Our Love story Podcast is a love genre chat podcast where two love birds chitchat on ho they met and their journey so far, including how they made each other in love
Nimeipenda hii couple sanaa na nimejifunza mengi be blessed Prophetes NAIMANA as a woman of God nimezielewa sana mbinu za kivita unazotumia.More Grace Mamaa❤
Daaah kuna kitu mmeongea cha muhimu saana "mahusiano mengi oa ndoa nyingi zimeua ndoto za watu pia na kusudi la MUNGU ndani ya watu wa MUNGU"nimefurahia saana mtu sahihi hutoka kwa MUNGU
This is my fisrt love podcast nimesikiliza and guess what nimevutiwa na hawa wapendwa ,,honestly speaking you can see love from their eyes 🥹love is a beautiful thing jamani ,Mungu awadumishe na awaongezee upendo kila uchwao binafsi nimewapenda🥰🥂..!
Mwanaume anapenda kushauriwa au kukosolewa ni in good approach lakini wanawake huwa mnashindwa kutuelewa mapema mwaname huwa hatupendii maneno mengi. Ni vyema kuelewa na vyema
Kiukweli mimi napenda mwanamke muongeaji kuliko mkimya. Mkimya anaweza kukua kimyakmya Ata kukutendea mabaya Bila kujijua wala kujua Ila muongeaji ni rahisi kumkamata
Mnaopenda aje marioo na Paula naomba like nyingi
Nimeipenda hii couple sanaa na nimejifunza mengi be blessed Prophetes NAIMANA as a woman of God nimezielewa sana mbinu za kivita unazotumia.More Grace Mamaa❤
Haki nimependa sana hii couple ..yani dada amenifunza mengi naomba tu neema na mm niyafanyie kazi...ndoa yenu ibarikiwe sana na damu ya Yesu iwafunike
Naipenda hii couple binafsi kuna vitu vingi nimejifunza, be blessed Man of God and woman of God
Mungu awabariki sana watu wa Mungu, nawafurahia sanaaaa, God bless you so much guys
😂😂sure this garl's not fake nmekupenda Bure kpnz unaongea sanaaaa ila ulie nae anaelewa but yo have points n nzur❤❤wsh you all the best
Nakuunga mkono dada umetufikishia ujumbe,,thank you
Daaah kuna kitu mmeongea cha muhimu saana "mahusiano mengi oa ndoa nyingi zimeua ndoto za watu pia na kusudi la MUNGU ndani ya watu wa MUNGU"nimefurahia saana mtu sahihi hutoka kwa MUNGU
Love is beautiful❤❤❤Nimeipenda hii tunajifunxa sana yatima wa mapenzi angalau
This is my fisrt love podcast nimesikiliza and guess what nimevutiwa na hawa wapendwa ,,honestly speaking you can see love from their eyes 🥹love is a beautiful thing jamani ,Mungu awadumishe na awaongezee upendo kila uchwao binafsi nimewapenda🥰🥂..!
Kumbe mnyarwanda ❤that’s why swali la 1 nilikua nalo ni hapo kwenye nahimana ila kwakweli nimependa hii story ever ❤❤❤❤🎉watch this from 🇺🇸
Naomba mumlete wolper na rich ❤
📌📌📌📌📌📌
Dada anaongeaa........ humpi mume wako nafasi😢
But couple yenu ni nzuri, Mungu awape maisha ya furaha kama mnavyomuomba
😂😂😂uzuri wake ata mumewe analitambua hilo mn duh mi mwenye aibu ningeiahia kumsikiliza mume
Uko vizuri kutoa makosa wenzio
Nilitaka kusema pia
Ila huyuu Kaka anasautiiii nzuriii Sana ya upakoo kabisa
Nzuri Sanaa, Mungu awabariki sana hii familia, much love guys
A very good love story nmeipenda sana hii love story
Siku ukisikia wameachana Hawa, basi chanzo itakuwa ni uongeaji wa huyu dada, mwamba yupo cool, lkn mdada mashine yakuongea😂
Uyu dad wa leo anafaa kua mwandishi wa habari....Ila nmemuelewa...Mpaka nije nioe nishajifunza mengi😂😂😂
Quality ya Picha na sounds
May God continue to bless you guys! ❤
Mletee nandy na nenga
Dada unaongea jamani uuuuuuu 😂 ila sema mme wako ashakujua lakin umefanya interview imeniboa 😢😢
Mwanamke anaongea sana mpk kero khee😅😅
Nice interview, ila dada anaongea sana hahaha hampi mume wake mda akitaka kuongea anamkatisha heee we huogopi
Amen nimewapenda sana watumishi ❤
,Mayatima wa mapenzi tuna comment wapi 😅😅😅
Hosea anafanana na Paul Clement kwa mbali. Jamaa siyo mjuaji kwa ninavyoona
Very nice love story ❤❤
I Like
am wishing
huyu dada muongeaji
Waooo hatimaye stoty mpya tena ila nna ombi angalau kwa mwezi muwe mnatuwekea mbil plz😢 🙏
Yaaan tunaisubiri mpaka tunachoka😢😢
Aa ongea ntalatibu dada
Nmeipenda hii
Aka kamama ni kichomi aisee namuhurumia jamaa 😂.. unapreach sana dadaangu me ningeshindwa
I was like ok🙃
Mimi naomb kujua Hawa ni kina Nani mbon mimi siwajui halafu hio minister na prophetes Maan yake ni nini??, naomb anayejua niambie tu 😂
Intavyuuu ya kizungu leo😂 but❤😊
Mmmh nice story ila mwanamke unaongea sana yaani mmmh too much dear punguza mdomo
Mwanaume anapenda kushauriwa au kukosolewa ni in good approach lakini wanawake huwa mnashindwa kutuelewa mapema mwaname huwa hatupendii maneno mengi. Ni vyema kuelewa na vyema
🔥🔥🔥
She is really ✌️
Kiukweli mimi napenda mwanamke muongeaji kuliko mkimya. Mkimya anaweza kukua kimyakmya Ata kukutendea mabaya Bila kujijua wala kujua Ila muongeaji ni rahisi kumkamata
Mlete Gabo na Tiffany
🤛🫱🏻🫲🏾
Kbs
This woman is still an Infant, Ni mtoto Sana, she is literally telling you her limits, if you cross them, she will CHEAT, , 😂😂 ,I pity the guy ,
Sjui kwann TH-cam huwa mnachelewa sana kutuwekea
😂😂😂😂😂😂😂
Unafrahisha inabidi nawewe ulete love story yako
Afungue kanisa atapata huo utajiri anaoutaka. Ahakikishe waumini wake wengi ni wanawake na hadi hapo game itakua OVER!
nisawa ila mapozi punguzeni
Penda na ww uone mapoz tanatoka wap😂
Tunamuomba gabo plzzz jaman
Dada anaongea mpaka unasahau mada imeanzia wapi
Dada anaegoo,mbishi anaongea sana!
wanawake tumezaliwa na Mama mmoja😂😂😂😂
Mithali 18 :22
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA.
A man who can stand in what apo of God ..?
A throne of God
huyu dada ana kitu 😂
Mmmmmh naimana amaongea jmn😂😂😂😂 ila huyu ni mm kbs haya Bd kumpata mume wa hv tyu😂😂😂
Actually
Doooo huyu dada
😅😅😅😅
Ongeeni kiswahili
Mwanamke punguza kuongea una maneno meengi,, unabishanaaa
Dada unaongea sana doo
With all the respect.. girl you’re talking too much .
Noti nauuu😂😂😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾
Nikajua niko pekeangu yan hata mimi mtu akiniambia kitu mara moja namuelewa ila akiongea sana
Nakuwa simuelewi kabisa