MSIGWA AFUNGUKA HUJUMA ZILIZOFANYWA UCHAGUZI CHADEMA KANDA YA NYASA - ''SIHAMI - WATAHAMA WAO''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • MSIGWA AFUNGUKA HUJUMA ZILIZOFANYWA UCHAGUZI CHADEMA KANDA YA NYASA - ''SIHAMI - WATAHAMA WAO''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 49

  • @SaadIssa-c9o
    @SaadIssa-c9o 4 หลายเดือนก่อน +4

    Aisee watu ni waroho wa madaraka😊😊😊

    • @emanuelsinyinza
      @emanuelsinyinza 4 หลายเดือนก่อน

      🎉benson kigaira si ndiye mke wake moja wapo ni 19cov.ebu nisaidiyeni nipo sahihi.

  • @juliussenzia
    @juliussenzia 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tangu mlipo wahujumu wa kina mdee mlishapoteza muelekeo

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya 4 หลายเดือนก่อน +3

    Chadema, mnajivunjia heshima. Mnawapa nafasi wapinzani wenu. Mnatukatisha tamaa wapiga kura.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 4 หลายเดือนก่อน

      Wameanza kupoteana. Sad😮😮😢

  • @AbdulmalikFredrick
    @AbdulmalikFredrick 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kiongozi kalibu ccm chama
    Imala mwenyekiti wetu mueshimiwa Samia suluhuhasani jemedali wetu

  • @hamismkenga3031
    @hamismkenga3031 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahahahaha personality ya MBOWE ni kuruka na chopa TU😅😅😅😅😅😅😅

  • @eliphasmlengu6331
    @eliphasmlengu6331 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nafikiri kujahuku media nikukivua nguo chama brother I knew this is going to happen. kwanini hukusema at the first day or subiri vikao I can see your way to CCM . Brother waachie watu wengine kijiti

    • @bonvivant3704
      @bonvivant3704 3 หลายเดือนก่อน

      Called it😅

  • @husseinothman1257
    @husseinothman1257 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo ndipo ujue watu hawapo kwa ajili ya watu bali Kwa ajili ya maisha yao na familia zao. Machoni Kama wakweli fulani hivi.

  • @PelleSamky
    @PelleSamky 4 หลายเดือนก่อน

    Unakuja hadharani , halafu ndio ukate rufaa? Katarufaa ikikubwaga uje hadharani ,hufai umepotoka mchungaji , pia kilicho kuumiza ulikanya ulikanyaga Haki ya Wa Masai na ni mkufunzi wa Bibilia(Mchungaji).

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 4 หลายเดือนก่อน

    Mjinga mno.mzee ccm hoyeeee mmeisha kabisa.mtu.mzima hovyo njoo ccm.hawakutak mnalazimisha nini au nenda kaubiri neno.siasa himeisha chadema bai bai.nabado mtakoma mtu mzima hovyo

  • @mosesm1608
    @mosesm1608 4 หลายเดือนก่อน

    Huna niya njema na chama chako. rufaaa hiyo unaipeleka wapi? kwanini usiyapeleke mahala husika ambako ni kamati kuu? pamoja na hoja nzuri ulizo nazo umekosea sana kwa hili jambo. nadhani una niya ya kukiharibia chama chako. haya yalifaa yazungumzwe ndani na siyo hadhalani kiasi hiko. wewe kama unaondoka ondoka tuu acha siasa ya kuchafua chama chako. sugu kakushinda wewe kwa sugu humsogelei hata kwa nusu. povu linakutoka tuuuuuu. usidhani kwamba wewe ni bora and you deserve to be.

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 4 หลายเดือนก่อน

    Njoo ccm bwana wewe mchukua Rushwa njoo kwetu wache hao jaman msigwa mbona unateseka bule njoo

  • @AngerusLijuja-bg6sb
    @AngerusLijuja-bg6sb 3 หลายเดือนก่อน

    MPASUKO ULIOUTENGENEZA TOKA MDA MLEFU NDIO MATOKEO YAKE AYO ATA UKATELUFA MARA 10 KWA BOMU ULILOTENGENEZA LAZIMA LIKULIPUKIE TENA SWALILANGU UKISHINDA TENA ZAIDI UTAKUFA MIMI NAKWAMBIA YAMEKUKUTA NA WEWE UMEZOEA KUWAFANYIA WENZAKO

  • @salama1113
    @salama1113 4 หลายเดือนก่อน

    Hiki chama kinaenda kufa mda sio mrefu tutulisu amie chauma huko anapoteza muda tuu

  • @langotv5071
    @langotv5071 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi sina chama ila natafuta chama nijiunge nao nikawa naiwaza chadema ila hapa nimegundua ni chama cha hovyo pia,nitaenda ccm nikale nchi tu

  • @AngerusLijuja-bg6sb
    @AngerusLijuja-bg6sb 3 หลายเดือนก่อน

    SUGU UMEMFANYA NINI MSIGWA MBONA KATOA MLIO MKUBWA IVI AU ALIINGIA NA MATOKEA

  • @AhmedAdan-q9l
    @AhmedAdan-q9l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna chama kama ccm tanzania 🇹🇿 hakina ubaguzi kina wangaliya watu wala hakibagui mtu wala kwa rangi ya mtu

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona wewe ujivui gamba siutoke jaman.

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 4 หลายเดือนก่อน

    Msigwa kaa ujitafakari sio kwa kujidharirisha huko

  • @lusticendokole9385
    @lusticendokole9385 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini watu wakikosa kura huanza makelele?

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 4 หลายเดือนก่อน

    Ha haaaaaaaaaaaaa
    Wagombeee wawiliwawili

  • @manfredkibona3126
    @manfredkibona3126 4 หลายเดือนก่อน

    Kumeanza kuchemka😅

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 หลายเดือนก่อน +2

    TUNA IMANI NA MSIGWA KURA ZAKO ZOTE NI (61) MHE MSIGWA WAACHE KUKUCHAKACHUWA NDANI YA CHADEMA UMEPOTESA PESA ZAKO NYINGI SANA, MDA, NA NGUVU.

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 4 หลายเดือนก่อน

    Mnafiki sasa umeisha sema hipo rushwa bado unasema hiyo uwezi kusema rushwa.umeisha sema.njoo kwwtu hutakiwi.laki n asante umetusaidia mno kutupa hoja ccm hitashinda miaka 100 mbele

  • @FilbertFissoo-pe2xm
    @FilbertFissoo-pe2xm 4 หลายเดือนก่อน

    Kubali kushindwa mheshimiwa msigwa , na hilo jambo ungekata rufaa kwenye chama chako bila kuja huku kwenye media

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 4 หลายเดือนก่อน

    Msigwa wewe umeshindwa uchaguzi maana tunakuona hapo unajichaguwa mwenyewe na kama ungeshinda basi wangesema umeshinda Msigwa. Na wewe mwenyewe ulisimama na ukampongeza Sugu na ukatowa hongera ya kumpongeza Sugu nini sasa, Tafadhari usituharibiye chama tafathali

  • @Visiona897
    @Visiona897 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 Msigwa buana unategemea kugombea uwenyekiti taifa? Mbowe atakuacha salama kweli umtoe kwenye nafasi yake

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kiongozi!
    Siasa ina milima na mabonde yake! Inahitaji moyo mkubwa!
    Aidha, ni vzr tukiri ukweli kwamba Tanzania, na Afrika kwa ujumla bado kukomaa kidemokrasia! Haya yanayojitokeza ni hatua ktk hatimae kukomaa!
    Pamoja na yaliyojiri, kuweka mambo hadharani ilipaswa kuwa hatua ya nwisho kabisa!

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 4 หลายเดือนก่อน

    Mpinzan ni zito kachukua uwongozi jisha hakaishia kutoa uwongoz nyinyi mnapingina kubak nyinyi tu.duh hii kal

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 4 หลายเดือนก่อน

    Chadema kwisha mdee wameusha maluza kazi nawapenda mno.mpaka unaema utazan unaongea nini jui.

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 4 หลายเดือนก่อน

    Acha kuvuruga chama, umeona umeonewa acha chama, unaaibisha

  • @OlosekiLokoy-sy6qg
    @OlosekiLokoy-sy6qg 4 หลายเดือนก่อน

    UNGA juhud ya ccm ulionesha kitambo

  • @AhmedAdan-q9l
    @AhmedAdan-q9l 4 หลายเดือนก่อน

    Nenda zako ccm utapata mafanikio hawa chadema ni waizi tu

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 4 หลายเดือนก่อน

    Unajivua nguo mpaka unatoa machoz jaman mate yote ya nini.

  • @justusndyamukama4808
    @justusndyamukama4808 4 หลายเดือนก่อน

    Inatia kichefuchefu kukusikiliza hadi mwisho

  • @YahayaKishakwi
    @YahayaKishakwi 4 หลายเดือนก่อน

    Ebu funga domo ungempeleka mkeo akakuchague

  • @abnermailos8043
    @abnermailos8043 4 หลายเดือนก่อน

    Mmeaibisha kweli mngeyazungumza ndani sio kwene media aibu hiyo

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 4 หลายเดือนก่อน

    chadema kishakuwa kikundi Cha vikoba

  • @GeophreyMsomba
    @GeophreyMsomba 4 หลายเดือนก่อน

    sasa demokirasia ipowap? Hataninyi tene😂😂😂 hii imeenda

  • @blues4life633
    @blues4life633 4 หลายเดือนก่อน

    Msigwa kwan lazma uwe ww😢 unatualibia chama

  • @JumaNtwangi
    @JumaNtwangi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ndio hivi hamuibiwagi kura, kulalamika asili yenu. Bado sana jipangeni. Mbowe apishe vijana

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 4 หลายเดือนก่อน

    lile swala lushwa walilo lilalamikia wenzako mbona ausemi?

  • @eliphasmlengu6331
    @eliphasmlengu6331 4 หลายเดือนก่อน

    Kunanini kwenyi hiki kiti cha uwenyekiti wa kanda?

  • @fatmajafar8275
    @fatmajafar8275 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa hivi sitayari mpasuko chadema umeingia

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 4 หลายเดือนก่อน

      Mtazamo tofauti ndivyo Demokrasia ilivyo na siyo kulipua lipua!

  • @reginaldmarandu8021
    @reginaldmarandu8021 4 หลายเดือนก่อน

    😮

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 4 หลายเดือนก่อน

    Msigwa waambie haoooo
    Wezi tu haoooooo