Mnafaham Kama huyu jamaa sasa ni member wa CBO music ya Christian Bella na ana2mia jina la # mavoice tz # nendeni mkamfollw kwenye yake muone anacho kifanya kijana huyu it's so amazing kweli nimeamin KupitiA kijana huyu kufeli shule c kufeli maisha big up bro
Bss NARUDIA HUU WIMBO NI MGUMU SANA NA DOGO AMEUVAA AMEONYESHA UWEZO WAKE MKUBWA MI NATOKA KENYA ILA NAOMBA TUPIGE KURA ZA COMMENT KWA HUYU KIJANA He's so talented
Huyu kaka mkali hata kuliko Meshaki Fukuta mwaka Jana ilà na uliza Huyu kaka Ni mu Tanzania ama ni Mukongoman Ana tuchanganya sana Oooooooooooooh beg up I wish you all the best my brother 💋💋💋💋🎄🎄🎄🎄🎄💐💐 Mary krisms to u I love your performance 🎼🎼🎧
Plzzz...mrudisheni huyu dogo..Anajua sana..Bela hukumtendea haki kabisa..ulipanic na vurugu za majaji wengine..Kiukweli umemkatili sana..umetuondolea ladha ya BSS..Madam Rita mrudishe huyu jamaa...plzzzzzzz ..Anajua kuliko wote wa Team bela
Nani amemuona Christian Bella akivuja machozi kimoyomoyo huku akiwa haaminj melody Kali inayoisikia kutoka Kwa mshindi wangu wa bss . Tanzania tuamuke this is talent we don't need to damp and let it die .BSS nawashauri mbadirike find the way to keep developing hizi talent .
Jamaa wamezngua kumtoa wakati jamaa anajua yaan wamemuingiza bonge Yule sijui sababu alikuaga bss hajui kitu chochote yaan huyu jamaa Abdul issa anajua sanaaa
DAH! Abdul amefanya vizuri saana. Kwa wanaojua wimbo ni mgumu sana huu lakini amejitahidi kuutendea haki. Sijajua majaji walitazama nini lakini that night Abdul was one of the best na alistahili kupita. SO SAD!
Jamaa anajua aisee😄😃, mwaka huu majaji mna kazi km mliandaa watu wenu ndo wachukue mzgo alaf vpaji hawana mwaka huu mtaumbuka😅😅😃😃 jamaa amekuja kuwashka na kuwapoteza kabsa🙏🙏🙏
Nazani huyu ndio atakua mshindi wa mwaka huu, kama tupo pamoja gonga like apo
Eti huo wimbo unaitwaje na niwanani maana naukubali sana
Associé Fally ipupa
Wamemtoa jamanii
Hawez
Kumbuka una bonge
Tunaposema kipaji inahusisha na uchaguzi wa nyimbo inayoendana na uwezo wako, big up brother u hit a spot
Kauwaaaa
Duuuuuh bss ya mwaka huu ni motroooooo bas gongeni like tuenjoy maisha
After every 30 minutes I will come here to cry until you bring this man back he is real 🌟😥😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Crying wont help kampigie kura kwenye app ya startimes yupo nyuma kweli kwenye kura ..kila judge anarudisha mtu mmoja kwa kura za wananchi
😢😢😢😢😢😢abdul anajua kuimba aisee
This is something badest they did,he was my foverite singer surly ,#abdula must come back
@@joycembata2238 are people still voting?
Mimi hapa jmn siichokii
bella this guy is so talented he needs connection not competition huyu ni msanii teyari
Nani aliye rudia video hii zaidi ya mara moja gonga like 👍 tujuwane basi 😊
Yupo vizuri sana
Anajitahid sn
Nimeumia sana alivyotoka
Winner
Leo Mara ya 20 nangalia ajua sio siri
Nawasiwasi na huyu jamaa!! Mbona kama kamzidi mwenye wimbo wake?
Noma sana kwake gonga like kwake pls.
kumzidi fally ipupa 🤣🤣🤣🤣🤣bangi hiyo
@@peloofficial5610 hatari mno
@@peloofficial5610 😂🤣😂😂
😀acha utani
@@bahatisenkana2039 ndiyo hivyo
Searched for BSS because of this guy!He's dope!
Mnafaham Kama huyu jamaa sasa ni member wa CBO music ya Christian Bella na ana2mia jina la # mavoice tz # nendeni mkamfollw kwenye yake muone anacho kifanya kijana huyu it's so amazing kweli nimeamin KupitiA kijana huyu kufeli shule c kufeli maisha big up bro
Yaan anaimba huyu kaka sichoki kuirudia kuingalia hii performance yake yaan ni fireeeee bss mrudisheni huyu Abdul mweh
Oyaa tukampigie kura nyingi arudushwe bss Kama unaniunga mkono gonga like
Kabcaaa jamaaa arudiiiiiiiii
Achagulowe
This guy deserve a chance in the competition,he is full of talent 😭😭😭
I don't understand what he's singing but i have watched him countless times....love from 254 Kenya
Fall Ipupa song
Here again in 2024, moja kati ya performance nzuri sana 🙌🏽
Bss NARUDIA HUU WIMBO NI MGUMU SANA NA DOGO AMEUVAA AMEONYESHA UWEZO WAKE MKUBWA MI NATOKA KENYA ILA NAOMBA TUPIGE KURA ZA COMMENT KWA HUYU KIJANA He's so talented
Kwel mwamb dog kaimba nyimb ngumu Sana na kaweza angeimba za kawaida ingekuwaje wanatakiwa waangalie na nyimb mtu anayoimba waonevu tu hawa
@@arafatsaid962 Bro walikosea kiukweli kumtoa huyu dogo
@@straightkonect1613 et katoka
@@fifteenminutes1775 alitolewa dogo
Download startimes on app ukampigie kura kule
Dah... No.1 vocalist (Abdul) 🙏🔥🔥🔥🇰🇪✅✅✅
Kumtoa huyu kwenye mashindano haya ladha ya BSS inaisha. Yaan kijana anajua sana
Mshindi wangu WA 2020 ni ww Abdoul ata ukitoka ww ni star tuu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮✌️🇹🇿✌️✌️✌️🇹🇿✌️✌️✌️🇹🇿✌️🇹🇿✌️🇹🇿✌️🇹🇿
Jamani anaweza sana
Kabisaaa
nani anangaliya mara 10 kama miyee 👌🏽👌🏽💪🏾💪🏾🇧🇮
Nipo mzeeee
Mimi nimeangalia zaidi ya mara 10 kwakweli huyu kijana anajua kuimba.
Bite wewe
Firee
Urameze neza?
Ebnaa ..hiki kichwa kilitakiwa kiiingie 5 Bora Ni noumaaaa sanaaa ... Tyumpigie kura aludiii uyu mwamba
Huyu dogo sijui kapotea wapi au me ndio sijui page yake MITANDAONI maana narudia na kurudia hii kitu kaifanya zaidi ya alie ifanya.Much respect kwake
Huyu kaka mkali hata kuliko Meshaki Fukuta mwaka Jana ilà na uliza Huyu kaka Ni mu Tanzania ama ni Mukongoman Ana tuchanganya sana Oooooooooooooh beg up I wish you all the best my brother 💋💋💋💋🎄🎄🎄🎄🎄💐💐 Mary krisms to u I love your performance 🎼🎼🎧
Hakuna mahali bss walinidissapoint kumtoa mapema huyu jamaa what a talent🔥🔥🔥🔥🔥
My Congolese people will never disappoint
I’m clapping 👏 from Australia, win for me brother
Welcome to visit our loving county Tanzania
I have been there more than 2 times, but thanks bro
Plzzz...mrudisheni huyu dogo..Anajua sana..Bela hukumtendea haki kabisa..ulipanic na vurugu za majaji wengine..Kiukweli umemkatili sana..umetuondolea ladha ya BSS..Madam Rita mrudishe huyu jamaa...plzzzzzzz ..Anajua kuliko wote wa Team bela
Bss ya mwaka huu aiseh daah sielew elewii maan naon mafundi tu sjui waweke nafasi za washindi kum ndo tutachagua vzri kwa mmoj tu aiseh ningumu
Huyu jamaa mzoefu sana kasharekodi ngoma nyingi kali tu
Ukiwa na kipaji hakijifichi . Hongera sana
Hatakama ckuiewa, huyu ana kipaja, wow, umeua aki napenda 2 sauti na bits ya hio wimbo 💯💯🤘☠️☠️
Ur so good boy.... and i believe utarud tu! Be blessed Brother 🙏🙏
huaa si comment ila kwa huyuu,,,daah imenibidiii!!!
Amini uyu Abdul anapaswa kurudishwa kwenye mashindano
Kwenye duet ameperfom vizur kwenye single piaa ameperfom vizur xa inakuajeee anaachwaaaa
bongo badaye itakuwa kama. congo 🇨🇩 kwa vipaji 🙏🏾👌🏽👌🏽🇧🇮
Wabibonye kumbe nawe?
Abdul issa nakupenda xn..hata muonekan wako wa body Kali sana..unaimba vizur kwa hisia,so attractive jamn ..unanikosha San..
Arudishwe huyu jamaa ni balaa please BSS
Dah hii haijawai tokea so fantastic axee
Fundii gonga like kama umeirudi zaid ya mara 10
Love you much love wow.. Your amazing brother
Kuna mwengine anaiangalia hii show kma mmi kila akiingia tu TH-cam 🤔🔥🙌
Na mimi hivyo hivyo nakosa raha kabisa nikikumbuka Bela alivyozingua
hatakama sijui music kihvyo, ukifimba macho ukasikiliza hii nyimbo this guy nailed it, mrudisheni mmezingua
Duh sio poa ad nairudia mara 4 jaman kwan Qatar tunapigaje kura nataka nimpigie huyu Kaka aisee
Kwa sasa kura za wananchi bado
Mpaka top 10 sasa ni top 32
Kila judge ana waimbaji 8, watatoa 4 kila judge wabaki 16
Nahic ndio kura zitaanza
Una nafasi ya kumrudisha kupitia startimes app
Kura zipo download startimes on app kuna sehemu zakuwapigia kura kati ya waliotoka watatu wanarudishwa
Wamemtoa huyo😭😭😭😭😭
@@joycembata2238 ok mamy
Huyu Kaka ameimba vizur Sana😘😘 jmn,maneno anayatamka vizur👌 daah!!Km umeguswa tumpigie kura😔
Tunafanyaje kumpigia kura
Namuona huyu ndy mshindi,👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Katolewa
Bella katika team yako huyu jamaa ni noma na Kama huamini ingia nae studio uone
Bella Fanya huyu arud aisee
Huyu ndo mshindi wangu 1000000000000000000000%
Jmn mm kila wakati tangu imepostiwa hii nina kazi ya kuja kumuangalia tu... He is so talented...
Mrudisheni plzzzzzzzzz😿
hata mimi 🤣🤣👌🏽
Mshindi wa bss 2020
Huyu jamaa anajua sana mpaka nayirudia Mara 4 kumuangalia ,,jamaa arudi anastahili tuzo la BSS 2020
Bella uyu usimuache tunataka kumuona malaka bendi, tena tunakuomba ujenae 26 12 2020. pelekigamboni nayu ndiomshindi
Mi tena mama wa live band hapa na wine yangu pemben nasikikiza vitu Kam hivi🥰🥰😘😋😋😋🤒
Tupo woooteeeeee
Yap tupo pamoja
Yaaani acha tu💞
Yn acha tu pamoja
Wapendwa nafuata Bss nikiwa hapa Rwanda naomba huyu jama Abdul Issa mumupigie kura arudie kwa sababu ni mkali sana
Uyu jamaaa ni noma aisee imeniuma Sana kutoka......sema Bella apa kabugi
Kumbe😭😭😭
😭😭😭 mmmm
Nan anaangalia huku nasoma comment
Huwez amin nimerudia mara ya 6 hiii af bellaa kamtoaaaa abdul msaniiii mkubwa 😢😢😢😢😢m kama unamkubal gonga like af twende tukampigie kura arud
Nimeshindwa kuongea mm ni moto ♥️♥️♥️
Ivi kwann mnatuwekea tuvipande uuuku khaaaa kwan hamtaki kuingia namba 1 Trending😂??
Hahah
Yani mwaka jana ilikuwa powa show inakuwa japo lisaa1 kuliko vibande vibande
Umeongeaaaaa
kipindi wamekiuza kwenye chanel ingine kwahyo wanaposti kama matangazo tu hivo kuposto yoote hawaruhusiwe ila wenye tv tanzania wana enjoy
kama unaamin bela amemtoa huyu kijana kwa kuhofia atakuja kumshinda weka like tujuane tunaowaza kama mm
Nani amemuona Christian Bella akivuja machozi kimoyomoyo huku akiwa haaminj melody Kali inayoisikia kutoka Kwa mshindi wangu wa bss . Tanzania tuamuke this is talent we don't need to damp and let it die .BSS nawashauri mbadirike find the way to keep developing hizi talent .
Yupo vizuri jamani,,nimeumia sana alivyotoka
Yani kila mudaa lazima nipatee hapaa Daaah Daaah kaka upo vzuri mashaallh 🔥❤🔥🔥🔥
Arud nampenda bure
Haloo huyu jamaa nataman wamrudishe yaan anaimba vizuri sana, halaf anafanya jukwaa kuchangamka yaan nimekasirika sana yeye kutolewa
It's fire Associe...Nimerudia zaidi ya mara100+ huyu kijana 👏👏👏👏
Poleni sana majaj kazi mnayo ngumu sana kuchagua mshindi , but all in all daaaah sijui itakuwaje aisee
I repeat this crip more than 30 times even the original song don't sound like this.plz bring back the guy in competitio
Daaah Jaman jamaaa anajua 🔥🔥🔥🔥🔥
MZIKI BURUDANI....
BIG UP JAMAA ...
NAKUBARI SANAAA
Tuludishieni huyu jamaaa daaaa
yani huyu noma huu wimbo bara aufanyie remex kaupatia atar naomba jmn huu wimbo afanye remex 😘😘😘😘😘😘😘
yani Abdul una kipaji sio rahisi kuyimba huyo wimbo wa fally ipupa ukanyosha. maneno vizur salut sana kwa mtanzania. 👌🏽👌🏽💪🏾💪🏾🇧🇮🇧🇮🇧🇪
Mpaka kiyama kila siku asubui naamkia hapa from 🍁
Christian bella amuangalie uyu jamaa ni fundi sana
Bella umezingua huyu jamaa kafanya poa sana fanyeni mumrudishe katika nafasi zile tatu
Kaka wewe ni mkali sana aise noma mnoooooooooooooooooooooooooooooooooo lazima uwe mshindiiiiiii
Jamaa wamezngua kumtoa wakati jamaa anajua yaan wamemuingiza bonge Yule sijui sababu alikuaga bss hajui kitu chochote yaan huyu jamaa Abdul issa anajua sanaaa
Wamemtoa huyu dah
Ndio wamemtoa daaaah wamezngua
Ndo mashindano lakn sasa
Sawa Ila hawamjamtendea haki
Abdul issa mshid wa bss 2020 anaye bisha abishe huy jamaa nifund
Wewe noma asei love you 💋❤👌
Hiki kipaji duh🥰
Nimemuona mshindi tayar jamaa waimba Congo kama ambae ni lugha yko 💯
Wowoooooo unaua Bro🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hupo vizuri sana kaka yangu mungu akubariki sana
Abdul Issa ndio mkali wetu maamuzi yenu majaji poa tu
Sichokaj kuangalia hii jamaa anajua Sanaa tuwe wakwel tuuu
Mwaka huu nadhani 2015 ikasome, sio kwa lingara hii
Huyu jamaaaa nomaa
Bella umekosea sana kumtoa Huyu fundiii aseee hadi rahaaaa
Waoooooo nimefurahi sana anajua hadi basi.👏👏👏👏👏
Hongela saaaanaaaaa upo vizuli saaaaanaaaaaaa
Abdul unajua sana utarudi tena tunakupigia kura nyingi uweze kurudi
DAH! Abdul amefanya vizuri saana. Kwa wanaojua wimbo ni mgumu sana huu lakini amejitahidi kuutendea haki. Sijajua majaji walitazama nini lakini that night Abdul was one of the best na alistahili kupita.
SO SAD!
Aisee huyu jamaa anajua
Jamani kila.siku hii video Mimi naiyangalia duh!
Daah niliumia sn Bella alivyo muacha uyo mwamba kiukwel minilimuelewa xn
Hunishind mim huwa najiunga band kwajil yak yani anajua
Wa Congo tunapenda Bss... watching from USA 🇺🇸
#randykinamber
🇫🇮🇨🇩❤️❤️❤️
Tunaomba huyu dogo arudishwe bss kwasababu anakipaji kikubwa sana,
Akuna kitu nimechukia km bera kumuacha uyu mwamba jamaaa anajua sana sio ao wanaoimb nyimbo nyepesi nyepesi kiukwel kw apo mmezingua sana
Hatari
Tukamipigie kura download startimes on app
Nyimbo ngumu afu kauwa mpigie kura mkari Sana huyu Kama unamoenda like
Wewe ni star
Hapa sawa❤️❤️
Oya Bella umezingua sana huyu ndio mshindi wa msimu huurudishe
Abduli issa ..
Jamaa anajua aisee😄😃, mwaka huu majaji mna kazi km mliandaa watu wenu ndo wachukue mzgo alaf vpaji hawana mwaka huu mtaumbuka😅😅😃😃 jamaa amekuja kuwashka na kuwapoteza kabsa🙏🙏🙏
Waaah, this guy tho 🔥🔥🔥🔥
Huyu jamaa arudi tena tunamuhitaji tuendelee kumuona yani anakipaji chapekee sana