nt report that matter t the police?

  • @markmadegwa6028
    @markmadegwa6028 3 หลายเดือนก่อน +3

    Idara ya dci ivunjwe kwa kulala kazini

  • @AfriKan-Nazi
    @AfriKan-Nazi 3 หลายเดือนก่อน

    Good job ntv

  • @SailezKingBee
    @SailezKingBee 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni uongo uyo jamaa namjuwa ata anakuanga Bodaboda please DCI ni maumbwa too

  • @rosemarykagwiria2135
    @rosemarykagwiria2135 3 หลายเดือนก่อน

    Basi,si huyu Collins basement hao wasichana alikua anapatana nawab aje?na wapi??na basement kila mmoja ni kibila gani,au County gani?samani kwa kusema kabila ni vile itasaindia watu wa familia kujua.

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 3 หลายเดือนก่อน

    Ndipo hapo sasa

  • @billalphilip5776
    @billalphilip5776 3 หลายเดือนก่อน

    Disiyai wameanza kuwa watu blur dee far keen

  • @joshuaomaya2262
    @joshuaomaya2262 3 หลายเดือนก่อน +1

    JE JAMAA YA HAWA WANAWAKE WASHAWAHI PIGA RIPOTI KWA KITUO CHOCHOTE CHA POLISI

  • @mahmoodmohammed1679
    @mahmoodmohammed1679 3 หลายเดือนก่อน

    We want to hear from the wife's family...why haven't they reported the case of their missing kin?

  • @peterkimaru6292
    @peterkimaru6292 3 หลายเดือนก่อน +6

    DCI fake,hawa ni watu hawaja soma.wapatie young you wafanye kazi

  • @samuelkaranja.5788
    @samuelkaranja.5788 3 หลายเดือนก่อน +1

    They can't even lie. What a shame????

  • @kk-tc8xv
    @kk-tc8xv 3 หลายเดือนก่อน

    We ain't fools

  • @RoyMutwiri
    @RoyMutwiri 3 หลายเดือนก่อน

    Tuesday early lazima kieleweke

  • @johnonyango6069
    @johnonyango6069 3 หลายเดือนก่อน +1

    You can fool some people but you can't fool them all the time.

  • @Benjaminkakamasha662
    @Benjaminkakamasha662 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani mthiani upo hapo

  • @florah_
    @florah_ 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani KTN ni opposition kiplani😂😂...them having a field day with the questions 😂

  • @FatmamuhammadTumamoha-v2h
    @FatmamuhammadTumamoha-v2h 3 หลายเดือนก่อน

    Amekuwa Jeffery Dahmer 😂

  • @ChristineMulatya
    @ChristineMulatya 3 หลายเดือนก่อน

    Kwaza Dcl niwaongo sana

  • @johnkaykay8297
    @johnkaykay8297 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni uongo kabisa ntv shukarani kwa mashali

  • @DenisGitonga-h1i
    @DenisGitonga-h1i 3 หลายเดือนก่อน

    Mili ya miaka miwili haiwezi kuwa na harufu,mvua kubwa ilikuwa nairobi mbona mili haikuelea?Uchunguzi pia ulipatikana kwa haraka sana ...wapumbavu walikwisha Kenya...I hope the holy ones won't come out asking us to pray for the nation

  • @KasongoEria
    @KasongoEria 3 หลายเดือนก่อน

    Even police.....

  • @annortis
    @annortis 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa kwanini walipatikana Sasa ??? something is fishy there

  • @jerrywanzala262
    @jerrywanzala262 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mbona ukumuona?

  • @helliemghoi4185
    @helliemghoi4185 3 หลายเดือนก่อน

    Lying gone wrong 😅😅
    This time round hakuna kuhepa..

  • @mathekarichard1382
    @mathekarichard1382 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hahhahaa uweeeh wachieni DCI hapo hahaha.
    This was cooked story and the president should stand and tell us the truth with the NIS because for now the DCI has already failed the nation totally.
    Why can't the president choose compitent officers to run some serious departments in this country??
    Should we always be having genocide in this lovely country??
    DCI you should have taken time and jus do the investigation smoothly b4 coming up with 1 suspect mwenye hata kubeba mwili haiezi.
    Do not tint that departments due to political gains..... politicians will always and as usual use you and dump you.
    Kindly DCI make that department professional and Kenyans will have faith in you.
    Kwa hii case mlichoma mapema buana 😅😅😅

  • @daneetassh
    @daneetassh 3 หลายเดือนก่อน

    They think we are stupid they forget we are learned.

  • @Iman6Faith
    @Iman6Faith 3 หลายเดือนก่อน

    Since 2022? Na floods ilikua huko mbona isioze? zakayo must ora

  • @DanielMusee-pt6vl
    @DanielMusee-pt6vl 3 หลายเดือนก่อน

    Uogo ya Hali juu

  • @EnockOsoro-y3s
    @EnockOsoro-y3s 3 หลายเดือนก่อน

    I can't believe,mbona aikufanyika Nyuma ya maandamano

  • @liliankemy6739
    @liliankemy6739 3 หลายเดือนก่อน

    Uwongo tupu, our eyes are wide open

  • @jeremiahnganda6146
    @jeremiahnganda6146 3 หลายเดือนก่อน

    Real crap. They must think that we are fools

  • @stafrihblesy6701
    @stafrihblesy6701 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 Wueh story za Abunuasi..Mbona miili hii haijawahi oza from.2022 Haki yawa hawa watu wanatubeba ufala haje...Anguka nayo kesho hatustuki...Huyu jamaa 😢😢😢😢😢

  • @Esty1248
    @Esty1248 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nia yake ya mauaji ni nini haswa?hebu DCI wajibu hayo maswali

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 3 หลายเดือนก่อน

    Apa kun karata imechezwa...how comes mtu mmoja auwe watu wote ao

  • @RoyMutwiri
    @RoyMutwiri 3 หลายเดือนก่อน

    Uyo kijana aexi waua hao watu wote

  • @samuelkaranja.5788
    @samuelkaranja.5788 3 หลายเดือนก่อน +1

    A sacrificial lamb

    • @FredrickcEmase
      @FredrickcEmase 3 หลายเดือนก่อน

      Punch bag 😂😂😂

  • @collinskiplangat1243
    @collinskiplangat1243 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mwenye aliona damu akisafirishwa? Na mwenye anasafirisha akifunga hao mwili ?

  • @USDisdoomed
    @USDisdoomed 3 หลายเดือนก่อน +2

    DCI wamejichanganya wakenya sio wajinga

    • @FredrickcEmase
      @FredrickcEmase 3 หลายเดือนก่อน

      DCI Waanguke nayo

  • @abdillahihassan8788
    @abdillahihassan8788 3 หลายเดือนก่อน

    Kuwa mtu mmoja huwezi kukaa sawa kiakili kwani ni movie jamani😂😂

  • @eveimbusi5940
    @eveimbusi5940 3 หลายเดือนก่อน

    Na sasa yeye mwenyewe ndio alikubali aliua hao watu 42 ama na hizo vitu walipata akiwa ameweka kwake ama

  • @lawrencelawrence3305
    @lawrencelawrence3305 3 หลายเดือนก่อน

    This DCI is a liar, nyumba za ghetto zimeshikana sana,no way majirani won't hear murder happening 2 times leave alone 42 times

  • @FredrickcEmase
    @FredrickcEmase 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto ameharibu kila kitu...uongo billion moja

  • @raphaeloloo9641
    @raphaeloloo9641 3 หลายเดือนก่อน +3

    wamemlipa atuezi nunua urongo

  • @Benjaminkakamasha662
    @Benjaminkakamasha662 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani ulitumia muda gani kuua wale watu wote

  • @VincentWafula-e7z
    @VincentWafula-e7z 3 หลายเดือนก่อน

    Hii sura hata c ya kenya

  • @CEERPROCESSINGLTD
    @CEERPROCESSINGLTD 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto acha kupinga ,,hii kitu haiishi lazima ushuke apo mkora

  • @Elibuk
    @Elibuk 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jee alikuwa anaua waandamanajl

  • @DorcasNanzala
    @DorcasNanzala 3 หลายเดือนก่อน

    Mauwaji ni ya police

  • @dominicambulimo36
    @dominicambulimo36 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi naishi kware lakini bado polisi wengine hawajahamishwa na kwa taarifa inasemekana wamehamishwa je hii serikali Iko na uongo mtupu na Bado wanaokota hongo kwa vilabu

  • @williamjulius5981
    @williamjulius5981 3 หลายเดือนก่อน

    Sherikali inanjaribu kunjiletea kwa wanainchi hakuna vyenye mtu momoja anawezaje kuua watu arubaini na wawili hio ndanganya watoto

  • @RogersOrina
    @RogersOrina 3 หลายเดือนก่อน

    Hapa tunadanganywa kabisa ,watu wengine wameuliwa wakati wa demonstrations

  • @leahnimu6434
    @leahnimu6434 3 หลายเดือนก่อน

    Eenywe hapa unachezwa

  • @husseinaliweyrah3120
    @husseinaliweyrah3120 3 หลายเดือนก่อน

    Were the police officers sleeping?

  • @madsonmmbwanga3037
    @madsonmmbwanga3037 3 หลายเดือนก่อน

    Hatuna polisi Bali tuna wauaji.

  • @Shakazulu1
    @Shakazulu1 3 หลายเดือนก่อน

    Sirikali ya wezi,kwa niaba ya wezi.

  • @TeresaMburu-lu3cn
    @TeresaMburu-lu3cn 3 หลายเดือนก่อน

    Kuja siri fiche hapa siamini

  • @philiplugalia3724
    @philiplugalia3724 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni scapegoat tuu huyu Hata hakai muaji

  • @ZachariahMuruthi
    @ZachariahMuruthi 3 หลายเดือนก่อน

    Kenyans aren't fools please.... Remember this Govt is for a very short time. Mtakuwa Raia very soon without this power.... The reality is catching up....

  • @Sabi-wxy
    @Sabi-wxy 3 หลายเดือนก่อน

    Miaka miwili mwili wa binadamy ukiwa ndani ya maji bila kuoza????🤔🤔🤔🤔 Aiiiiii hii game DCI mlicheza vibaya sana sisi sio wajinga😢

  • @MANAGUBOYZ1
    @MANAGUBOYZ1 3 หลายเดือนก่อน

    Ile maswali kila. Mtu anajiulizaaaaa

  • @samwelWaweru-wi6fz
    @samwelWaweru-wi6fz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto anachuka wajinga Sana kwn kijana alikuwa watu mala moja water nakueka kaa n mkono pamoja muguu pamoja kichwa pamoja wasitubebe wana

  • @jessyombeva1670
    @jessyombeva1670 3 หลายเดือนก่อน +3

    Safarii hii wamepatikana wazu

  • @zwqasdfzaani814
    @zwqasdfzaani814 3 หลายเดือนก่อน

    Wooi DCI this is not one of those investigations you cockup🙆🏿‍♂️

  • @lizzy6262
    @lizzy6262 3 หลายเดือนก่อน

    This is just HILARIOUS, wajinga wali isha Kenya haki., wueh 🙆🏾

  • @vanpoposkitchen680
    @vanpoposkitchen680 3 หลายเดือนก่อน

    Acha kesho tuende kwa DCI tukiwa na hizo maswali watuambie

  • @mainageorgewanjau1288
    @mainageorgewanjau1288 3 หลายเดือนก่อน +1

    Story not adding up

  • @David-kl4sw
    @David-kl4sw 3 หลายเดือนก่อน

    Watu wa media mnatumia vichwa kama dispenser ya makamasi .
    1) all missing persons are not reported ..only children are looked for immediately
    2] police hate media and would never disclose anything 100%
    3) that pit hua inaingiwa watu wakiwa wamefungwa na kamba ,police wa kwale wangejifu ga wakaangalie kama kna mili huko just to prove and stop that crime ?
    4) all serial killers dont dump bodies in one place
    5) mwenye alipata vision kuna mili hapo apate vision ingine mahali rest of the bodies ziko ....
    Dci wako effective sana when under pressure ,but wakenya ni nani ....wataanza ata wakiuliza mbona jua inatoka east badala ya west ...media ina incite our young peaple to violence

  • @hellenmaiyo2516
    @hellenmaiyo2516 3 หลายเดือนก่อน

    NA NYINYI WANA HABARI MLIKUWA WAPI MSITAMBUE HAYA NA KURIPOTI PIA?.

  • @unitedkenya9767
    @unitedkenya9767 3 หลายเดือนก่อน

    That man has been paid to claim that he is the serial killer

  • @boazwambua387
    @boazwambua387 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kenyans are not fools bwana.

  • @benjaminmagori9998
    @benjaminmagori9998 3 หลายเดือนก่อน

    Je hawa tisa au kumi aliowaua hivi karibuni kwa nini amewauwa mfululizo wakati wa maandamano ya Gen. Z