A-Z 'TAPELI' ALIYE MDANGANYA WAZIRI ALIVYOTIWA NGUVUNI/ADHULUMU MAELF YA WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Mwanzo mwisho ilivyokuwa aliyesadikiwa kuwa tapeli alivyoingia kwenye 18 za waziri wa ardhi William Lukuvi na kuagiza akamatwe alale korokoroni kwa siku moja.

ความคิดเห็น • 54

  • @khamisshehe9187
    @khamisshehe9187 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana mzeetu, nakukubali sana. Tunategenea baada kumalizika muda wa mama Sania Suluhu, utasimama wewe ,.tunakuombea kwa Mungu akuweke uje ututumikie

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 4 ปีที่แล้ว +1

    Daa! Ni Waziri asiye na maneno mengi, wala hatangulizi nguvu nikama anaongea kirafiki lakini mwisho anamaliza mgogoro kwa kumpata mkosefu. Safi sana Mungu akupe maisha marefu.

  • @mariamufungo9619
    @mariamufungo9619 4 ปีที่แล้ว +3

    Mim ni mtanzania..kwasasa naishi falme za kiarabu nimefurahi sana kuona waziri wa ardhi yuko makini na mali za wananchi wake,yaani kwa mwendo huu Tanzania itakuwa safi kama nchi za kiarabu..yaani namaanisha huku dhuluma hakuna.

    • @wilsonmagessa7121
      @wilsonmagessa7121 4 ปีที่แล้ว

      Ninauza Viwanja hapa Dodoma Makao Makuu bei nafuu Instgram jina tunatumia dalali _dodoma_viwanja_mashamba_ Twitter dodoma viwanja mashamba estate. Facebook viwanja na MASHAMBA. Simu 0752330352 WhatsApp/0715941717.

  • @samfelex7901
    @samfelex7901 4 ปีที่แล้ว +4

    Waziri kama hawa ndo tunawataka sio wakuropoka tu upo vzuru sana na unajielewa mkuu

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana waziri hiyo mijizi ndiyo ilizoea kanjanja kanjanja

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 4 ปีที่แล้ว +3

    IYO NDIO TANZANIA MPYA CCM MPYA SAFI

  • @hafidhjuma1364
    @hafidhjuma1364 4 ปีที่แล้ว +3

    Muheshimiwa waziri na Sisi watu kivule tumerasimishiwa lakini mpaka SASA tunaambia tusubiri sehemu ni chakenge

  • @zabronnyamba5939
    @zabronnyamba5939 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana baba mnyarukoro iwo vahisi

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 3 หลายเดือนก่อน

    Mkubwa fungawotehao majambazi viwanja elfu4 washakulahela hawafanyikazi

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 4 ปีที่แล้ว +2

    TUNAOMBA HIYO KAZI YA KUPIMIA WANANCHI VIWANJA IFANYWE NA SERIKALI YENYEWE KUEPUSHA HAYA YOTE NA SIO KUWAPA MAKAMPUNI, KWANI PALE OFFICE ZA ARDHI HAKUNA WAFANYAKAZI WA KUTOSHA?

  • @catherinemhagama7505
    @catherinemhagama7505 2 ปีที่แล้ว

    Jamani kesi hizi ya upimaji ambao nimedhulumiwa na kampuni kampuni Kama hii. Tunaomba msaada Mko I Ruvuma tutafanyaje tuonane na Waziri husika?

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 2 ปีที่แล้ว

    Lukuvi mbona huonekani

  • @thomkimaro5801
    @thomkimaro5801 4 ปีที่แล้ว +3

    hakika busara ni tiba ya mambo mengi. mh Mungu akulinde

  • @khamiskiondo6985
    @khamiskiondo6985 2 ปีที่แล้ว

    Mhujumu uchumi huyo dah tanzania ni shamba la bibi

  • @rabbithare381
    @rabbithare381 2 ปีที่แล้ว

    Nilifurahi Nikidhani hii yote ilifanyika karibuni chini ya uongozi ya mama Suluhu Hassan, Kumbe la ni wakati ya Marehemu JPM.....

  • @ibrahmanoma4179
    @ibrahmanoma4179 2 ปีที่แล้ว

    Nimecheka Sana Eti Halooh !.

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 2 ปีที่แล้ว

    Xijambo la buxara kuxema uwongo unajua mnaitia doxari Serekali

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa hata ongea yake anaonekana ni tapeli

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 2 ปีที่แล้ว

    Waziri fika mwanza wape WANANCHI wa luchelele nafasi uwasikilize utaondoka na wengi.

  • @babawawiltegamaso4367
    @babawawiltegamaso4367 2 ปีที่แล้ว

    mheshimiwa wazili sisi goba tulilipia viwanja vyetu wananchi laki tatu tatu toka mwaka 2016 hatuja pandiwa mawe tunaomba tusaidie tunatapeliwa huku

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mnafiki mheshimiwa haowengine niwanafiki

  • @veronicasamson7121
    @veronicasamson7121 3 ปีที่แล้ว

    TAPELI MKUBWA UYO ATA ANAVONGEA NI MSHENZI TU.. ANAJICHEKESHA KIPUMBAVU APO

  • @khamiskiondo6985
    @khamiskiondo6985 2 ปีที่แล้ว

    Nape kura yangu inakusubir

  • @ladislausswai9554
    @ladislausswai9554 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah na mi mjanja wa mjini nimepigwa elf 50 inauma

  • @mhidinsanga5667
    @mhidinsanga5667 2 ปีที่แล้ว

    Utakuwa raise soon

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 2 ปีที่แล้ว

    Kwenye aridhi ni changamoto

  • @drtobias_
    @drtobias_ 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa kijasho kilimtoka

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 2 ปีที่แล้ว

    Hati kupata mpaka mwaka mzima ilemela

  • @jonasmaimu2295
    @jonasmaimu2295 2 ปีที่แล้ว

    Hawa watu Wana tusumbua Sana

  • @festorazalo7939
    @festorazalo7939 4 ปีที่แล้ว +1

    Unafanya kazi nzulu sana wazili lukuvi

    • @meckymseya7847
      @meckymseya7847 2 ปีที่แล้ว

      Waziri uko makini sana unafanya kinzuri wahehe wako vinzuri

  • @mustaphareua2370
    @mustaphareua2370 2 ปีที่แล้ว +1

    Oyoo

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 4 ปีที่แล้ว +1

    Wapigaji wengi sana.

  • @ephremmtuya3094
    @ephremmtuya3094 4 ปีที่แล้ว +1

    HUYU JAMAA AMEPIMA SEHEMU NYINGI SANA BILA KUKAMILISHA IKIWEPO MBEZI LUIS

  • @elishajoseph6180
    @elishajoseph6180 4 ปีที่แล้ว

    Sukuma ndani

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 4 ปีที่แล้ว

    Mkataba mbele ya Polisi, that is not a contract, that will be coercion.

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว

      Bro Tanzanians need an iron fist to do things at some point..lol otherwise ,yaleyale ya enzi zile,tukutane baa tuyamalize[wakishafika baa,ndo imetoka hiyo] i like the way it goes nowadays,thats why we can see things moving..Hebu angalia wanavyotupiana mpira...lol..if it was you[competent] what would you do??

  • @mariuscyprian1235
    @mariuscyprian1235 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapo mtu na baba yake mbona wanafanana

  • @geraldleger5793
    @geraldleger5793 2 ปีที่แล้ว

    Uwapi siku hizi waziri wa ardhi ?

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyote matapeli

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣 noma Sana 🤣🤣

  • @christerbell360
    @christerbell360 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha asilale kwake leo.

  • @ramadhanrashid8536
    @ramadhanrashid8536 2 ปีที่แล้ว

    Waziri urasimishaji Arusha imekuwa kitendawili,je waziri nilini mtaturasimishia makazi yetu ?,gambo himiza humchakato maana hatuelewi ,

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว

    serious business, mnacheka...

  • @abdibilali950
    @abdibilali950 4 ปีที่แล้ว +2

    Sasa wewe jamaaa akili huna unaongopa mbele ya waziri

  • @yahyaabdulwakil1149
    @yahyaabdulwakil1149 2 ปีที่แล้ว

    Mpumbavu

  • @jacksonkyando7869
    @jacksonkyando7869 4 ปีที่แล้ว

    Watson katuzingua sana wananchi wa Msakuzi jamaa anaahadi za uongo hatari yaani ni tapeli hatari waziri kula nae sahani moja watu tumetoa hela zetu kazi hawafanyi wanasingizia manispaa ndio tatizo

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 2 ปีที่แล้ว

    Tena mwanza ni kiboko yao

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว

    hawajasajiliwa,na bado mnawaachia kuendelea na kazi..lol

    • @thomkimaro5801
      @thomkimaro5801 4 ปีที่แล้ว

      acha walipe walichokula bhana