SIMBA WASHINDA KESI YA LAWI ASILIMIA 90 WAJUMBE WA COASTAL UNION HALI JOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

ความคิดเห็น • 12

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 หลายเดือนก่อน +2

    Unafikiri ni kwanini imekuwa ngumu sana Simba kumsajili mchezaji kutoka vilabu vyetu hapa nyumbani?
    Wasipoondoa udhamini wa Mtu mmoja kwa vilabu vingi kwenye ligi haya hayataisha kwa Simba.

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 หลายเดือนก่อน +1

    Binafs namuonea hurum lawi anakipaji lkn costalunion wanambania mno ..cecafa hajacheza yan wananikera muachen dogo aende kaonen changamoto mpya

  • @HalifaMohamedMohamed-pr5eh
    @HalifaMohamedMohamed-pr5eh หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja

  • @DaudSlungwe
    @DaudSlungwe หลายเดือนก่อน

    Lawi awai tu mazoizini simba

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 หลายเดือนก่อน

    Coastal imejaa wahuni wanafikiri uuzaji wa mchezaji ni sawa na kuuza ndizi

    • @AnnoyedDove-oo3kk
      @AnnoyedDove-oo3kk หลายเดือนก่อน

      Hapo UKute kuna kakiongozi ni kayanga ndo kanatia ugumu

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela

  • @elibarikigideon6677
    @elibarikigideon6677 หลายเดือนก่อน

    Acheni upumbavu Kama hamna Cha kuandika nyamazeni

  • @iddykamona8917
    @iddykamona8917 หลายเดือนก่อน +2

    Sisi Kama Simba,akibainika kuwa ni Kweli Simba walimsajili.na mchezaji na cost wameamua kuleta zengwe.
    akae nje miezi 6 baada ya hapo atapelekwa kwa mkopo ligi daraja la kwanza

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 หลายเดือนก่อน

    We kama unamtakia mema Lameck au kumpandisha daraja feadha zimewekwa kwenye account unashida na hela unajua anpokwenda kwa nini mashindano ya kumharibia.
    Simba ingemu expose Lameck kimataifa
    Coastal mna hatihati kwemda group stage mkishindwa Lameck kwisha na Simba itaendelea na vijana wengine siyo Lameck tena.
    Hivi hamsomi?
    Subiri dua ya Lameck atakayo waombea kukataa pesa za Simba.

    • @ismailhassan5209
      @ismailhassan5209 หลายเดือนก่อน

      Ikiwa timu za nje zinakubali wachezaji wao wazuri waende Simba ninyi na Asec au Vita nani mjuzi zaidi Lameck akiprove Simba anaenda nje msijidanganye hmna hadhi ya kutamiwa wachezaji wenu kuliko Simba.
      Simba ni daraja kimataifa kwa wachezaji toka nje ya Tanzania Karaga baho mtakula kiporo.

    • @DaudiSamweli-nh1tu
      @DaudiSamweli-nh1tu หลายเดือนก่อน

      Hao ni yangaa wanafigis kwa simba