anakusudia kusema kuwa kuna watu walikuwa maskini wakaona bora wakajiunge na dini ya wavaa suti ili wapate pesa za ndumba bila kujali kuwa dhara zake ni kubwa ilimradi wawe na maisha juu na kujifaharisha.hakusudii s-kide kujiunga freemasson.
please usiingie kwenye hiyo kitu mtegemee mola kwani yeye ndiye anaegawa rizki. na dunia ni maisha mafupi. tunapita tu. kuna life after death which is better than dunia if we obey God
anakusudia kusema kuwa kuna watu walikuwa maskini wakaona bora wakajiunge na dini ya wavaa suti ili wapate pesa za ndumba bila kujali kuwa dhara zake ni kubwa ilimradi wawe na maisha juu na kujifaharisha.hakusudii s-kide kujiunga freemasson.
wana hapa mmekamata kweli ngoma kali. kuna pesa za ndumba bi mkubwa amewekwa reheni duuuuuuu
singeli mzuri Sana . d g .s life hendelea
dogo uko vizuri unachangamka kwenye video good voice kaza kijana appriciate it much
unasauti nzuri mungu atakujalia utafanikiwa safar yako
Mhh ati zimekubali bibi mkubwa aende mnada nimewaelewa mr s kide
please usiingie kwenye hiyo kitu mtegemee mola kwani yeye ndiye anaegawa rizki. na dunia ni maisha mafupi. tunapita tu. kuna life after death which is better than dunia if we obey God
mweu
s kide dera hilo.limekupendeza mno
Big up sana ndugu yangu wataelewa tu kweli kipofu kanunua tv
uko vizur..nice song...ila usiwe fremason bwanaaaa..
S Kide iko juu usiingie Freemason mziki wako utalipa
Sote twaelewa unachosema kuhusu nduguyo bali usijali mungu ni wa ajabu ipo siku
DOGO HAMUJAMUELEWA:HAKUSIDII KUWA FREEMASON YEYE MWENYEWE ANAKUSUDIA KUWAPIGA MADONGO WATU WA DINI YA WAVAA SUTI. ME NISHAWAELEWA.
Nimekuelewa bro big up sana
Mtoto wa mama shante, lv you sanaa tu
nyc xong,nakukubali xana S.Kide
From Kenya
Naipenda
uyu dogo yuko sawa nampenda sana yani mungu akuzidishe
unayoyaomba mdogo wangu utapewa manake mola halali. ..hope hutumiwi na mtu yeyote you will pay alone.
Pilfilhabib Karim asante mi pia
Kaweza hiyo nyimbo kk
S kide upo juu lakini acha kuimba diamond bt love you sana
director unajua,hongera na mwimbaji
dogo aimba ukweli. iko cku mtajua anacho kisema. ..lisemwala lko nalaja.
ZED B tayar tukonae huyo huko
Ndicho kinachotokew
daaa dogo Tisha Sana big up
usiende uko omba mungu tu atakubaliki
FREEMASON WALAANIWE
Bora tuwe freemason
msanii mzur ni Yule anaefany Kaz nzur
what a nice voice big up boy utafika Mali
+lina gakii mmm
+Getias palmer Wekesa bona mmm🙋
+Getias palmer Wekesa ana ni mali badala ya bali
+lina gakii cpendi uyu boy anaudu saana
+lina gakii najua ubaya wake kuimba diamond but akiacha utoto atatoboa
Uko juu sana dogo
wewe dg unaweza na unajua lkn ndio bdo mungu hajapnga
Kumbe ww boya ni mtoto wa mama mjinga sana
Nice voice bro keep it up going guys
Dogo upo vzr kaza buti wataelewa tuu
S kide nakukubali sana
Ilove you nakupenda sana
hehe Alishaingia finally
unasauti nzuli brother
Najua ni dini tofauti Kama viatu vya ney
S kide upo juu
ngoma makini sana
Ngoma kal
Unakipaji 👌
pambana na hali yako mwenyewe
Dont entertain freemason u wil go regret bliv n creator almighty God
ety ni tifauti kama viatu za ney😂😂😂😂😂
Kazi nzuri
keep it up ...good voice
waaah i love the voice keep up
Watakuelewa sasa wanajua wewe ni Nani dogo tuko na wewe.
wehu yani wehu tena mmenyongorota aisee
🤣🤣🤣Nguo zinanuka kama umejamba
nakubali apo man morale
we mtto mwehu kwel
Hii hatareeee duuuh
hahahaha ww waende hatare
unashidwa kula ugali kwa arufu ya mbonga ya jirana
Nice song
nakubali sana
umefikia kuvaa madera
#2021 🔥🔥💯💯🇹🇿🇹🇿
kuangalia yotube video, tucheza by malaika
2021
Vp iko poa sana
nzuri sana
Umeyamaliza yote, bado huna ulilo nalo! Ingia FREEMASONRY wakutie adabu! Si wewe unajiita MWEHU? Sasa nenda ukaponee kwa cannibals!
kazi.zuri
unajuwa
wewe ni mpumbavu sana nenda kama utaenda kwasababu wewe ni mpumbavu
Dini ya braza?
daaaaa
good voice broo
Kweli I realise that dey'r WEHU
What is Freemason? And why they want to join that can some explain to me what they talking about
illuminate
Unforgettable Chick Freemason is the secret society. Due to hardship in life he prefers sacrificing his mom to join illuminati
tanlanta ipo
mm cpendi freemason hains
Unazngua sasa skide unavaa dela
VIJUKUU WATE
big up
Jiosy
shebi Ally Abedy mn
U
niceeeee
Ushemej upo
Nice
Gd
Unankoxha ww
😂😂 SUBSCRIBE Kwa Mohamed Del-Omar
Sa we unaomba subribers
penda👆👆
😀😀😀😀😀😀
dogo yuko vzr
duuuuu
Dogo atar
unajua kk
Sote twaelewa unachosema kuhusu nduguyo bali usijali mungu ni wa ajabu ipo siku
daaa dogo Tisha Sana big up
Nice song
#2021 🔥🔥💯💯🇹🇿🇹🇿
daaaa