UBAYA UBWELA: SIMBA YATHIBITISHA KUWAOMBEA WACHEZAJI HAWA TISA (9) URAIA WA TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

ความคิดเห็น • 13

  • @CosmasyChotamasege
    @CosmasyChotamasege 14 วันที่ผ่านมา +2

    Wakuu wabongo tunahitaji push factors za kutufanya tujitume kufanya vtu kwa ubora koo kama wageni hawa wakikaa kwa timu ya Taifa as ni raia wa Tanzania ita impact wachezaji wazawa waone kuna kazi ya kufanya wao binafsi ili wawe bora zaidi

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 12 วันที่ผ่านมา

    Uwo ndo ubaya ubwela wenyewe sasa

  • @linusmassawe-f4p
    @linusmassawe-f4p 14 วันที่ผ่านมา +1

    Wapewe uraia acheni kutoa hoja zisizo za msingi maana hao wachezaji pia wataongeza chachu kwenye timu yetu ya taifa ni azina na tunapaswa viongozi kuwa inawafata na kuwashawishi hususa wachezaji wenye umri mdogo itakuwa inatupa nguvu kwenye taifa maana kwanza cyo tegemezi wana kazi zao na maisha yao ndg zangu tuige kupitia nchi za wenzetu hua wanafata vipaji na kuvishawishi kwa faida ya taifa

    • @SaneMwezi
      @SaneMwezi 14 วันที่ผ่านมา

      Sio sawa kuwapa urai

    • @ce-08
      @ce-08 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@SaneMwezi kwann sio sawa Toa sababu sio unajibu km upo shule ya msingi

  • @FleiZilla-g2n
    @FleiZilla-g2n 7 วันที่ผ่านมา

    Tanzania tuache ubaguzi Angalieni taifa kubwa Kama France wachezaji wao wengi niweuxi nawengi ni chimbuko la Africa Akili itumike apo

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 14 วันที่ผ่านมา

    Hamad diallo bado haelewekieleweki yule kwenye masuala ya national timu vipi km na yeye tukimtumia ofa ya maana ili tuinase NIDA yake

  • @PabloDallas255
    @PabloDallas255 14 วันที่ผ่านมา

    Wapewe tu hata kama wakiwa 100 kwani nani anawalisha

  • @ogasa_sm5940
    @ogasa_sm5940 14 วันที่ผ่านมา

    Mambo ya uraia ni mambo binafsi,acheni ubaguzi wakati watanzania wengi hatuna ubaguzi.kwani mtu akichukua uraia wa tz akaamua kuukana tena ndani ya miezi 3 wewe inakuuma nini? Sisi watanzania hatuko hivyo,ndio maana hata wimbo wetu wa taifa unaanza na baraka za AFRIKA.Kumbuka hata mwalimu aliwasaidia baadhi ya wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika passport za kusafiria za TZ.Acheni uoga palipo na changamoto ndio penye fursa. Leo ELON MUSK ni mmarekani lakini alikuwa msauzi.Fanyeni kazi acheni uoga,baadhi ya watz ni wazembe na hawajitumi kwenye kazi ndio wanahofia mgeni kupewa uraia.

    • @MohammedYassin-e3g
      @MohammedYassin-e3g 14 วันที่ผ่านมา +1

      Halafu sasa wanaomba uraia sio wanaomba kucheza tim ya taifa