mshindi wa kwanza na wa pili wamepoteza ule ubora wao wa kwenye mashindano, Head master ni pure talented hana zimulizi za maisha ya utotoni au mazingira ya familia aliye kulia, anakuja na kitu ambacho huwezi tarajia. hii inafanya upate shauku ya kutaka kumsikiliza tena na tena.namuana siku za usoni akiwakalisha akima prof Hamo, Trick na talented wenzake wengi tu wa kikenya, kila lenye heri kwake.
Kweli Head master umeuwa mpaka najuta why sikupiga picha na wewe Comedy village pale kwa kina MC Mnyaru sasa hivi ningekuwa natamba.hahahaha umeuwa Kinoma
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 💥🇹🇿🇰🇪💥*
mshindi wa kwanza na wa pili wamepoteza ule ubora wao wa kwenye mashindano, Head master ni pure talented hana zimulizi za maisha ya utotoni au mazingira ya familia aliye kulia, anakuja na kitu ambacho huwezi tarajia. hii inafanya upate shauku ya kutaka kumsikiliza tena na tena.namuana siku za usoni akiwakalisha akima prof Hamo, Trick na talented wenzake wengi tu wa kikenya,
kila lenye heri kwake.
This man is the best...I love him sijui kwanin alikosa tuzo jaman
Tena alichekesha kuriko ndaro
Head master hatariiii saaaaana 🙌🙌😂😂💥💥🔥😆😆🤣😁😁😁🌟🌟⚡
Wow good headmaster big up nimegundua ni mkuria mwenzangu
Hed master unajua sana ila jitaid sana kuw na stori fupi inayo chekesha kwa kiasi kikubwa big up for you mungu azid kukusimamia
Head master ur the best mwanza we’re proud of you na homie
My Favorite tz comedian
Huyu mwamba n best performer
Oya huyu mwmaba ni kibokoo sana 😂😂🤣🤣🤣🤣
Umetisha kijana ..🔥🔥
Daaaahh mr coy dogo Yuko vizuri mpe nafac cheka tu yakudum ✋✋✋✋✋
Wewe Ni mkaliiii Sana 😃😃😃😃
Umetisha sana mwamba
Ka mgalagaza mwenzake vibaya sana
Kweli Head master umeuwa mpaka najuta why sikupiga picha na wewe Comedy village pale kwa kina MC Mnyaru sasa hivi ningekuwa natamba.hahahaha umeuwa Kinoma
Head master 🙌👌
huyu jamaa angefaa kuwa mshindi wa pili😁
Huyu kaua sanaaaaaa🔥🔥🔥🔥
So talented man, I love you bro
Fundi sana headmaster BODABODA
huyu jamaa sijui kwa nn hamkuingiza top 5
Sijapenda 😂😂😂😂😂
Nice amechukua nafasi ya Dep
My best comedian
YUDA bhana angekuwa mchaga ndo wanapenda hela......😂😂😂😂
The best one
Duuuh kaka naona mafanikio yako mbele yako pamban
My favorite head master😂😂🙌🙌🙌
Hupo vizuri dogo
Head Master katisha sana
Tuacheni wakurya jomoni.Hahaha
Bro your kind the best
Kasimamishaaaaaaaa
Hatariiiiiii🔥🔥🔥
Head master wewe n Jiniasi na ukapita izo levo ukawashetaniaz Yan daaaah katika watu wote wewe nimecheka na nusu🤣🤣🤣🤣🤣
Kiukweli hamjakosea kwenda kuwatafuta
ni muda wa kuachana na kupaisha wachaga sasa ni kanda ya ziwaa 😅😅
Salute
Noma sana huyu jamaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hili lijamaa hapanaa😂😂😂
Point 🙌
Nliumia San ile sku ya fainal afu mchizi akawa hajaingia kweny 5 Bora
Uyu mwambaaaa
Namsubilia Mc Eliud jaman kwa hamu yaan
🔥🔥🔥
Point😂🙌
Best Comedian in TZ
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 💥🇹🇿🇰🇪💥*
Yani kuliko yule asma angepewa kiwanja Bora angepewa head master
Alafu napenda unarespect sana ila naona wengi wenu mnapenda sana kutumia uchekeshaji wa kikristo kwa kiasi kikubwa sasa watu wanaona kawaida sana
Unajua kakaaaa
😀😀🙌🙌
Noma
King 🥇
Msimuache Headmaster😂🙌🏿
Washamchukua
@@azaboicomedy mwnng… ulikuwa unanifurahisha sana😂😂 keep it up bro..
upo cheka tu right??
Yeah shkrn sana ndgu yng
Hiki kichwa
katisha😁
DAH JAMAA ANAJUA SEMA AJASHINDA BUT HE IS SO FUUUUU
SOOO FUUUN
😄😄😄
Headmater kauwa
Dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀balaa
😂😂😂😂 yaan ww
Tumechukua kdg idea toka kwa ubavu wa chuma na nondo jioni y leo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
head master 🤣🤣🤣 kijana mfan0
🤣🤣💥
Hahahahahaha
Poa
Dogo anajua
😂😂😂😂
😂😂😂
🤣
Hiki kichwa
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂