Ligi kuu ya Tz inaiuwa GSM kusajiri team zaidi ya mbili ili Yanga ilindwe kuchukua ubingwa ikikutana na team hixo wachezaji wa yanga wala hawatowi jasho 😂😂😂
Viongozi wa yanga wanape da kucheza na akili za mashabiki wao na mashabiki oyaoya wao hawajui kitu wapowapo tu wangekua na uelewa wasinge yakubali wanayoyasema viongozi wao
Siku hizi mashabiki wanaongea vizuli kushinda wachambuzi😅😅😅😅😅😅shabiki anaongea vitu madin ukajua kbisa yes jamaa anafuatilia mpira safi Sana♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥😁😁😁😁😁😁😁
Yanga huwa wanasubiria scouting ya Simba halafu wanacross line. Aziz ki, Nzengeli, Mdathiri, wote hao walikuwa wanahitajika na Simba.
Hii wallet nai hitaji naipataje!?
Hawana akili nzuri hao washabiki wanga ni wale vichaa walikuaga kirembe wakapona
Gsm ameidumaza Yanga mtu mmoja anadhamini team 8 hawapati ushindani kamili
Huyu jamaa kama kacipul
Kibu Ana magoli ma4 caf
Wanaikamia SIMBA na kuiacha Yanga USHINDI WAO ishinde kuwa kuzipa hela
Waambie mwamba maana walikua wabishi tumesemwa mbaka sivizul
KIBU...ANA GOLI 4..TRIPOL..KAFUNGA 1..SFXSIEN..KAFUNGA 2...COSTATINE..KAFUNGA 1..JUMLA GOLI..4
Ligi kuu ya Tz inaiuwa GSM kusajiri team zaidi ya mbili ili Yanga ilindwe kuchukua ubingwa ikikutana na team hixo wachezaji wa yanga wala hawatowi jasho 😂😂😂
Yanga udhamini unamuharibia mpira yanga wanataka ubingwa tu
Viongozi wa yanga wanape da kucheza na akili za mashabiki wao na mashabiki oyaoya wao hawajui kitu wapowapo tu wangekua na uelewa wasinge yakubali wanayoyasema viongozi wao
😂simba
Nanyee waong mbona mliwacf wamefelishwa na nyie