NANDY ALIVYO MTAFUTA BILLNASS USIKU WA SEND OFF YAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    #Bonatv #Exclusive #Nandy

ความคิดเห็น • 95

  • @saadashoje313
    @saadashoje313 2 ปีที่แล้ว +18

    Nandy una furaha zaidi kumpata mume w ndoto zako, yaani upo happy and real. Kila l heri kwenye maisha mapya y mke n mume

  • @terezimarura9814
    @terezimarura9814 2 ปีที่แล้ว +12

    Umependeza sana ...nawapenda sana ...Mungu ajalie ndoa yenu idumu Amen

  • @sittymnengwe5057
    @sittymnengwe5057 2 ปีที่แล้ว +10

    Mdumu jamn hyo nd dua yangu kwenu msiwape nafas wale wanaosema mtaachna wajewaseme tulisema m nawapenda aise 💞💞💞💞

  • @getrudathomas535
    @getrudathomas535 2 ปีที่แล้ว +3

    Wawoooo Hongera sana nandy kwa hatua nzuri mwenyezi Mungu awape kicheko kila siku ktk ndoa yenu na mumtangulize Mungu ktk kila hatua

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 2 ปีที่แล้ว +12

    Wote wapo happy Maa Shaa Allah wamependeza na wanapendana Mungu awabariki 😍❤💙💙

    • @mariammakweta8014
      @mariammakweta8014 2 ปีที่แล้ว

      Wamependeza

    • @gradyjovin1020
      @gradyjovin1020 2 ปีที่แล้ว

      Mungu hawape kila lenye heri na aibariki familia yao🥰🥰🥰

  • @bahlaoman6467
    @bahlaoman6467 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallh Nandi na Belnass kila nguo inampendeza Nandi 😍❤️

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 2 ปีที่แล้ว +7

    Iwish you all the best Nandera and Billy may Allah guide your everything.

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 2 ปีที่แล้ว +3

    So beautiful God bless they Married 🙏🙏❤❤

  • @deborayaya5667
    @deborayaya5667 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kipenz changu nakupenda sana umependeza sana Mungu akusaidie katka maisha unayo enda kuanzisha

  • @benadetakalinga8459
    @benadetakalinga8459 2 ปีที่แล้ว +5

    Mmependeza sana,Mungu awajalie ndoa yenye amani na furaha.

  • @fatumaseleman1579
    @fatumaseleman1579 2 ปีที่แล้ว +3

    Kuolewa raha jamani 🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥❤❤

  • @mumynanah5479
    @mumynanah5479 2 ปีที่แล้ว +2

    Nand hilo gauni limekupendez mashaAllah lakn mbona kama linakuzidi nguvu

    • @anithamwambola9292
      @anithamwambola9292 2 ปีที่แล้ว

      Ndani yanakua na ringi za duara kama neti,so kutembea smtime shida

    • @mumynanah5479
      @mumynanah5479 2 ปีที่แล้ว +1

      @@anithamwambola9292 aaaah! Najulia wapi mimi jamn 😁

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Hongera kwenu mmependeza 😍

  • @tumaramadhani3381
    @tumaramadhani3381 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah kuolewa raha nice couple

  • @zenabali568
    @zenabali568 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah 😘😘😘.penzi liduma inshallah hadi ndani ya ndoa yenu ❤️

  • @deusdedit789
    @deusdedit789 2 ปีที่แล้ว +1

    🤯Nilikosaje jana jamani 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ 😩😩😩😩😩😩🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @rehemamakupa5692
    @rehemamakupa5692 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana girlfriend totally a blessing fro GOD

  • @paschalluambano8289
    @paschalluambano8289 2 ปีที่แล้ว

    Pongezi kubwa kwao mungu awatangulie 🙏👏👏

  • @dorotheamsuya2303
    @dorotheamsuya2303 2 ปีที่แล้ว

    Mmependeza Sana mungu awabariki katika ndoa yenu💕💕💕

  • @ashleynatasha4958
    @ashleynatasha4958 2 ปีที่แล้ว +2

    So happy for you guys 😘

  • @hawaaabdallah6586
    @hawaaabdallah6586 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana japo alieshona hio nguo manyoya asingeeka mpk huko juu urembo umezd sana

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 ปีที่แล้ว +1

    leo send of ya jack me nimekuja kuchungulia hii ya nandy kwaza nitasimi 🤣🤣🤣najua mnajua ninacho Chek like zenu hapa mlio kuja uku kuchungulia

  • @najmakhamis7946
    @najmakhamis7946 2 ปีที่แล้ว

    So paambe big upp ikawe ya kher na baraka zote wazee na hata mungu mwnyw🤲😘

  • @nadanasser1020
    @nadanasser1020 2 ปีที่แล้ว +1

    Kapendezaa mashaa alllah

  • @eunmacyrheem
    @eunmacyrheem 2 ปีที่แล้ว

    wishing all the best and happiest marriage ever ... nenga and nandy 😍😍😘😘😙😙

  • @jeangodelo5349
    @jeangodelo5349 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana Mungu awajalie mdum mileleeee 💞💞💞

  • @evaamos1591
    @evaamos1591 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana my❤️❤️❤️nandy

  • @ndesfosmbisse6742
    @ndesfosmbisse6742 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awasaidie

  • @anithaabinel3729
    @anithaabinel3729 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awaongoze maisha yenu yawe ya furaha daima

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndoa tamu jaman ila subili upangiwe na Mungu usiforce sababu umri au wenzako wanaolewa subili wakati Wa Mungu utaenjoy

  • @anniesylvester3601
    @anniesylvester3601 2 ปีที่แล้ว

    Wishing you all the best Nandela

  • @nadanasser1020
    @nadanasser1020 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa alllah

  • @zaiogy5787
    @zaiogy5787 2 ปีที่แล้ว +6

    Jamani kuolewa raha

    • @hottiegirl9275
      @hottiegirl9275 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣 ukimpata mtu sahihi sasa

    • @rozinachalle9852
      @rozinachalle9852 2 ปีที่แล้ว +1

      Kuolewa rahaa sana ukimpata mtu ambae mnapendana mungu awasimamie katika ndoa yao

    • @mathiasizebedayo4217
      @mathiasizebedayo4217 2 ปีที่แล้ว

      Bigap kwa ....Billi nass ume tisha ...brotha

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 2 ปีที่แล้ว

    Umependeza mno ukijistir hivo♥️

  • @vinnahjasson5546
    @vinnahjasson5546 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana nand na billnas

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 ปีที่แล้ว

    Waooo mapenzi yenu yadumu nawapenda Sana

  • @rehemamuharami8345
    @rehemamuharami8345 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah jmni❤️❤️❤️

  • @qwqw4195
    @qwqw4195 2 ปีที่แล้ว +2

    Congratulation Nandy nice wedding

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 2 ปีที่แล้ว

    Jamani ume.mypata umesha choka kutoka kule kote .nahicho kikanzu natumbo ulichoka Jamani. 16 ni Saturday. Harusi tuna isubiri sana

  • @kabughosumaya146
    @kabughosumaya146 2 ปีที่แล้ว

    Wow 😲😲😲😲 so nice bby nandy

  • @bettygacheri2882
    @bettygacheri2882 2 ปีที่แล้ว +3

    Nandy anafanana bobrisky .congrats though

    • @neemashija6414
      @neemashija6414 2 ปีที่แล้ว

      Wewe una hakili kweli unamkosea heshima nandy kiasi hicho shenzi kabisa wewe yule simwanaume wivu tu 😏😏😏

    • @bettygacheri2882
      @bettygacheri2882 2 ปีที่แล้ว

      @@neemashija6414 kwani bobrisky sio binadamu au

    • @neemashija6414
      @neemashija6414 2 ปีที่แล้ว

      @@bettygacheri2882 aahh tofautisha mwana mke na mwana ume hizo zarau hakuna alie sema sio binadam ila unajiwahi tuwanatofauti kubwa tena sana

  • @hadiyajuma3974
    @hadiyajuma3974 2 ปีที่แล้ว

    Umependeza MashaAllah

  • @nailathyhaji8303
    @nailathyhaji8303 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah 💕 💕

  • @mariamlawrence4282
    @mariamlawrence4282 2 ปีที่แล้ว +1

    Masharhaa

  • @meryshomi1738
    @meryshomi1738 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana nawapenda

  • @samiaismailmsabah8509
    @samiaismailmsabah8509 2 ปีที่แล้ว

    Mashllah mmependexa jomoni

  • @winiemwenda7824
    @winiemwenda7824 2 ปีที่แล้ว

    Bona tv mlizingua mbona hatuwasikii

  • @yasintachale3534
    @yasintachale3534 2 ปีที่แล้ว

    Waooo nawapenda sana

  • @hapymasawe1778
    @hapymasawe1778 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awalinde jmn nawapenda ad naumwa ety

  • @jasminlyall1243
    @jasminlyall1243 2 ปีที่แล้ว +2

    Beautiful

  • @sophierseyyd1162
    @sophierseyyd1162 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice couple nawapenda 💋

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah mmejipanga

  • @witneschezue5597
    @witneschezue5597 2 ปีที่แล้ว

    Mmependeza sanaaaaa

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 2 ปีที่แล้ว

    Umependeza sana mwali wetu

  • @yohanadeusi9084
    @yohanadeusi9084 2 ปีที่แล้ว

    Nenga mnyamwezi sna nkbl huna wenge kbs mzee

  • @tesondalu5819
    @tesondalu5819 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana🙏🙏🙏

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 2 ปีที่แล้ว

    Jaman mabaunsa wa nini apo wamekuwa Kama wasimamizi wako sasa

  • @shamsasham6115
    @shamsasham6115 2 ปีที่แล้ว +1

    Mlipendeza sana 😍😍

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 ปีที่แล้ว +2

    Mme endana Asa muachane wsherehe zote zikose maana

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @ashamohamed1245
    @ashamohamed1245 2 ปีที่แล้ว

    Wow 🔥💕🥰

  • @fardosashj8653
    @fardosashj8653 2 ปีที่แล้ว

    Wow❤️❤️❤️

  • @valaryawour6016
    @valaryawour6016 2 ปีที่แล้ว

    I remember Sofia the first hii dress

  • @neemaedward852
    @neemaedward852 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda jamani mwaaa

  • @sophialusonzo3594
    @sophialusonzo3594 2 ปีที่แล้ว

    Kiukweli wanapendezana jamani

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 ปีที่แล้ว

    Waooooooo Mashaallah,. 😘😘

  • @lesusi7872
    @lesusi7872 2 ปีที่แล้ว

    Mmependeza

  • @vinnahjasson5546
    @vinnahjasson5546 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe send off tayar!!!

  • @adhambeakau785
    @adhambeakau785 2 ปีที่แล้ว

    Halafu bona tv embu acheni kuwa mnatuwekea hayo manyimbo yenu mabaya muwe mnaacha za ukumbini ebo!

  • @paskaliangoto2849
    @paskaliangoto2849 2 ปีที่แล้ว

    Jambo jema sana

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 2 ปีที่แล้ว +1

    Hamkawii kutuambia ilikuwa ni kiki hahahahahaaaaa

  • @safinamdingi2338
    @safinamdingi2338 2 ปีที่แล้ว

    Waooooo

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 2 ปีที่แล้ว

    Bodyguards tafuteni mahali mkae basi

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥

  • @lailawaso2421
    @lailawaso2421 2 ปีที่แล้ว

    Hivi wale walosema watatembea uchi ikifika siku hii wapo hai kweli???

    • @mwanaidsalehe1109
      @mwanaidsalehe1109 2 ปีที่แล้ว

      Aibu zimewashuka Mungu ni mkuu juma lokole ndio aliyasema hayo.

  • @FelixBibuka-dw3ky
    @FelixBibuka-dw3ky ปีที่แล้ว

    Waldamshi

  • @hellenpaul2149
    @hellenpaul2149 2 ปีที่แล้ว

    💙💙💙💙💙💙❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 2 ปีที่แล้ว +1

    Pendza xana nawpnda xana

  • @mnyamatv505
    @mnyamatv505 2 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/nkqhQK9ClXo/w-d-xo.html MANENO MAZITO YA MANALA KWA MSEMAJI WA SIMBA

  • @onolathandedela9440
    @onolathandedela9440 2 ปีที่แล้ว

    Mmependeza sanaaaa