KIJANA MZALENDO AIBUA MAZITO"RAIS ANATENGENEZEWA MTEGO APATE AJALI..!/KIBAO ALIKUWA KIONGOZI WA CCM"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • KIJANA MZALENDO AIBUA MAZITO"RAIS ANATENGENEZEWA MTEGO APATE AJALI..!/KIBAO ALIKUWA KIONGOZI WA CCM"
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 216

  • @FundiKadege
    @FundiKadege 6 วันที่ผ่านมา +17

    Kiongozi upo vizuri unafaa uwe kiongoz

    • @norahfrank
      @norahfrank 5 วันที่ผ่านมา +1

      Viongozi kama hawa ni nadra Tz.ni mkweli sana

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 6 วันที่ผ่านมา +38

    Huyu jamaa ana akili kubwa sana tena zaidi ya kubwa ..

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 6 วันที่ผ่านมา +19

    Kijana mzalendo hongera sana

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz 5 วันที่ผ่านมา +4

    Mama Mama kuna watu wanakuharibia ndan ya serikali msikilize vizuri kijana huyu...

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 6 วันที่ผ่านมา +23

    wewe unasema kweli hawa watuu wanatumika kumuaribia rais kabisaa mama atumie akali

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 5 วันที่ผ่านมา +8

    Baba yangu unaongea poa lakini kaa sawa watakugeuzia kibao wakuteke wakakuuwe kwa kusema ukweli mungu atakulinda ishallah

    • @AishaOman-k6f
      @AishaOman-k6f 4 วันที่ผ่านมา

      Tena.sana.mungu.tuu.amnusuru.mana.hii.nchi.imekuwa.mtihani

    • @alfredakabakama2010
      @alfredakabakama2010 2 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa Mungu akusimamie maana.....????

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 6 วันที่ผ่านมา +8

    Aiseeee!
    Kijana Mungu mkuu wa mbinguni akulinde sana wewe ni mkweli kabisa.

  • @Aviator_daily_signals
    @Aviator_daily_signals 6 วันที่ผ่านมา +8

    Umeongea vizuri sana kwa wenye akili

  • @KanikiIkinda
    @KanikiIkinda 5 วันที่ผ่านมา +5

    KWAKWELI Sina neno kaka,,uko makini sana.Pongezi kwako Kaka.

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 5 วันที่ผ่านมา +5

    Ni kweli kabisa Hali ni mbaya sana

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 5 วันที่ผ่านมา +3

    Uko sawa kabisa iko siku watajuta wao waendelee tu kuteka iko siku itakua kwao tumechoka

  • @norahfrank
    @norahfrank 5 วันที่ผ่านมา +3

    Hakika kuna watu walio nyuma yake ili tu kumharibia.na kumfanya achukiwe. Hawa watu Mungu Anawaona na iko siku wataumbuka,na watawekwa wazi

  • @salumchoma8731
    @salumchoma8731 5 วันที่ผ่านมา +4

    Kweli amri za rais hazitekelezwi aliowaamini wanamzarau sana Rais awe macho na waliomzunguka Rais wananchi wanakupenda ndiyo maana wanaeleza hayo wewe mengine huyajui ya huku kwa cc wananzengo watu kama hao wanakusaidia uwaelewe

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 6 วันที่ผ่านมา +11

    Uko sahihi kabisa. Raisi anawapuuza na kutokuwathamini wawekezaji wake wa ndani. Wawekezaji wa Tanzania ndio watakaoujenga uchumi wetu. Badala ya kwenda nje awake mazingira mazuri ya ndani. Wazalendo wa nchi hii wenye mioyo na nchi yao hawathaminiwi. Wananchi ndio wenye mamlaka na Walewska fursa zote Za kiuchumi nchini.

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 4 วันที่ผ่านมา +1

      Technology utaipataje au mitaji mikubwa utaipataje bila kukaribisha wawekezaji ili waje kushirikiana na wazawa

  • @KayongoOba-ht2rf
    @KayongoOba-ht2rf 6 วันที่ผ่านมา +5

    kijana Uko vizur

  • @RAPHAELMASUKAMasuka
    @RAPHAELMASUKAMasuka 5 วันที่ผ่านมา +5

    Rais samia ni Mzuri sana. Tena Mim na mpenda sana. Tatizo la nchi hii wanasapoti rais alie staafu.

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 5 วันที่ผ่านมา +2

    Well said kijana mzalendo masauni must go

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 5 วันที่ผ่านมา +2

    Wasanii wako bize kuisifu ccm na mama yao wa kambo,wengi ni mashoga na machawa

  • @RAPHAELMASUKAMasuka
    @RAPHAELMASUKAMasuka 5 วันที่ผ่านมา +2

    Nikweli Mama anajitaidi saaana. Kutafuta amani kwa wananchi.anatoa pesa ili aendeleza miladi kutufuraisha. lakin bado wanampaka matope Mama.

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 5 วันที่ผ่านมา +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mauwa yako kijana unasema kweli lakini ukweli wako utakuleteya mashaka maana ukweli unauma .

  • @khamisjohn7639
    @khamisjohn7639 5 วันที่ผ่านมา +2

    Uko sahihi Kaka, namuonena huruma saana Mh.Rais, ni kama wanajaribu kumlaghai kuwa wanafanya kwa ajili yake lkn wanamharibia kwa wananchi saaana na pia kimataifa

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 5 วันที่ผ่านมา +3

    Mama samiya msikilize huyu jamaa anaakilisana usimdharau anazungumza ukweli pengine hujawahi kusikiya mtu akiongeya ivi mtafute umsikilize . Viongozi wanao kuzunguuka na aduwi zako .

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 วันที่ผ่านมา

    Namshauri Rais wangu mama Samia awe mkali sana. Naamini ana uwezo mkubwa sana wa kuwadhibiti wahuni wachache kwa siku mbili tatu tu, wote wanao jaribu kushika sharubu za serikali.

  • @JamesSaisa
    @JamesSaisa 6 วันที่ผ่านมา +11

    Maneno ya huyu kijana ni ukweli lakini sidhani kama wanaowambiwa wana uelewa ya utosha

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 5 วันที่ผ่านมา +2

    AMEZUNGUKWA NA WANAFIKI WANAOMTAKIA MABAYA RAIS NA HAWAMTAKII MEMA

  • @JohnShileMunisi
    @JohnShileMunisi 5 วันที่ผ่านมา +2

    Mama mama chunga sana Hawa wavaa kijani wanakudanganya mbele yako wamekuchimbia shimo.

  • @user-hj3ky9zy6y
    @user-hj3ky9zy6y 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ndg yote uliozungumza ni ukweri mtupu ; mungu akuimalishe zaidi

  • @user-jt4lo1og8w
    @user-jt4lo1og8w 5 วันที่ผ่านมา +2

    Watanzania wengi mnapenda sana kutumia neno mama, huyo sio mama ni mh, rais, unapotumia neno mama,unajipendekeza kwa .....

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa. Kila mtu ana mama yake. Huyu ni rais wa kila mtu hapa Tanzania. Apewe heshima yake na siyo kumpamba kinafiki kwa kumwita mama. She us the president not mama yenu

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 5 วันที่ผ่านมา +3

    Mtume Muhammad swalla llahu alyhi wassllam ameshasema zamani, kaumu (dola) inayomueka kiongozi ni mwanamke haitafauku.

    • @nasramusaro
      @nasramusaro 4 วันที่ผ่านมา

      Very good

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa kweli wanafiki wamemzunguka samia
    Asipojiongeza akamwomba Mungu ampe hekima na busara juu ya kuiongoza nchi
    Samia ameshindwa kazi

  • @SaidHamad-d3n
    @SaidHamad-d3n 5 วันที่ผ่านมา +2

    Ni kweli ni hujma tu anazofanyiwa mama na mama anatakiwa apunguze huruma kwa watendaji wake ni wahuni tu

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 6 วันที่ผ่านมา +4

    Mzalendooo!!! Usimkwepeshe Rais kwa haya yanayotokea nchini kwetu, Rejea sheria aliyeisaini ya chombo cha usalama wa Taifa, watu aliye wateuwa kumsaidia nk.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 วันที่ผ่านมา

      Na wewe toa maoni yako unategemea afanye nini, ni maagizo ya Rais yafuatwe. Kwa nini uachane na maagizo dhahiri hadharani na umdhanie vinginevyo

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu 6 วันที่ผ่านมา +4

    Wemwandishi unasema inasemekana watu wanatekwa inamaana hujui wanatekwa

  • @JohnShileMunisi
    @JohnShileMunisi 5 วันที่ผ่านมา +1

    Waliomzomea waziri sio chadema Ni wananchi wenye uchungu.

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 6 วันที่ผ่านมา +4

    Watanganyika!! Mnajisahaulisha au hamfuatilii viongozi wetu hasa huyu Rais. Kuna tume 3 alizoziteuwa yeye na kuahidi kwa uma ataziweka wazi, 1. Mauwaji mtwara 2. Wizi B. O. T 3. Haki Jinai, Kimyaaa!!!!

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 5 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa yuko vizuri

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 5 วันที่ผ่านมา +2

    Tukipata watu watatu kama wewe inchi yetu inakaa sawa mzee chukua fom uingie bungeni ukatunyoshee hao ubwa

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ina maana kumbe wazuri husika ni ndugu yake na mh. rais? Kweli kama ulivyosema Wananwangusha rais bila woga

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 3 วันที่ผ่านมา

      Sio ndugu wazir Masaun na mheshimiwa rais isipokua katumia lugha tu kama pengine ndugu yake kwa vile wote kutoka Zanzibar inawezekana wakawa wana udugu but hawana uhusiano wa ki ndugu kabisa.

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 วันที่ผ่านมา

    kuna genge la kihuni linataka kumuaribia rais samia ila wakati wa mungu ni sahihi

  • @ThomasmerinyoMollel
    @ThomasmerinyoMollel 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu msikie huyu kiumbe hakika kinachofanyika nchii hii ni kibaya sana

  • @FlavianMtewele
    @FlavianMtewele 5 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa anaongea kitu sahihi sana. Hebu serikali yafanyieni maoni haya.

  • @hezekiaWilberforce
    @hezekiaWilberforce 3 วันที่ผ่านมา +1

    Swala hili ni mtambuka hiki ni chombo kilichoundwa na serikal sasa samia atafanya nini ameingia akakikuta kinafanya kazi kina jina la watu wasiojulikana lakin ukwel wanajulikana na serikal inatambua nan amfungie paka kengere kwa nini wanaotekwa ni chama kimoja je serikal imetumia jitihada gan kuhakikisha kikundi hicho kinatokomezwa hakuna wanajua kinachoendelea mungu atusaidie tu

  • @jizzomonster
    @jizzomonster 5 วันที่ผ่านมา +2

    Ww ni genius sana kaka

  • @user-pw9ir4fg7x
    @user-pw9ir4fg7x 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiki kichwa kiko vizur rais naombaa ukiangaliziea nafac kinaweza kutupatia kitu badae

  • @MathiasMhilu
    @MathiasMhilu 5 วันที่ผ่านมา

    safi saaaaana nakuelewa mno natamani ningekua kama ww !! ur are so strong in true statement !keep it up Brother

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 5 วันที่ผ่านมา +2

    Jeshi la polisi lifutwe halina kazi jeshi la wananchi lichukue kazi yake

  • @HerielMbwambo
    @HerielMbwambo วันที่ผ่านมา

    Nice jerking hats wanajeshi wastafu KIBAO wajuzi sana haya

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama raisi akina mwigulu wanakuhujumu ipo siku utakumbuka maneno ila mda utakua umeisha,

  • @AkidaDaudi
    @AkidaDaudi 4 วันที่ผ่านมา +1

    Unasema polisi na kule rufiji mpaka mkulanga nanialiekuwa anawauwa viongozi was ccm,kuhusu usalama was taifa wakifanya kazi yao unawalaumu.

  • @WillKilulya
    @WillKilulya 5 วันที่ผ่านมา +2

    Mbowe anawazunguka ninyi hamjui tu,alijuaje kama wamemtesa usiku kucha?na amejuaje kama wamemtupa saa 12 asubuhi?kamata mbowe kwanza.

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 5 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania imewekewa red yaani ni nchi hatari haina usalama kwa watu wake
    Samia anatakiwa aelewe jinsi mambo yanavyoenda duniani
    Watu wanafuatilia sana mambo ya nchi kwa kina sana

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 2 วันที่ผ่านมา

    Hakuna kinacho tendeka bila kauli ya raisi, tena watu wanauliwa hadharani siku hizi, anyway, au basi.

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 5 วันที่ผ่านมา +1

    Huy jamaa anaitwa nani? Yuk vzr sana anaongea fact kabisa

  • @Aviator_daily_signals
    @Aviator_daily_signals 6 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe ndyo unafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani, wewe ni zaidi yakiongozi Mungu akulinde

  • @mwambamkombozi4672
    @mwambamkombozi4672 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna watu ndani ya CCM hawampendi mama na hao hao ndio wanaofanya hizo hujma maksudi kujaribu kumuharibia mama!

    • @Nedjadist
      @Nedjadist 3 วันที่ผ่านมา

      Mmoja wao ni Mrundi. Ila mama hasikizi. Watu kama Mpina awaona maadui wale wanaosema mama, mama kafanya, kaupiga, kauweka
      ...
      Ndiyo😮

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 2 วันที่ผ่านมา

    Walimsakama Magufuli kwa kelele za Kila aina , dikteta , mshamba, kachanganyikiwa , hawakumpa utulivu aongoze nchi , mpaka akafa Baba wa watu .
    Haya sasa kawaachia nchi ongozeni kwa utulivu , mnatafunana wenyewe Kwa wenyewe .

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 6 วันที่ผ่านมา +1

    mungu akulinde unaongea vema jukua 🎉🎉🎉🎉yako

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo 2 วันที่ผ่านมา

    Hayati Mh. Kibao alizikwa na wanchi Wazarendo wenye uchungu na wapenda amani na siyo vyama vya siasa tuu. Hivyo, Yawezekana wazomeji wa waziri siyo chama cha siasa.

  • @ramadhaniabdulkadry288
    @ramadhaniabdulkadry288 3 วันที่ผ่านมา

    HONGERA SANA UMEVAA DARUBINI KALI MNO ILA AWAJAKUJUA TU UMAKINI WAKO.

  • @omariabeid3291
    @omariabeid3291 5 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna cha kutengenezewa wala nini.Usituaminishe.

  • @ramadhaniabdulkadry288
    @ramadhaniabdulkadry288 3 วันที่ผ่านมา

    PK HAPO KUNA CHANGAMOTO SANA NDANI YA VYAMA VYOTE VYA SIASA HASA HAWA SIMBA NA YANGA NI MTIHANI KIKULACHO AJULIKANI YUPO TEAM IPI KOTE KOTE YUPO

  • @richardmuyango9157
    @richardmuyango9157 วันที่ผ่านมา

    Kwa wa sanii kukomea sahau maana wanapewa mpunga mrefu

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anaweza akawa ndugu kwavile ni ccm mwenzake kua atamuonaje au ndugu wakaribu au mdini mwenzake nadhani vyote ni majibu tu yanajibika,

  • @mohdmnemo9281
    @mohdmnemo9281 6 วันที่ผ่านมา +3

    Tatizo wa tanizania siwazalendo nanyinyi wadishi wabari muee wazalendo

    • @RamadhanAlly-cf7du
      @RamadhanAlly-cf7du 5 วันที่ผ่านมา

      Kabsa ila wao wameweka uwoga mbele hawana uzalendo kabsa wabnqfis

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 3 วันที่ผ่านมา

    Kuondoka hawawezi wakaondoka nchi wamejimilikisha na família zao . Wanajuana na wanalindana kura moja tu inawapeleka ikulu hatuwawezi

  • @samwelalex-qp6gf
    @samwelalex-qp6gf 5 วันที่ผ่านมา

    Unaongea point sana bro tunako enda siko kabisa

  • @KhamisMohammed-y9l
    @KhamisMohammed-y9l 4 วันที่ผ่านมา

    Mimi ningefuta jeshi hilo la polisi hakuna kazi wanayofanya

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 4 วันที่ผ่านมา

    Ana kweli unafiki ni kitu kubaya sana. Hasa wale wanaojali tu maslahi yao binafsi

  • @winfredkaroli5065
    @winfredkaroli5065 3 วันที่ผ่านมา

    Hivi huyu jamaa wanamuelewa kweli viongozi wetu!?ila wajiulize kila kukicha watu wanaenda jkt na wanawafundisha nn huko ,!?siku tukichoka nadhan serikali itaelewa vizur zaidi .tutakimbiana bila sababu na bila makubaliano

  • @JUSTINEJABIEL
    @JUSTINEJABIEL 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli kabisa kaka

  • @MphilipinoFilmsTv-bs4mw
    @MphilipinoFilmsTv-bs4mw 3 วันที่ผ่านมา

    RAIS,, ALIKUWA UNCLE TU,,,,,, R .I. P MAGU
    Tuombe Mungu 2025 tupate wa kufanana naye.

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 3 วันที่ผ่านมา

      Kundi la watu wasiojulikana aliliunda Rais uncle likampoteza Ben sanane nilikampiga risasi Lisu hilo kundi la la raisi Uncle Magu Samia anashindwa kulisambaratisha

  • @hassankilengah4786
    @hassankilengah4786 2 วันที่ผ่านมา

    Nikiiunganisha doti ,Ni kweli naona wanachomtenenezaea ni ajili,wanafanya mambo ya hovyo maksudi ili aonekana hafai

  • @user-fi4cn2rs6k
    @user-fi4cn2rs6k 5 วันที่ผ่านมา

    Hii kuteka ni utamaduni wa ccm

  • @festokastory5282
    @festokastory5282 2 วันที่ผ่านมา

    Rais hana maamuzi ndomana hasikilizwi

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 6 วันที่ผ่านมา +5

    Nakuongezea jengine nirahisi maadua wa nchi kutumia mwanya huo Kwa kuwa honga raia wenye chuki dhidi ya serekali Yao

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 4 วันที่ผ่านมา

    Tujitafakari sana. Na viongozi pia wajitafakari sana.

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakika kwasababu ya wajinga wasiojielewa wanatuaribia hata uchumi wetu kwa mambo yakijinga ccm na serikali angalieni itafika maali, nchi yetu itakua masikini,kwa ujinga wenu akuna wageni watakaoenda sehemu yenye utata,ila inaonekana baadae kutakua na majuto,

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 2 วันที่ผ่านมา

    Kwani Mzee Kikwete na Mzee Makamba na Kinana wanasemaje ??
    SI ndio washauri wake hao ??

  • @NassourJuma
    @NassourJuma 5 วันที่ผ่านมา +1

    ah tuliokuwa hatuna nguvu ya kidola tunaishia kuongea tu alafu tunadharauliwa ila mtu yeyote ajue mungu anasema ukimfanyia mwenzako ubaya na wewe ni lazima ufanyiwe ubaya kama sio wewe basi ni mke wako, mtoto wako, ndugu yko nk. Siku ukija ukifanyiwa wewe ndio utajuwa huu uchungu wa kupoteza mtu wako wa karibu.

  • @user-ex1zm6fd4f
    @user-ex1zm6fd4f 5 วันที่ผ่านมา

    Kina Daimondi Hamonaiz Ali kiba na wasani wengine wote wakubwa semeni imbeni hii sio Tanzania tuliyoizoea

  • @LucasKagoma
    @LucasKagoma 6 วันที่ผ่านมา +1

    Unafaa ww kuwa kiongozi

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 5 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mweshimiwa wajitafakal katika utumishi wao kiukwel hali ni tete reo kwangu kesho kwa mwingne maana wote tuna umia has pqle inapotokea ndugu na jamaa kupoteza uhai bila sababu za kimsingi na wakubwa wako kimy

  • @HamisiMbecha
    @HamisiMbecha 2 วันที่ผ่านมา

    Uyo wazir ni kuma aondokezake au kama vp tuungane tukamtumbue

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 3 วันที่ผ่านมา

    Kweli ndani ya serikali wanafki wengi mno

  • @JosephTarimo-c5h
    @JosephTarimo-c5h 5 วันที่ผ่านมา

    Hongera baba

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 6 วันที่ผ่านมา

    Halibaya sana mungu utusaidie nchi yetu irejeshee utulivu

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 5 วันที่ผ่านมา

    Kinachotufanya tuone haya mambo yana mkono wa serikari ni moja tu, kwamba watu wanalalamika na viongozi wa vyama wanalalamika kupotea kwa watu lakini wapo kimya na wakati wao ndio wamepewa dhamana kwa niaba yetu wananchi unakuta spika anasema ni miemuko , IGP yupo kimya rais yupo kimya na wakati neno lake ni dawa. Hawa watu ukiwaambia tu ukweli ni nongwa tunadhani kuna baraka za mkuu wa nchi.

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 4 วันที่ผ่านมา

    Hivi ukisikia maneno ya IGP alivyosema nchi Iko salama na polisi wamejiandaa kulinda usalama na spika wa bunge hataki mambo ya utekaji bungeni hili si jibu tosha kuwa ukitekwa Ni kitu Cha kawaida kwa sasahivi nchi yetu inaongozwa na spika tu

  • @JohnShileMunisi
    @JohnShileMunisi 5 วันที่ผ่านมา

    Uko vizuri kijana umewakumbusha watu mpaka kombe mkuu was usalama was taifa.

  • @MubaKamlete
    @MubaKamlete 5 วันที่ผ่านมา

    Safi sana upo sahihi nakuunga mono.

  • @charlessentiyongo8484
    @charlessentiyongo8484 5 วันที่ผ่านมา

    Hilo nalo inawezekana Kuna watu wanamuaribia Rais, lakini Rais ana mkono mrefu anashindwaje? Kuuuchukua hatua? Na kwanini watekwe viongozi wa ubinzani na hakuna wa ccm kutekwa? Kuna nini hapo, inawezekana kama ulivyosema kufanya hivyo nikutisha raia

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 4 วันที่ผ่านมา

    Hakuna kitu kubaya sana kama watu kuwa waasi ndani ya kundi. Hilo ni bomu.

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ok

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 6 วันที่ผ่านมา +4

    Masauni, Wambura, jiandaeni muwezavyo, pangeni jeshi lako kivita mpendavyo kwa maagizo au kwa kujituma wenyewe! Hutaweza, hamtaweza kuushinda umma! Rai yangu, wajibikeni. Wajibikeni! Jiuzulini bila shinikizo.

    • @DaurdCharles
      @DaurdCharles 6 วันที่ผ่านมา +1

      Nikweri unayosema ndugu raisi Hana shida inaonekana kweri kunaajenda yakumharibia mama ikiwa mambo haya yameanza kuwekwa wazi wafahamu mungu anaenda kufanya jambo kubwa kwa viongozi nchi hii ndio kilio Cha Israeli kutoka misiri kwenda kanani yaani imekuwa fujo tupu unaua2 bira huruma nawao wakiuliwa je mwogopeni mungu

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 6 วันที่ผ่านมา

      @@DaurdCharles Mama Samia. Kumbuka msemo usemao mtu huuliwa kwa tunda zake. Yaani mti km hauna matunda haupopolewi. Wewe ni mti wenye matunda! Ndio maana uongox wako unamatunda ndio maana shida inakuja kwa wale wasiopenda uongozi wako. Alla yu pamoja nac. Utashinda

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 6 วันที่ผ่านมา

      Hakika kijana. Allah akuongoze. Mama Samia muite huyu kijana uwe nae.

  • @kulwamikwanga3112
    @kulwamikwanga3112 4 วันที่ผ่านมา

    Ki ukweri nimekuerewa saana

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 4 วันที่ผ่านมา

    Swala la kuteka au kutekwa hili ukiwauliza chadema wanayo majibu ya kutosha maana pale tu anapotekwa wao wamekuwa wa kwanza kupata taarifa ,inakuwaje wasitowe taarifa au wawasaidie police

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 3 วันที่ผ่านมา

    Tatizo nguvu zote za usalama zinawekwa dhidi ya upinzani.

  • @kandorohussein6890
    @kandorohussein6890 5 วันที่ผ่านมา

    Mh. Rais anahujumiwa, afumbe macho achambue vyombo muhimu vyote bila kigugumizi kuweka mambo sawa

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna agizo la Rais alioitoa wakati uliopita akiagiza Waziri Mkuu kuunda Tume sijui iliishilia wapi? ili itoke agizo jipya hili la polisdi kujichunguza ?

    • @sospeterodhiambo6869
      @sospeterodhiambo6869 6 วันที่ผ่านมา +2

      Aliagiza kweli lkn hadi leo hatujaarifiwa matokeo
      Ni wale wale Naona wanamdharau rais washamchukulia poa Hata akisema hawamsikilizi Lbd wanamhujumu

  • @elinamilyamuya3277
    @elinamilyamuya3277 6 วันที่ผ่านมา

    Hapo nikweli kiongozi.
    Napenda pia nafuatiliaga vikaovyako kama hivi.
    Maoniyangu mshauri rais Samia astopishe watalii kuja tz kwani watekaji hawatabiriki. Siiajabu nikikundi kilichojiandaa kwa lengo la kumchafua raisi wetu mwishoe balaa likawa kubwa zaidi