Hii Ngoma ni real message from God 🙏🙏 watu wa nyimbo za dunia wamezoea gospel ministry Sana but Jehovah ametumia mtumishi wake @stephen Kasolo na Annoint Amani Walete ujumbe wa MUNGU duniani kwa wanaozarau gospel ministry 🙏🙏🙏 Umbali huu YESU ni Ebenezer 🙏
Sijachokoza MTU round hii nimechokozwa......watu wamenichokoza nakaza Muendo lakini mnanikwaza .....Leo sikuachi tunamalizana nisonge mbele ....good song
Nimechokozwa nikiwa nimetulia ,,, niharibie kwa boss nikuharibie kwa Mungu ,nichafulie kwa watu nikuchafulie mbinguni ,,, great song with good message... Congrats Solo and Amani
A very gd message kasolo......nengane uvoo wa Ngai kila mundu ethukiisye thi n'gima nikana melile nundu ivinda niyukite makamantha wa umanenge uvoo museo makose💪💪💪💪
Hapo Solo Na Amani, it Is By Grace of God, move on, lazima Shetani apishe tupite, we have no need Na vizuizi, tunatazamia Mungu, in The Name Of Jesus Christ, The Son of Living God, AMEN!!!
Nakuambia inadunda hadi kwa roho , mpaka nafill niko heaven na nimeachana na dhambi kabisa❤😂, nice song, barikiwa sana kasolo with ur friend without forgetting dancers wako sawa kabisa👍
Nichokoze to najua mahali nitakusikata kwa baba yangu unikome kaaabisa wewe yezebeli #Good tourch and vibe Steve & annoint message sent ukidelete ujumbe umefika 💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kali sana...this will trend no.1 One,,congrats solo..ekana na auti ma kiuna ala maneenaa nai yiulu waku,,borake hakuna mtu anashikilia roho yako keep moving and burry all fake people...anoint Amani congrats also
You are in a class of your own.your unique and gentle dancing moves that come out naturally sets you apart from the rest! You are never carried away by the wave of music.you are ever in control of your moves as a man of God.
Hongera sanawanangu mzuri good job
Mama Asante kwa kututia moyo, wewe ni nguvu ya injili na mfano Mwema kwetu kizazi Kya Mungu aliye hai.
Mamii umeinua Hawa watoto kwa kuwatia moyo. Shikilia hapo wewe ni mamayao.❤❤❤😂😂❤❤
😍😍😍
Neema isimame na mama wa nyimbo za injili @rose muhando na ivunje Sheria 🙏 blessings too KASOLO &ANNOINT AMANI🙏🙏
Congratulations my brother keep going I love you so much
Niharibie kwa watu nikuharibie kwa Mungu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉Moto hii
Weka likes za mr chairman tukisonga
Masekete wiwa ata
@@doreenfransis9225Niko Poa Poa….praise Jesus
Nitagaze Kwa watu nami nikutagaze Kwa MOLA
Kabsaaaaa
Ukinitazama waniona vipi,, masekete pia congratulations you've also a very nice song 🎉🎉
Nimechokozwa nikiwa nimetulia mbingu zijibu kwa anjili yangu ❤
Great song
Tunamalizana nisonge mbele 😂
Amen 🙏 🙏 🙏
Amen amen 🤝🤝🧢🧢🎩🎩🎤🎤❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Leo sikuachi tutamalizana hili nisonge mbele
Congratulations solo ❤❤ niaribie kwa watu nikuaribie mbinguni kabisa ad unuke uuuui aleluyah hit song hii itred ad nb one
🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤Wakikusubiri chini unapaa kwa mataifa . Congratulations SIMBA MBILI
Akiangaa kali Hii 😂
Hii Ngoma ni real message from God 🙏🙏 watu wa nyimbo za dunia wamezoea gospel ministry Sana but Jehovah ametumia mtumishi wake @stephen Kasolo na Annoint Amani Walete ujumbe wa MUNGU duniani kwa wanaozarau gospel ministry 🙏🙏🙏 Umbali huu YESU ni Ebenezer 🙏
Congratulations brother solo mbingu na zituteteeeeeee😢 tunamaliza nisonge mbele
Thanks to all our supporters, God bless you ❤🎉. Your reactions are an encouragement to this ministry.
Napenda sana
Road to 1 million subscribers 🎉🎉🎉 kudos...!!
@@winniembula392sure ❤
THIS IS A NO ONE,
Nice one 🎉
Grory to God solo i love you so much simama tu na huyu Mungu atakuinua zaidi n zaidi
Those dancers on top wueh!
Usione simba kanyeshewa ujadhani paka wewe ❤❤❤❤❤❤❤
Sijachokoza mtu round hii nimechokozwa 🔥🔥🔥🔥, nipe like tukisonga
Kali sanaaaaa Annoint Amani ni mkali sana good combination
Finally thy song is out ❤❤❤ team kitole njooni hapa...goga like tukisonga
hai waoow my brother apo dipo me ukuaminia na pia nampenda sana amani yan furunga mwenyewe💪
Woooow bro🙏🙏this is great and most powerful Leo pia Mimi sikuachi
Malizaneni leo
Hii nayo imevuja record,, hongereni ndugu zangu kasolo na amani
Na qw qweli wamemchokoza simba,ety juu amenyeshewa wakathania ni paka ,,,,,MALIZA WOTE MR SOLO,,✅✅✅,,,,
Gonga like tukisonga mbele
Vile umetuweka njaa kungojea😅 at long last inabariki sana mkuu
Hii imeenda🎉🎉🎉🎉🎉🎉mathethi pole sana 🎉🎉kasolo ni mbeu ya ngai
Woow naipenda sana jamani mubarikiwe sana 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
🔥🔥🔥....Approved... nipewe likes Team @EkaiTuneene
Hii ni mo🔥🔥🔥🔥🔥tata
Kusema kweli nimependa hii saaaana wallahi
Team Kitole camp here
Mimi nilichokozwa baka nikazoea lakini Mungu naye ni nani kila wakati ananipinginia, anini tetea,amekua Mwaminifu siķu zote Amina.
Wow 👌 ❤ congratulations 🎊 big song
Wow broothis is great and most powerful leo pia mm sikuachi good job be blessse
Hii nayo imevunja record... sijachokoza mtu round hii nmechokozwa...
Leo sikuachi ngo,,, tumalizane nisonge mbele,
Wow international level collaboration, Good message 👏👏✅✅✅
❤❤❤❤❤ glory to God 🙏
Kazi nzuli sana love from Rwanda 🇬🇦
❤❤nice 👍 song woow kunapamba hapa 🎉🎉🎉🎉hata mimi ninadance hapa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera Sana ndugu zangu👏👏niharibie kwa manager nami nikuharibie kwa mungu....wapi likes za uchokozi
Nakwabia hii tumepata ya tiktok 😂
Weweweweewe fire 🔥 sanaaaaa
Leo sikuachi tunamalizana nisonge mbele 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Isaiah 62:1...mungu atanyamaza kwa ajili Yako,atakupigania vita sote,na kusimamisha katika misingi yke
Niharibie Kwa boss nikuharibie mbinguni❤. 🔥 🔥.....wapi likes tukisonga
Vita si vyetu, bali ni vya mungu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🙏 🙏 🙏
Imeeda hii😅
Mr kasolo my best artist in ukambani.
Wimbo mzuri sana baba zangu fungueni mioyo yenu mungu aendelee kuwatumia kama ndaranja letu la kuvukia ili tumuone mungu
Kasolo kaa Kwa maono ya kiswahili
Wow 😳 that's great! Wachie Mungu
Nilikua naingoja sana hi kolabo ya steve na annoint hi ni moto 🔥🔥🔥🔥🔥 good job mbarikiwe sana
Ata Mimi nimechokozwa...
.round hii siachi mtu lazima tupambane kieleweke.
❤❤❤Hakika hii ni kazi kubwa sana makamanda wa Injili hii imeenda haswaa haswaaa
Nakwambia hii ni 🔥🔥🔥🔥
N this is my tym to inform my enemies tunamalizana nizonge mbele,,,,God wherever she's fight on my behalf.
Glory to GOD, just humble in to GOD ad I tell you Bado bro nakwambia mbali utaenda
This guy will continue to have more subscribers. He knows what he wants in music
Am proud to be with you lord
💋💋
Kabiiiisa mungu jia zake ni mingi za kutetea watu wake we songa mbele usijal na ya watu❤❤❤❤❤❤❤❤
Minister Steve Kasolo Simba Wa Kenya hii nayo nimependaaaaa,, And Annount Amani Sauti Tamuuu ,, congratulations dear ones, nawapenda sanaaa
Hii nayo ni noma sna❤
Ukinitanzama huwezi elewa lakin ukizoom zoom utaona Mungu ndani yangu
Powerful song 💪
Congratulations ,zidi kung'aa
Sijachokoza MTU round hii nimechokozwa......watu wamenichokoza nakaza Muendo lakini mnanikwaza .....Leo sikuachi tunamalizana nisonge mbele ....good song
Tumefika from Nyako❤
Nimechokozwa nikiwa nimetulia ,,, niharibie kwa boss nikuharibie kwa Mungu ,nichafulie kwa watu nikuchafulie mbinguni ,,, great song with good message... Congrats Solo and Amani
Surely 😭😭😭😭😭 mwenyezi MUNGU atusaidie 😭
Kazi nzuri sana kakazangu barikiweni sana
Wow! Wow! Nice one. Congratulations my brothers and my fellow minister in the family of Christ. More grace
Hii imeenda😂
Good job be blessed mtoto wa mungu
Hallelujah..wacha nikaze mwendo nifike kwa Babaaa
Mungu ako na njia nyingi za kutetea watu wake❤❤❤more grace broos🖐️💪💪🙏
Soon wanaokuchokosa watanyamazishwa.....by fire by thunder in jesus name
A very gd message kasolo......nengane uvoo wa Ngai kila mundu ethukiisye thi n'gima nikana melile nundu ivinda niyukite makamantha wa umanenge uvoo museo makose💪💪💪💪
May God bless you ❤❤ nahisi kama mm ni last born wa mungu🙏
Congrats Papa kasolo neema ikubebe 🙏🙏
Najua hii dio itakua trending tiktok kwaza apo paa kuchokozwa 👌
This Song Is So Nice And Emotional..Much Love And More Blessings Steve 🙌 🙏
Hio song nilipenda ❤❤❤
Ukizoom zoom utaona Yesu ndani yangu... such a heavy message❤❤🎉🎉
Nace song barikiwa bro
Amazing 😍 bro keep it up
Hapo Solo Na Amani, it Is By Grace of God, move on, lazima Shetani apishe tupite, we have no need Na vizuizi, tunatazamia Mungu, in The Name Of Jesus Christ, The Son of Living God, AMEN!!!
Nakuambia inadunda hadi kwa roho , mpaka nafill niko heaven na nimeachana na dhambi kabisa❤😂, nice song, barikiwa sana kasolo with ur friend without forgetting dancers wako sawa kabisa👍
Nichokoze to najua mahali nitakusikata kwa baba yangu unikome kaaabisa wewe yezebeli #Good tourch and vibe Steve & annoint message sent ukidelete ujumbe umefika 💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hiii nayo Ni faiyaaaaaaaaa.....A hit I say.Congrats TZ feat KENYA
@stephen kasolo hongera sana,,mungu akubariki
Great song, from gugu wa nyako❤
Wamenichokoza sana na leo siwaachi tutamalizana nisoge mbele!Hosana,hosana
❤❤❤❤for the first time kasolo good job hiii nimependa ,,,,,,tunamalizana nisonge mbele,,,wooow woow
Ongera KUBWA ƙwakweli WATU wa MUNGU ANNOINT AMANI Na Stéphan kasolo
Great song watumishi,,,Mungu awainue zaidi.
My guy again 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Beautiful song, gugu nation (nyako team)
Kali Sana,niaribie Kwa watu nikuaribie Kwa mungu
Love the music the beat its amazing keep going kasolo.. From team nyako the tiktok president ❤❤❤❤❤
Very impressive ,,,,nawapenda bure
Wuewee Kali ya mwakaaa🔥🔥 wimbo mzuri mno mmeimba vizur Sana😊Mzidi kuinuliwa Kwa kweli💯 Madancers pia wako mwemweree🥰💪
Congrats Solo 🎉🎉🎉❤❤ usinyamaze kaza mwendo
Amen🙏🙏🙏nmeparikiwa sana wimbo tamu sana waimbaji parikiwa pia kitu tamu sana ❤❤❤❤
Hii ni Kali 🔥🔥🔥
Kali sana...this will trend no.1 One,,congrats solo..ekana na auti ma kiuna ala maneenaa nai yiulu waku,,borake hakuna mtu anashikilia roho yako keep moving and burry all fake people...anoint Amani congrats also
Good song niwachokozi ukweli raudiii watajua hawajuh👍👍👍
Very encouraging bro. Wapi likes za uchokozi
Kweli mungu ana njia mob👏👏👏👏👏bro keep it up ❤
Our very talented son from kambaland,may God continue uplifting you,ata mm Leo nipe like
Ni kavyu❤🎉🎉
Powerful song❤
Asante sanaa vigana wa Yesu.
Wow nice song❤niharibie Kwa watu nikuharibie kwa Mungu🎉🎉more grace Solo and Annoit Amani🙏
Keep it up bro nakucheki uko smart endelea evo evo tu wakwìtu
You are in a class of your own.your unique and gentle dancing moves that come out naturally sets you apart from the rest! You are never carried away by the wave of music.you are ever in control of your moves as a man of God.
😍
kikuyuni tunasema ivo tu, be blessed abundance solo❤