JANJARO KAFUNGUKA KUMILIKI MJENGO MKALI, AWATAJA RECHO NA LINAH "MIMI NA MAMA YANGU HATULIPI KODI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 110

  • @jimmymbella997
    @jimmymbella997 2 ปีที่แล้ว +1

    Janjaro umekiwasha vile inatakiwa♥️💪💪

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 2 ปีที่แล้ว +9

    Janjaroo bana nampendaga, ananyooshaga maneno

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 2 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂😂😂😉😂😂Ebhana Janjaro umetisha sana,yaani umeongea kichuga kabisaaaaa man.

  • @sofiskifamily306
    @sofiskifamily306 2 ปีที่แล้ว +2

    Dogo janja salute 🔥🔥🔥 amezungumza so wisely.

  • @marymahiri1995
    @marymahiri1995 2 ปีที่แล้ว +7

    Linah umeshakua mama sasa nini hicho unavaaa jaman dunia simama nishuke

  • @mkudembeteni7667
    @mkudembeteni7667 2 ปีที่แล้ว +9

    Duuh!! kweli kuzaa siyo kupata!! Poleni wazazi wa Lina..

    • @judithcha-mushala8852
      @judithcha-mushala8852 2 ปีที่แล้ว

      Halafu ni mtu mzima

    • @oscarsteven2528
      @oscarsteven2528 2 ปีที่แล้ว

      @@judithcha-mushala8852 Ninavowaambia Baba yake lina ni mzeee wa kanisa

    • @judithcha-mushala8852
      @judithcha-mushala8852 2 ปีที่แล้ว

      @@oscarsteven2528 hatakuwa anaumia sana kwa hii Aibu, MUNGU amsaidie

    • @oscarsteven2528
      @oscarsteven2528 2 ปีที่แล้ว

      @@judithcha-mushala8852 Mimi na FAMILIA ya mzeee Sanga tupo jiran huku mpiji magoe. Lina aliwai kumnunulia Baba yake gar ila kutokana na tabia zake mzee akalikataa.

    • @judithcha-mushala8852
      @judithcha-mushala8852 2 ปีที่แล้ว

      @@oscarsteven2528 du! Mzee ana msimamo sana.

  • @trendvibeke
    @trendvibeke 2 ปีที่แล้ว +2

    Iko love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ramadhanmtoo245
    @ramadhanmtoo245 2 ปีที่แล้ว +2

    iv Lina kakutwa na nn jamani mbona zaman akua ivyo

  • @collo__5455
    @collo__5455 2 ปีที่แล้ว +1

    Chali wa Ara umetisha sana

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 2 ปีที่แล้ว +1

    yaaani hii nyandu ya chuga ni 🔥🔥🔥

  • @theresiacostantine132
    @theresiacostantine132 2 ปีที่แล้ว +11

    shetani ananguvu sana juu ya lina unawaaibisha sana wazazi wako umri umeenda hupendezi

  • @peaceofmind7036
    @peaceofmind7036 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimejifunza kitu kwako janjaro

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 ปีที่แล้ว

    salute godo janja

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว +1

    Arafu wandishi wa Habari mnamsifia kapendeza wkt yupo uchi.

  • @husseinadolf9500
    @husseinadolf9500 2 ปีที่แล้ว +3

    Chuga kama Chuga 💪💪💪💯💯💯

  • @saumurashid5232
    @saumurashid5232 2 ปีที่แล้ว +4

    Janjaro big up

  • @chotukikoko2222
    @chotukikoko2222 2 ปีที่แล้ว

    Kwna janja n heroo

  • @flova7022
    @flova7022 2 ปีที่แล้ว +2

    Janjaroo ni janjaa Sana Huyu broo

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 2 ปีที่แล้ว +2

    Dogo janja nakukubari sana chariiii anguuuu

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 2 ปีที่แล้ว +9

    Mtu yupo uchi unasema umependeza sana, amependeza kuwa uchi au!?

  • @amosmwanaume5923
    @amosmwanaume5923 2 ปีที่แล้ว

    Daah dogo cha Arusha kishamkolea

  • @ivonmalay6328
    @ivonmalay6328 2 ปีที่แล้ว +1

    Kubali sana janjaro

  • @letisiamakonda3873
    @letisiamakonda3873 2 ปีที่แล้ว

    Duuh Linah👐

  • @masakaupdate1488
    @masakaupdate1488 2 ปีที่แล้ว +5

    Lina anatangaza umalaya #Tanzania kabisa wasanii Ni kioo Cha jamiii Ila uyo so kiooo watotozetu waige kupitia yeye anakosea kabisa ✋🙌

    • @lodrickmwambene133
      @lodrickmwambene133 2 ปีที่แล้ว

      Hapana ni kwamba alivyovaa ni Tanzania hawajazoea sio mila na desturi ila dunia inabadirika

  • @muslimtv694
    @muslimtv694 2 ปีที่แล้ว +2

    Kalewa tayari

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 2 ปีที่แล้ว +3

    Astaghfirullah huyu lina

  • @dottombwilo4317
    @dottombwilo4317 2 ปีที่แล้ว +1

    Upo. Uchi

  • @deskorydominick3218
    @deskorydominick3218 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni Mungu 🙏

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 2 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @mghazamghaza3361
    @mghazamghaza3361 2 ปีที่แล้ว +4

    Your voice still the same..ndogo njanja nakupenda sanaaa

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 2 ปีที่แล้ว

      Mbona yuko uchi, hivi watu wa sheria wk wapi.

  • @estershilla1221
    @estershilla1221 2 ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli dogo janja ananyumba kali na yuko poa san hana roho mbaya hata ukimkut popote ukimwita lazim akuitikie ,kipind kile anajenga nilikutn nae nikajua dogo hana roho mbaya

  • @Qqambaa
    @Qqambaa 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama kawaida ukinisifia utachoka

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 2 ปีที่แล้ว +2

    Lina kaamua kuvaa chakuogelea🤣🤣

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 2 ปีที่แล้ว +5

    Lol linah umevaa nini mpz maana sijaelewa au machoyangu mabovu jmn ndugu zangu mmeona kama Mimi au ?

    • @nkwimbakipili8044
      @nkwimbakipili8044 2 ปีที่แล้ว

      Iina yuko kabisa jaman! Kumbe wa iringa ndo maana kamaa

    • @nkwimbakipili8044
      @nkwimbakipili8044 2 ปีที่แล้ว

      Lina yuko uchi

    • @زينبعىر
      @زينبعىر 2 ปีที่แล้ว

      Badilika Lina ttzo nn Allah amekupendelea sura na umbo linaloonekana hata usipoliacha wazi unaonekana na kama ipo ipo tu ushakuwa mama vp mwanao akijaona umeziba papa na kiganja cha mkono ?tujipandishe basi kwa kujistiri mbona tunajisha mno?

  • @nesto3587
    @nesto3587 2 ปีที่แล้ว +3

    Mitungi sana dogo😂😂

  • @stevefuraha7550
    @stevefuraha7550 2 ปีที่แล้ว

    Janjarooo

  • @jointjoint4507
    @jointjoint4507 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu lina kavaa nini mh

  • @flova7022
    @flova7022 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila nyi watu WA chuga dahhh

  • @reenytv297
    @reenytv297 2 ปีที่แล้ว

    Lin umevaa nn jomn daaah I R p Lina,😭😭😭

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani mwanamke wa kiafrika inabidi mjitambuwe

  • @agnesagnes1128
    @agnesagnes1128 2 ปีที่แล้ว

    Mhhh uchi kbsaaa

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 2 ปีที่แล้ว

    Hakir sana dogo

  • @agnestemu8382
    @agnestemu8382 2 ปีที่แล้ว

    Linah

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 ปีที่แล้ว +4

    Mmm! Lina mbona uchi jamani mtoto wa mchungaji

  • @lucymtuka6393
    @lucymtuka6393 2 ปีที่แล้ว +4

    Heh! 😭😭Jmn ama kweli kioo cha jamii Sasa angevua na iyo ya juu

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 2 ปีที่แล้ว +3

    , _، lina upo uchiiiiiiiiii

  • @naomybenedict1787
    @naomybenedict1787 2 ปีที่แล้ว

    Kwan kukaa uchi ndo uzuri au nn

  • @SandraAFmgaya
    @SandraAFmgaya 2 ปีที่แล้ว

    Kwani lna kavaa nn jaman waungwana,au m ndo sielew chenyewe amevaa

  • @athumanindyema2302
    @athumanindyema2302 2 ปีที่แล้ว

    Sasa kam Gigi alifungiwa kwa nn uyo mshezi lina asifungiwe?

  • @rehemavickie6521
    @rehemavickie6521 2 ปีที่แล้ว

    Lina hajavaa!?

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 ปีที่แล้ว

    Toba ya Maulana, wanawake tutafika mbinguni tumechoka sana. Linah upo uchi😳 Allahu Akbaru

  • @idinado4524
    @idinado4524 2 ปีที่แล้ว +1

    Kawaida ya Lina kuvaa ovyoo

  • @kaisamjunior3692
    @kaisamjunior3692 2 ปีที่แล้ว

    BARBERIAN PARK GO KART @ DAR ES SALAAM TZ

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว

    Lina iyo nguo😂😂😂mtu unazeeeka unakaa uchi

  • @sashahauke2032
    @sashahauke2032 2 ปีที่แล้ว

    Huyu lina kavaa nini jamani ujapendeza hataaaaaaaa

  • @BilaliBilaliamri
    @BilaliBilaliamri 4 หลายเดือนก่อน

    Linah unaambiwa ni chupi mkononi

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว

    Afungwe huyu lina 👂😏😏😏

  • @mwalimualiaminialiamini8623
    @mwalimualiaminialiamini8623 2 ปีที่แล้ว

    Sa linah kavaa nn😂😂😂

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji achana kuuliza maswali nyumba, ni ushamba

  • @kellymwegelingoha.3306
    @kellymwegelingoha.3306 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wote ni wasifu ngono na pombe tu

  • @maryamsaid3297
    @maryamsaid3297 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu lina mzimakweli

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว

    Janjaroooooooo

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 2 ปีที่แล้ว

    Lina kavaa au hajavaa??!!!

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว +2

    Malaya. Njaa kali hawa wanavaa kwa ajili ya kujiuza ili afaftwe na wanakuwa wananuka chini mana cha wote

  • @abdulywakitaa4448
    @abdulywakitaa4448 ปีที่แล้ว

    AKON

  • @jasminishafii5478
    @jasminishafii5478 2 ปีที่แล้ว

    mwanzoulikuwa unajiheshimu sasaiv umliunasonga ngoziinachaka ndounajiwekauchi wakatimwanzo ulivyokuwa binti ulikuwaunajistili mbonaumechelewa au unapiga kitucha arusha mana majaninayohayanaga kazimbovu kichwani yn upouchi alafuunajiona umevaa😂😂

  • @JumaaNdululu
    @JumaaNdululu 2 ปีที่แล้ว

    Mambo yanakua mtswano🤣

  • @hsamdiyay4724
    @hsamdiyay4724 2 ปีที่แล้ว

    Amelewa pombe

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 2 ปีที่แล้ว

    Nikawaida usifie sana😅😅weraa ngare naro

  • @superwhitetz3258
    @superwhitetz3258 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 2 ปีที่แล้ว

    Linah loooh 🤧🤧

  • @abdulywakitaa4448
    @abdulywakitaa4448 ปีที่แล้ว

    AKON BOY

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Lina kavaa nini jamani? Avue nguo zote atembee Lipapa nje Malaya huyu. Yani hajiheshimu kabisa na umri wake ulivoenda

  • @mikeotada1690
    @mikeotada1690 2 ปีที่แล้ว

    Uko ki chugga zaidi

  • @hilalmohd8941
    @hilalmohd8941 2 ปีที่แล้ว

    batta boy

  • @jay-nyeye1900
    @jay-nyeye1900 2 ปีที่แล้ว

    Saf Janja

  • @DM_15
    @DM_15 2 ปีที่แล้ว

    Naona lina anatamani atembee uchi kabisa

  • @nihadsalim337
    @nihadsalim337 2 ปีที่แล้ว

    😘😘😘😘😘😘

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 ปีที่แล้ว

    Huyo Mdada alipe cement mifupa30 siyo mavazi hayo

    • @alreadyblessed3474
      @alreadyblessed3474 2 ปีที่แล้ว

      Tena wanakotoza hiyo mifuko ya cement ndio kwao asilia

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 ปีที่แล้ว +1

    Poda zisinge kuwepo wadada wangekimbia

  • @daudichoma2814
    @daudichoma2814 2 ปีที่แล้ว +1

    KAMA UKO HIVI UTAACHWA NA KILA MWANAMKE
    Leo nimeona niongele hili swala wanaume wengi kutodumu kwenye Mahusiano au kuachwa mara kwa mara
    Kuna sababu zinaweza kuchangia lakini kuna wakati wanamke anaamuwa tu kutoka na mwanaume mwengine. Wanaume wengi huona kama hakuna tatizo ila ni maamuzi tu ya mwanamke ila ukweli wa mambo kuna sababu moja kubwa ukiwanayo hiyo lazima mwanamke akuwache nayo ni kushindwa kurudia tendo au ukiwa mtu wa kimoja tu chali, au kuwahi haraka kufika kileleni yani hapo hapo hakuna mwanamke atakae dumu labda kubaki na familia tu.
    Sasa kama unatatizo hilo au bado hujui ila unahisi basi usipaniki nimekuandalia Elimu nzuri ya kufanya utatuwe hiyo aibu hapo hapo nyumbani kwako bila ya kwenda hospital
    Katika somo hilo nimeleza jinsi ya kufahamu saikologia ya kufanya kuwa mshindi mechi zote kitandani nitumie ujumbe
    Tuma ujumbe neno AFYA BORA kwenda whatsApp namba 0KAMA UKO HIVI UTAACHWA NA KILA MWANAMKE
    Leo nimeona niongele hili swala wanaume wengi kutodumu kwenye Mahusiano au kuachwa mara kwa mara
    Kuna sababu zinaweza kuchangia lakini kuna wakati wanamke anaamuwa tu kutoka na mwanaume mwengine. Wanaume wengi huona kama hakuna tatizo ila ni maamuzi tu ya mwanamke ila ukweli wa mambo kuna sababu moja kubwa ukiwanayo hiyo lazima mwanamke akuwache nayo ni kushindwa kurudia tendo au ukiwa mtu wa kimoja tu chali, au kuwahi haraka kufika kileleni yani hapo hapo hakuna mwanamke atakae dumu labda kubaki na familia tu.
    Sasa kama unatatizo hilo au bado hujui ila unahisi basi usipaniki nimekuandalia Elimu nzuri ya kufanya utatuwe hiyo aibu hapo hapo nyumbani kwako bila ya kwenda hospital
    Katika somo hilo nimeleza jinsi ya kufahamu saikologia ya kufanya kuwa mshindi mechi zote kitandani nitumie ujumbe.
    Tuma ujumbe neno AFYA BORA kwenda whatsApp namba 0786853348 nitakutumia Audio ya suluhisho bila malipo yoyote. nitakutumia Audio ya suluhisho bila malipo yoyote.

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 2 ปีที่แล้ว

    janjaroooo