S KIDE X HARMORAPA - WAWAPI (OFFICIAL VIDEO4K)SINGELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 337

  • @mwanahamisi8917
    @mwanahamisi8917 4 ปีที่แล้ว +2

    Sura yakipekee Mungu fundi

  • @yahyathug_kondeboy2281
    @yahyathug_kondeboy2281 4 ปีที่แล้ว +156

    tuacheni majungu bhana hii ngoma kali ni🔥...kama umekubali ngonga like tuwape sarpot

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hàkika hiingoma nimependa sana wote wawiri nawakubari💪🙏🔥💥🤝💯✍️🤣naomba nitumieni nambazenu niwatumie zapoza koo siriaz

  • @emmanuelmagigejacob6800
    @emmanuelmagigejacob6800 4 ปีที่แล้ว +4

    Ngoma hatar harmorapa unaweza kudadadeki.kaza buti

  • @stivekaputa6870
    @stivekaputa6870 4 ปีที่แล้ว +8

    Duh! Harmorapa 😁😁😁weendelea kua na moyo huo huo ipo cku yatakwisha🤗

  • @emmaerick9675
    @emmaerick9675 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni dhair kabisa kuwa hamorapa sasaivi ana mzigo hahahaa adi anakubl kupewa majina mazitooo tia like kama tuko pamoja

  • @juliusmwinga4051
    @juliusmwinga4051 4 ปีที่แล้ว +2

    Cha Muhimu kujikubali mtu ulivyo.Big up Hamorapa
    #Bonge la ngoma
    #Wazi
    #Nawakubali

  • @hemedijuma8845
    @hemedijuma8845 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmetisha sanaaa

  • @sakinamubaraka1246
    @sakinamubaraka1246 4 ปีที่แล้ว +7

    Sio vizuri jamn kumuita sokwee mara nyani Allah hapendi japo yeye anaona kawaida ila mm naumia kwakwel

  • @tommyshelbyvevo7856
    @tommyshelbyvevo7856 4 ปีที่แล้ว +34

    Kenya tumeikubali 👌, ngoma kali

    • @habibcastro9041
      @habibcastro9041 4 ปีที่แล้ว

      Ww na babakoo

    • @tommyshelbyvevo7856
      @tommyshelbyvevo7856 4 ปีที่แล้ว +1

      @@habibcastro9041 acha kua hater, ngoma kali hii.. Gengetone ya Bongo 😊

    • @timothybaraka1206
      @timothybaraka1206 4 ปีที่แล้ว

      @@tommyshelbyvevo7856 Usitajetaje gengetone kwa hii ngoma... DISGRACE mazee

  • @greatiq4649
    @greatiq4649 4 ปีที่แล้ว +16

    Mchambano mubashara! I'm still, Harmo rappa number one fun!

  • @halimaally5989
    @halimaally5989 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbukeni hakuna bina damu alokamilika kila mmoja ana kasoro zake ivyo basi haina haja ya kumdhau kijna wwtu

  • @maxwellnzai9542
    @maxwellnzai9542 4 ปีที่แล้ว +2

    S kide ni mukali kwa kweli...nimkubali ile mbayaa

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 ปีที่แล้ว +1

    Marota namuelewaga saana marota akigonga biti ukikosea utakua chiz wanyama kama hawaa hua wanalitendea haki na ngoma iko powa sana wanagu wa kusini kimbizeniiiii

  • @ramadhanbahari6594
    @ramadhanbahari6594 4 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma Kali Sana wanaaaaaaa woyoooooooooooooooooo mumeua

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 4 ปีที่แล้ว

    Wakumusi uyo mmasi mwenzetu harmopaka

  • @chichasam9032
    @chichasam9032 4 ปีที่แล้ว +1

    Hamorapa katejaa ka ubungo sijui kameamiaa wapi siku izi...kanagongeaa mpaka fegi

  • @yohanamwawalo7113
    @yohanamwawalo7113 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndo usanii huo aminia best of the beat best song

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว

    Upuuz mtupu cha maana hakuna mlicho imba

  • @deusmkalava9186
    @deusmkalava9186 4 ปีที่แล้ว

    Noma Sana nimewaelewa kinoma

  • @binzai9810
    @binzai9810 4 ปีที่แล้ว

    Sokweeeeeeh#s kide noma sana dogo langu imepenya kenya

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 4 ปีที่แล้ว +4

    hahah S kide, bn!! ngoma ya kwanza iitwayo "harmorapa" alimsiriba saaaana. Leo collabo nae

  • @benjaminsemwenda9035
    @benjaminsemwenda9035 4 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali mmejitahidi kufanya jambo kwa pamoja likaonekana..

  • @ajeybakali5064
    @ajeybakali5064 4 ปีที่แล้ว +1

    Binge LA ngoma

  • @brightonsospeter5100
    @brightonsospeter5100 4 ปีที่แล้ว +1

    Harmorapa tangu nikufaham Leo ndo nimegundua una fiit sehem gan mzee baba fanya singeri tena ufanye kama ulivyo fanya kwa nyimbo hii neno moja moja unaua kinoma usiimbe maneno mengi utahalibu moko moko tu au vp mwanangu

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 ปีที่แล้ว +15

    Nakubal sana 😂 auna kaz mbovu s.kide

  • @issaboll5613
    @issaboll5613 4 ปีที่แล้ว

    Mmmh jaman hamo unamoyo kweli yaani s kide acha nabia mbaya

  • @chepason7212
    @chepason7212 4 ปีที่แล้ว +75

    Homorapa anamoyo kwakweli

    • @faridaessa7844
      @faridaessa7844 4 ปีที่แล้ว +5

      Hahahahaha,kabisa yaani anaitwa nyani yy ana habari hahahaha

    • @ongbackkidinindi8246
      @ongbackkidinindi8246 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahahah, matan ya s kide yanachekesha

    • @ismailchilonga2878
      @ismailchilonga2878 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @saidhamad9723
      @saidhamad9723 4 ปีที่แล้ว

      mental case iyooo hahahaha

    • @buluush9741
      @buluush9741 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @samsonnjonanje9549
    @samsonnjonanje9549 4 ปีที่แล้ว +1

    Harmorapa ametokelezea kama mzungu wa buzza flan...

  • @JUMA_JR_TZ
    @JUMA_JR_TZ 4 ปีที่แล้ว +11

    Aaaaah fresh sana ila Rangi Ya Video imewaaribu kidogo...Oya Skide Tisha Sana Man...

  • @shukridjibril6848
    @shukridjibril6848 4 ปีที่แล้ว

    Sawa sawa muananga kaz buti. GOD IL BLESS 🇧🇮WATCHING FROM Paris 🇫🇷Number one chabikiii

  • @abdullaabdulla8618
    @abdullaabdulla8618 4 ปีที่แล้ว

    Mmefanana wote

  • @officallikern6544
    @officallikern6544 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapa ..#Hamorapa noma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nimekubareeee🎤🎤🎤🎤🎤

  • @ahazipetermwihomeke7970
    @ahazipetermwihomeke7970 4 ปีที่แล้ว

    Watu wengine wana misula mibaya

  • @yusuphrashid3414
    @yusuphrashid3414 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali xna mumetixha sana

  • @adamlikungila3435
    @adamlikungila3435 3 ปีที่แล้ว

    Mmmmh mungu ndie muumba

  • @henrydaniel4575
    @henrydaniel4575 4 ปีที่แล้ว

    Mmekosa kazi etii

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 3 ปีที่แล้ว

    Mbona wewe pia simzuri😳😳

  • @yusuphdabo3422
    @yusuphdabo3422 4 ปีที่แล้ว +1

    #nikiwa na nyani

  • @ameirmohammed5764
    @ameirmohammed5764 4 ปีที่แล้ว

    Asante hamorapa bigap sana

  • @khamisbrown4695
    @khamisbrown4695 4 ปีที่แล้ว +5

    Alafu hamorapa bonge la muhuni kumamake 😁😁✌🏿👊🏿

  • @Maxn_Engineer
    @Maxn_Engineer 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiukwel ngoma kali lakn S KIDE kambeba saana hamorapa kama unakubaliana na mm gonga like kama zote S kide kambeba Hamo👈

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 ปีที่แล้ว

    nawasi wasi ao wanaweka nyimbo on trending wana uteam fulani ivi; maana ngoma ii ni kali sana

  • @abdulkhanyraashid7887
    @abdulkhanyraashid7887 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah inasikitishasana

  • @freemanshayo3104
    @freemanshayo3104 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana mwanangu s kide

  • @EMPERORGAYA
    @EMPERORGAYA 4 ปีที่แล้ว

    Daaah hii nayo kali

  • @ADRIANONYALUSI
    @ADRIANONYALUSI ปีที่แล้ว

    Nakubali eskide na hamolapa

  • @jhovinndunguru5635
    @jhovinndunguru5635 4 ปีที่แล้ว +2

    Acheni kumwonea harmorapa wazeee

  • @emmanuelmashauri8949
    @emmanuelmashauri8949 4 ปีที่แล้ว +1

    Skide n msanii mwenye comedy xana

  • @dreamawakeproduction
    @dreamawakeproduction 3 ปีที่แล้ว

    Much respect to OG Harmorapa kiboko ya mabishow

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 4 ปีที่แล้ว +15

    Huyu nyani sijui ametoroka mbuga gan🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃tuache unafiki hii ngoma kali

    • @sarahloveyouolivermtukidzi6704
      @sarahloveyouolivermtukidzi6704 4 ปีที่แล้ว

      Kaka amorapa ww cyo nyani kweli bhanaa upo ok,ngoma kali snaa,Upo na dogo skide

    • @doyohuqa9467
      @doyohuqa9467 4 ปีที่แล้ว

      Acha matusi,,hamorapa ako vizuri

    • @mariamothman7404
      @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว

      MUNGU ywatuona jiran😁😁😁😁😁

  • @allykamila3445
    @allykamila3445 4 ปีที่แล้ว

    Harmo Rapa namkubali sana... Inahitaji moyo kuchambana na Skide

  • @paulomaona7627
    @paulomaona7627 4 ปีที่แล้ว

    nakukubali sana kaka s kide

  • @mamaikram9612
    @mamaikram9612 4 ปีที่แล้ว +4

    Najua watu mmekuja kuangalia hii vidio kwa ajili ya halmolapa

  • @mfaumeabasi1535
    @mfaumeabasi1535 4 ปีที่แล้ว +11

    Ohoooooo!!😂😂😂😂hamorapa umesimama kwenye verse CYO poa 😁😁😁

  • @msouthlizombe8375
    @msouthlizombe8375 4 ปีที่แล้ว +4

    Nawakubali sana tsha sana wawapi?
    Kitambo jiji lamakonda amolapa 💯💯 🔥

  • @pizzohelisam667
    @pizzohelisam667 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana At

  • @azizymachadeson3577
    @azizymachadeson3577 4 ปีที่แล้ว +2

    Singeli inawenyewe tuongee tu ukweli S Kide ndo katisha japo Harmo kajitahidi kiasi chake! So mbaya kajitahidi mana uwanja so wake

  • @lukasijuma-yj7pk
    @lukasijuma-yj7pk ปีที่แล้ว

    S kide nakukubali sana

  • @abdulkuyambuka9637
    @abdulkuyambuka9637 4 ปีที่แล้ว +7

    Nakubaliana na nyie team wehu

    • @fatmaomaomar1514
      @fatmaomaomar1514 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣Jmni team wehu kweli tuu

  • @emmanuelmakindi4409
    @emmanuelmakindi4409 4 ปีที่แล้ว +6

    🤣🤣🤣🤣 ila watu 🙌🏼
    Wanaokubali harmorapa aende Zoo tujuane kwa likes 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🤣🤣🤣

  • @enriquebalome7389
    @enriquebalome7389 4 ปีที่แล้ว

    Dah upo kaa sokwe weka bariaaaaaaa😁😁😁😁

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว

    Aambiwa akiwa na nyani😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @bonnyjumajustin6378
    @bonnyjumajustin6378 4 ปีที่แล้ว

    Imetisha

  • @abishafiqabishafiq6065
    @abishafiqabishafiq6065 4 ปีที่แล้ว +7

    Eeeeh sawa ngoma nzuri wamakonde

  • @hamzamwamed3145
    @hamzamwamed3145 4 ปีที่แล้ว

    Ms balaa

  • @derickkibona8380
    @derickkibona8380 4 ปีที่แล้ว

    Poa sana

  • @chizimndalu1917
    @chizimndalu1917 4 ปีที่แล้ว +1

    Nan mwenye anasura Kama sokwe🤣🤣🤣,matani jamani🇹🇿🇺🇬🇰🇪👇👇👇

  • @Directorjax55
    @Directorjax55 4 ปีที่แล้ว +3

    Respect for you harmorapa

  • @shadowmedia7644
    @shadowmedia7644 4 ปีที่แล้ว +1

    Afadhaliii harmorapa singelii

  • @mtwanamuhibu1592
    @mtwanamuhibu1592 4 ปีที่แล้ว

    Ety banee kweli kunogaaa

  • @barakamziwanibarakamziwani6646
    @barakamziwanibarakamziwani6646 4 ปีที่แล้ว

    Noumaaa

  • @dennischeyo1302
    @dennischeyo1302 4 ปีที่แล้ว

    Mbona unajifunuafunua nguo vp tena mwenzetu

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว

    Harmorapa icho kikoti cha rangi ya manjano ni chakike ujakishukia tuu

  • @fabylyimo300
    @fabylyimo300 4 ปีที่แล้ว

    🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎸🎸🎸🎸🎸🎸🔊🔊🔊🔊Ngoma ikopoa sana

  • @carolbony4855
    @carolbony4855 4 ปีที่แล้ว +1

    Ipo gud

  • @rahmaomar9646
    @rahmaomar9646 4 ปีที่แล้ว

    mm nacheka ty nyani😅😅ila ngoma👌👌

  • @eliasgembe5800
    @eliasgembe5800 4 ปีที่แล้ว

    Duuh ngoma kali

  • @muntaxdelacream3195
    @muntaxdelacream3195 4 ปีที่แล้ว

    Penda sana

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 ปีที่แล้ว

    Haaaaa ipo vizuriiiii

  • @ochuvan4904
    @ochuvan4904 4 ปีที่แล้ว +5

    😆😆😀😂😂😂😀😂😀😀 Harmorapa anavocheza😀😂

  • @thumamusa629
    @thumamusa629 4 ปีที่แล้ว

    Hyu harmorapa na umber ruty wanaendana

  • @raheemaqasim2477
    @raheemaqasim2477 4 ปีที่แล้ว +33

    Sijawahi skia Harmorapa anasifiwa jaman, mmhhh 😂😂😂

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubunifu harmorapa usijali utapasua sana

  • @raphtz5694
    @raphtz5694 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee hii video temperature imezidi aisee, dah

  • @jamespetro9954
    @jamespetro9954 4 ปีที่แล้ว +2

    Ila inauma wezako wa sasaiv wanamagari skide amekosa cha kujibu

  • @kingfisher101
    @kingfisher101 4 ปีที่แล้ว +14

    Somewhere in Africa wakati buza hapo 😄

  • @barakaharony4396
    @barakaharony4396 4 ปีที่แล้ว

    Au sio

  • @alinyamawi725
    @alinyamawi725 4 ปีที่แล้ว

    Tanzania stand up for the boy's....... From 001!!!!

  • @linusrohomoja8856
    @linusrohomoja8856 4 ปีที่แล้ว +1

    haka ka wimbo kanaweza kupunguza kasi ya maambukizi ya COVID 19

  • @irenselestine9891
    @irenselestine9891 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂🙌🙌🙌daaaah

  • @fadhilplatnumz6209
    @fadhilplatnumz6209 4 ปีที่แล้ว

    Ikopoa sana

  • @razzo1287
    @razzo1287 4 ปีที่แล้ว +2

    Y prince TH-cam Brand music for life

  • @ollgfgv9872
    @ollgfgv9872 4 ปีที่แล้ว

    nyani duh sema jamaa kapondo kisiasaaa 😂

  • @michaeleustach9769
    @michaeleustach9769 4 ปีที่แล้ว

    Duuuu

  • @bigmanyamafilmproduction5890
    @bigmanyamafilmproduction5890 3 ปีที่แล้ว

    Yaani nacheka tu

  • @issahamis3286
    @issahamis3286 4 ปีที่แล้ว

    Huyo harmorapa Hana haja kukuja uso

  • @Justunsumayan-fn7wc
    @Justunsumayan-fn7wc ปีที่แล้ว

    nakubali sana

  • @djsamthekiller755
    @djsamthekiller755 4 ปีที่แล้ว

    Kali sana aipingwi

  • @raykondo4575
    @raykondo4575 4 ปีที่แล้ว

    Nzuri